×

Habari

Rasimu ya Sera ya Elimu Itakapopitishwa Kukutanisha Wadau Wote wa Elimu na Taasisi zote za Dini

Serikali imesema Rasimu ya Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014 Toleo la 2023 na mabadiliko ya Mitaala ya...

READ MORE

Yanga Yapewa Ufalme Mpya ligi kuu Baada ya Kupata Ushindi wa Mabao 5-0

  YANGA kwa sasa ni kama wamepewa ufalme wao kwenye ligi kuu baada ya kutabiriwa kufanya makubwa msimu huu, huku...

READ MORE

Putin Awaamuru Wapiganaji Wa Wagner Kutia Saini Kiapo Cha Kuitii Serikali Ya Russia

Rais wa Russia Vladimir Putin amewaamuru wapiganaji wa kundi la Wagner kutia saini kiapo cha kuitii serikali ya Russia baada...

READ MORE

Baada ya Kuhangaika Sana Kupata Ujauzito, Hatimaye Sasa Nina Watoto Wawili

  Katika maisha yangu niliangaika kwa miaka mingi kutafuta ujauzito, nilienda kila Hospitali, nilitumia kila aina ya dawa hasa za...

READ MORE

Waziri Wa Uchukuzi Amfuta Kazi Mkuu Wa Mamlaka Ya Viwanja Vya Ndege Kenya Baada Ya Kukatika Kwa Umeme

Waziri wa Uchukuzi wa Kenya, Kipchumba Murkomen, amewafukuza kazi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (KAA), Alex Gitari na...

READ MORE

Uchaguzi ya Zimbabwe: Emmerson Mnangagwa Atangazwa Kushinda Tena Urais

Tume ya Taifa ya Uchaguzi ya Zimbabwe (ZEC) imetangaza, Emmerson Mnangagwa kuwa ametetea Kiti chake kwa 53% ya Kura zilizopigwa....

READ MORE

EWURA Yaridhishwa Na Kazi Ya Utengenezaji Wa Matela Ya Kusafirisha Mabomba Ya Mradi Wa EACOP

Bodi ya Wakurugenzi  wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji nchini (Ewura), imesema kuwa imeridhishwa na utekelezaji...

READ MORE

Waziri Mkuu Majaliwa Atoa Onyo Kwa Watoa Leseni Za Uchimbaji – Video

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa onyo kwa maafisa wanaohusika na utoaji wa leseni za madini kuacha tabia ya kuwazunguka wananchi...

READ MORE

Waziri Mkuu Majaliwa: Serikali Itaendelea Kumuenzi Marehemu Bernard Membe

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Agosti 26, 2023 ameshiriki kwenye ibada ya kumbukumbu ya Marehemu Bernard Membe iliyofanyika katika kijiji cha...

READ MORE

Rais Dkt. Hussein Mwinyi Apongeza Absa Tanzania Kusaidia Juhudi za Kupunguza Vifo vya Mama wajawazito

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Dk Hussein Ali Mwinyi ameipongeza Benki ya Absa Tanzania, kwa...

READ MORE

Washindi Wa Kampeni ya Tigo Chawote Wapewa Chao

Ikiwa ni mwendelezo wa kampeni ya chawote ya Tigo  imekabidhi washindi sita hundi ya milioni moja moja  ofisini kwao Jijini...

READ MORE

Waziri wa Elimu Awakumbusha Wathibiti Ubora wa Shule Kulinda Viwango Vya Utoaji Elimu

Wathibiti Ubora wa Shule nchini wametakiwa kuhakikisha shule zinakuwa na viwango vilivyowekwa na Serikali katika miundombinu, ufundishaji, vitendea kazi na...

READ MORE

Serikali Kuhimiza Ujenzi Kampasi ya Chuo Kikuu cha Agha Khan Arusha

Serikali itaendelea kufuatilia na kuhimiza ujenzi wa kampasi ya Chuo Kikuu cha Agha Khan mkoani Arusha Hayo yamesemwa na Waziri...

READ MORE

ECOWAS Yawaambia Viongozi Wa Mapinduzi Niger Kufikiria Msimamo Wao

Majenerali waliomuondoa madarakani Rais Mohamed Bazoum katika uasi wa Julai 26 wametaja kipindi cha mpito cha miaka mitatu huku Jumuiya...

READ MORE

Rais wa zamani wa Ufaransa Kufikishwa Mahakamani kwa Tuhuma za Rushwa

Rais wa zamani wa Ufaransa, Nicolas Sarkozy atasimama mahakamani mwaka 2025 kwa tuhuma za rushwa na ufadhili haramu unaohusishwa na...

READ MORE

Dk. Alex Malasusa Achaguliwa Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT)

Askofu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk. Alex Malasusa, amechaguliwa Mkuu...

READ MORE

Nchi Sita, Ikiwemo Ethiopia, Zakubaliwa Kujiunga Na Jumuiya Ya BRICS

Jumuiya ya BRICS ya mataifa yanayoendelea kiuchumi ulikubaliana siku ya Alhamisi kuzikaribisha Saudi Arabia, Iran, Ethiopia, Misri, Argentina na Umoja...

READ MORE

TARURA Yaweka Wazi Vipaumbele Vyake Kwa Mwaka wa Fedha wa 2023/24

#Jukumu kubwa la TARURA ni kusimamia ujenzi, ukarabati na matengenezo ya mtandao wa barabara za Wilaya. Serikali ya Awamu ya...

READ MORE

Trump Ajisalimisha Katika Jela ya Kaunti ya Fulton, Aachiliwa kwa Dhamana

Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump, Alhamisi jioni aliwasili katika jela ya kaunti ya Fulton katika mji wa Atlanta,...

READ MORE

Jwtz Watangaza Kiama – ”Salimisheni Sare Za Jeshi Ndani Ya Siku 7 Kwenye Vituo Vya Polisi”- Video

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limetoa ufafanuzi kwa jamii kuhusiana na kadhia inayokinzana na katazo la kisheria...

READ MORE

Sapphire Glass Ltd Yaanza Kuwasha Mitambo ya Uzalishaji wa Vioo Nchini

Ujenzi wa kiwanda cha kisasa cha kutengeneza vioo kilichopo Kijiji cha Mkiu, Wilaya ya Mkuranga, Mkoa wa Pwani umefikia asilimia...

READ MORE

Phiri Aliamsha Kambini Simba Atangaza Vita Kurejee Kikosi cha Kwanza

MSHAMBULIAJI wa Simba Mzambia, Moses Phiri amesema kuwa sasa malengo ni kuhakikisha anapambana ili arejee katika kikosi cha kwanza cha...

READ MORE

Mabaki Yachunguzwa Baada Ya Ajali Ya Ndege Inayohusishwa Na Kifo Cha Yevgeny Prigozhin – Picha

PICHA mpya kutoka eneo la Tver nchini Urusi, ambako wataalamu wa masuala ya dharura na polisi wanachunguza mabaki ya ndege...

READ MORE

Zimbabwe: Serikali Yaongeza Siku Moja Kwenye Zoezi La Kupiga Kura

Utaratibu huo ambao si wa kawaida umefanyika kutokana na baadhi ya Kata zilizopangiwa kukamilisha zoezi hilo kwa siku moja, kuchelewa...

READ MORE

Warepublikan wakabiliana katika mdahalo wa kwanza kwelekea uchaguzi wa rais, Trump aususia

Wanasiasa wanaowania nafasi ya kugombea urais wa Marekani kwa tikiti ya chama cha Republikan walikabiliana kwa maneno makali wakati wa...

READ MORE

Mamlaka ya Urusi: Miili yote ya Abiria wa Ndege Iliyoanguka Yapatikana

HUDUMA za dharura za Urusi zimesema kuwa miili ya abiria wote kumi kwenye ndege ya Embraer Legacy sasa imepatikana. Kiongozi...

READ MORE

Mbunge wa Ngorongoro Aachiwa kwa Dhamana, Ashangaa Kukamatwa Bila Kibali Cha Spika – Video

HATIMAYE Mbunge wa Ngorongoro, Emmanuel Ole Shangai (CCM) ambaye alidaiwa kushikiliwa na polisi tangu ta Agosti 21, 2023 ameachiwa huru...

READ MORE

Urusi: Ndege Anayodaiwa Kupanda Bosi Wa Wagner Group Yapata Ajali Na Kuua Abiria Wote

KIONGOZI wa kundi la Wagner ambaye ni mpinzani mkubwa wa Rais Vladimir Putin wa Urusi anahofiwa kufariki katika ajali ya...

READ MORE

Vodacom Yazindua Mikopo Ya Kidijitali Kupitia Kampeni Ya ‘Maisha Ni Kujiongeza na M-Pesa’

Kampuni ya teknolojia na mawasiliano, Vodacom Tanzania PLC, kupitia huduma yake ya M-Pesa, imezindua kampeni ijulikanayo kama ‘Maisha ni Kujiongeza...

READ MORE

Tigo Wampa Milioni Tano Mteja Wao Wa Kampeni Ya “Chawote”

Lovenes Conrad Malias Mkazi wa Mbezi Kibanda Cha Mkaa Jijini Dar Es Salaam ni miongoni mwa washindi wa Milioni TANO...

READ MORE

Wananchi wa Lindi Washukuru Kujengwa Kampasi ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam

Wananchi wa Mkoa wa Lindi wameishukuru Serikali baada ya kutangaza rasmi kuanza kwa ujenzi wa Kampasi ya Chuo Kikuu cha...

READ MORE

ACT Kimeshangazwa na TFF Kukataza Mchezaji Kuingia Mkataba Binafsi na Mshindani wa Ligi

Kufuatia taarifa ya Bodi ya Ligi juu ya maboresho ya kanuni ambapo imeweka marufuku kwa mchezaji kuingia mkataba binafsi wa...

READ MORE

Rais wa Marekani kuhudhuria mkutano wa G20 nchini India

Rais wa Marekani Joe Biden atahudhuria Mkutano wa mataifa yenye nguvu za kiuchumi duniani, G20, mjini New Delhi, India, lakini...

READ MORE

Raia Wa Zimbabwe Wanapiga Kura Katika Uchaguzi wa Urais na Ubunge Leo

Raia wa Zimbabwe  leo Jumatano Agosti 23,  2023 wanapiga kura katika uchaguzi wa urais na ubunge baada ya kampeni iliyotawaliwa...

READ MORE

Mchungaji Lusekelo Awavaa Maaskofu Katoliki, Awataka Wakae Kimya – Video

MCHUNGAJI wa Kanisa la Maombezi jijini Dar es Salaam (GRC), Antony Lusekelo ameukosoa waraka wa Baraza la Maaskofu Katokili Tanzania...

READ MORE

Chongolo Afanya Mazungumzo na Kansela wa Chama Cha Kikomunisti Cha China

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Godrefy Chongolo, amekutana kwa ajili ya mazungumzo na Kansela wa Chama...

READ MORE

Mbinu Unazoweza Kuzitumia Kufaulu Masomo ya Chuo Kikuu kwa Urahisi

  Kila kijana aliyefanikwa kufika ngazi ya Chuo Kikuu katika masomo yake hutamani kufaulu vizuri ili aweze kupata ajira nzuri...

READ MORE

Rais Wa Indonesia Afanya Ziara Ikulu Ya Dar, Miradi Mikubwa Yasainiwa (Picha +Video)

Rais Samia Suluhu Hassan amemkaribisha Rais wa Indonesia, Joko Widodo katika Ikulu ya Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya...

READ MORE