×

Habari

Mke wa Dk Nchimbi Amuombea Kura Rais Dkt. Samia, Wabunge Tanga

Mke wa Mgombea mwenza wa CCM, Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi Mama Jane Nchimbi akimuombea kura Rais Samia, wabunge Tanga, Jumatatu...

READ MORE

NBC Yaitambulisha Kampeni Ya NBC Shambani Kwa Wakulima Wa Korosho, Mbaazi na Ufuta Tunduru

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), imetambulisha rasmi kampeni yake ya ‘Wekeza NBC Shambani Ushinde’ kwa wakulima wa mazao ya...

READ MORE

UN: Kuna ongezeko la unene kupindukia kwa watoto na vijana

Kwa mujibu wa ripoti ya shirika la afya duniani WHO, kuna ongezeko kubwa la unene kupindukia miongoni mwa watoto wenye...

READ MORE

Xiaomi Yazindua Redmi 15C Tanzania

15 Septemba 2025 – Xiaomi, moja ya kampuni vinara wa ubunifu wa kiteknolojia duniani, imeingia rasmi katika soko la Tanzania...

READ MORE

Shamba Langu Lilikuwa Linakauka Kila Msimu, Lakini Suluhisho Niliyojaribu Iliniletea Mavuno Maradufu

Kila msimu wa mvua ulikuwa mateso makubwa kwangu. Nilikuwa nalima mazao ya mahindi na maharagwe kila mwaka lakini shamba langu...

READ MORE

Mzee Makamba Amuombea Kura Rais Dkt. Samia, Mgombea ubunge wa CCM Bumbuli

Katibu Mkuu wa CCM mstaafu, Mzee Yusuf Makamba amewaomba wananchi wa Jimbo la Bumbuli mkoani Tanga kumchagua mgombea urais wa...

READ MORE

Vodacom Yazindua Ofisi Mpya Kanda Ya Kaskazini Arusha

Mkuu wa kanda ya Kaskazini wa Vodacom Tanzania PLC Bw. George Venanty akizungumza wakati wa uzinduzi wa ofisi mpya ya...

READ MORE

Msafara wa Dkt. Nchimbi Wasimamishwa na Wakazi wa Mombo-Tanga

Msafara wa Mgombea Mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel...

READ MORE

Pingamizi la Mwanasheria Mkuu Lamng’oa Mpina Uchaguzi wa Urais 2025

Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetangaza kuondoa jina la Luhaga Joelson Mpina, mgombea wa urais kupitia chama cha...

READ MORE

Jeshi la Polisi Lamuita Polepole Kutoa Ushahidi wa Tuhuma

Jeshi la Polisi limetangaza kuwa linafanya uchunguzi kuhusiana na tuhuma za makosa ya kijinai zilizotolewa na Humphrey Herson Polepole. Tuhuma...

READ MORE

Mafanikio ya Mradi wa “Kichina + Stadi za Ufundi” Yanakuza Ushirikiano wa Elimu

Mafanikio ya Awamu ya Mradi wa “Kichina + Stadi za Ufundi” Umefikiwa: Matokeo ya Kielimu Yanakuza Ushirikiano wa Elimu ya...

READ MORE

Mahakama Kuu Yaikataa Mapingamizi ya Lissu Katika Kesi ya Uhaini

Mahakama Kuu ya Masijala, Dar es Salaam, imekataa mapingamizi yaliyowekwa na Mwenyekiti wa Chadema, Mheshimiwa Tundu Lissu, katika kesi ya...

READ MORE

Burkina Faso Yapunguza Sikukuu za Umma Kuokoa Bilioni 17

OUAGADOUGOU – Serikali ya Burkina Faso imewasilisha muswada wa kupunguza idadi ya sikukuu za kitaifa kutoka 15 hadi 11, hatua...

READ MORE

Waziri Mkuu Awataka Wana-Lindi Kumchagua Dkt. Samia Oktoba 29

LINDI-Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kuwa Wana-Lindi wanakila sababu...

READ MORE

Hii ndiyo dawa ya wezi katika biashara, wengi wamefanikiwa

Kazi yangu ni biashara ya kuuza nafaka mbalimbali hapa mtaa wa Buza. Nimeifanya hii kazi kwa miaka sita, lakini changamoto...

READ MORE

Wafanyabiashara 186 Wahitimu Mpango wa Maendeleo ya Usambazaji Bidhaa

Wajasiriamali wadogo na wakati (SMEs) wa Kitanzania wamehitimu kwenye Mpango wa Maendeleo ya Usambazaji bidhaa kwa kujengewa ujuzi na mitandao...

READ MORE

Nmb Reliance Wakabidhi Fidia ya Milioni 120 Baada ya Moto Soko la Mashine Tatu

‎Wafanyabiashara 40 wa Soko la Mashine Tatu, Halmashauri ya Manispaa ya Iringa, waliopoteza bidhaa na mali zao kufuatia ajali ya...

READ MORE

Serikali Yawataka Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi kuhakikisha Miradi Wanayosimamia Inakidhi Viwango

SERIKALI imewataka Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi nchini kuhakikisha miradi wanayoisimamia inakidhi viwango ili kuwa mfano kwa vizazi vijavyo. Pia...

READ MORE

Dkt. Nchimbi Aacha Historia Same, Nyomi la Watu Wafurika Kumsikiliza

MGOMBEA Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi...

READ MORE

Samia Amvalisha Kofia Kiongozi Mpya Aliyehama ACT-Wazalendo (Picha +Video)

KIGOMA – Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemvalisha...

READ MORE

Mgombea Urais Mpina Awekewa Mapingamizi Matatu

Chama cha ACT Wazalendo kimethibitisha kuwa Mgombea wake wa Urais, Luhaga Joelson Mpina, amewekewa mapingamizi matatu ya uteuzi wake na...

READ MORE

Watuhumiwa 15 Wakamatwa kwa Mauaji ya kijana Iringa – Video

Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa limetoa taarifa kuhusu video iliyosambaa mitandaoni ikimuonyesha kijana akipigwa na wananchi waliokuwa wakijichukulia sheria...

READ MORE

Eric Shigongo kuzungumzia fursa za Afrika katika jukwaa la kimataifa la ujasiriamali

Mwandishi wa vitabu, mjasiriamali na Mgombea Ubunge Jimbo la Buchosa Eric James Shigongo, ameandika historia mpya kuwa Mtanzania wa kwanza...

READ MORE

Rais Trump Ataka NATO Kusitisha Ununuzi wa Mafuta ya Urusi

Rais wa Marekani, Donald Trump, ameongeza shinikizo kwa nchi wanachama wa Jumuiya ya Kujihami ya Kijeshi ya NATO kwa kuwataka...

READ MORE

Dkt. Mwinyi Azindua Kampeni za CCM Zanzibar kwa Kishindo

ZANZIBAR-Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar ambaye pia ni Rais wa Zanzibar...

READ MORE

Mchengerwa Azindua Kampeni za CCM Rufiji kwa Kishindo

Mgombea Ubunge wa Jimbo la Rufiji kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mohamed Mchengerwa, amewasili katika Viwanja vya Ujamaa leo Jumamosi,...

READ MORE

NBC Yakutana na Wateja wake Wakubwa Kanda ya Ziwa

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imekutana na wateja wake wakubwa kutoka kwenye makampuni na taasisi mbali mbali (Corporates) wa...

READ MORE

Mtambo Wa Gesi Asilia Wasafirishwa Kwenda Mtwara Kuongeza Nguvu Ya Uzalishaji Wa Umeme

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limeendelea kuchukua hatua madhubuti kuhakikisha upatikanaji wa huduma ya umeme wa uhakika katika mikoa ya...

READ MORE

Kifuma Hospitali Yapata Msaada wa Dustbins Kutoka Meridianbet

Je unajua afya bora ni mtaji kwako?. Kama ulikuwa hujui basi ndio nimekupa taarifa leo na kwa kuwa wakali wa...

READ MORE

Nepal: Vifo vya Maandamano Vyafikia 51, Jaji Mkuu wa Zamani Aongoza Serikali ya Mpito

Polisi Nepal imesema idadi ya vifo imeongezeka kutokana na maandamano ya wiki hii huku Rais wa nchi hiyo na mkuu...

READ MORE

Mpina Arejesha Fomu za Urais ACT-Wazalendo Baada ya Uamuzi wa Mahakama

Mgombea Urais kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Luhaga Joelson Mpina, leo Jumamosi Septemba 13, 2025, amerejesha rasmi fomu yake ya kugombea...

READ MORE

‎Mkuu Wa Majeshi Ya Ulinzi Tanzania Aweka Jiwe La Msingi Shule Ya Polisi Jeshi Mafinga

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Jenerali Jacob John Mkunda Septemba 12, 2025  ameweka  jiwe la msingi la ujenzi wa...

READ MORE

Wasichana Zaidi Ya 3370 Wanufaika Na Programu Ya Komputa Code Like A Girl

Mtaalamu wa mafunzo na vijana kutoka Vodacom Tanzania Plc,Bw Samwel Komba akimkabidhi cheti Mwanafunzi Doris Nisetasi, mhitimu wa mafunzo ya...

READ MORE

Majaliwa Azindua  Kampeni Za Ubunge Jimbo  La  Nachingwea

Aomba wananchi kumchagua Rais Dkt. Samia, Mbunge na Madiwani wa CCM Autaja mradi wa barabara kutoka Ruangwa hadi Nachingwea na...

READ MORE

Samia Aahidi Kuendeleza Maendeleo Tabora kwa Miaka Mitano Ijayo -(Picha + Video)

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema Manispaa ya...

READ MORE

Ngome Yazidi Kung’ara BAMMATA

Timu za Ngome zinazomilikiwa na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania zimezidi kung’ara katika mashindano ya  Michezo mbalimbali ya...

READ MORE

Bosi Wangu Alitaka Kuniangamiza Kwenye Kazi, Lakini Hatua Niliyopiga Ilimfanya Aniombe Msamaha

Nilipata kazi yangu ya ndoto baada ya kungoja kwa muda mrefu. Nilijua itakuwa nafasi ya kubadilisha maisha yangu na kusaidia...

READ MORE

Rais Samia Azungumza na Maaskofu Wakuu wa Jimbo Kuu Katoliki Tabora

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amekutana na kufanya mazungumzo na Askofu Mkuu wa Jimbo...

READ MORE

Benki Ya Stanbic Yawawezesha Wafanyakazi Wa Migodini Geita Kukua Kifedha

Suluhisho maalumu za kifedha kuwawezesha wahandisi, mafundi na wafanyakazi wa mgodi kujenga mali, kumiliki makazi na kulinda mustakabali wa familia...

READ MORE

Tanesco Yapiga Marufuku Wizi na Uharibifu wa Miundombinu ya Umeme

📌 Baadhi ya wateja wabainika kuchezea mita ili isisome matumizi halisi ya umeme. 📌 Watakaobainika kufanya vitendo hivyo kushtakiwa kwa...

READ MORE