×

Kimataifa

Rais wa Brazil Dilma Rousseff asimamishwa kazi

Rais wa Brazil aliyesimamishwa kazi na Bunge la nchi hiyo. BUNGE la Seneti Brazil limepiga kura  kuidhinisha kura ya kutokuwa...

READ MORE

Besigye Akamatwa kwa Kujiapisha Kuwa Rais wa Uganda

Taharuki imetanda nchini Uganda baada ya kiongozi wa upinzani Dr Kizza Besigye, ”kujiapishwa kama rais” siku moja tu kabla ya...

READ MORE

Mwili wa Papa Wemba Wawasili DRC

Kinshasa, Kongo Mamia ya watu wamekusanyika leo nje ya Uwanja wa Ndege wa Kinshasa nchini Kongo wakisubiri mwili wa mwanamuziki...

READ MORE

Trump ni Miongoni Mwa Watu 100 Wanye Ushawishi Mkubwa Duniani

Rais wa Korea Kaskazini, Kim Jong un RAPA maarufu wa Marekani Nicki Minaj, rais wa Korea Kaskazini, Kim Jong un,...

READ MORE

Injini Mpya Ya “Ge Power” Kupunguza Gharama za Uendeshaji

Injini ya gesi ya GE aina ya Jenbacher ambayo itauzwa kwa kampuni ya Said Salim Bhakhresa ili kupunguza gharama za...

READ MORE

Vituko 10 visivyosahaulika vya Lucy Kibaki

Mwaki Kibaki akiwa na mkewe Lucy Kibaki enzi za uhai wake.  IJUMAA iliyopita uvumi ulienea kuhusu mahali alikokuwa Mama Lucy Kibaki,...

READ MORE

Lucy Kibaki afariki dunia akitibiwa Uingereza

Lucy Muthoni Kibaki enzi za uhai wake. NAIROBI, KENYA LUCY KIBAKI aliyekuwa mke wa Mwai Kibaki ambaye alikuwa rais wa...

READ MORE

Picha: Hali ilivyo nyumbani kwa Papa Wemba, Matonge

  Punde baada ya kupokea habari ya kifo cha ghafla cha gwiji wa muziki wa Soukus Papa Wemba akiwa katika...

READ MORE

Jenerali wa Jeshi Burundi na mkewe wauawa

Jenerali Athanase Kararuza. OFISA Mkuu wa Jeshi la Burundi, Jenerali Athanase Kararuza ameuawa pamoja na mkewe baada ya kushambuliwa kwa...

READ MORE

Video: Mshuhudie binti wa Mwanza aliyeishangaza dunia

Ni Getrude Clement mwenye umri wa miaka 16 kutoka jijini Mwanza, aishangaza dunia kwa hotuba yake nzuri aliyotoa mbele ya...

READ MORE

Ted Cruz na John Kasich Kuungana ‘Kumpiga Chini’ Trump

Donald Trump. Wapinzani wawili wakuu wa Donald Trump katika kinyang’anyiro cha kumteua mgombea urais wa chama cha Republican nchini Marekani...

READ MORE

Adele Ndiye Mwanamuziki wa Kike Tajiri Zaidi Uingereza

KULINGANA na jarida la Kimataifa la Sunday Times Rich List, (orodha ya matajiri), staa wa R&B Adele anayetamba na ngoma...

READ MORE

Etihad Yatoa Tiketi ya Bure kwa Mtanzania

Mshindi wa tiketi ya bahati nasibu ya Shirika la ndege la Etihad Elisante Ombeni (35) alipokuwa akijiandaa kusafiri kutoka uwanja...

READ MORE

Jicho Lenye Uwezo wa Kuona Gizani Lavumbuliwa

Mfumo wa jicho la samaki. WASHINGTON: Wanasayansi nchini Marekani wamevumbua jicho la kitaalam lenye uwezo wa kuona hata kama ni...

READ MORE

Zifahamu siri saba za ‘smartphone’

  MATUMIZI ya simu za kisasa (smartphone) yamezua maneno na uvumi wa kila aina katika blogu, magazeti mbalimbali, barua-pepe, mitandao...

READ MORE

Tetemeko la ardhi laua 77 Ecuador

Baadhi ya maeneo yaliyoharibiwa na tetemeko. TAKRIBANI watu 77 wamepoteza maisha huku zaidi ya 500 wakijeruhiwa baada ya tetemeko kubwa...

READ MORE

Roboti wa kike atengenezwa China

 Roboti wa kike (kulia mwenye nguo nyekundu) aliyetengenezwa na Chen Xiaoping na kumpa jina la Jia Jia lenye maana ya...

READ MORE

Moto Wateketeza Jiji Zima la London

Jiji Zima la London lilivyoteketea kwa moto. Hebu vuta picha! Moto unaanzia kwenye jiko moja la kuchomea mikate kisha unashika...

READ MORE

Etihad Yapewa Tuzo Ya Uzinduzi Bora Sekta Ya Usafiri wa Anga

Shirika la Ndege la Etihad limepokea tuzo  ya  uzinduzi bora katika sekta ya usafiri wa ndege kwa mwaka 2016 kutoka kwenye...

READ MORE

Wana miaka 117 na bado wanadunda!

Susannah Mushatt  sasa ana umri wa miaka 117Emma Morano sasa ana umri wa miaka 117. Duh! Hawa ndiyo vikongwe ambao...

READ MORE

Canaan Banana: Rais wa Zimbabwe Aliyefungwa kwa Kulawiti

HAKUWA rais tu wa Zimbabwe, bali alikuwa Mchungaji wa Kanisa la Methodist!  Ni Canaan Sodindo Banana ambaye alifariki Novemba 10,...

READ MORE

Mbwa Anunuliwa Miwani, Viatu na Headphone

MBWA mwenye umri wa miaka saba anayeitwa Scooby ni miongoni mwa mbwa 35 maarufu wanaotumiwa na Jeshi la Ulinzi la...

READ MORE

JPM katika kumbukumbu ya mauaji ya Kimbari, Rwanda

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakiwa na wenyeji...

READ MORE

Nyani Apandikizwa Moyo wa Nguruwe

Moyo wa Nguruwe. Maryland, Marekani WANASAYANSI kutoka Taasisi ya Kitaifa ya Moyo, Mapafu na Damu huko Maryland nchini Marekani wanasema...

READ MORE

Maajabu ya Mamba Kuruka Fensi!

 Mamba huyo akipanda uzio. Rajasthan, India HAYA ni maajabu ya dunia; Mamba mmoja amenaswa hivi karibuni akipanda fensi yenye urefu...

READ MORE

Mila za kufukua maiti, kuziosha na kuzivisha nguo mpya Indonesia

Mkazi wa Toraja, Sulawesi Kusini, nchini Indonesia akiwavisha nguo ndugu zake waliokufa siku za nyuma. UNAWEZA usiamini! Huko Toraja, Sulawesi Kusini,...

READ MORE

Je, Umeinyaka Hii Huduma Mpya Kutoka WhatsApp?

BAADHI ya watumiaji wa Whatsapp wameingiwa na hofu leo baada ya kukuta ujumbe kwenye simu zao wenye maneno ya njano...

READ MORE

Etihad Yaweka Rekodi Ushiriki wa Matembezi ya Hisani

Bw. Jeyapaulraj, akipokea nyaraka kwa niaba ya Abu Dhabi Indian School, mshindi wa shule na kituo cha kikundi cha watoto...

READ MORE

Ted Cruz Amburuza Trump Mchujo Wisconsin

Ted Cruz ameshinda upande wa Chama cha Republican, naye Sanders akashinda Democratic. Wisconsin, Marekani MGOMBEA urais wa chama cha Republican...

READ MORE

Wafanyabiashara wafundwa na mjenga uwezo wa kimataifa

Mjenga Uwezo wa Kimataifa wa Masuala ya Kibiashara kutoka Singapore, Harish Babla (kushoto) akimfafanulia jambo Hamza Kasongo (katikati) kabla ya...

READ MORE

YouTube Waja na Teknolojia Mpya ya 360

Snoop Dogg. CHANELI maarufu ya Video, YouTube kwa kushirikiana na rapa maarufu duniani kutoka nchini Marekani, Snoop Dogg jana ilizindua...

READ MORE

Waziri wa Rwanda Afia Gerezani Burundi

Bujumbura, Burundi WAZIRI wa zamani wa Rwanda, Jacques Bihozagara amefariki katika gereza moja nchini Burundi miezi minne baada ya kukamatwa...

READ MORE

Abiria apiga selfie na mtekaji wa ndege ya Misri

Ben Innes (kulia) akipozi katika selfie na mtekaji wa ndege ya Misri, Seif a-Din Mustafa. -Ni Ben Innes anayeishi Aberdeen -Picha...

READ MORE

Taliban Wakiri Kuhusika Shambulio Pakistan

Lahore, Pakistan KUNDI moja lililojitenga kutoka kwa wapiganaji wa Taliban limesema ndilo lililotekeleza shambulio la kujitoa mhanga mjini Lahore, Pakistan...

READ MORE

Zaidi ya 70 Wafa kwa mlipuko Pakistani

Zaidi ya watu 70 wamekufa na wengine kujeruhiwa katika mlipuko uliotokea kwenye eneo la wazi la kupumzikia lenye shughuli nyingi...

READ MORE

Papa Francis Alivyoosha Miguu ya Wakimbizi, Alhamisi Kuu

Popa Francis alikubusu mguu wa mmoja wa wakimbizi hao WAUMINI wa Kanisa Katoliki na Madhehebu mengine ya Kikristu kote duniani,...

READ MORE

Wakuu wa Baraza la Mitihani Kenya Wafutwa Kazi

 Waziri wa Waziri wa Usalama na Masuala ya Ndani nchini Kenya, Meja Jenerali Joseph Nkaissery. Serikali ya Kenya imetangaza kuwafuta...

READ MORE

Ndugu 2 waliojilipua Brussels jana watambuliwa

  Ndugu wawili waliojilipua katika milipuko ya kujitoa mhanga jana Ubelgiji Khalid na Brahim el-Bakraoui waliovaa nguo nyeusi. Mwingine kulia anadaiwa...

READ MORE

Maajabu ya Paka Mwizi wa Nguo za Ndani

Nguo za ndani na soksi zilizoibwa na paka huyo anayeitwa Brigit Hamilton, New Zealand PAKA mmoja huko Hamilton nchini Uholanzi...

READ MORE

Etihad Yaongeza Ufanisi na Usalama wa Matengenezo ya Ndege Zake‏

Mhandisi wa Ndege akitumia mkebe wa vifaa uliokwisha unganishwa kwenye mfumo mpya mbele ya Ndege ya shirika la Etihad aina...

READ MORE