RAIS mstaafu wa Brazil, Bw. Michel Temer, ametiwa mbaroni jijini Sao Paulo kwa tuhuma za rushwa na ufisadi. ...
READ MOREBASI lililokuwa limebeba watoto wa shule wapatao 51 lilitekwa na kutiwa moto karibu na jiji la Milan nchini Italia....
READ MORENEW ZEALAND itapiga marufuku silaha za aina yoyote zenye muundo wa kijeshi zilizotumika katika shambulio la mji wa Christchurch,...
READ MOREUKAME unaozidi kushika kasi katika maeneo mbalimbali yanayokaliwa na watu wa kabila la Waturkana nchini Kenya umesababisha kupoteza maisha ya...
READ MOREPROFESA mmoja katika chuo cha uchumi na sheria nchini China ametoa mtihani kwa wanafunzi wa chuo hicho wa kutafuta...
READ MOREWAZIRI katika serikali ya Ufaransa, Nathalie Loiseau, amesitisha hatua ya ‘kumbatiza’ au kumpa paka wake jina la Brexit kama...
READ MOREMWANAMKE mmoja nchini China almanusura afariki dunia, baada ya kujidunga yeye mwenyewe sindano iliyosheheni mchanganyiko wa matunda yaliyotengenezwa kwa...
READ MOREKIKOSI cha polisi wa dharura nchini Kenya wamevamia benki ya Barclays iliyopo katikati mwa mji huo kwa msako wa...
READ MOREMWANAMUZIKI machachari Mmarekani, Nicki Minaj, amesema bado hajapata mume wa kumuoa. Msanii huyo ameyasema hayo majuzi kuhusiana na mpenzi wake, ...
READ MORERAIS wa Uganda, Yoweri Museveni, amemwandikia barua Rais wa Rwanda, Paul Kagame, kuhusu madai ya kuwepo waasi wa Rwanda nchini...
READ MOREIDADI ya watu waliofariki kutokana na kimbunga Idai nchini Msumbiji sasa huenda ikawa ya juu na kufikia watu 1,000...
READ MOREWATU 65 wamekufa mashariki mwa Zimbabwe kutokana na eneo hilo kukumbwa na kimbunga kiitwacho Ida. Kati ya watu waliopoteza...
READ MOREMshukiwa namba moja wa shambulio la kigaidi lililotokea jana nchini New zealand jijini Christchurch, na kuua watu 49, Brenton Terrant...
READ MOREALIYEKUWA Makamu wa rais nchini DRC, Jean-Pierre Bemba, na ambaye alihukumiwa na Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) kwa uhalifu...
READ MOREKAMPUNI ya kutengeneza ndege ya Boeing ya Marekani iliyotengeneza ndege ya shirika la ndege la Ethiopia iliyoanguka hivi karibuni,...
READ MOREWATOTO zaidi ya wanane wamefariki na wengi kujeruhiwa na kunasa katika mabaki ya jengo la shule lililoanguka jijini Lagos, Nigeria....
READ MOREMAMIA ya waombolezaji wamehudhuria ibada ya mazishi ya kiislam ya rubani mwenye umri wa miaka 29 , Yared Mulugeta Gatechew,...
READ MOREJJI Mkuu wa mahakama moja nchini Australia, Peter Kidd, amemhukumu kifungo cha miaka sita gerezani Kardinali George Pell baada...
READ MOREIDADI ya watu waliokufa kutokana na mvua kubwa zilizosababisha mafuriko Kusini mwa Malawi imefikia watu 28. Taarifa ya Wizara ya...
READ MOREWAFANYABIASHARA wanahesabu hasara baada ya mali ya thamani isiyojulikana kuteketea kwa moto usiku wa kuamkia leo (Jummane) alfajiri katika...
READ MORECHINA imesimamisha mashirika yake ya ndani kutumia ndege aina ya Boeing 737 Max 8 kufuatia ajali mbili za ndege...
READ MOREMENEJA wa zamani wa kampeni za Rais wa Marekani, Donald Trump, aitwaye Paul Manafort, amehukumiwa kifungo cha miezi 47...
READ MORENYOTA wa miondoko ya R&B, R Kelly, ameonyesha masikitiko yake katika kipindi kimoja cha asubuhi cha televisheni dhidi ya...
READ MOREJOPO la Madaktari jijini London nchini Uingereza limefanikiwa kumuondolea kabisa virusi vya ukimwi muathirika na kumfanya kuwa mtu wa pili...
READ MOREMAJENERALI Joseph Nzabamwita (kusho juu, picha ya chini), Fred Ibingira (kulia juu) na Emmanuel Ruvusha, wamekamatwa na kuwekwa chini ya...
READ MOREBAADA ya kuvuliwa uraia wake wa Uingereza, Shamima Begum (pichani) aliyejipatia umaarufu wa ghafla dunia nzima, ameipigia magoti nchi yake...
READ MOREUSAFIRI wa ndege umetatizika na abiria wamekwama katika uwanja mkuu wa ndege wa Jomo Kenyatta (JKIA) jijini Nairobi, Kenya....
READ MORECAPTAIN Mario Magonga, aliyekuwa rubani wa Makamu wa Rais wa Kenya, William Ruto, amefariki katika ajali baada ya ndege aina...
READ MOREMCHUNGAJI mmoja nchini Afrika Kusini, Paseka Motsoeneng, maarufu kama Pastor Mboro, ambaye alishawahi kudai kuwa alifika mbinguni na kupiga picha...
READ MOREMOTO unaodaiwa kuwashwa na wakulima wanaotaka kupanda bangi unatishia maelfu ya hekari za misitu ya mianzi katika Mlima Kenya au Mount...
READ MOREWATU 20 wamekufa na wengine 40 kujeruhiwa jijini Cairo, Misri, baada ya kutokea ajali ya treni katika njia kuu...
READ MOREMuhammadu Buhari ametangazwa na Tume ya Uchaguzi Nigeria kuwa mshindi wa kiti cha Urais kwenye uchaguzi mkuu uliofanyika Februari 23,...
READ MORENI Jumapili asubuhi ambapo kuna ibada ya uponyaji katika kanisa la Alleluia Ministries International, kaskazini mwa jiji la Johannesburg, Afrika...
READ MORENDEGE iliyokuwa inafanya safari kutoka mji mkuu wa Bangladesh, Dhaka kuelekea Dubai, ililazimika kutua kwa dharura baada ya kutokea jaribio...
READ MOREMWANAMUZIKI wa R&B R.Kelly amekamatwa baada ya kujisalimisha polisi hapo jana usiku baada ya Mahakama ya Chicago kutoa amri...
READ MOREWANIGERIA leo wanashiriki uchaguzi mkuu baada ya shughuli hiyo kuahirishwa ghafla wiki moja iliyopita. Wagombea wawili wakuu ni...
READ MOREWANAWAKE wengine wawili wamejitokeza na madai ya unyanyasaji wa kingono dhidi ya mwanamuziki wa R&B,R Kelly. Rochelle Washington...
READ MOREMAHAKAMA ya Kenya leo itatoa uamuzi kuhusu uhalali wa sheria inayoharamisha mapenzi kwa watu wa jinsia moja. Chini ya...
READ MOREMPENZI wa jinsia moja wa Waziri Mkuu wa Serbia, Ana Brnabic, amejifungua mtoto wa kiume. Wawili hao wote...
READ MOREMSICHANA mwenye umri wa miaka 18, ambaye alizirai kwa muda wa siku nne baada ya kuumwa kichwa ameshangazaa...
READ MORE