×

Habari

Mwigulu Kutumbuliwa: Zitto, Polepole, Nape, Lema, Mtatiro Watoa Neno

BADA ya Rais Magufuli kutangaza mabadiliko madogo katika Wizara kadhaa na aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani Mwigulu Nchemba kuachwa,...

READ MORE

Breaking News: Kangi Lugola Ateuliwa Kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani

Rais John Magufuli leo amemteua aliyekuwa Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais – Mazingira, Kangi Lugola, kuwa Waziri wa...

READ MORE

WATU 20 WAFARIKI MBEYA KONTENA LIKIANGUKIA DALADALA

WATU 20 wamefariki dunia na wengine 45 kujeruhiwa leo, Jumapili, Julai 1, 2018 eneo la Mbalizi, Mbeya, ambapo lori lenye...

READ MORE

RAIS MAGUFULI ASALI IBADA KANISA LA MTAKATIFU PETRO JIJINI DAR -VIDEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo Julai 1, 2018 ameungana na waumini wengine kusali...

READ MORE

Ratiba ya Mashindano Miss Tanzania 2018

Kampuni ya The Look Company Limited chini ya Mkurugenzi, Basilla Mwanukuzi  wasimamizi wapya wa Miss Tanzania baada ya kukabidhiwa na  Kampuni...

READ MORE

HAIJAWAHI KUTOKEA, TSH. 800/= TU INAKUPA PIKIPIKI MPYAAA!

#TusuaMaishaNaGlobal,☝🏿 mambo ni moto…🔥🔥🔥 🔥 Global Publishers kama kawaida yetu tunaendelea kujujali msomaji wetu… baada ya kutoa nyumba mpya na...

READ MORE

MAZISHI YA MKE,MUME WALIOJIUA KWA MOTO JIPYA LAIBUKA

KIBAHA: Wakati tukio la mume, Hussein Zaid (58) na mke wake mdogo, Zainabu Juma (42) wakazi wa Mtaa wa Kilimahewa,...

READ MORE

World Cup: Argentine Out, Mpappe Aipeleka Ufaransa Robo Fainali

TIMU ya Taifa ya Ufaransa imefanikiwa kutingahatua ya Robo Fainali ya Kombe la Dunia nchini Urusi jioni hii baada ya...

READ MORE

NHC MNA JUKUMU LA KUWAFIKIA WATU WA CHINI -MAJALIWA   

  WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) lina jukumu kubwa la kuhakikisha sekta hiyo inakua...

READ MORE

Lori la Mafuta Laacha Njia na Kuanguka Buguruni – Pichaz

AJALI mbaya ya lori la mafuta (oil ya kuchanganyia na diesel) limeacha njia na kupinduka katika eneo la Buguruni Sheli jijini...

READ MORE

MAKONDA ATANGAZA AJIRA KWA JKT, MGAMBO

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda,  amewataka vijana waliomaliza mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) na...

READ MORE

Malima Afunguka Tajiri Kuwapiga Risasi Usalama wa Taifa – Video

KUFUATIA tukio la mmiliki wa mabasi ya ‘Zacharia’, Peter Zacharia kushikiliwa na vyombo vya dola mkoani Mara kwa tuhuma za...

READ MORE

Breakings: Mmiliki Mabasi ya Zacharia Awapiga Risasi Usalama wa Taifa

MMILIKI wa mabasi ya ‘Zacharia’,  Peter Zacharia,  anashikiliwa na vyombo vya dola mkoani Mara kwa tuhuma za kuwapiga risasi maofisa...

READ MORE

Mbunge Aponda Sera za Trump

Mbunge wa Congress, Pramila Jayapal. RAIS  Donald Trump wa Marekani ameshutumiwa na mbunge wa baraza la Congress,  Pramila Jayapal kuhusu sera zake...

READ MORE

FCS YAWAOMBA WATANZANIA KUSHIKAMANA

  Watanzania wametakiwa kuwa na moyo wa kutoa kwa kusaidiana wenyewe ndani ya jamii na hata katika kuendeleza huduma mbalimbali...

READ MORE

Kamanda Muroto: Siyo Tu Kwa Kipigo cha Mbwa Koko Bali…..! – Video

KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Dodoma, SACP Gires Muroto amesema kauli yake ya Watapata Tabu Sana na Kipigo cha Mbwa...

READ MORE

JPM Aagiza Pesa za Sherehe Zijenge Barabara – Video

RAIS Dkt. John Magufuli ameagiza shilingi milioni 308 zilizotengwa kwa ajili ya maadhimisho ya siku ya kumbukumbu ya Mashujaa, zitumike...

READ MORE

MAKONDA: WANAOTUMIA WATOTO YATIMA, WALEMAVU KAMA KITEGA UCHUMI KUKIONA

  MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ametangaza vita na watu wenye tabia za kuwachukua watoto yatima,...

READ MORE

MWIJAGE  AWATAKA WAFANYABIASHARA KUZALISHA BIDHAA ZENYE TIJA

WAZIRI wa viwanda, biashara na uwekezaji, Charles Mwijage amewataka wafanyabiashara nchini kuzalisha kwa viwango na tija kulingana na viwango vya...

READ MORE

Muroto; Muasisi wa Msemo ‘Watapata Tabu Sana’ Mnayenyoosha Masela!

HIVI karibuni nikiwa naangalia mashindano ya Kombe la Dunia kati ya Ureno na Iran, shabiki mmoja wa Timu ya Ureno...

READ MORE

Tigo yatoa ofa simu za kisasa zenye vifurushi vya intaneti maonyesho ya sabasaba

  KAMPUNI inayoongoza kwa mageuzi ya kidigitali ya Tigo ambayo ndiyo mdhamini mkuu wa mawasiliano katika Maonyesho  ya Kimataifa ya...

READ MORE

Maradona Kutoa Dola Mil 10 Atakayefanikisha Kumnasa Aliyemzushia Kifo

Nyota wa zamani wa timu ya taifa ya Argentina Diego Maradona ametangaza ofa ya dola 10,ooo za Marekani (sawa na...

READ MORE

SERIKALI YATENGA 4.3bn/- KUJENGA VITUO VYA KUHIFADHI DAMU SALAMA  

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imetenga sh. bilioni 4.3 ili kujenga vituo vya kuhifadhi damu (satellite blood banks) kwenye mikoa...

READ MORE

Hamza: Kufa kwa Mzee Majuto Isiwe Faida kwa Wengine – Video

Kufuatia uzushi unaozagaa mitandaoni mara kwa mara kwamba kwamba mzee Majuto amefariki dunia, msemaji wa familia hiyo, Hamza Majuto amefunguka...

READ MORE

HATARI: Gari la Petroli Lalipuka Moto, Watu 10 Wapoteza Maisha – Video

Mlipuko mkubwa wa Moto umetokea katika Daraja Maarufu la Oteldola jijini Lagos nchini Nigeria jana Alhamisi, majira ya saa 1:30...

READ MORE

Rais Mnangagwa Amaliza Ziara Yake Nchini – Pichaz

Rais wa Jamhuri ya Zimbabwe, Emmerson Dambudzo Mnangagwa amemaliza ziara yake rasmi ya kiserikali ya siku mbili nchini Tanzania leo...

READ MORE

Lissu Sasa Yupo Fiti, Cheki Akifanya Mazoezi – Video

AFYA ya Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu imezidi kuimarika ambapo ameonekana akifanya mazoezi ya kutembea nchini Ubelgiji anakoendelea...

READ MORE

Walichokubaliana JPM na Mnangagwa

Marais Dkt. John Magufuli wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Emerson Mnangagwa wa Zimbabwe jana walikutana jijini Dar es Salaam na...

READ MORE

KATANI: SPIKA Hujawashwa na UPUPU, Ungeomba BIL 200 Zirudishwe – Video

Mbunge wa Tandahimba, Katani Hamad Katan, amesimama Bungeni kuchangia mjadala wa fedha za Export Levy za zao la Korosho ambazo...

READ MORE

MAMA MLEMAVU AFANYIWA UKATILI!

AMA kweli watu wamekosa utu! Mama mmoja aliyetambulika kwa jina la Fatuma Hamis hivi karibuni alijikuta kwenye wakati mgumu baada...

READ MORE

Airtel, SportPesa wawazawadia washindi wa AMSHA AMSHA USHINDE NA AIRTEL MONEY

  Kampuni ya simu ya  Airtel  Tanzania kwa kushirikiana na kampuni ya kubashiri ya SportPesa imewazaidia washindi watatu wa promosheni ya  wa Amsha...

READ MORE

KESI YA VIGOGOGO NANE WA CHADEMA KUUNGURUMA JULAI 2

MAHAKAMA  ya Hakimu Mkazi Kisutu, inatarajia kutoa uamuzi wa muda wa kusitisha ama kutositisha usikilizaji wa kesi inayowakabili viongozi wa Chama...

READ MORE

Halotel, StarTimes waleta kombe la dunia kiganjani  

    HUKU mshike mshike wa kombe la dunia ukiendelea kukolea, Kampuni ya Mawasiliano ya Simu ya Halotel kwa kushirikiana na...

READ MORE

Spika Amfukuza Mbunge wa Cuf Bungeni -VIDEO

Mbunge wa Mchinga (CUF), Hamidu Bobali,  ametolewa nje ya ukumbi wa Bunge leo Alhamisi Juni 28, 2018 na Spika Job...

READ MORE

LIVE AIRPORT: Rais Magufuli Akimpokea Rais Mnangagwa wa Zimbabwe

Rais wa Jamhuri ya Zimbabwe, Emmerson Dambudzo Mnangagwa amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar...

READ MORE

Diamond Awashambulia Timu Zari na Mobeto

Msanii wa Bongo Fleva Nassib Abdul maarufu kama Diamond Platnumz kupitia akaunti yake ya Instagram amesema habagui watoto wake na...

READ MORE

Infinix YAZINDUA Infinix NOTE 5 YENYE TEKNOLOJIA YA ANDROID One

KAMPUNI ya simu ya Infinix imeweka dhamira ya kuzalisha simu zenye teknolojia ya hali ya juu na muonekano mzuri kwajili...

READ MORE

Baba Mzazi wa Michael Jackson Afariki Dunia

Baba mzazi wa Micheal Jackson, Joe Jackson amefariki dunia jioni ya jana akiwa na umri wa miaka 89 alikuwa akisumbuliwa kwa...

READ MORE