×

Ijumaa

Jacqueline Dustan naolewa nikiwa na Mimba!

Jacqueline Dustan. Imelda mtema Msanii wa filamu aliyeibukia kwenye Shindano la Maisha Plus Season II, Jacqueline Dustan amesema licha ya...

READ MORE

Rose Ndauka: Naapa sitazaa tena nje ya ndoa!

Mwanadada anayeuza nyago kwenye filamu Bongo, Rose Ndauka. MAYASA MARIWATA MWANADADA anayeuza nyago kwenye filamu Bongo, Rose Ndauka ameapa kuwa...

READ MORE

Yote haya utayapata kwenye Gazeti la Ijumaa

Modo hamisa Mobeto alia… Lulu kanipora bwana! ==>Ijumaa lapenyezewa siri ==>Lulu abanwa anena ==>Hamisa afunguka mazito ==>Je unataka kumjua bwana...

READ MORE

Mgoni amuua mwenye mke!

Marehemu Coster Peter Makalius enzi za uhai wake. Dustan Shekidele, Moro Madai mazito! Kigogo wa Chama cha ACT-Wazalendo katika Kijiji cha...

READ MORE

Chanzo Lulu kutodumu na wanaume chatajwa

 Staa wa Bongo Movies Elizabeth Michael ‘Lulu’,. Brighton Masalu Ubuyu! Licha kujaliwa umbo matata na mvuto wa aina yake, staa...

READ MORE

Wastara akatwa mguu!

Imelda Mtema  Gabriel Ng’osha Inauma sana! Hatimaye maumivu makali yamempata staa wa Bongo Movies, Wastara Juma kwa zaidi ya saa...

READ MORE

Kajala apata pigo

Staa mwenye mvuto ndani ya Bongo Muvi, Kajala Masanja. Imelda mtema POLE! Staa mwenye mvuto ndani ya Bongo Muvi, Kajala...

READ MORE

Joanita:Nipisheni Mkongwe Nimerudi

 Mwigizaji aliyewahi kutamba katika sinema za Kibongo, Fatuma Makame ’Joanita’. Stori: Imelda Mtema I’AM back! Mwigizaji aliyewahi kutamba katika sinema...

READ MORE

Dude: Rais Magufuli Kanyaga Twende

Stori: Gabriel Ng’osha  HAPA mchezo! Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Kulwa Kikumba ‘Dude’ amemtaka Rais John Pombe Magufuli kukanyaga spidi ya...

READ MORE

Mume amtetea Jack wa Chuzi kukosa Mtoto

Stori: Imelda Mtema MASKINI! Mume wa mwigizaji wa Bongo Movies, Jacqueline Pentezel ‘Jack Chuzi’, Gadner Dibibi amewataka watu wanaomsema mkewe...

READ MORE

Thea: Nikijichubua Nisulubiwe

Stori: Imelda Mtema IMEKAA poa sana! Mkongwe kwenye anga la sinema za Kibongo, Salome Urassa ‘Thea’ amekula kiapo cha aina...

READ MORE

Yote haya utayapata katika Gazeti lako la Ijumaa Wikienda

WASTARA AKATWA MGUU! -Mamilioni ya fedha yatumika, mwenyewe aeleza maumivu makali aliyopitia kwa saa 24 -Unataka kujua jinsi alivyokatwa mguu...

READ MORE

Kada wa CCM abebwa juu kutimiza ahadi aliyotoa!

Kada mmoja wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) aitwaye mama Pili a.k.a Bonge, mkazi wa Keko Dar, juzi alibebwa juu na...

READ MORE

Staili yake ya kushtukiza… Magufuli azua kizaa Moro

Makarani na mahakimu wa Mahakama ya Mwanzo ya Morogoro wakifanya usafi katika ofisi za mahakama hiyo sanjari na kupanga mafaili...

READ MORE

Mke amfanyia umafia mwanaye umafia

Mwanamke aliyetambuliwa kwa jina la Fauzia Abeid ‘Mama Timotheo’, mkazi wa Kimara-King’ong’o jijini Dar, anadaiwa kumfanyia umafia mwanaye, Timotheo ili...

READ MORE

Mr Bean aachana na mkewe kisa, kibinti

County Durham, Uingereza Muigizaji na mchekeshaji maarufu duniani, Rowan Atkinson ‘Mr Bean’ amelazimika kutoa talaka ya haraka kwa mkewe Sunetra...

READ MORE

Yaliyomo kwenye Gazeti la Uwazi Mizengwe: Mwakyembe Waziri Mkuu

Mwakyembe Waziri Mkuu -Awabwaga akina Lukuvi, Prof. Muhongo, Makamba, Mwigulu na Ndugai -Utendaji kuwa wa mchaka mchaka -Wasomi mwazungumzia hali ya...

READ MORE

Uchaguzi wawachia bifu Mafufu, Kitale

Msanii wa filamu Bongo, Jimmy Mafufu. Na Gladness Mallya JAPOKUWA uchaguzi umekwisha bado lile bifu la wasanii wa filamu Bongo,...

READ MORE

Yaliyomo kwenye Gazeti la Ijumaa, leo

Ziara zake za kushtukiza… Magufuli azua kizaazaa Moro -Kimenuka, Maafisa wa Mahakama wahenyeshwa -Kweli hapa kazi tu! -Unataka kufahamu tukio zima...

READ MORE

Kisa siasa, Wolper aweka pembeni uigizaji

Na Brighton Masalu UPO? Habari ikufikie kuwa ‘mtoto mtamu’ anayesumbua katika tasnia ya filamu Bongo, Jacqueline Wolper Massawe ameweka pembeni...

READ MORE

Ester aanza maandalizi ya mtoto wa pili

Na Hamida Hassan Staa wa filamu za Kibongo, Ester Kiama amedaiwa kuanza maandalizi ya kupata mtoto wa pili kutokana na...

READ MORE

Najma: Nikiwa faragha na mpenzi, napenda kulala kifuani

Unamkumba vizuri mwanadada Najma aliyewahi kudaiwa kuwa na uhusiano wa kimapenzi na Mr. Blue na Diamond Platnumz? Jina lake kamili...

READ MORE

Ray C arekodiwa video ya X

Imelda Mtema Mwanamuziki Rehema Charamila ‘Ray C’ amekumbwa na aibu ya aina yake baada ya hivi karibuni kuvuja ‘video’ inayomuonesha...

READ MORE

Wananchi wazidi kuibana Tigo

Mwandisi wetu KUFUATIA utetezi wa kampuni ya simu za mikononi ya Tigo, juu ya kushindwa kutoa huduma kwa wateja wake...

READ MORE

Polisi: Tumemnasa kijana na mabomu kumi

  Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, SACP Justus Kamugisha. Mwandishi wetu JAMANI! Siku chache tu kufuatia Jeshi la Polisi...

READ MORE

Wema, Idris waoneshana mahaba live Ikulu

Mastaa wa Bongo, Idriss Sultan na Wema Sepetu wakikumbatiana. Richard Bukos MASTAA wa Bongo, Idriss Sultan na Wema Sepetu, Alhamisi iliyopita...

READ MORE

Diamond: Wema amemharibu Tiffah

Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ Musa mateja Kila kitu ukizidisha ni sumu! Ndivyo ilivyotokea kwa staa wa...

READ MORE

Mastaa Wamwandama Dk. Fadhili

Mwandishi wetu KUFUATIA elimu yake ya kisasa ya jinsi mwanamke yeyote mwenye uzazi anavyoweza kupata watoto mapacha, Dk. Fadhili Emily...

READ MORE

Wema: Hata nikizeeka nyota ipo palepale

Imelda Mtema Nyota na ing’ae! Mtoto mzuri Bongo, Wema Isaac Sepetu ameliambia Ijumaa Wikienda kuwa hata kama akizeeka na kuwa...

READ MORE

Chuchu akataliwa kwa akina Ray

Staa wa sinema za Kibongo, Vincent Kigosi ‘Ray’ akiwa na mpenzi wake Chuchu Hans. Brighton Masalu Yamemkuta! Staa wa sinema za...

READ MORE

Dada wa Diamond afanyiwa Kitu Mbaya

Musa Mateja Kha! Dada wa mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond, Mwajuma Abdul ‘Queen Darleen’, amefanyiwa kitu mbaya na...

READ MORE

Jokate anasa ujauzito!

Mwanamitindo anayefanya pia muziki na filamu, Jokate Mwegelo ‘ Hamida hassan NA Brighton Masalu Wakati Beautiful Onyinye wa Bongo, Wema...

READ MORE

Mume wa Mtu afanya Mambo ya Aibu!

Richard Bukos Mwanaume mmoja ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja aliyedaiwa kuwa ni mume wa mtu, hivi karibuni alifanya...

READ MORE

Magufuli Siku ya Kwanza Ikulu

Rais John Pombe Magufuli. Mwandishi wetu BAADA ya kuapishwa rasmi jana katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam, leo...

READ MORE

Mh! Eti Ray, Steve Nyerere Nao Mapedeshee

MIAKA michache iliyopita, nilipata kuwa mdau mkubwa wa muziki wa dansi, nikipatikana katika karibu kumbi zote ambazo bendi kubwa zilifanya...

READ MORE

Zari ‘Ammaind’ aliyejichora tatuu jina la Diamond

Hamida Hassan Mahaba kweli hayazuiliki! Mrembo mmoja wa mjini ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja, hivi karibuni alijikuta akikejeliwa...

READ MORE

Linah Anaswa Nusu Mtupu

Musa Mateja Msanii wa muziki Bongo, Estelina Sanga ‘Linah’, juzikati alitinga kigauni kilichomuacha nusu utupu, hali iliyomfanya azodolewe. Mwanadada huyo...

READ MORE

Mlela Ajiachia na Shombeshombe Zenji

Gladness Mallya STAA wa filamu za Kibongo, Yusuf Mlela juzikati alinaswa Zanzibar akijiachia kimahaba na mrembo shombeshombe.Chanzo makini kililitonya gazeti...

READ MORE

Faiza: Ushindi wa Sugu Hauna Faida Kwangu

Faiza Ally. Imelda mtema Lady Gaga wa Bongo, Faiza Ally ambaye amezaa na Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi amefungukia...

READ MORE