×

Kimataifa

Kipenga cha Uchaguzi Chapigwa Nigeria

  WANIGERIA leo wanashiriki uchaguzi mkuu baada ya shughuli hiyo kuahirishwa ghafla wiki moja iliyopita.   Wagombea wawili wakuu ni...

READ MORE

Kesi ya R. Kelly juu ya unyanyasaji wa kingono yaibuka upya

  WANAWAKE wengine wawili wamejitokeza na madai ya unyanyasaji wa kingono dhidi ya mwanamuziki wa R&B,R Kelly.   Rochelle Washington...

READ MORE

Kenya kuamua juu ya sheria inayopinga mapenzi ya jinsia moja

  MAHAKAMA ya Kenya  leo itatoa uamuzi kuhusu uhalali wa sheria inayoharamisha mapenzi kwa watu wa jinsia moja. Chini ya...

READ MORE

Kioja! Wapenzi wa jinsia moja wapata mtoto!

  MPENZI wa jinsia moja wa Waziri Mkuu wa Serbia, Ana Brnabic, amejifungua mtoto wa kiume.   Wawili hao wote...

READ MORE

Maajabu ya binti aliyejifungua bila kujua ana ujauzito!

    MSICHANA mwenye umri wa miaka 18, ambaye alizirai kwa muda wa siku nne baada ya kuumwa kichwa ameshangazaa...

READ MORE

Rais Donald Trump Kushtakiwa

  MUUNGANO wa majimbo 16 nchini Marekani yakiongozwa na California yameushtaki utawala wa Rais Donald Trump kuhusu uamuzi wa kutangaza...

READ MORE

Wanaume Walio Uchi Wanapoisaka ‘Fimbo Ya Bahati’! (PICHA)

  MAELFU ya wanaume waliokuwa nusu uchi na waliovalia vinguo vyeupe vinavyoanzia kiunoni, venye kuficha tupu zao kwa mbele na...

READ MORE

‘Kuendesha gari baada ya kunywa pombe si makosa Kenya’

  MAHAKAMA moja ya Kiambu nchini Kenya imetoa uamuzi wa kipekee ikisema kuendesha gari baada ya kunywa pombe si makosa...

READ MORE

Mayweather awaponda T.I., 50 Cent kwa kuisusia Gucci

 BONDIA Mmarekani, Floyd Mayweather, amewananga wasanii, mastaa, T.I. na 50 Cent, wanaomshambulia kwa kuliunga mkono kampuni la mavazi la Gucci ...

READ MORE

Uchaguzi wa rais, wabunge Nigeria waahirishwa

  UCHAGUZI mkuu wa urais na wabunge nchini Nigeria umeahirishwa ambapo utafanyika baada ya wiki moja. Tume huru ya kitaifa...

READ MORE

SIKU 1 KABLA YA UCHAGUZI: MAGUNIA YENYE KURA FEKI YAKAMATWA

  Magunia 17 kura zilizopigwa yakamatwa nchini Nigeria kufwatia uchaguzi. Magunia hayo yamekamatwa kwenye Jimbo la Kano na inadaiwa kura...

READ MORE

Mbunge Aliyeiba mkate dukani Ajiuzulu

  MBUNGE mmoja nchini Slovenia amejiuzulu baada ya kuiba mkate maarufu kama ”Sandwich” katika duka moja kwa madai kuwa wahudumu...

READ MORE

CHINA YAIPA BURUNDI BONGE LA IKULU, NI JIPYAA!

Balozi wa China nchini Burundi, Li Changlin na Waziri wa Mambo ya Nje wa Burundi, Ezechiel Nibigira wamesaini hati ya...

READ MORE

NJEMBA AMFANYIA KITU MBAYA MWANAMKE ALIYEZIRAI, YAMKUTA!

MWANAMME Isrrael Cordero (47) wa Long Branch, Marekani, amehukumiwa kifungo cha miaka 15 jela kwa kufanya shambulio la ngono kwa...

READ MORE

Mwanaharakati aliyepotea Kenya akutwa mochwari amefariki

  POLISI nchini Kenya wamesema kuwa uchunguzi wa awali uanaonyesha kuwa kifo cha mwanaharakati maarufu, Caroline Mwatha, kimetokana na kutoa...

READ MORE

Rais Museveni Ampandisha Cheo Tena Mwanaye Jeshini

Rais wa Uganda Yoweri Museveni amempandisha cheo mwanaye, Muhoozi Kainerugaba ambaye ni mmoja ya maafisa waandamizi wa Jeshi kutoka cheo...

READ MORE

Mwanamke Afariki Kwa Kutafunwa Na Nguruwe

  MWANAMKE mmoja nchini Urusi ameauawa na nguruwe aliokuwa anawafuga baada ya kuanguka kwenye banda la wanyama hao.   Kwa...

READ MORE

Rais Aliyeishi na Mchepuko IKULU, Akauawa Kwa Misumari Kichwani -Video

Hastings Kamuzu Banda ‘Ngwazi Simba’ alizaliwa Februari 15, 1898 nchini , aliondoka Malawi akiwa mtoto, akarudi akiwa mzee! Alikwenda kutafuta...

READ MORE

Wezi Watumia Mabomba ya Kinyesi Kuiba Mkwanja Benki

WEZI nchini Ubelgiji walilishangaza taifa hilo na ulimwengu baada ya kutumia mitaro na mabomba ya maji taka na kinyesi kusafiri...

READ MORE

MCHUNGAJI YAMKUTA BAADA YA KUSEMA ANA DAWA YA UKIMWI

  MAHAKAMA nchini Zimbabwe imemlima faini ya dola $700 (Tsh Milioni 1.6) mchungaji mmoja mashuhuri nchini Zimbabwe baada ya kumkuta...

READ MORE

Marekani Kununua Mfumo wa Israel wa Kujilinda Dhidi ya Makombora

JESHI la Marekani limetangaza mipango ya kutaka kununua mfumo wa ulinzi dhidi ya makombora wa Israel ambao unafahamika kwa jina...

READ MORE

TRUMP KUKUTANA TENA NA RAIS WA KOREA KASKAZINI

  RAIS wa Marekani, Donald Trump, ametangaza kwamba ataanda mkutano wa pili kujadili masuala ya nyuklia na kiongozi wa Korea...

READ MORE

Nabii Bushiri mahakamani kwa kutakatisha fedha

NABII wa aina yake asiyeishiwa vituko, Shepherd Bushiri, amefikishwa mahakamani jijini Johannesburg leo ambako yeye na mkewe wanakabiliwa na mashtaka...

READ MORE

KIDUME ALIYEFUFUKA AFARIKI TENA

  MWANAMME  wa Ethiopia ”aliyefufuka” wakati wa mazishi yake miezi mwili iliyopita amefariki dunia tena.   Hirpha Negero alithibitishwa kufa...

READ MORE

WALIOSHAMBULIA KENYA WAKIONA, MAREKANI YAWATUNGUA 24

MAREKANI imesema kuwa vikosi vyake vimefanya mashambulizi ya makombora ya anga kulenga kundi la kigaidi la Al-Shabaab nchini Somalia na...

READ MORE

Akamatwa na maiti akisafirisha kwenye treni

  MWANAMME mmoja anashikiliwa na vyombo vya dola baada ya kukutwa akisafiri na maiti ya mtoto kwenye treni ikiwa kwenye...

READ MORE

Mama Mkwe Kizimbani kwa Kumgeuza Mume wa Binti Yake Kitega Uchumi

MWANAMUME mmoja katika mahakama ya Nakuru amemfikisha mama mkwe wake kizimbani kwa kile alichotaja kuwa kugeuzwa kitega uchumi.   Akisimama...

READ MORE

Mtandao wa Kijamii Wampeleka Mbunge Jela

  MBUNGE na aliyekuwa waziri wa zamani wa michezo wa Ivory Coast, amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela, baada ya...

READ MORE

Taarifa za Walio na VVU Zavujishwa

  TAARIFA za siri za watu zaidi ya 14000 walio na virusi vya ukimwi (VVU) wakiwemo raia wa kigeni, zimeibiwa...

READ MORE

MAREKANI YAISHTAKI KAMPUNI YA HUAWEI

  MAREKANI imeishtaki kampuni kubwa ya mawasiliano ya China, Huawei,  na ofisa mkuu wake wa fedha, Meng Wanzhou.   Mashataka...

READ MORE

Watanzania wawili wakamatwa kwa kuingiza bangi Kenya

WATANZANIA wawili, Annah Mwisawa, 34, na  Jackson Josephat, 20, wamekamatwa nchini Kenya kwa kuingiza bangi nchini humo yenye thamani ya...

READ MORE

Mwanamke Aliyeng’atwa Na Nyoka Akiwa Haja Kubwa Chooni Asimulia

  MWANAMKE mmoja nchini Australia “ameruka kutoka kwa kiti cha choo” baada ya kung’atwa na nyoka aina ya chatu.  ...

READ MORE

Meli 2 Zenye Bendera ya Tanzania Zawaka Moto Urusi, 14 Wafariki

  WATU 14 wanadaiwa kupoteza maisha na wengine watano hawajulikani walipo kufuatia meli mbili za mizigo Maestro na Candy, zilizokuwa zikipeperusha...

READ MORE

Rais Magufuli Ampongeza Rais Mteule wa DRC Congo Felix Tshisekedi

Rais Magufuli atuma salamu za pongezi kwa Rais Mteule wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Felix Tshisekedi kufuatia hukumu...

READ MORE

DJ Kidato cha Tatu Auawa kwa Kupiga Muziki ‘Mbaya’ Ukumbini

MCHEZESHAJI muziki nchini Uganda (DJ) amepatwa na mauti baada ya kuvamiwa na kundi la vijana waliompiga kwa kosa la kuweka...

READ MORE

Alinusurika Shambulio la Osama Marekani, Ameuawa na Al Shabaab Kenya!

ALIYENUSURIKA katika shambulizi la kigaidi la Septemba 11 mwaka 2001 nchini Marekani, ni miongoni mwa watu zaidi ya 20 waliouawa...

READ MORE

Mariah Carey Amshtaki Msaidizi wake Kwa Kumtishia na Video za “Maudhi”

MWIMBAJI Mariah Carey wa Marekani amemshtaki msaidizi wake wa zamani, Lianna Azarian, kwa kumrekodi kwa video mambo matukio ya “maudhi”...

READ MORE

Kim, Kanye Wathibitisha, ‘Soon’ Kupata Mtoto wa Nne Mwanamme

MASTAA wa muziki na sanaa nchini Marekani, wanandoa Kim Kardashian  na Kanye West wamethibitisha kwamba mtoto wao ajaye ni mwanamme. ...

READ MORE

Magaidi Walioua Watu 14 Kenya, Nao Wauawa

RAIS wa Kenya, Uhuru Kenyatta  amesema kuwa raia 14 wameuawa katika shambulio lililotokea katika Hoteli ya DusitD2 jijini Nairobi, huku...

READ MORE

POLISI WADAI 6 WAMEUAWA SHAMBULIO KENYA, AL-SHABAAB WAKANUSHA

  KUNDI la wapiganaji la Al Shabaab limesema  litatoa taarifa ya uvamizi lililoufanya jana katika hoteli ya kifahari iliyopo  jijini...

READ MORE