×

Habari

Rais Samia Alivyompokea Rais Wa Romania Klaus Werner Iohannis Ikulu, Dar -(Picha+Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akimpokea Klaus Werner Iohannis, Rais wa Romania Ikulu – Dar...

READ MORE

Rais Mstaafu Kikwete Azindua Mpango Wa Kuanzisha Huduma Harakishi Za Watoto Wachanga

Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amezindua Mpango Harakishi wa...

READ MORE

Matokeo ya uchaguzi wa Liberia: George Weah na Joseph Boakai katika kinyang’anyiro kikali

Kiongozi wa upinzani nchini Liberia Joseph Boakai anaongoza kwa asilimia 50.58 dhidi ya Rais George Weah aliye na asilimia 49.42...

READ MORE

Waziri Mkuu Azungumza katika mkutano wa pili wa Jukwaa la Sauti ya Nchi Zinazoendelea ‘Voice of Global South Summit’

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amezungumza katika mkutano wa pili wa Jukwaa la Sauti ya Nchi Zinazoendelea ‘Voice of Global South...

READ MORE

Zaidi Ya Bilioni 1.4 Yajenga Ofisi Ya Kamanda Wa Polisi Mkoa Wa Mara, Sagini Atoa Neno

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi (Mb) Jumanne Sagini amefanya ziara ya kutembelea na kukagua Mradi wa Ujenzi...

READ MORE

Makonda Ampa Gari Jingine Mwalimu Adella Aliyetapeliwa

Mwalimu Adella atoa shukrani kwa CCM na Rais Samia akisema hakika ni Chama kinachosimama Haki. > Ampa jina Mwenezi Makonda...

READ MORE

Waziri Ndumbaro Aagiza Mambo Matatu Kwa Watumishi Wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo

Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Damas Ndumbaro ameagiza Watumishi wa wizara hiyo kuitumikia wizara hiyo kwa kuzingatia falsafa...

READ MORE

Rais wa Romania, Klaus Iohannis Alivyowasili nchini kwa ziara ya Kitaifa

Rais wa Romania, Klaus Iohannis, amewasili nchini kwa ziara ya Kitaifa kuanzia  Novemba16 hadi 19, 2023 kufuatia mwaliko wa Rais...

READ MORE

Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete Akutana Na Balozi Wa Canada – Video

Mkutano huo wa siku tatu umeandaliwa na Wizara ya Afya na Ofisi ya Rais TAMISEMI  kwa kushirikiana na washirika kadhaa...

READ MORE

NBC Yatoa Elimu ya Kifedha kwa Wanafunzi Shule ya Sekondari Tambaza

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imetoa elimu ya masuala ya kibenki na umuhimu wa kujijengea utamaduni wa uwekaji akiba...

READ MORE

Hafla Ya Uzinduzi wa Mauzo ya Hisa za Upendeleo za Kampuni ya TCCIA Investment Plc Yafaana!

Serikali kupitia Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA) ina jukumu la kuweka mazingira wezeshi ya kisera, kisheria na...

READ MORE

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Akutana Balozi wa India nchini jijini Dodoma

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akutana Balozi wa India nchini, Binaya Srikanta Pradhan kwa mazungumzo, ofisini kwa Waziri Mkuu Mlimwa jijini...

READ MORE

NEC Yakutana Na Vyama Vya Siasa Kuhusu Uboreshaji Wa Daftari La Kudumu La Wapiga Kura

  VYAMA vya siasa vimehimizwa kushiriki kwenye majaribio ya uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura yanayotarajiwa kufanyika katika...

READ MORE

Nilijua Ni Rafiki Yangu Kumbe Ananizunguka na Kutembea na Mume Wangu

  Nimeishi na mume wangu kwa miaka mitatu, kwa muda huo nimekutana na mambo mengi sana hadi hatua ya kushindwa...

READ MORE

Wizara ya Elimu Yapokea Magari Mawili Kutoka Shirika la UK-AID

Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imepokea magari mawili yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 250 kutoka kwa Shirika...

READ MORE

Paul Makonda Atembelea Mradi wa Ujenzi wa CCM wa nyumba 6 Jijini Mwanza

Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Paul Makonda ametembelea Mradi wa Ujenzi wa CCM wa...

READ MORE

Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini Aagiza Miradi Ikamilike Kabla ya Desemba 2023

ATAKA WAKANDARASI KUHAKIKISHA UBORA NA WELEDI KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini, Balozi Meja Jenerali Mstaafu...

READ MORE

Mr Eazi Aachia Albamu Yake ya Kwanza, ‘The Evil Genius’ Akiwashirikisha Mastaa Kibao

Staa wa Afropop, Mr Eazi ameachia albamu yake ya kwanza inayokwenda kwa jina la ‘The Evil Genius’ iliyokuwa ikisubiriwa kwa...

READ MORE

Kishindo cha Afro B Katika Wo Wo Wo Akiwa na Rich The Kid na Rimzee

STAA ambaye alitambulishwa na ngoma maarufu, Afrowave ‘Drogba’, Afro B, ameachia video yake mpya ya kibao “Wo Wo Wo (Ebony)”...

READ MORE

Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete Afungua Mkutano Wa Wa Pili Wa Kisayansi Wa Afya Ya Uzazi Na Mtoto Ukumbi Wa Mikutano Wa Julius Nyerere Jijini Dar

Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amefungua Mkutano wa Pili...

READ MORE

Mradi Wa Bomba La Mafuta Kutoka Hoima Nchini Uganda Hadi Chongoleani Tanga Ni Muhimu Kwa Watanzania

MWENYEKITI wa Kamati ya kudumu ya Nishati na Madini ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt David Mathayo...

READ MORE

Tigo Yatoa Zaidi Ya Milioni 300 Kwa Mawakala Wake, Mchakato Unaendelea Nchi Nzima

Dar es Salaam 16 Novemba 2023: Mawakala wa Kampuni ya mtandao wa simu za mkononi wa Tigo wanaotoa huduma za...

READ MORE

Messi, Ronaldo, Nani Mbabe wa Kuamua Mechi Uwanjani?

Wakati kukiwa bado kuna mjadala unaoendelea juu ya nani alistahili kutwaa Ballon D’or ya mwaka huu 2023, kuna baadhi wanasema...

READ MORE

Serikali Yaipa REA Bil 170 Utekelezaji Miradi ya Umeme Mtwara

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt Dotto Biteko amesema serikali imetoa BILIONI 170 kwa ajili ya utelekezaji wa...

READ MORE

Vodacom Yaendesha Droo ya Kwanza ya Sambaza Shangwe, Gusa Maisha

Kampuni ya simu za mikononi ya Vodacom, leo imeendesha droo yake ya kwanza ya Kampeni ya Sambaza Shangwe, Gusa Maisha...

READ MORE

Wadau Wa Haki Za Watoto Waungana Kutetea Haki Za Watoto Wenye Jinsi Tata

Dar es Salaam 15 Novemba 2023: Muungano wa mashirika yanayotetea haki za watoto wenye changamoto za Via vya Uzazi na...

READ MORE

Waziri Mkuu Majaliwa: WCF ipo, Utaishi Vizuri na Utatunza Familia Yako”

  WAZIRI Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa amemuhakikishia Mnufaika wa Fidia inayotolewa na Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF), Bi. Halima...

READ MORE

Rais wa Jamhuri ya Romania, Klaus Iohannis Kufanya Ziara ya Kitaifa nchini

Rais wa Jamhuri ya Romania, Klaus Iohannis, atafanya Ziara ya Kitaifa nchini kuanzia tarehe 16 hadi 19 Novemba 2023 kwa...

READ MORE

Makonda: CCM Yaelekeza Pikipiki Zilizokamatwa Silali Zirudishwe Na Kukiwa Na Mali Zitozwe Kodi

Katibu wa NEC – Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Paul Makonda akizungumza kwenye mkutano wa hadhara na Wananchi...

READ MORE

Mchakato Hadhi Maalum Kwa Diapsora Kukamilika Mwaka 2024

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatarajia kukamilisha utaratibu wa kuwapatia Hadhi Maalum Watanzania waishio nje ya nchi, yaani...

READ MORE

Waziri Mkuu: Migogoro Ya Wakulima Na Wafugaji Haina Tija, Serikali Haitaki Kuiona – Video

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema kitendo cha wafugaji kuingiza mifugo kwenye mashamba ya wakulima ni uvunjaji wa sheria na Serikali...

READ MORE

Rais Samia Amteua Mohamed Malick Salum kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Bw. Mohamed Malick Salum kuwa Mkurugenzi Mkuu wa...

READ MORE

HaloPesa Yazindua “Okota na Halopesa”

Kuelekea Katika Msimu wa Sikuukuu Halotel ikiwa kampuni inayosifika nchini kupitia huduma yake ya kifedha ya HaloPesa, imekuja kivingine na...

READ MORE

Watanzania Waendelea Kusambaziwa Furaha Kupitia Kampeni Ya Serengeti Maokoto Ndani Ya Kizibo

Serengeti Breweries Limited inaendelea kusambaza furaha kwa watanzania kupitia Kampeni ya Promotion ya Serengeti Maokoto Ndani ya Kizibo. Wiki hii...

READ MORE

Katika Kuunga Mkono Juhudi Za Serikali, Oryx Gas Imeendelea Kuhamasisha Matumizi Ya Nishati Safi Ya Kupikia

Oryx Gas Tanzania Limited imeendelea umuhimu wa kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia kama hatua za kuunga mkono jitihada...

READ MORE

Tanzania namba moja Duniani kupeleka maji vijijini

Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia Kanda ya Mashariki na Kusini mwa Afrika, Dk Victoria Kwakwa ameitaja na ameipongeza...

READ MORE

CCM na CPV Kunufaisha Sekta ya Uzalishaji Tanzania

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Godfrey Chongolo amesema kuwa chama hicho kinaridhishwa na urafiki na uhusiano...

READ MORE

Makonda Asimikwa Uchifu Na Wazee Wa Mara

Wazee wa Mkoa wa Mara wamemsimika Uchifu Manyara, Paul Makonda ambaye ni Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi,...

READ MORE

Jishindie Bajaji Mpya kutoka Meridianbet kwa Jero Yako wakali wa odds kubwa

Huenda siku zinazidi kwenda mwaka unaisha lakini kila malengo yako hayatimii, kila njia umefanya lakini bado mambo ni magumu. Leo...

READ MORE

Mfanyabiashara Amuomba Waziri Mkuu Kuingilia Kati Mchakato wa Zabuni ya Jamhuri Park

Mfanyabiashara wa jijini Tanga, Sultan Salim, amemuomba Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, kuingilia kati mchakato wa upatikanaji wa mshindi wa zabuni...

READ MORE