×

Habari

Bandari ya Kwala: Suluhisho la Msongamano wa Bandari ya Dar – Video

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amesema Serikali imejenga...

READ MORE

Rais Mwinyi: Mashindano Ya Quran Ni Ishara Ya Uhuru Wa Kuabudu – Video

Aidha, ameipongeza Taasisi ya Al-Hikma Foundation na wadhamini wake, wakiwemo Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ Bank), kwa kufanikisha mashindano...

READ MORE

Mtanzania Ashika Nafasi ya Tano Mashindano ya Qurani ya Mabara

  Kijana wa miaka 22, Kassim Ayoub Salim aliyewakilisha Tanzania Bara Katika Mashindano Makubwa ya Qurani ya Mabara yote ameitoa...

READ MORE

Mtoto Atekwa, Abakwa na Kuuawa Mbezi Kibanda cha Mkaa

Sheikh mmoja amelaani vikali tukio la kikatili la utekaji, ulawiti na ubakaji wa mtoto mwenye umri wa miaka 8 lililotokea...

READ MORE

Tanesco Yatangaza hitilafu Kwenye Mfumo wa ununuzi luku

  Taarifa ya Tanesco imetolewa leo Jumapili Machi 16, 2025 na Kurugenzi ya Mawasiliano na Huduma kwa Wateja huku ikiahidi...

READ MORE

Uongozi Mkoa wa Mwanza,Wadau Kuandaa Futari kwa Watoto Yatima, RC Mtanda Aipongeza Nbc

  Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Bw Said Mtanda ameelezea dhamira ya uongozi wa mkoa huo kushirikiana na wadau mbalimbali...

READ MORE

Balozi Nchimbi Achangisha Sh.950 Milioni Kwa Matibabu ya Wagonjwa wa Mguu Kifundo

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, amefanikisha uchangishaji wa shilingi milioni 950 kwa ajili...

READ MORE

GF Automobile Ltd Yasaini Makubaliano ya Kimkakati Na NaCoNGO

Kampuni ya GF Trucks kupitia Kampuni ya GF Automobile imeingia makubaliano na  Baraza la Taifa la Mashirika yasiyo ya kiserikali ...

READ MORE

Daktari Aliyetoa Ushahidi Kilo Cha Naomi Alitishiwa Maisha

Familia ya Naomi Marijani, imeiomba serikali kuwaangalia kwa karibu mashahidi waliotoa ushahidi mahakamani kwenye kesi ya mauaji ya ndugu yao,...

READ MORE

Mwili wa Waziri wa Kwanza wa Elimu ‘Thabitha Ijumba’ Ulivyoingizwa Kanisa KKKT Msasani

Dar es Salaam, 15 Machi 2025: Mwili wa aliyekuwa Waziri wa Elimu wa Kwanza katika Kipindi cha Rais wa Kwanza...

READ MORE

Tajirika Na Meridianbet Sasa

Jumamosi ya leo ni nzuri sana ya wewe kuondoka na shangwe ndani ya Meridinabet kwani mechi mbalimbali Duniani leo hii...

READ MORE

Kibu Dennis Aang’ara: Atwaa Tuzo Ya Kwanza Ligi Kuu Baada Ya Simba Kuichakaza Dodoma Jiji

mshambuliaji wa Simba, Kibu Dennis maarufu kwa jina la mkandaji amechekelea kutwaa tuzo yake ya kwanza ndani ya Ligi Kuu...

READ MORE

Mvutano wa Israel na Hamas Wazidi: Israel Yatuhumu Hamas kwa Propaganda

Israel imesema kuwa kundi la Hamas halijabadilisha msimamo wake katika mazungumzo ya kusitisha mapigano katika Ukanda wa Gaza na kinachofanyika...

READ MORE

Shigongo atimiza ahadi ya mradi mkubwa wa maji kisiwa cha Maisome

Mbunge wa Buchosa Eric Shigongo ametiza ahadi ya ujenzi wa mradi mkubwa maji ya bomba utakao huduma wakazi 16983 wa...

READ MORE

Kaka Afunguka Kilichomfanya Hamis Akiri Kumuua Naomi

Kaka wa marehemu Naomi Marijani aliyeuawa kikatili na mumewe kisha mwili wake kuchomwa moto kwa mkaa mpaka kubaki majivu, amesimulia...

READ MORE

Waziri Ridhiwani Kikwete Azindua Bodi Ya Wadhamini Ya NSSF

Dar es Salaam. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Ridhiwani Kikwete, amezindua Bodi...

READ MORE

Rais Mwinyi Afutarisha Wananchi Wa Mkoa Wa Kaskazini Unguja

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt, Hussein Ali Mwinyi amewasisitiza Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja...

READ MORE

Wanajeshi Wa Ukraine Hawaamini Kwama Vita Vitaisha

Wakati Moscow ikizingatia usitishwaji wa vita kwa muda, vikosi vyake vya kijeshi vinaendelea kupambana katika mstari wa mbele. Majadiliano ya...

READ MORE

Kaka wa Naomi Marijani Aanguka Akisoma Wosia wa Dada Yake – (Picha + Video)

  Machozi na huzuni vimetawala nyumbani kwa Ismail Marijani, kaka wa marehemu Naomi Marijani, wakati wa kuaga jeneza lenye sampuli...

READ MORE

Waziri Mkuu Azindua Msikiti Wa Nuuril Hikma Temeke jijini Dar

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa leo Machi 14, 2025 amezindua msikiti wa Masjid Jaami’u Nuuril Hikma uliopo mtaa wa Yombo, Temeke...

READ MORE

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Ahitimisha Ziara Yake Mkoani Tabora

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Machi 14, 2025 akiagana na viongozi mbalimbali wa Serikali na Chama cha Mapinduzi (CCM) baada...

READ MORE

Lori La Mizigo Dar Laparamia Gari, Bajaji Na Dalala – (Video +Picha)

Ajali mbaya imetokea asubuhi ya leo Machi 14, 2025 katika eneo jirani na Moshi Bar, Ukonga jijini Dar es Salaam...

READ MORE

Rais mstaafu, Dkt. Jakaya Kikwete Afanya Ziara Tokyo nchini Japan

Rais mstaafu, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akiwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Elimu la Kimataifa (GPE), yupo Tokyo nchini...

READ MORE

Majaliwa: Serikali Itaendelea Kuboresha Mazingira Ya Ujasiriamali

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema Serikali inaendelea na mkakati wa kufungua milango ya ujasiriamali kwa kutekeleza sera na programu mbalimbali...

READ MORE

Tundu Lissu, Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Wazuiwa kuingia Angola

Msafara wa Viongozi wa ACT Wazalendo ukiongozwa na Kiongozi wa Chama Dorothy Semu na Makamu wa Kwanza wa Rais wa...

READ MORE

JKT Watangaza Msako Kwa Waliogushi Vyeti na Kujipatia Ajira

Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) limetoa onyo kwa baadhi ya vijana wanaogushi cheti cha Jeshi hilo kwa ajili ya kupata...

READ MORE

Jumba La Dhahabu: Msimu Wa Pili Waja Na Msisimko Mpya! – Video

Muigizaji na muongozaji wa filamu nchini, Tuesday Kihangala maarufu kwa jina la Mr. Chuzi, amewataka Watanzania na wapenzi wa filamu...

READ MORE

RC Chalamila Akutana na Mama wa Mbezi, Amhakikishia Nyumba Haitauzwa – Video

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amerudisha tabasamu kwa Bi Beatrice William ambaye amekumbwa na sakata la...

READ MORE

NMB Yaendeleza Utamaduni wa Futari ya Kipekee kwa watoto vituo vitano na Wabunge Dodoma

Moja ya matukio makubwa nchini wakati jua linazama Jumatano wiki hii ilikuwa ni futari ya kukata na shoka iliyoandaliwa na...

READ MORE

Rais Samia Ashiriki Mkutano Wa Dharura Wakuu Wa Nchi Za SADC

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya...

READ MORE

Alhamisi Yako ni Murua Ukibeti na Meridianbet

Mechi za Europa League hatua ya mtoani zinaendelea leo ambapo mechi kibao zitakuwa dimbani kuanzia saa 2 usiku kuhakikisha zinapata...

READ MORE

Majaliwa Azindua Kituo Cha Mabasi Nzega Mjini

  WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa leo Machi 13, 2025 amezindua kituo kipya cha Mabasi cha Nzega mjini ambacho ujenzi wake...

READ MORE

Kamati ya Kudumu ya Bunge Ilivyofanyia Ziara Ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama imefanya ziara kutembelea ujenzi wa Makao Makuu ya...

READ MORE

Majaliwa: Serikali Itaendeleza Mikakati Ya Kukuza Sekta Ya Mifugo

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali inaendelea kuweka mikakati madhubuti ya kuhakikisha sekta ya mifugo inakuwa endelevu na yenye...

READ MORE

Kamati ya Bunge Yapongeza PSSSF Kwa Usimamizi Mzuri wa Vitegauchumi Vyake

Kamati ya kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii imeupongeza Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa...

READ MORE

Iran yakataa mazungumzo na Marekani kuhusu mkataba wa nyuklia

Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian amesema Iran haipo tayari kwa mazungumzo na Marekani wakati inapewa vitisho na kumtaka Rais Donald...

READ MORE

Bi Regina Ashinda Kesi, Mahakama Yaamuru Akabidhiwe Nyumba

MAHAKAMA Kuu Divisheni ya Ardhi imefanikiwa kutatua mgogoro wa zaidi ya miaka 20 uliohusisha umiliki wa nyumba, ambayo aliyekuwa Mtaalamu...

READ MORE

Ufafanuzi wa Polisi Kifo cha Mwanafunzi wa Darasa la Tatu Kagera

Jeshi la Polisi mkoani Kagera limefafanya kifo cha Mwanafunzi wa darasa la tatu katika Shule ya Msingi ya Tumsime, iliyopo...

READ MORE

Wanaodaiwa Kumuua Regina na Kumtumbukiza Kweye shimo la Choo Waburutwa Mahakamani

Wanandugu wawili wamefikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam wakikabiliwa na shtaka moja la kumuua kwa...

READ MORE

Aliyekuwa CAG Prof. Mussa Assad Atoa Mafunzo ya Uongozi Chadema

Aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Prof. Mussa Assad ametoa mafunzo ya Uongozi kwa Viongozi wa...

READ MORE