×

Habari

Coca-Cola Kwanza Hosts Minister of Industry and Trade

Dar es Salaam, Tanzania, Sunday 24 August 2025 – Coca-Cola Kwanza Ltd proudly hosted the Minister of Industry and Trade,...

READ MORE

Huyu Ndiye Damon Dash (77 Dash) na Sifa Zale Lukuki

Jina la Damon Dash, maarufu kama 77 Dash, si geni katika tasnia ya muziki wa Tanzania, alianza kujizolea umaarufu kuanzia...

READ MORE

Kamshange: Sauti Jasiri ya Kizazi Kipya

Katika mitaa yenye shamrashamra ya Jiji la Dar es Salaam na kwenye majukwaa ya mitandao ya kijamii yanayoendelea kushika kasi...

READ MORE

TRAMPA Yaonesha Matendo ya Huruma kwa Wagonjwa wa Kansa Ocean Road

  Dar es Salaam, 23 Agosti 2025: Chama cha Menejimenti ya Kumbukumbu na Nyaraka Tanzania (TRAMPA) katika kuelekea Mkutano wao...

READ MORE

INEC Yakanusha Madaiwa ya Mfumo wa Uchaguzi Kuunganishwa na NIDA

Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imekanusha madai kwamba mfumo wake wa uchaguzi umeunganishwa na NIDA au chama cha...

READ MORE

Rais Samia Aongoza Kikao cha Kamati Kuu ya CCM

Dodoma, Agosti 23, 2025 – Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,...

READ MORE

Wawili Wauawa Kwa Kuchomwa Moto Songwe

Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe limethibitisha tukio la mauaji ya raia wawili wanaosemekana kuwa ni kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia...

READ MORE

Rais Samia Amtembelea Dr. Mabodi Hospitalini Dodoma

Dodoma, Agosti 22, 2025 – Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemtembelea Naibu Katibu Mkuu...

READ MORE

Taifa Stars Yaaga Chan 2024 Baada Ya Kupigwa Na Morocco

Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, imeondolewa kwenye michuano ya CHAN 2024 baada ya kupoteza kwa bao 1-0 dhidi...

READ MORE

Meridianbet Waguswa na Maisha ya Wakazi wa Kijitonyama Kisiwani

Agosti 22, 2025 wakali wa ubashiri Tanzania Meridianbet wameamua kugusa maisha ya wakazi wa Kijitonyama Kisiwani kwa kuwapelekea msaada wa...

READ MORE

Mahakama Kuu Yatupilia Mbali Kesi ya Kupinga Uteuzi wa Rais Samia

Mahakama Kuu ya Tanzania kupitia Masjala Kuu ya Dodoma, Agosti 22, 2025 imetupilia mbali kesi ya kikatiba iliyokuwa ikipinga uteuzi...

READ MORE

Chid Benz Arejeshewa Tabasamu Awaasa Wasanii Kukaa Mbali Na Dawa Za Kulevya

SERIKALI ya Awamu ya Sita kupitia Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imefanikiwa kumtibu bure rapa...

READ MORE

Waziri Dkt. Jafo Azindua Rasmi Bodi ya Wajumbe wa TanTrade

Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Seleman Jafo, leo amezindua rasmi Bodi ya wajumbe tisa (9) wa Mamlaka ya...

READ MORE

Majaliwa: Tuwawezeshe Wafanyakazi Kukabiliana na Mabadiliko ya Teknolojia

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa wito kwa vyama vya wafanyakazi barani afrika kuweka mikakati ya kukabiliana na mabadiliko ya teknolojia...

READ MORE

Zawadi Za Kwenye Chama Zapigwa  Marufuku Zanzibar 

Wafanyabiashara walio na bidhaa za chakula kwa watoto maarufu kama chama ambazo zimeambatanishwa na zawadi hatarishi kutokana na kuanza kusababisha...

READ MORE

Mwimbaji wa Injili Adaiwa Kutekwa Geita, Polisi Waanza Uchunguzi

Jeshi la Polisi mkoani Geita limeanza uchunguzi wa kina kufuatia taarifa za kutoweka kwa mwimbaji wa nyimbo za injili, Elisha...

READ MORE

Rigathi Gachagua Arejea Kenya Baada ya ziara Marekani

Nairobi, Kenya – Kiongozi wa Chama cha Democracy for the Citizens Party (DCP), Rigathi Gachagua, amerejea nchini baada ya ziara...

READ MORE

Binti Aliyeishi Mitaani Awashangaza Wengi kwa Kuendesha Range Rover

Jina lake ni Mercy. Kwa sasa ni mfanyabiashara kijana anayeendesha gari la kifahari aina ya Range Rover mitaa ya Nairobi,...

READ MORE

Papa mpya wa Kanisa Katoliki kuanza safari zake kimataifa na Lebanon

Kiongozi mpya wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Leo XIV, anatarajiwa kufanya ziara yake ya kwanza ya kimataifa nchini Lebanon baadaye...

READ MORE

Madereva Wa Bolt Tanzania Wanaoingiza Zaidi Ya Shilingi Milioni 3.5 Kwa Mwezi

Dar es Salaam, Tanzania – 21 Agosti 2025: Kampuni inayoongoza barani Afrika katika huduma za usafiri kwa njia ya mtandaoni,...

READ MORE

Agizo La Minada Yote Nchini Kutumia Nishati Safi Ya Kupikia Laanza Kutekelezwa

Agizo la Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko kwa Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kuhakikisha...

READ MORE

ACT Wazalendo Wafanya Kikao Maalum cha Kamati Kuu Kuhusu Uteuzi wa Mwisho wa Wagombea

Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Taifa, Ndugu Othman Masoud, leo Agosti 21, 2025, anaongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu...

READ MORE

Ahofiwa Kufariki Dunia Baada Ya Kufukiwa Na Kifusi 

Mtu Mmoja ahofiwa kufariki baada ya kufukiwa na kifusi wakati akifanya matengenezo katika shimo Mkoani Mara. Tukio hilo limetokea Agosti,...

READ MORE

Vodacom Tanzania Yaripoti Ukuaji Imara Uliochagizwa Na Azma Yake Ya Kugusa Jamii Kwa Mwaka Wa Fedha 2025

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Vodacom Tanzania, David Tarimo (katikati), Mkurugenzi Mtendaji, Philip Besiimire (kushoto) na  Mkurugenzi wa Fedha, ...

READ MORE

Dkt. Samia Aongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameongoza kikao...

READ MORE

Kamanda Muliro Avunja Ukimya Kaulimbiu Za Chadema ‘No Reform No Election’ Na CCM ‘Oktoba Tunatiki’ – Video

Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro, amesema kuwa Jeshi la Polisi linafuatilia kwa makini kauli...

READ MORE

Polisi Mkoani Mara Washikilia Mlinzi wa Guard Force kwa Kumjeruhi Mwanafunzi

Jeshi la Polisi mkoani Mara linamshikilia Adili Matayo (31), mlinzi wa kampuni ya ulinzi ya Guard Force, kwa tuhuma za...

READ MORE

Wananchi Arusha Wapewa Elimu Kuhusu Matumizi Ya Nishati Safi Ya Kupikia Ya Umeme

Arusha, Tanzania,Wananchi wa Mkoa wa wamepewa elimu kuhusu Matumizi ya Nishati safi ya Kupikia Katika maonesho ya moja kwa moja...

READ MORE

Baharia wa Marekani Ahukumiwa kwa Ujasusi kwa Niaba ya China

Baharia wa Jeshi la Wanamaji la Marekani, Jinchao Wei (25), amehukumiwa nchini California kwa kosa la ujasusi baada ya kupatikana...

READ MORE

Shekhe Kandauma: Haramu Itabaki Haramu Hadi Siku ya Kiama – Video

Kupitia kipindi cha Mapito cha Global TV, Shekhe Kandauma ameweka wazi msimamo wa Kiislamu kuhusu mambo yaliyo haramu, akisisitiza kuwa...

READ MORE

Afrika Yaongoza Dunia kwa Vifo vya Ajali za Barabarani, Sababu Kuu Zafichuliwa

Kanda ya Afrika inakabiliwa na changamoto kubwa za usalama barabarani, na ajali ni moja ya visababishi vikuu vya vifo na...

READ MORE

ACT Wazalendo Yajibu Pingamizi la Luhaga Mpina kwa Ofisi ya Msajili wa Vyama

Chama cha ACT Wazalendo kimewasilisha rasmi maelezo kwa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, kikiweka wazi msimamo wake kuhusu...

READ MORE

CHADEMA Yapeleka Shauri Mahakamani Kupinga Maelekezo ya Msajili

Kaimu Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, Amani Golugwa, akiambatana na mawakili wa chama hicho,...

READ MORE

Oryx na Serikali Watangaza Uzinduzi wa Mfumo wa Usambazaji wa Gesi Soko la Samaki la Ferry

Dar es Salaam, 21 Agosti 2025: Kampuni ya ORYX Energies Tanzania kwa kushirikiana na Serikali na wadau wa soko, imetangaza...

READ MORE

NMB Benki Yatoa Elimu kwa Wafanyabiashara wa Dodoma Kupitia NMB Business Club

Benki ya NMB imeendelea kuimarisha uhusiano wake na wateja wa kibiashara kwa kutoa elimu na ufafanuzi kuhusu huduma na masuluhisho...

READ MORE

Kashera: Watumishi wa Serikali Kufichua Siri ni Kosa la Jinai

Unajua kwamba mtumishi wa serikali aliyekula kiapo, akitoa siri ni kosa la jinai na anaweza kufungwa? Omar Kashera, mshauri na...

READ MORE

Spinoleague 2025, Moto Mpya wa Burudani na Zawadi za Kihistoria

Ikiwa ni msimu mwingine wa ushindani wa hali ya juu, Meridianbet imewashia moto mpya wapenzi wa burudani na zawadi. Ni...

READ MORE

Watu 27 wauawa katika shambulio la kigaidi msikitini Nigeria

Watu 27 wauawa katika shambulio la kigaidi msikitini Nigeria Magaidi waliokuwa na silaha jana Jumanne waliwauwa waumini karibu 27 waliokuwa...

READ MORE

Mwili wa Mwanafunzi Aliyeuawa kwa Tuhuma za Wizi wa Simu Wapumzishwa Babati – Video

Mwili wa aliyekuwa mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Qashi, Yohana Amani Konki (18), umepumzishwa Agosti 19, 2025, katika kijiji cha...

READ MORE

Viongozi wa Ulaya Waungana na Zelensky Safari ya White House Kukutana na Trump

Baadhi ya viongozi wa Ulaya, wameamua kuandamana na Rais Volodymyr Zelensky wa Ukraine katika safari yake ya kwenda Washington katika...

READ MORE