×

Ijumaa

Yaliyomo kwenye Gazeti la Ijumaa: Jokate anasa ujauzito!

Wakati Wema akihaha kusaka mtoto, Jokate anasa ujauzito! -Ashindwa kuhudhuria pati ya Wema -Unataka kumjua mwenye ‘mzigo’ huo? -Jokate anena...

READ MORE

Matokeo yampa presha Kingwendu

Komediani maarufu Bongo, Rashid Mwinshehe ‘Kingwendu’. Imelda mtema Pole! Komediani maarufu Bongo, Rashid Mwinshehe ‘Kingwendu’ amesema kuwa matokeo ya uchaguzi...

READ MORE

Wema adai Lowassa angeshinda, angehama nchi

Imelda mtema Maneno kuntu! Staa mwenye nyota ya kipekee Bongo, Wema Isaac Sepetu amefungua kinywa chake na kusema kuwa endapo...

READ MORE

Kiba anaswa akimvutisha Ne-yo mambo!

Aache mambo yake! Staa wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba ‘King Kiba’ amenaswa akimvutisha ‘mambo’ mwanamuziki mwenye ‘taito’ kubwa duniani...

READ MORE

Rayuu amechoka kuitwa mama stress

Msanii wa sinema za Kibongo, Alice Bagenzi ‘Rayuu’. I am tired! Msanii wa sinema za Kibongo, Alice Bagenzi ‘Rayuu’ amefunguka...

READ MORE

Ticha mjamzito achomokea dirishani kwenye daladala

CHEZEA kifo wewe! Mwalimu wa Shule ya Msingi Mwere ya mjini hapa ambaye jina halikupatikana mara moja, akiwa mjamzito, amenusurika...

READ MORE

Choo cha akina Diamond aibu

No! Wakati supastaa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akiinjoi maisha kwenye hekalu lake lililoko maeneo ya Tegeta-Madale jijini...

READ MORE

Baraza jipya la mawaziri

TAIFA liko katika mkao wa kusubiri kuapishwa kwa Rais Mteule wa Awamu ya Tano, Dk. John Pombe Magufuli ambaye Alhamisi...

READ MORE

Iyobo: nani anasema Aunt mzee?

Dansa wa mwanamuziki ‘Diamond Platnumz’,  Moses Iyobo akiwa na mwandani wake Aunt Ezekiel Grayson, Imelda mtema Kafunguka! Dansa wa mwanamuziki...

READ MORE