×

Kitaifa

SALUM MWALIMU: NIPO TAYARI KWENDA JELA YOYOTE

MGOMBEA Ubunge wa jimbo la Kinondoni, Salum Mwalimu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA), amesema yupo tayari kuitwa...

READ MORE

CHADEMA WALALAMIKA BAADHI YA MAWAKALA WAO KUZUILIWA VITUONI

CHAMA cha Demokrasia na Maendelo (Chadema), kimezungumza kuhusu zoezi la uchaguzi mdogo unaoendelea katika majimbo ya Kinondoni Dar es Salaam...

READ MORE

Mgombea Ubunge CCM, Maulid Mtulia Akipiga Kura Yake – (Video)

Mgombea Ubunge Jimbo la Kinondoni kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Maulid Mtulia, amepiga kura asubuhi hii ya Feb....

READ MORE

Mwigulu Atoa Maagizo kwa IGP Sirro Kuhusu Mauaji Kinondoni

WAZIRI wa Mambo ya Ndani, Dkt. Mwigulu Nchemba ameliagiza Jeshi la Polisi kufanya uchunguzi kina kuhusu tukio la mauaji ya...

READ MORE

MABASI 70 YA MWENDOKASI YAMWAGWA DAR  

      KAMPUNI itoayo huduma ya usafirishaji wa abiria kwa mabasi ya mwendo wa haraka jijini Dar,(Udart) imeingiza mabasi...

READ MORE

Mambosasa Amkamata Mlemavu Anayedaiwa Kuwa Kinara wa Madawa

  JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, limemkamata kijana mmoja ambaye ni mlemavu wa miguu anayedaiwa kuwa...

READ MORE

WAKALA WA HUDUMA ZA MISITU WAWAZAWADIA WAFANYAKAZI WA GLOBAL GROUP

Katika kusherehekea Sikukuu ya Wapendanao, maafisa kutoka Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania jana walitoa zawadi kwa wafanyakazi wa Kampuni...

READ MORE

VILANISHI VYA MAGARI, NDEGE VYAINGIA NCHINI

  KAMPUNI ya Liqui Moly imeingiza bidhaa mpya za  oili  na vilainishi vya magari na mitambo kutoka nchini Ujerumani.  ...

READ MORE

WATANZANIA WA MAREKANI WACHANGIA MRADI OFISI ZA WALIMU

  MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda,  amepokea makontena ishirini kutoka kwa Watanzania waishio Marekani yakiwa na...

READ MORE

Chadema Yakanusha Kususia Uchaguzi Kesho

CHAMA cha Demaokrasia na Maendeleo (Chadema) kimekanusha taarifa inayosambaa mitandaoni kuwa wamejitoa kwenye uchaguzi mdogo wa ubunge kwa majimbo ya...

READ MORE

Mambosasa Azungumzia Wanaodaiwa Mabaunsa wa Kuchafua Uchaguzi

  KAMANDA wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amefunguka kuwa amepata tetesi kuwa kuna mabaunsa wanaodaiwa...

READ MORE

Moshi: Mzungu Ahukumiwa Jela Maisha kwa Madawa ya Kulevya

  KILIMANJARO: Mahakama Kuu Kanda ya Moshi imemhukumu kifungo cha maisha jela mwanamuziki Christina Biskasevskaja (26) raia wa Lithuania kwa...

READ MORE

Dkt. Slaa Amwahidi JPM Kulitumikia Taifa kwa Juhudi

IKIWA ni dakika chache baada ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli, kuwaapisha Dkt. Wilbrod Peter Slaa kuwa Balozi wa Tanzania...

READ MORE

Mtoto Arudishwa Tanzania, Baada ya Wazazi Kunaswa na Madawa China

WATANZANIA wawili mume na mke waliotambulika kwa majina ya Baraka Malali na mkewe Ashura Mussa wamekamatwa na dawa za kulevya...

READ MORE

Dkt. Slaa Apangiwa Ubalozi Sweden, Kuapishwa Leo Ikulu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli leo Februari 16, 2018 saa 3 asubuhi atawaapisha Dkt....

READ MORE

Aliyeanguka kwa Makonda Siri Yafichuka Amana

Mapya zaidi yanayomhusu yule Mkuu wa Idara ya Ardhi, Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam, Paul Mbembela ambaye mwishoni...

READ MORE

MAJALIWA AZINDUA MADARASA SEKONDARI YA NYEHUNGE, SENGEREMA

  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua moja ya darasa  wakati alipozindua madarasa ya Kidato cha Tano na Sita katika Shule...

READ MORE

BALOZI WA CHINA AZINDUA UJENZI OFISI YA WALIMU MAKUMBUSHO  

  BALOZI wa China nchini Tanzania,  Wang Ke, leo amezindua ujenzi wa ofisi ya walimu katika shule ya sekondari ya...

READ MORE

Dodoma: Mbunge Aachiwa Huru Kesi ya Rushwa

Mahakama ya Mkoa wa Dodoma imemwachia huru aliyekuwa Mwenyekiti wa UVCCM na Mbunge wa Jimbo la Donge, Zanzibar, Sadifa Hamis,  baada...

READ MORE

WATUMISHI FANYENI KAZI KWA UHAKIKA NA MJIAMINI-MAJALIWA

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka watumishi wa umma watumie utalaamu wao vizuri na wafanye kazi kwa uhakika na kwa...

READ MORE

LIVE: JPM AKIMUAPISHA MNADHIMU MKUU WA JWTZ

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 15 Februari,...

READ MORE

MAGAZETI FEBR 15: MBASHA ATIKISA NDOA YA MASANJA – VIDEO

KISA kikidaiwa kuwa ni penzi la Miss Tanzania 2008, Jacqueline Chuwa, muimbaji wa nyimbo za Injili, Emmanuel Mbasha, ameitikisa ndoa...

READ MORE

KAMPENI: MTULIA AITEKA MAGOMENI KAGERA         

Baadhi ya mawaziri waliohudhuria mkutano huo. Baadhi ya wananchi waliohudhuria mkutano huo wakifuatilia sera zake. ZIKIWA zimebaki siku chache kuelekea...

READ MORE

AIRTEL YAWAZAWADIA WASHINDI WA SHINDA NA SMATIKA

Meneja Uhusiano wa Airtel, Jackson Mbando,akimpigia simu mmoja wa washindi.    KAMPUNI ya simu za mikononi ya Airtel Leo imeendesha...

READ MORE

Ester Bulaya Alizwa na Mdogo Wake!

  KILIO! Mbunge wa Bunda Mjini, Ester Bulaya hivi karibuni alijikuta akimwaga machozi baada ya kuelezwa habari za mdogo wake,...

READ MORE

MKE AGAWA MTOTO KWA BABA WAWILI!

  DAR ES SALAAM: Wanaume kaeni chonjo! Katika hali ya kushangaza, mwanamke mmoja ambaye ni mke wa mtu aliyejulikana kwa...

READ MORE

POLISI YASEMA HAITAMBUI MAITI ALIYEOKOTWA KUWA MWANACHAMA WA CHADEMA

  POLISI Wilaya ya Kinondoni imesema itapambana na watakaovuruga uchaguzi mdogo wa marudio katika Jimbo la Kinondoni unaotarajiwa kufanyika Februari...

READ MORE

Rais Magufuli Ateua Mnadhimu Mkuu wa JWTZ Mpya

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 14 Februari,...

READ MORE

Multichoice Tanzania kufadhili ndoa ya Wapendanao

  KAMPUNI ya Multichoice Tanzania, kupitia kipindi chake cha Maisha Magic Bongo, kinachorushwa katika king’amuzi chao cha DSTV, Chanel namba...

READ MORE

MAKONDA: KUNA GAZETI KAZI YAO KUNICHONGANISHA

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, amesema kuna gazeti moja nchini limekuwa likiandika habari za kumchonganisha yeye...

READ MORE

JPM Aungana na Waumini Misa ya Majivu

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ameungana na waumini wa Kanisa Katoliki na wakristo wengine...

READ MORE

Waziri Mkuu Akizindua Jengo la Huduma, Amana – Video

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa leo, Februari 14, 2017 amezindua Jengo la Huduma za Mama na Mtoto katika Hospitali ya Amana,...

READ MORE

Kiongozi CHADEMA Auawa, Mbowe Asimulia Alivyotekwa, Mwili Wake Waokotwa Ufukweni

  MWENYEKITI wa Chadema, Freeman Mbowe amesema kiongozi wa chama hicho katika Kata ya Hananasif, Daniel John amefariki dunia katika...

READ MORE

HIVI NDIVYO MAKONDA ALIVYOTAKA ‘KUUA’

  DAR ES SALAAM: Mkuu wa Idara ya Ardhi, Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam, Paul Mbembela, mwishoni mwa...

READ MORE

RUKWA: KITOWEO CHA PANYA CHAZUA BALAA

  RUKWA: Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Joachim Wangabo amezua balaa kutokana na wananchi mkoani kwake kufanya panya kuwa kitoweo...

READ MORE

Denti Aliyezalishwa na Mchungaji Mwansasu Amtwanga Mama Mchungaji

Mwanafunzi aitwaye Selina aliyezalishwa na Mchungaji Mwansasu amezua timbwili la aina yake baada ya kumpa kichapo kikali Mama Mchungaji. -Nusura...

READ MORE