×

Habari

MCHUNGAJI MATATANI KIFO CHA KIBONDE

MCHUNGAJI wa Kanisa la Emmaus Bible Church, Mbezi Luis jijini Dar, Daudi Mashimo amejikuta mikononi mwa poli­si baada ya kuzungumzia...

READ MORE

SIMANZI! MWANAFUNZI AFA AKIOGELEA

MBEYA: Simanzi ilita­wala baada ya Samwel James Chacha (25) ambaye ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu wa Chuo cha Ualimu...

READ MORE

MAKONDA AMPELEKA INDIA KUTIBIWA, MSANII PASCAL CASSIAN – VIDEO

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda ametimiza ahadi ya kusaidia gharama za matibabu ya mshindi wa...

READ MORE

Mbunge Amtosa Maalim Seif Mchana Kweupe, Amfuata Prof. Lipumba – Video

Mbunge wa Mchinga, Hamidu Bobali ambaye awali alikuwa akimuunga mkono Maalim Seif Sharif Hamad ndani ya CUF, sasa ametangaza kumuunga...

READ MORE

Museveni amwandikia Kagame kuhusu mgogoro kati yao

RAIS wa Uganda, Yoweri Museveni, amemwandikia barua Rais wa Rwanda, Paul Kagame, kuhusu madai ya kuwepo waasi wa Rwanda nchini...

READ MORE

THERESE: Binti aliyedaiwa kumla nyama bibi yake!

“BIBI alikuwa anaumwa sana, kwa bahati mbaya akafariki. Nilikuwa nikiishi na baba na mama yangu pamoja na bibi pamoja na...

READ MORE

BREAKING: Prof. LIPUMBA amuonya Maalim Seif na Kundi Lake – VIDEO

Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, amesema chama hicho hakitawavumilia wanaopora mali za chama hicho na kuzihamishia...

READ MORE

Miji 10 Yenye Gharama Kubwa Zaidi Kuishi Duniani

  PARIS ndio mji ulio na gharama kubwa zaidi duniani kimaisha, ukifuatiwa na Hong Kong na Singapore.   Ni mara...

READ MORE

Lipumba: Maalim Seif Ataiongezea ACT-Wazalendo ‘Damu Yenye Virusi’ – VIDEO

MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Haruna, amesema aliyekuwa Katibu Mkuu wa chama hicho, Seifa Sharif Hamad, amekwenda...

READ MORE

BREAKING: ZITTO AMKABIDHI KAZI MAALIM SEIF – VIDEO

KIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe,  amemkabidhi maalim Seif Hamad kadi namba moja ya chama hicho ambayo imeshalipiwa kwa...

READ MORE

Rais Msumbiji asema watu 1,000 wamefariki kwa kimbunga Idai

  IDADI ya watu waliofariki kutokana na kimbunga Idai nchini Msumbiji sasa huenda ikawa ya juu na kufikia watu 1,000...

READ MORE

Masauni Aagiza Trafiki Waliomshambulia Dereva na Abiria Wawajibishwe

NAIBU Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni ameonesha kukerwa na kitendo cha askari wa wawili wa...

READ MORE

Mo avunja benki

WANANUKA fedha! Ndiyo utakavyoweza kusema kwa wachezaji wa Simba baada ya kupewa shilingi milioni 300 na mwekezaji wao bilionea, Mohammed...

READ MORE

MASAUNI AIOMBA PUMA KUSAIDIA UTOLEWAJI ELIMU YA USALAMA BARABARANI 

  MAFUNZO ya elimu ya usalama barabarani yanayotolewa na Kampuni ya Mafuta ya Puma Energy Tanzania kwa wanafunzi wa shule...

READ MORE

KAULI YA DK MASHINJI BAADA YA MAALIM SEIF KUTIMKIA ACT WAZALENZO

Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk Vincent Mashinji amempongeza aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi...

READ MORE

BREAKING NEWS: Maalim Seif Atangaza Kuhamia ACT-Wazalendo – Video

ALIYEKUWA Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad,  leo Jumatatu Machi 18, 2019, ametangaza yeye, viongozi...

READ MORE

PEMBA: OFISI ZA CUF ‘ZABADILISHWA’ KUWA ZA ACT-WAZALENDO

TASWIRA katika Chama cha Wananchi (CUF) inazidi kunoga! Hivi ndivyo unavyoweza kusema kufuatia baadhi ya ofisi za chama hicho Zanzibar...

READ MORE

Mahakama Kuu ‘Yazipiga Pini’ Mali za Yusuf Manji

MAHAKAMA Kuu imezuia mali za mfanyabiashara maarufu nchini, Yusuph Manji, kutokana na madeni anayodaiwa na Benki ya NBC.   Manji anadaiwa...

READ MORE

MGOMO WA MADREVA WATIKISA MBEYA

  Madereva wa daladala jijini Mbeya wamegoma kusafirisha abiria kuanzia alfajiri ya leo Jumatatu, Machi 18, 2019 kwa kile walichokilalamikia...

READ MORE

UKITAKA KUFUNGUA HUDUMA YA CARTERING, FUATA HATUA HIZI RAHISI

  Miongoni mwa huduma ambazo zimekuwa kimbilio la wajasiriamali wengi, ni huduma ya kutoa huduma ya vyakula kwenye sherehe au...

READ MORE

Breaking: Prof Lipumba Ashinda Kesi, Sasa Ni Mwenyekiti Halali wa CUF

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam leo, Machi 18, 2019,  imetoa hukumu inayotambua Profesa Ibrahim Haruna Lipumba kuwa Mwenyekiti...

READ MORE

Benki ya NBC yanogesha uzinduzi wa Shika Ndinga ya EFM Redio

    BENKI ya NBC imesema itaendelea kusogeza huduma zake karibu zaidi na wananchi ili kuweza kukidhi mahitaji ya wale...

READ MORE

PM Majaliwa Azindua Soko la Dhahabu Geita, Atoa Onyo

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ametoa tahadhari kwa wadau wote wa madini kuwa atakayekamatwa anatorosha madini, atachukuliwa hatua za kisheria ikiwemo...

READ MORE

Matola Aanika Alivyoibana Yanga

KOCHA Msaidizi wa Lipuli, Selemani Matola, amesema kuwa alitumia CD za Yanga kuwasoma mbinu zao pamoja na uzoefu alionao kwenye...

READ MORE

Kimbunga ‘Idai’ Chaua Watu 65 – Picha 12

  WATU 65 wamekufa mashariki mwa Zimbabwe kutokana na eneo hilo kukumbwa na kimbunga kiitwacho Ida. Kati ya watu waliopoteza...

READ MORE

Kangi Lugola Awapima Madereva Walevi Moro

WAZIRI wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola amefanya operesheni kubwa ya kukagua na kupima ulevi wa pombe kwa madeveva wa...

READ MORE

Polisi Yaua Jambazi Tanga

JESHI la Polisi wilayani Muheza mkoani Tanga limemuua kwa kumpiga risasi Mkazi wa Dar es Salaam, Mwinyiheri Nuhu, likidai alikuwa...

READ MORE

Masau Bwire: OCS Aridhiki Anastahili Pongezi

  OCS Aridhiki, wa kituo cha polisi, Tabata, Dar Es salaam, anastahili pongezi, ni mfano wa kuigwa, ana kasi inayoendana...

READ MORE

BREAKING NEWS: NASSARI AFUNGUKA “NAKWENDA MAHAKAMANI”

  Aliyekuwa Mbunge wa Arumeru Mashariki (Chadema), Joshua Samwel Nassari amefunguka juu ya kuvuliwa ubunge kwa kudaiwa kutoshiriki vikao vya...

READ MORE

ARDHI KUSAJILIWA KIELEKTRONIKI KWA SHILINGI 5,000

  WIZARA ya Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi imezindua rasmi mpango wa kutambua na kusajili kila kipande cha ardhi kwa...

READ MORE

TFS YAHIMIZA WATANZANIA KUTUNZA MISITU KWA AJILI YA VIZAZI VYA SASA NA VIJAVYO

WAKALA wa Huduma za Misitu Tanzania(TFS) umewahimiza Watanzania kutunza misitu kwa ajili ya kizazi cha sasa na kijacho huku ikifafanua...

READ MORE

RAY C ATOA SABABU KUTOMZIKA RUGE

VUNJA ukimya! Sexy lady wa Bongo Fleva, Rehema Yusuf Chalamila ‘Ray C’ ametaja sababu ya kutomzika Mkurugenzi wa Vipindi na...

READ MORE

QNET yatoa fursa ya ‘kufanya kazi kwa bidii na kuleta mabadiliko chanya’

Machi 16, 2019, Dar es Salaam: Kampuni yenye asili ya Asia ya mauzo ya moja kwa moja QNET imeendesha maonyesho...

READ MORE

WOLPER KWENYE MAOMBI MAZITO TAMASHA LA DAUGHTERS OF ZION – PICHAZ

MSANII maarufu wa filamu nchini, Jacquiline Wolper ameungana na mastaa wenzake, waumini na wananchi wengine kuhudhuria katika Tamasha la Daughters of...

READ MORE

JPM AWASHTUKIZA MAGEREZA UKONGA, AFANYA MAAMUZI MAGUMU – VIDEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 16 Machi, 2019 amefanya ziara ya kushtukiza...

READ MORE

Aliyeua Watu 49 New Zealand Jana, Afikishwa Mahakamani

Mshukiwa namba moja wa shambulio la kigaidi lililotokea jana nchini New zealand jijini Christchurch, na kuua watu 49, Brenton Terrant...

READ MORE

Profesa Lipumba amtangaza mrithi wa Maalim Seif CUF

Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba amemtangaza Khalifa Suleiman Khalifa kuwa katibu mkuu wa chama hicho.   Mbali na Khalifa,...

READ MORE