×

Habari

Majaliwa: Tutaendelea Kuilinda Na Kuidumisha Amani Nchini

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali itaendelea kuweka mkazo katika kulinda na kudumisha amani nchini ili kuhamasisha maendeleo na...

READ MORE

Kalulu Ajitosa Ubunge Mbagala

Dar es Salaam 30 Juni 2025: Mwanasiasa kijana ambaye ni Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa...

READ MORE

Meja Jenerali Gaguti Ahitimisha Mafunzo Askari Wapya

Pwani, 28 Juni 2025: Mkuu wa Utumishi wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania Meja Jenerali Marco Elisha Gaguti...

READ MORE

Majaliwa Amwakilisha Rais Dkt. Samia Kwenye Kongamano La Amani, Mwanza

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa leo Juni 29, 2025 amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye kongamano la Afrika Mashariki la...

READ MORE

Wakili Ajitosa Ubunge Jimbo la Mbagala 

Mwanazuoni na Wakili Dk Aloys Rugazia ameibuka kwa kishindo baada ya kuchukua rasmi fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea Ubunge wa...

READ MORE

Mazishi Ya Rais Mstaafu Edgar Lungu Yasitishwa Afrika Kusini

Mahakama ya Afrika Kusini imesitisha mpango wa kumzika Rais wa zamani wa Zambia Edgar Lungu katika hafla ya faragha muda...

READ MORE

Boti ya Uokozi Yawashtua Mwanza! Wananchi Waipokea kwa Shangwe – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameendeleza juhudi za kuboresha usalama wa usafiri wa majini...

READ MORE

Kenya: 16 Wameuawa Kwenye Maandamano Kenya

Watu kumi na sita wamdaiwa kuuawa na polisi wakati wa maandamano ya kitaifa dhidi ya serikali nchini Kenya siku ya...

READ MORE

Kazi ipo! Hamisi Slim wa Equator Grill Achukua Fomu Kuwania Udiwani

Dar es Salaam 28 Juni 2025: Kazi ipo! Hivyo ndivyo unaweza kusema kufuatia makada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kufungua...

READ MORE

NBC ‘Yawanoa’ Wataalam Teknolojia ya Huduma za Fedha ili Kuchochea Uchumi Jumuishi

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imeendesha semina maalum kwa ajili ya wadau wa Umoja wa Makampuni yanayotoa Huduma za...

READ MORE

Furaha Dominic Aliyekubalika na Wajumbe Kawe Airudia Tena Kawe Yake

Kama kuna kitu kilichowaumiza watu wa Jimbo la Kawe haswa wajumbe waliompitisha kugombea katika Uchaguzi Mkuu wa 2020 ni kumchagua...

READ MORE

Pruuu Mpaka Michenzani!

Ilikuwa ni zamu ya Meneja wetu wa Tawi la Michenzani, Ahmad Aboubakar kulipokea kombe kwa bashasha kutoka kwa Brand Ambassador....

READ MORE

Baadhi Ya Wagombea Waliochukua Fomu Ya Kuwania Ubunge Mkoa Wa Kagera

Mkurugenzi wa kiwanda cha kusindika Kahama cha AMIMZA bw, Amir Hamza amechukua fomu ya kuomba ridhaa kwenye chama cha mapinduzi...

READ MORE

Ahadiel Naye Amechukua Fomu ya Kugombea Ubunge wa Jimbo la Same Magharibi

Ahadiel Elirehema Mmbughu amechukua fomu ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Same Magharibi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), akiahidi uongozi...

READ MORE

Makonda Achukua Fomu Ya Ubunge Jimbo La Arusha Mjini Kupitia CCM

Arusha, Jumamosi, 28 Juni 2025 – Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha na Dar es Salaam, Paul Makonda, ameibuka kwa...

READ MORE

Sekretarieti Ya Halmashauri Kuu CCM Yakutana Kufuatilia Mchakato Wa Fomu Za Uteuzi

Sekreterieti ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, ikiongozwa na Mwenyekiti wake, ambaye pia ni Katibu Mkuu wa...

READ MORE

Kada wa CCM Ahadiel Achukua Fomu Kugombea Jimbo la Same Magharibi

Ahadiel Elirehema Mmbughu (kulia) amechukua fomu ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Same Magharibi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), akiahidi...

READ MORE

Ajali Mbaya Yahusisha Mabasi Mawili Yaliyogongana Uso Kwa Uso Same

Same, Kilimanjaro – Watu kadhaa wanahofiwa kupoteza maisha kufuatia ajali mbaya ya barabarani iliyotokea leo katika eneo la Sabasaba, kata...

READ MORE

Mgao wa Bilioni 1.5 Unakusubiri na Lucky Rush Leo

Je unajua kuna mzigo mkubwa 1.5 wa mgao ambao unakusubiri wewe tuu uweke dau lako na uingie kwenye mashindano ya...

READ MORE

Rwanda na DRC Watia Saini Mkataba wa Amani Washington

Rwanda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) zimetia saini makubaliano ya kihistoria ya amani jijini Washington, Marekani, katika hatua...

READ MORE

Rais Dkt Samia Awaapisha Viongozi Wateule Ikulu Chamwino Dodoma (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan Akiwaapisha Viongozi Wateule Ikulu Chamwino Dodoma, leo tarehe 28...

READ MORE

Meridianbet Kuwapa Wapenzi wa Super Heli Fursa ya Kujishindia Samsung A25

Meridianbet imezindua promosheni ya kipekee kwa wapenzi wa michezo ya kasino mtandaoni. Hii ni fursa yako ya kipekee ya kupata...

READ MORE

Rais Ruto Apinga Wito Wa Kujiuzulu, Atoa Changamoto Kwa Upinzani Kuwasilisha Mpango Mbadala

Rais wa Jamhuri ya Kenya, William Samoei Ruto, amepuuzilia mbali vikali wito wa maandamano unaoendelea kutolewa na waandamanaji pamoja na...

READ MORE

Watu Wanne Wafariki Dunia Lindi Baada ya Kugongwa na Lori – Video

Watu wanne wamefariki dunia na wengine wanne kujeruhiwa baada ya kugongwa na lori katika Kijiji cha Mtegu, Kata ya Sudi,...

READ MORE

Mchungaji Peter Msigwa Achukua Fomu ya Ubunge Iringa Mjini Kupitia CCM

Mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mchungaji Peter Msigwa, amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea ubunge wa Jimbo la...

READ MORE

Rais Samia Alivyowasili katika Viwanja vya Bunge jijini Dodoma (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, tarehe 27 Juni 2025, amewasili katika Viwanja vya Bunge...

READ MORE

Kutoka Abuja: Makamu wa Rais Afuatilia Hotuba ya Kufunga Bunge la 12

Makamu wa Rais Dk. Philip Mpango, ameungana na Watanzania wengine kwa njia ya mtandao kufuatilia hotuba ya Rais Dk. Samia...

READ MORE

Treni ya Kwanza ya Mizigo ya SGR Yawasili Ihumwa, Dodoma Kutoka Dar

Treni ya kwanza ya mizigo ya reli ya kisasa ya kiwango cha kimataifa (SGR) imewasili leo mchana katika kituo cha...

READ MORE

Vodacom na Stanbic Wazindua Jezi Itakayotumika Kwenye Msafara wa Twende Butiama 2025

Dar-es-Salaam,Juni,28,2025 Kampuni ya Vodacom Tanzania ikishirikana na Benki ya Stanbic imezindua jezi ambayo itatumika kwenye msafara wa Twende Butiama ya...

READ MORE

Msomi Comrade Enock Koola, Achukua Fomu ya Kuwania Ubunge Vunjo

Kilimanjaro: Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Comrade Enock Koola, ambaye ni msomi wa masuala ya Uchumi na Usimamizi wa...

READ MORE

TAMWA: Yapinga Ukatili wa Kijinsia Kuelekea Uchaguzi Mkuu

ROSE Reuben, Mkurugenzi wa Chama cha Wanahabari Wanawake Tanzania (TAMWA) ameweka wazi kuwa kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 inawezekana...

READ MORE

Waziri Mkuu: Tanzania Siyo Mahali Salama Kwa Biashara Ya Dawa Za Kulevya

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa onyo kwa wasambazaji na wauzaji wa dawa za kulevya kwamba Tanzania siyo mahali pa kufanyia...

READ MORE

Lissu Afikishwa Mahakama Kuu Kupinga Ushahidi wa Mashahidi wa Siri

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Antiphas Lissu, ameonekana leo Alhamisi Juni 26, 2025, ndani ya...

READ MORE

CCM Yatuma Salamu za Heri kwa Waislamu wa Mwaka Mpya wa Kiislamu 1447 Hijria

Chama Cha Mapinduzi kupitia kwa Katibu Mkuu wake Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema mwaka mpya wa Kiislamu ni fursa adhimu...

READ MORE

Dkt. Kimambo Akutana Na Uongozi MNH-Mloganzila, Ahimiza Kuendeleza Uwajibikaji

Mkurugenzi Mtendaji Hospitali ya Taifa Muhimbili Dkt. Delilah Kimambo amekutana na uongozi wa MNH-Mloganzila kwa lengo la kujitambulisha na kujadiliana...

READ MORE

CCM Yapiga Marufuku Shamrashamra uchukuaji na urejeshaji wa fomu za ubunge na udiwani

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetoa mwongozo mpya wa kudhibiti shamrashamra na pilikapilika zisizo na ulazima wakati wa zoezi la uchukuaji...

READ MORE

Miaka 25 ya Vodacom: Kuadhimisha Uunganishwaji Kidijitali

Katika kuadhimisha robo karne ya uwepo wake nchini na mafanikio makubwa tangu kuanzishwa kwake, Vodacom Tanzania PLC imeanzisha kampeni kabambe...

READ MORE

FUNGUO Yatangaza Fursa za Ufadhili wa Zaidi ya TZS Bilioni 2.5

Dar es Salaam, Juni 27, 2025: Mradi wa Ubunifu wa FUNGUO, ambao ni mradi wa kimkakati unaofadhiliwa kwa pamoja na...

READ MORE

Majaliwa: Rais Dkt. Samia Amekuwa Kiongozi Wa Kufanikisha Maendeleo Nchini

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kuwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amekuwa nguzo ya kuimarisha mshikamano na umoja wa kitaifa...

READ MORE

Tanzania Kuandaa Mkutano wa Kimataifa wa Mabaraza ya Habari Afrika – Video

Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania (MCT) na Mwenyekiti, Mtandao wa Mabaraza Huru ya Habari Afrika, (NIMCA) Ernest Sungura...

READ MORE