×

Habari

Miaka Kumi Na Sita Ya Mafanikio Ya Simu Za Samsung Galaxy 

Kwa zaidi ya miaka kumi na sita, simu za Samsung Galaxy S zimepitia mabadiliko makubwa. Galaxy S ya kwanza ilizinduliwa...

READ MORE

Burkina Faso Yashirikishwa Mbinu Bora za Utunzaji Mazingira na Ufugaji Migodi Tanzania

Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Afrika, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Bi. Ellen Maduhu, amekutana na...

READ MORE

Aggy Simba Aibua Mjadala Kuhusu Hatma ya Simba Msimu Huu – Video

Shabiki wa soka nchini, Aggy Simba ameeleza kuwa Simba hii ni Simba ambayo ipo vibaya kwa msimu huu. Sababu zinazoweza...

READ MORE

Marekani Kuunga Mkono Shambulio la Israel Vs Iran, Mazungumzo ya Nyuklia Yafeli

  Rais wa Marekani Donald Trump alimwambia Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu mwezi Desemba kwamba angeunga mkono mashambulizi ya...

READ MORE

Exim Yatangaza Washindi wa Kampeni ya ‘Chanja Kijanja, Dili Ndio Hili’ na Kufanya Makabidhiano ya Zawadi

Benki ya Exim Tanzania imehitimisha rasmi kampeni yake ya ‘Chanja Kijanja, Dili Ndio Hili’ kwa hafla ya kukabidhi zawadi kwa...

READ MORE

Mawaziri Wakutana Lushoto Kutafuta Suluhu ya Migogoro ya Wananchi Tanga

  Mawaziri saba (7) wa kisekta  wakiwa na mwenyeji wao ambaye ni Waziri  wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu-TAMISEMI Mhe. ...

READ MORE

Mwanasheria Mkuu wa Serikali Aongoza Zoezi la Kutoa Huduma za Kisheria Kwa Wananchi

Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mhe. Hamza S. Johari amewaongoza Mawakili wa Serikali kutoa huduma za ushauri wa Kisheria kwa wananchi...

READ MORE

Video: Ghasia Zaibuka Israel, Waandamanaji Wakabiliana Na Polisi

    Ghasia kubwa zililipuka katika mji wa Bnei Brak, Israel, baada ya waandamanaji wa jamii ya Kiyahudi wa Kiharedi...

READ MORE

Bolt Yatoa Ufafanuzi Kuhusu Kamisheni Na Punguzo La Nauli Kwenye Mfumo Wake 

Dar es Salaam, Februari 16, 2026, Kampuni inayoongoza kwa huduma za usafiri mtandao nchini, Bolt, imekutana na waandishi wa habari...

READ MORE

Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba Akagua Mradi wa Maji – Korogwe, Tanga

WAZIRI MKUU Dkt Mwigulu Nchemba amekagua Mradi wa Maji wa Miji 28 unaoendelea kujengwa wilayani Korogwe mkoani Tanga kwa thamani...

READ MORE

Arsenal Yasasa Sio Ajali, Ni Kiwango Bora Walichonacho

Je unajua kuwa Arsenal mpaka hapa walipofika si kwa bahati mbaya?. Haya ni matokeo ya uwekezaji mkubwa ambao wamefanya kwenye...

READ MORE

RC Chalamila Azindua Kliniki ya Sheria Jijini Dar es Salaam

Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali kwa kushirikiana na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, imezindua Kamati...

READ MORE

Fahamu Maajabu ya Bentley: Magari ya Kifahari Yanayovutia Wapenzi wa Kasi

Bentley Continental GT inatengenezwa na Bentley Motors, kampuni ya magari ya kifahari yenye makao yake makuu huko Crewe, Uingereza. Kwa...

READ MORE

Diamond Ashangaza Mashabiki kwa Kumpongeza Kiredio na Vee Dollarz

Msanii nyota wa Bongo Fleva na Mkurugenzi Mtendaji wa WCB Wasafi, Diamond Platnumz, ameshangaza mashabiki wake baada ya kumpongeza mtangazaji...

READ MORE

NMB Yaitangaza Sekta ya Madini ya Tanzania Nchini Afrika Kusini

Waziri wa Madini wa Tanzania, Anthony Mavunde, akizungumza wakati wa Kongamano la Uwekezaji katika Mnyororo wa Thamani wa Madini Tanzania,...

READ MORE

Rais Samia Awasili Zanzibar Baada ya Kushiriki Mkutano wa AU

Rais wa Samia Suluhu Hassan, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewasili Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Abeid Amani Karume...

READ MORE

TRA Yaanza Kutekeleza Maagizo ya Rais Samia Karatu

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeanza kuchukua hatua ya utekelezaji wa maagizo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...

READ MORE

Dkt. Mwigulu Aweka Jiwe La Msingi Ujenzi Wa Chuo Kikuu Mzumbe, Kampasi Ya Tanga

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Februari 15, 2026 ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa miundombinu ya Chuo Kikuu...

READ MORE

Rais Dkt. Samia Aondoka Addis Ababa Baada ya Kushiriki Mkutano wa AU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiondoka Kiwanja che Ndege cha Kimataifa cha Bole, Addis...

READ MORE

Polisi Inawasaka Waliomrekodi Mtoto Akivuta Sigara

Jeshi la Polisi limeanza uchunguzi baada ya kusambaa kwa picha mjongeo mtandaoni inayomuonesha mtoto mdogo wa kiume akihamasishwa kuvuta sigara....

READ MORE

Airtel Yafungua Maduka 4 ya Kisasa Mkoani Arusha 

Arusha. Kampuni ya Airtel Tanzania imefungua maduka manne mapya ya Smart Shop katika Jiji la Arusha ikiwa ni sehemu ya...

READ MORE

Yanga Yaanza Safari ya Historia kwa Ujenzi wa Uwanja Mpya

Yanga SC imetangaza rasmi kuanza mchakato wa kujenga uwanja wake wa kisasa baada ya kumaliza mchakato wa zabuni na kuchagua...

READ MORE

Msajili Atangaza Uchaguzi wa CUF 2024 Batili, Aagiza Urudiwe

Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini imetangaza kuwa matokeo ya Uchaguzi wa Viongozi wa Kitaifa wa Chama cha...

READ MORE

Mvutano wa Nyuklia Wazidi Kupamba Moto Kati ya Washington na Iran

Rais wa Marekani, Donald Trump, siku ya Ijumaa alikiri kuwa mabadiliko ya utawala nchini Iran yanaweza kuwa hatua muhimu, akisema...

READ MORE

Rais Mstaafu Kikwete Ashiriki Ufunguzi wa Mkutano wa AU Addis Ababa

Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, katika nafasi zake za Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Elimu Duniani – Global...

READ MORE

Waziri Mkuu Akagua Mradi wa Maji Kwamaligwa – Kilindi, Tanga

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Februari 14, 2026 amekagua mradi wa maji wa Kwamaligwa uliopo wilaya ya Kilindi Mkoani...

READ MORE

Meridianbet Yatoa Fimbo za Kutembelea kwa Watu Wasioona Dar

Meridianbet Tanzania imeandika historia nyingine ya uwajibikaji kwa jamii kwa kukabidhi msaada wa fimbo za kutembelea kwa watu wenye ulemavu...

READ MORE

Bahati Inapenda Wenye Ujasiri, Bashiri Sasa na Meridianbet

Siku ya leo huenda ikawa ni bahati kwako endapo ukibashiri na Meridianbet ambao ndio wakali wa ubashiri Tanzania. Bahati hii...

READ MORE

Meridianbet Yajivunia Miradi Zaidi 500 Ya Ustawi wa Jamii

Katika hafla ya chakula cha usiku ya American Chamber of Commerce (AmCham Tanzania), Meridianbet ikisimama kama moja ya washiriki wakubwa...

READ MORE

Serengeti Apple Yaongoza Shamrashamra Za Siku Ya Valentine  Dar 

Serengeti Breweries Limited (SBL) imeendelea kuimarisha mkakati wake wa ubunifu wa kupitia Serengeti Premium Apple  kinywaji chake kipya kilichotengenezwa hapa...

READ MORE

Rais Samia Akishiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi wa Umoja wa Afrika 2026 – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameshiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi wa Umoja wa...

READ MORE

Rais Samia Afanya Mazungumzo na Waziri Mkuu wa Ethiopia, Abiy Ahmed

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa Ethiopia, Abiy Ahmed,...

READ MORE

Rich Mitindo Amzawadia Jackline Wolper Magari Mawili ya Kifahari Valentine

Mfanyabiashara na mwanamitindo maarufu, Rich Mitindo, amewaacha wengi midomo wazi baada ya kumzawadia mke wake, Jackline Wolper, magari mawili ya...

READ MORE

Kamati ya Bunge; OSHA Italipunguzia Taifa Mzigo wa Fidia na Matibabu

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii imesema utekelezaji madhubuti wa majukumu ya Wakala wa Usalama...

READ MORE

Kwaresma 2026: Ratiba Rasmi ya Jumapili, Alhamisi Kuu na Pasaka… Ipo Hapa

Safari ya Kwaresma ni kipindi cha toba, sala na tafakari kinachoandaa waumini kuadhimisha Ufufuko wa Kristo. Hiki ni kipindi muhimu...

READ MORE

Rais Dkt. Samia Awasili kwenye Mkutano wa Kamati ya Wakuu wa Nchi na Serikali wa Afrika

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye Mkutano wa Kamati ya Wakuu wa Nchi...

READ MORE

Waziri Mkuu Mwigulu Akagua na Kufungua Jengo la ICU Handeni

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Februari 13, 2026, amekagua na kufungua Jengo la ICU katika Hospitali ya Halmashauri ya...

READ MORE

Rais wa CAF Awasili Tanzania Kuhudhuria Mkutano Muhimu wa Soka

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), Dkt. Patrice Motsepe, amewasili rasmi nchini Tanzania asubuhi ya leo kwa...

READ MORE

Mwanasheria Mkuu wa Serikali “Tunasogeza Huduma za Kisheria Karibu Zaidi na Wananchi”

Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mhe. Hamza S. Johari ametoa wito kwa wananchi wa mkoa wa Dar es Salaam kujitokeza kwa...

READ MORE

Shigongo Awahimiza Vijana Kujiamini na Kutumia Vipaji vyao Kujiletea Maendeleo – Video

Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, amewataka vijana wa Kitanzania kujiamini na kuthamini vipaji walivyopewa, akisisitiza kuwa kila mmoja ana uwezo...

READ MORE