×

Habari

Washindi 15 wapatikana promosheni ya Tia kitu pata vituz na DStv!  

  Kampuni ya MultiChoice nchini kupitia king’amuzi chake cha DStv imechezesha droo yake ya tatu ya promosheni ya “Tia kitu,...

READ MORE

KAMATI YA BUNGE YAKAGUA MRADI WA UPANUZI  JENGO LA UTAWALA DUCE

  Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii imeiagiza serikali kuhakikisha inafanikisha upatikanaji wa kiasi cha...

READ MORE

Breaking News: Spika Ndugai Amvua Ubunge Joshua Nassari

Spika wa Bunge, Job Ndugai leo Alhamisi, Machi 14, 2019, amemvua Ubunge, Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari (CHADEMA), baada...

READ MORE

VIJANA WA UMRI CHINI YA MIAKA 25 HATARINI KUAMBUKIZWA VVU

  UWEZEKANO wa vijana walio chini ya umri wa miaka 15 hadi 24 kushindwa kutimiza ndoto zao za maisha ni...

READ MORE

Kampuni ya Boeing yasitisha matumizi ya ndege zote za 371

  KAMPUNI ya kutengeneza ndege ya Boeing ya Marekani iliyotengeneza ndege ya shirika la ndege la Ethiopia iliyoanguka hivi karibuni,...

READ MORE

Mbowe Yamkuta Majanga Mengine

SIKU chache baada ya kutoka mahabusu, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, amekumbana na pigo lingine...

READ MORE

LISSU AFUTIWA MSHAHARA NA POSHO ZAKE BUNGENI – VIDEO

MBUNGE wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu amethibitisha kuwa Uongozi wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia kwa...

READ MORE

HII NDO ‘PITCH HATARI’ YA SOKA ITAKAYOJENGWA DODOMA

Rais Magufuli amekutana na kufanya mazungumzo na timu ya wataalamu wa Tanzania na Misri wanaoshughulikia ujenzi wa uwanja wa michezo...

READ MORE

MACHOZI! KILICHOMPATA MTOTO HUYU LAZIMA ULIE !

MACHOZI! Unajiona una matatizo? Taarifa ikufikie kuwa, humu duniani kuna watu wanateseka zaidi yako na kama ukisikia mikasa yao, lazima...

READ MORE

BABA MATATANI UBAKAJI WA MWANAYE

DAR ES SALAAM: AMA kweli dunia imekwisha! Wakati wazazi wengi wakiaminika kuwalea watoto katika maadili mema hali imekuwa tofauti kwa...

READ MORE

Jengo la shule laanguka, laua wanafunzi wanane

 WATOTO zaidi ya wanane wamefariki na wengi kujeruhiwa na kunasa katika mabaki ya jengo la shule lililoanguka jijini Lagos, Nigeria....

READ MORE

Mamia Wamuaga Rubani Yared Aliyekufa Kwenye Ndege ya Ethiopia

MAMIA ya waombolezaji wamehudhuria ibada ya mazishi ya kiislam ya rubani mwenye umri wa miaka 29 , Yared Mulugeta Gatechew,...

READ MORE

JPM Akutana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje Wa Urusi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje...

READ MORE

TABORA: Wanawake Wajiekea Tumbaku Ukeni Kupunguza Hamu ya Ngono

  WANAWAKE mkoani Tabora wamekuwa wakitumia tumbaku  na ugoro ambayo huiweka sehemu za siri ili kupunguza hamu ya tendo la...

READ MORE

Breaking: Lipumba Apitishwa Kugombea Uenyekiti CUF

  BARAZA Kuu la Chama cha Wananchi (CUF) leo limewapitisha wanachama watatu wa chama hicho akiwamo Profesa Ibrahim Lipumba kugombea...

READ MORE

Kadinali aliyelawiti watoto ahukumiwa kwenda Jela

  JJI Mkuu wa mahakama moja nchini Australia, Peter Kidd, amemhukumu kifungo cha miaka sita gerezani Kardinali George Pell baada...

READ MORE

Serikali Yatoa Onyo Kwa Magazeti ya Mwananchi

SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, imetoa onyo kwa magazeti ya Mwananchi na The Citizen kwa kuyataka yajitafakari kwa...

READ MORE

Wabakaji Waachiwa Huru, Sababu? Sura ya Aliyebakwa Haivutii!

WANAUME wawili waliachiliwa huru na mahakama ya Italia kwa makosa ya kumbaka mwanamke, baada ya majaji kuamua kuwa mwathirika ana...

READ MORE

ADAIWA KUMCHOMA VISU MWENZAKE, AMSUBIRIA AFE!

UKIULIZWA ‘Kwa nini umemchoma kisu mwenzio na kumuua?’ Na ukagundua kuwa kosa lake lilikuwa ni kuvaa raba zako nyeusi za...

READ MORE

VIFO VYA WANAHABARI CHANZO CHATAJWA

MSIBA mbichi ni wa mwanahabari nguli nchini, Ephraim Samson Kibonde (47) ambaye alifariki dunia ghafla Machi 7, mwaka huu na...

READ MORE

Spika Ndugai Awakaribisha Mbowe na Matiko Bungeni

SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amemkaribisha Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe kuendelea na shughuli...

READ MORE

Polisi Yaua Majambazi Watatu Kigoma

JESHI la Polisi Mkoani Kigoma limefanikiwa kuua majambazi watatu kati ya watano waliofanya tukio la unyanganyi wa kutumia silaha za...

READ MORE

RC Aggrey Mwanri Azindua Jukwaa la NAWEZA Tabora

  Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanri leo amezindua jukwaa la “NAWEZA” litakalolenga kutoa elima ya Afya kwa wananchi...

READ MORE

Polisi vs ‘CUF ya Lipumba’ Hapatoshi

MKUTANO Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), upande wa Profesa Ibrahim Lipumba, umesimama baada ya kutokea kutoelewana baina ya viongozi...

READ MORE

VIFO VYA RUGE, KIBONDE FUNZO KUBWA

DAR ES SALAAM: FUNZO kubwa! Ndiyo kauli iliyosikika ka­tika vinywa vya wengi, kuelezea vifo vya Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji...

READ MORE

ZAMBI ATAJA UTAJIRI WA LINDI KWENYE UWEKEZAJI

Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi  amesema mkoa wake una utajiri mkubwa katika sekta ya uwekezaji na una fursa...

READ MORE

BAD NEWS: MAFURIKO YAUA 28

IDADI ya watu waliokufa kutokana na mvua kubwa zilizosababisha mafuriko Kusini mwa Malawi imefikia watu 28. Taarifa ya Wizara ya...

READ MORE

HII SIYO YA KUKOSA KUTOKA DSTV, TIA KITU PATA MAVITU!

Njoo tukupe“Step Up” offer jiongeze kwa kulipia kifurushi cha DStv cha juu ya utumiacho sasa kisha DStv watakupatia kifurushi cha...

READ MORE

Moto Wateketeza Mali za Mamilioni Sokoni

  WAFANYABIASHARA wanahesabu hasara baada ya mali ya thamani isiyojulikana kuteketea kwa moto usiku wa kuamkia leo (Jummane) alfajiri katika...

READ MORE

AJIFUNGUA WATOTO WANNE KWA MPIGO, AMLILIA JPM – VIDEO

BINTI wa miaka 24, Radhia Solomon,  mkazi wa Mtaa wa Chemchemi, Magomeni-Mapipa jijini Dar es Salaam, ambae amejifungua watoto wanne...

READ MORE

HATIMAYE ZIDANE AREJEA REAL MADRID

KLABU ya Real Madrid imemtangaza Zinedine Zidane kuwa Kocha Mkuu wa Klabu hiyo ikiwa ni miezi 10 tu tangu Mfaransa...

READ MORE

UBA YASHEREHEKEA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI KWA KUTOA MISAADA HOSPITALI YA TEMEKE

      Benki ya United Bank for Africa Tanzania (UBA) imesherehekea siku ya wanawake duniani kwa kutoa msaada wa...

READ MORE

MANARA: STORI NCHI NZIMA NI SIMBA, LABDA AFE MTU MKUBWA- VIDEO

MSEMAJI wa Timu ya Soka ya Simba Haji Manara amewataka mashabiki wa Simba kuja kwa wingi katika Uwanja wa Taifa...

READ MORE

Uzinduzi wa Jukwaa la Mawasiliano ya Afya Kwa Watu Wazima

SERIKALI ili kupunguza vifo vya uzazi Mama na Mtoto ikishirikiana na Mradi wa USAID Tulonge Afya fhi 360  imezindua Jukwaa...

READ MORE

China Yasimamisha Matumizi ya Boeing 737 Max 8

  CHINA imesimamisha mashirika yake ya ndani kutumia ndege aina ya Boeing 737 Max 8 kufuatia ajali mbili za ndege...

READ MORE

NMB yazindua ‘Floti Fasta’ kwa Mawakala wao

  VINARA wa huduma za kibenki nchini, Benki ya NMB, wamezindua huduma ya kidijitali ya kuwawezesha Mawakala wa NMB kupata...

READ MORE

HUKU JPM AKIIBUA ISHU YA MO MKURUGENZI DAR ATEKWA SAA 5,700

INATISHA! Wale watu wasiojulikana wanadaiwa kumteka mkurugenzi na mmoja wa wamiliki wa kampuni maarufu ya kusambaza vifaa tiba jijini Dar...

READ MORE

MAMA SAMIA AKWEA PIPA KUMWAKILISHA JPM SUMMIT

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan anaondoka nchini leo kuelekea Kampala, Uganda kushiriki...

READ MORE

KWA MATESO HAYA NINAYOPATA, BABA DIAMOND: BORA NIFE TU!

NI bora nife tu kwa mateso haya! Baba mzazi wa mwanamuziki kiwango wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Abdul...

READ MORE