×

Kitaifa

ILO Yatunukiwa Tuzo Kwenye Maadhimisho Siku ya Usalama na Afya Mahala pa Kazi Duniani

Mwakilishi wa shilika la kazi duniani nchini (ILO), Getrude Sima amepokea tuzo waliyotunukiwa na Wakala wa Usalama na Afya Mahala pa Kazi (OSHA) kwenye...

READ MORE

Waziri Mkuu Majaliwa Azindua Kampeni ya Mama Samia, Atembelea Banda la NMB

Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa amewataka watanzania kuitumia kampeni ya Huduma ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia kutoa taarifa...

READ MORE

NMB Yang’ara Maonesho ya OSHA, Yaibuka Benki Kinara Yenye Sera Bora ya Usalama, Afya Mahali pa kazi

Katika maadhimisho ya siku ya afya na usalama mahali pa kazi duniani yanayoratibiwa kitaifa na Wakala wa Afya na Usalama...

READ MORE

Kongamano La Biashara, Uwekezaji Kati ya Tanzania na Malawi Kufungua Biashara Zaidi

Wizara ya Uwekezaji Viwanda na Biashara kwa kushirikiana na Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) pamoja na  Ubalozi wa...

READ MORE

Nawashukuru WCF Kwa Kuniwezesha Kuyamudu Maisha” Mnufaika wa Fidia

MNUFAIKA wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) Bw. Deus Anthony, ameushukuru Mfuko huo kwa kumuwezesha kuyamudu maisha licha ya...

READ MORE

Benki Ya NMB Yashiriki Wiki ya Ubunifu 2023 Dodoma

 Benki ya NMB imeendelea kuunga mkono juhudi ya Serikali kupitia Wizara ya Sayansi, Elimu na Teknolojia, kwa kudhamini na kushiriki...

READ MORE

Wanafunzi TIA Kunufaika na Fursa Nje ya Nchi

TAASISI ya  Uhasibu Tanzania (TIA), imesaini mkataba na wakala wa vyuo vikuu nje ya nchi Global Education Link (GEL), lengo...

READ MORE

Katibu Mkuu Kenya: Tanzania Ipo Mbali Katika Usimamizi wa Usalama na Afya

Ujumbe wa Wataalam kutoka Wizara ya Kazi na Hifadhi ya Jamii kutoka Kenya umehitimisha ziara yake ya siku nne nchini...

READ MORE

Wajasiriamali Zaidi Ya 300 Wanufaika na Mafunzo ya Usalama na Afya Mtwara

Kuelekea Maadhimisho ya Siku ya Usalama na Afya Mahali pa Kazi Duniani yatakayofanyika Aprili 28, Wakala wa Usalama na Afya...

READ MORE

Sakata La Uuzwaji Wa Tanga Cement,Wadau Watoa Maoni Yao

Kutokana na sakata la uuzwaji wa kampuni ya Tanga Cement kumekuwa na mijadala mingi juu ya uuzwaji wa asilimia 68.33...

READ MORE

Halotel Yatoa Tabasamu Kwa Yatima Kuelekea Sikukuu ya Eid El Fitr

Katika kuelekea Sikukuu za Eid ul Fitr, Kampuni ya simu za mkononi ya Halotel Tanzania imetoa msaada kwa kituo cha...

READ MORE

Kampeni ya #MitiMilioni ya Benki ya NMB yatua Tabora!

Benki ya NMB inaendelea kupambana na athari za mabadiliko ya tabia nchi kupitia kampeni ya #MitiMilioni nchi nzima, na wiki...

READ MORE

Askofu Maboya, Mgogo na Hananja Wanogesha Kongamano La Uamsho Wa Ndoa Mlima wa Moto  

  ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Mlima wa Moto, Mikocheni jijini Dar es Salaam, Bishop Rose Mgeta amesema Kanisa hilo...

READ MORE

Kampeni ya Upandaji Miti yawa Kivutio Iftar ya NMB Bungeni

Kampeni ya Benki ya NMB ya kuongeza miti milioni moja katika ajenda ya serikali ya kuyatunza mazingira na kupambana na...

READ MORE

Washindi 12 Wajizolea Zawadi nono na ‘NMB Bonge la Mpango’

Droo ya kwanza ya msimu wa tatu wa Kampeni ya Weka Akiba na Ushinde iitwayo  ‘NMB Bonge la Mpango –...

READ MORE

Sekta Ya Makaa Ya Mawe Yatakiwa Kuzingatia Sheria na Miongozo ya Usalama na Afya

Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) umetoa wito kwa wawekezaji na waajari wa sekta ya makaa ya...

READ MORE

Airtel, Lethshego Watangaza Washindi Droo Ya Kwanza Promosheni ya Vimba na Timiza Akiba Ushinde

  Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania kwa kushirikiana na benki ya Letshego wametangaza washindi wa droo ya...

READ MORE

DART Kushiriki Kampeni ya Upandaji #MitiMilioni ya Benki ya NMB

Taasisi ya Wakala wa Mabasi yaendayo Haraka (Mwendokasi) – DART wameungana na Benki ya NMB kupitia kampeni yao inayozidi kushika...

READ MORE

Shirika La Mawasiliano TTCL Lawasaidia Watoto Yatima Kushiriki Pasaka

SHIRIKA la Mawasiliano Tanzania (TTCL) katika kusherehekea Siku Kuu ya Pasaka limetoa msaada wa vyakula pamoja na vinywaji katika vituo...

READ MORE

Watswana Wavutiwa na Matumizi ya Tehama Katika Taasisi ya OSHA

Wataalam kutoka Ofisi ya Kumbukumbu na Nyaraka ya Botswana wamefanya ziara katika Ofisi za Wakala wa Usalama na Afya Mahali...

READ MORE

Wahitimu Chuo Cha Kufundisha Misingi ya Biblia ‘FBTC  Tanzania’Kulinda Maadili

Zaidi ya wahitimu 90 Chuo Cha Kufundisha Misingi ya Biblia (FBTC  Tanzania ) wametakiwa kuwa chachu ya maendeleo katika kuhakikisha...

READ MORE

Nmb Bonge La Mpango Yazinduliwa Misungwi, Wateja Kuvuna Mil 180/=

Msimu wa Tatu wa Kampeni ya kuhamasisha utamaduni wa kuweka pesa Benki ya NMB ‘NMB Bonge la Mpango – Moto...

READ MORE

Meridianbet Yahamia kwa Kina Mama Wanaojishughulisha na Mama Ntilie

Pata mizunguko 50 ya bure kucheza sloti na michezo ya kasino ya mtandaoni ukijisajili na Meridianbet. Jisajili kupitia link hii...

READ MORE

Rais Dk. Mwinyi Akutana na Balozi Wa Uingereza Hapa Nchini

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania Mh.David...

READ MORE

Anayedaiwa Kumuua Mkewe na Kumchoma Kwa Magunia Ya Mkaa Aomba Aachiwe Huru

Mfanyabiashara Khamis Luwonga (38) anayetuhumiwa kumuua mke wake na kisha kuchoma mwili wake kwa magunia ya Mkaa, aneiomba mahakama imuachie...

READ MORE

Tuzo Ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi, Ubinifu Kufanyika Aprili

  Kilele cha Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu kinatarajia kufanyika Aprili 13, 2023 Jijini Dar es...

READ MORE

DC Morogoro Apokea Vifaa Vya Shule, Chuo Cha FDC Kutoka Nmb

Benki ya NMB imekabidhi vifaa vya ujenzi kwa shule ya msingi Sinyaulime na Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Bigwa (FDC)...

READ MORE

Dk. Mpango Aipongeza NMB Kampeni ya Upandaji Miti, Shule Zatengewa Mil. 472/-

MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Philip Isdor Mpango, ameipongeza Benki ya NMB na kuitaja kuwa...

READ MORE

Serikali Yapongeza Program Atamizi ya Biashara ya CBE

  SERIKALI imewahamasisha vijana kujiunga na program atamizi inayotolewa na Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), ili wapate ujuzi wa...

READ MORE

Mama Janeth Maguful Atunukiwa Tuzo Ya Kimataifa, Mchango Wake Kwa Hayati Magufuli

Mama Janeth Magufuli, mke wa aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano Hayati Dkt. John Pombe Magufuli ametunukiwa Tuzo ya Heshima...

READ MORE

Wanamuziki Kutoka Nchi 14 Kushiriki Mashindano Ya “The Voice Of Afrika”

KAMPUNI ya mtandao wa simu za mkononi ya Airtel Tanzania imetangaza kuzinduliwa kwa mashindano ya The Vioce Afrika yenye lengo...

READ MORE

Nmb Yatoa Msaada Vifaa Mbalimbali Kwa Sekta za Elimu na Afya

Benki ya NMB imetoa msaada vifaa mbalimbali kwa sekta za elimu na afya vyenye thamani ya shilingi milioni 39 kwa...

READ MORE

Baba Wa Martha Aliyeuawa Kwa Kuchomwa Moto Afunguka Mazito – ”Ni Binti Yangu ” – Video

KUFUATIA kifo cha Martha aliyechomwa moto na watu wasiojulikana, Global TV imefika nyumbani kwa baba wa Martha ambaye amefunguka juu...

READ MORE

Nmb Yatenga Shilingi Bil 20 Kuchangia Ukuaji Sekta Ya Kilimo

BENKI ya NMB imeamua kutenga mikopo ya Sh.bilioni 20 ambayo itakayotumika kuchangia maendeleo ya sekta ya kilimo nchini ikiwa ni...

READ MORE

Nchi Za SADC Zaweka Mikakati Ya Kujikwamua Kiuchumi

Mkutano wa Baraza la Mawaziri wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) umehitimidhwa jijini Kinshasa tarehe 19 Machi 2023,...

READ MORE

Kampuni Ya Mabasi Ya Classic Coach Kutangaza Filamu Ya The Royal Tour Nchini DRC

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Stergomena Tax ameipongeza na kuishukuru kampuni ya Mabasi...

READ MORE

Kamati Ya Kudumu Ya Bunge ya Miundombinu Yavutiwa Na Maendeleo Ujenzi BRT II

KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, Mhe. Selemani Kakoso imeridhishwa na utekelezaji wa miradi ya miundombinu inayosimamiwa na Wakala wa...

READ MORE