×

Kitaifa

Job Ndugai achaguliwa kuwa Spika wa Bunge la 11

Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo limemchagua, Mbunge wa Kongwa, Mhe. Job Yustino Ndugai kuwa Spika wa Bunge...

READ MORE

Wabunge wapiga kura kumchagua Spika wa Bunge

WABUNGE wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, leo asubuhi wamepiga kura kumchagua spika wa kuliongoza Bunge la 11 mjini Dodoma....

READ MORE

Chenge ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa uchaguzi wa Spika bungeni

Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Thomas Kashilila asubuhi hii amemteua Mbunge wa Bariadi Magharibi (CCM),...

READ MORE

Kampeni ya binti thamani kurindima Dar

Walioko mbele kutoka kushoto ni, Meneja Mipango wa Don Bosco, Rosemary Tery, Mkuu wa Chuo cha Don Bosco Mkoa wa...

READ MORE

Serikali yadhamini vocha za pembejeo kwa wakulima

Kutoka kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi wa Pembejeo za Kilimo, Shenal S. Nyonni, Mkurugenzi wa Mazao, Twahir Nzalawahe na afisa habari...

READ MORE

Wakutwa hai baada ya kufukiwa na vifusi mgodini kwa siku 41

Ofisa Habari wa Wizara ya Nishati na Madini, Badra Masoud. Manusra hao wakiendelea na matibabu. WATU watano waliokuwa wakichimba madini...

READ MORE

Jerome Bwanausi ashinda ubunge Jimbo la Lulindi

Jerome Bwanausi. Aliyekuwa mgombea wa kiti cha ubunge katika Jimbo la Lulindi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jerome Bwanausi ametangazwa...

READ MORE

Rais Magufuli amteua Dk Tulia Ackson kuwa Mbunge

Aliyekuwa Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Dk Tulia Ackson Mwansasu. RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Pombe...

READ MORE

Airtel fursa yaendelea kukwamua vijana hapa nchini‏

Mkufunzi kutoka Chuo cha Utumishi wa Umma Tawi la Tanga,Hassani Juma Hassani akitoa mada wakati wa semina ya Airtel Fursa...

READ MORE

Breaking News: Mwenyekiti wa Chadema Geita auawa

Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo enzi za uhai wake. Alphonce Mawazo alipokimbizwa Hospitali ya Mkoa wa Geita kabla...

READ MORE

Nape Nnauye aipongeza Global

Mhariri wa Gazeti la Risasi Jumamosi, Erick Evarist akimkaribisha Katibu Mwenezi wa CCM na Mbunge Mteule wa Jimbo la Ntama,...

READ MORE

Mama, Baba Lishe Saccos kuzinduliwa Dar

Kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Mama Lishe na Baba Lishe, Ramadhan Mohanzu, Mshauri wa Jumuiya hiyo, Said Mohamed,...

READ MORE

Makonda aja na Kampeni ya Sukuma Twende

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda akizungumza na wanahabari (hawapo pichani). Wanahabari wakichukua tukio. Makonda akionesha kipeperushi kilichoelekeza namna...

READ MORE

Msaidizi wa Lowassa kuchunguzwa uraia wake

Bashi Awale anayeshikiliwa na Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar.Kamanda wa Polisi Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam,...

READ MORE

Trela la lori lapinduka jijini Dar leo

Trela la lori lenye namba za usajili T863 AEF limepinduka mchana wa leo eneo la Polisi Ufundi, Barabara ya Kilwa...

READ MORE

Wanaosumbuliwa na maradhi ya Fistula watakiwa kujitokeza watibiwe bure

Kaimu Ofisa mkuu wa Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania, Rosalynn Mworia (kulia)akiongea na baadhi ya wakina mama wanaotibiwa maradhi...

READ MORE

Global yagawa nailoni kwa wauzaji wa Magazeti Dar

Maofisa wa Global Publishers Kitengo cha Usambazaji, Jordan Ngowi na Jimy Haroub (walioko mbele) wakimwekea muuzaji wa magazeti jinsi ya...

READ MORE

Mshindi wa Jay millions afungukia mafanikio yake

Irene Mrema aliyekuwa mmoja wa washindi wa kitita cha shilingi Milioni 100 kupitia promosheni ya Jaymillions iliyokuwa ikiendeshwa na Vodacom...

READ MORE

Airtel yazindua mnara wa mawasiliano Mazinde Wilaya ya Korogwe‏

Mkuu wa wilaya ya Korogwe,Hafsa Mtasiwa (wa pili kulia)) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa mnara wa kampuni ya simu za...

READ MORE

Rais Dk John Magufuli akutana na Makatibu Wakuu wa Serikali Ikulu, leo

Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akizungumza na Makatibu Wakuu, Manaibu Katibu Wakuu, Watendaji Wakuu serikalini leo Ikulu jijini Dar...

READ MORE

NEC yatangaza Idadi ya Wabunge wa Viti Maalum

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Mstaafu Damian Lubuva. Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) leo imetangaza...

READ MORE

Ezden Jumanne: Ndoa yangu na Dida imenifunza mengi

Mtangazaji wa Runinga ya TV1, Ezden Jumanne kabla ya kufanya mahojiano Global TV akitabasamu. …Akijibu maswali ya wafanyakazi (hawapo pichani) wa Global...

READ MORE

Hapa kazi tu: Rais John Pombe Magufuli afanya ziara ya ghafla wizara ya fedha

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Dk.John Pombe Magufuli akisani kitabu cha wageni baada ya kufika Wizara ya Fedha....

READ MORE

Sherehe za kuapishwa Rais Magufuli jijini Dar

 JK akiaga wananchi kwa furaha wakati akiingia uwanja wa Uhuru katika sherehe rasmi za kumuapisha mristhi wake Dkt. John Pombe...

READ MORE

Dk Magufuli alivyoapishwa Uwanja wa Uhuru jijini Dar, leo

Umati wa watu waliohudhuria kwenye sherehe za kumuapisha Dk Magufuli.Makamu wa Rais Msitaafu Dk Gharib Bilal (kushoto) akiwasili kwenye uwanjani...

READ MORE

Breaking News: Magufuli aapishwa rasmi

Rais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaDk. John Pombe Magufuli. Hatimaye aliyekuwa Rais Mteule Dk. John Pombe...

READ MORE

Rais Mteule John Pombe Magufuli Kuapishwa Leo

Rais mteule, Dkt. John Magufuli anatarajiwa kuapishwa rasmi leo kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. RAIS mteule, Dkt....

READ MORE

CCM Yaanza Mchakato wa Kumtafuta Mgombea Jimbo la Handeni

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akizungumza na wanahabari (hawapo pichani). Wanahabari wakichukua tukio. Waandishi wa habari...

READ MORE