×

Kimataifa

LIVE: Mwili wa Rais Mugabe Ukiagwa Zimbabwe

MWILI wa aliyekuwa Rais wa Zimbabwe na muasisi wa taifa hilo, Robert Gabriel Mugabe, umeagwa leo Alhamisi, Septemba 12, 2019...

READ MORE

Mwili wa Mugabe Wawasili Zimbabwe

MWILI wa aliyekuwa kiongozi wa Zimbabwe, Robert Mugabe, umewasili katika uwanja mkuu wa ndege nchini humo ambapo siku ya mazishi...

READ MORE

Msanii Prezzo Ateuliwa Kugombea Ubunge – Pichaz

MSANII wa muziki wa Hip Hop nchini Kenya, Jackson Makini, almaarufu kwa jina la Prezzo, ametangaza rasmi kuingia kwenye siasa...

READ MORE

Bilionea Jack Ma Aachia Ngazi Kampuni za Alibaba

SHANGHAI (Reuters) — Mwenyekiti na mwaznilishi wa Makampuni ya China yaa Alibaba Group, Jack Ma, ameachia ngazi katika kampuni hilo...

READ MORE

Mchungaji Afariki Dunia kwa Kufunga Kula Siku 30

MCHUNGAJI Brighton Samajomba wa Kanisa la Heaven Is My Home la nchini Zambia, amefarki dunia siku ya 20 baada ya...

READ MORE

Mke wa Rais Ahukumiwa Jela Miaka 58

MKE wa rais wa zamani wa Honduras, Porfirio Lobo, aitwaye Rosa Elena Bonilla (52) amehukumiwa kwenda jela miaka 58 mara...

READ MORE

Nigeria Nao Wakikinukisha, Wapora Maduka ya Wasauz

Maduka ya wafanyabiashara wa Afrika Kusini nchini Nigeria yalivamiwa jana ikiwa ni hatua ya kujibu, mashambulizi ya hivi karibuni katika...

READ MORE

Rubani Azirai Akiendesha Ndege, Mwanafuzi Aokoa Jahazi

RUBANI mwanafunzi nchini Australia ameitua ndege salama baada mwalimu wake kuzirai akiwa angani. Max Sylvester, mkazi wa magharibi mwa Australia...

READ MORE

Moto Msitu wa Amazon Brazil Waathiri Bonde la Kongo

MOTO wa msitu wa Amazon umeanza kusababisha matatizo ya kupumua kwa wananchi wa Brazil, huku Shirika la Kulinda Mazingira Duniani, ...

READ MORE

Mfanyabiashara Maarufu wa Rwanda Auawa Msumbiji

KIONGOZI wa umoja wa Wanyarwanda waishio nchini Msumbiji (diaspora), Louis Baziga,  mepigwa risasi na kuuawa katika mji mkuu wa nchi...

READ MORE

Brazil Yagomea Msaada wa G7 Kuzima Moto wa Amazon

BRAZIL  imekataa msaada wa fedha wa dola milioni 20 wa kusaidia kuzima moto katika msitu wa Amazon kutoka kundi la...

READ MORE

Amnunulia Mwanaye Airbus A350-1000 Mbili Kimakosa

BILIONEA mmoja nchini Saudi Arabia amenunua ndege mbili aina ya Airbus A350-1000 kwa bahati mbaya wakati akitafuta zawadi ya ‘birthday’...

READ MORE

Hatimaye Tshisekedi Atangaza Baraza la Mawaziri

RAIS Félix Tshisekedi ametangaza baraza jipya la mawaziri katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo baada ya kusubiriwa kufanya hivyo kwa...

READ MORE

Njemba Anaswa na Video 555 za ‘Ngono’ Kwenye Begi

RAIA mmoja wa Colombia ambaye jina lake halikutajwa, ameshikwa na polisi wa Hispania akiwa na video 555 zenye kuonyesha sehemu...

READ MORE

Rais Kim Jong Un Amvimbia Rais Trump

KOREA Kaskazini imesema haioni manufaa ya majadiliano kati yake na Marekani, hadi Marekani isitishe kile ilichokiita hatua za uhasama za...

READ MORE

Maajabu ya Programu Inayookoa Maisha ya Watu

POLISI nchini Uingereza wametaka kila mtu kupakua programu-tumishi ya simu ya mkononi wakidai kuwa programu hiyo imeshaokoa baadhi ya maisha...

READ MORE

Huu Ndo Mti Mrefu Zaidi Kuliko Yote Duniani

WANASAYANSI nchini Uingereza na Malaysia wanasema kuwa wamegundua mti mrefu zaidi duniani wenye urefu wa zaidi ya mita 100.  ...

READ MORE

Rais al-Bashir Mahakamani, Akiri Kupokea Rushwa ya USD 90m

Upande wa mashitaka katika kesi ya ufisadi inayomkabili rais wa zamani wa Sudan, Omar al-Bashir, umeiambia mahakama mjini Khartoum leo...

READ MORE

Balaa la Maandamano ya Wananchi Hong Kong

LICHA ya mvua kali iliyokuwa ikinyesha Hong Kong, umati wa watu, wakiwamo wazee, walijiunga na wanaharakati vijana na watu wengine...

READ MORE

Lori la Mafuta Lalipuka Uganda, Watu 9 Wafariki

MLIPUKO wa lori la mafuta nchini Uganda umesababisha vifo vya watu tisa na wengine kadhaa kujeruhiwa.   Tukio hilo limetokea...

READ MORE

Watu 63 Wafariki Bomu Likilipuka Harusini

WATU wapatao 63 wameuawa na wengine 182 kujeruhiwa baada mtu asiyefahamika, aliyekuwa na bomu kujitoa mhanga, jana Jumapili Agosti 18,...

READ MORE

Moto Wateketeza Soko la Githurai 45

MOTO mkubwa ulioibuka usiku wa kuamkia leo Jumatatu, Agosti 19, 2019, umeteketeza Soko la Githurai 45, lililopo Nairobi nchini Kenya...

READ MORE

‘Yesu’ Atua Kenya, Azua Taharuki!

SERIKALI ya Kenya imemkamata mchungaji mmoja nchini humo aliyemleta Yesu bandia na kuwadanganya waumini wake kuwa Yesu karudi. Yesu huyo...

READ MORE

Marekani, Israel Zajaribia Makombora Alaska

MAOFISA wa Marekani na Israel wamesema wamefanikiwa kufanya majaribio ya makombora ya ulinzi huko Alaska, Marekani. Waziri Mkuu wa Israel,...

READ MORE

Bondia wa Kimataifa Afariki kwa Kipigo

BONDIA raia wa Urusi, Maxim Dadashev,  amefariki dunia baada ya pambano lake dhidi ya mpinzani wake, Subriel Matias,  kumsababishia majeraha...

READ MORE

Israel yabomoa makazi ‘haramu’ yaliyojengwa Palestina

Israel imeanza kubomoa makazi kadhaa ya Wapalestina ambayo inasema yalijengwa kinyume cha sheria, karibu sana na eneo linalougawa Ukingo wa...

READ MORE

Waziri wa Fedha Kenya Akamatwa kwa Tuhuma za Ufisadi

Waziri wa Fedha nchini Kenya,  Henry Rotich,  amejisalimisha kwa maofisa wa upelelezi leo, muda mfupi baada ya mkurugenzi wa mashtaka...

READ MORE

Watu 23 Wafariki Shambulio la Moto Katika Studio Japan

WATU zaidi ya 23 wamefariki leo (Alhamisi) katika studio ya kurekodi matangazo na kuchapisha vitabu na majarida mbalimbali katika vyombo...

READ MORE

Wajue Nyota wa Afrika Walioshiriki Albamu ya Beyonce

MWANAMUZIKI maarufu wa Marekani, Beyonce,  amefichua nyimbo zilizomo kwenye albamu yake mpya itakayoambatana na filamu mpya ya The Lion King...

READ MORE

JESHI SUDAN LAKUBALI KUGAWANA UONGOZI NA RAIA

BARAZA tawala la kijeshi na viongozi wa upinzani nchini Sudan, wamesaini makubaliano ya kugawana uongozi baada ya mazungumzo ya usiku...

READ MORE

NABII BILIONEA MWANAMKE ATIKISA BONGO

NI kishindo cha aina yake! Nabii mwanamke, Dk Lucy Natasha ambaye ametinga Bongo kufanya huduma katika makanisa mbalimbali, ameibua gumzo...

READ MORE

Jogoo Afikishwa Mahakamani kwa Kosa Hili, Ajizolea Umaarufu!

JOGOO mmoja ambaye mmiliki wake amempatia jina la Maurice, amekuwa kero kwa majirani kwa kuwika kila alfajiri na hivyo kufikishwa...

READ MORE

Mwanaume Aaga Dunia Baada ya Kufanya Mapenzi kwa Mizunguko Saba

MWANAUME mmoja aliyefahamika kwa jina moja tu la Davy amefariki wakati akiwa kwenye mashindano ya kufanya mapenzi na mwanamke aitwaye...

READ MORE

Instagram, Facebook na WhatsApp Zakumbwa na Tatizo Dunia Nzima

MITANDAO maarufu duniani ya Instagram na Facebook na WhatsApp imekumbwa na tatizo la kuwa chini dunia nzima ambapo baadhi ya...

READ MORE

Mfanyabiashara wa Kenya Aliyepotea Tanzania, Apatikana Mombasa

MFANYABIASHARA raia wa Kenya, Raphael Ongagi,  aliyedaiwa kupotea tangu wiki iliyopita akiwa Tanzania, amepatikana leo Jumanne, Julai 2, 2019,  jijini...

READ MORE

Afariki Baada ya Kudondoka Toka Kwenye Ndege ya Kenya

MTU mmoja ambaye anaaminika ameanguka na kufariki kutoka kwenye ndege iliyokuwa juu ya anga la jiji la London, Uingereza, mwili...

READ MORE

Jaguar Afikishwa Mahakamani, Anyimwa Dhamana

MBUNGE wa Jimbo la Starehe nchini Kenya, Charles Jaguar,  amefikishwa mahamani kwa tuhuma za uchochezi. Jaguar ambaye pia ni mwanamuziki...

READ MORE

Mbunge Jaguar: Wachina, Watanzania Waondoke Kenya, Tutawapiga Mawe – Video

KENYA: Mbunge wa Jimbo la Starehe, Charles Njagua ‘Jaguar’,  amesema hataki kuwaona wafanyabiashara kutoka China, Tanzania na Uganda kwenye jimbo...

READ MORE

JEAN PIERRE BEMBA ARUDI RASMI CONGO KINSHASA

Mwanasisa maarufu wa upinzani katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo, Jean pierre Bembe amerejea rasmi nyumbani baada ya kukaa miezi...

READ MORE

Idadi ya Watu Duniani Sasa Bilioni 7.7, Tanzania Mil 60

KWA mujibu wa takwimu zilizotolewa juzi na Shirika la Umoja wa Mataifa katika kitengo cha takwimu za ongezeko la watu...

READ MORE