×

Kitaifa

Live Updates Kutoka Muhimbili: Kuagwa kwa Mwili wa Akwilina

NDUGU, jamaa, marafiki na Watanzania wengine wamejitokeza katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa ajili ya kuuchukua mwili wa aliyekuwa mwanafunzi...

READ MORE

Mkuu wa Wilaya Ampongeza Mumewe kwa Kuongeza Mke wa Pili

  KALI YA MWAKA! Hili linaweza kuwa ni jambo la kushangaza kutokana na ugumu wa asilimia kubwa ya wanawake kushindwa...

READ MORE

Wakati Kifo cha Akwilina Kikitikisa, Mfanyabiashara Auawa Nje ya NIT

  WAKATI kifo cha denti wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Akwilina Akwilini kilichotokea baada ya kupigwa risasi kwenye...

READ MORE

MWENYEKITI, MWANASHERIA MISUNGWI WAKAMATWA

  JESHI la Polisi mkoani Mwanza kwa kushirikiana na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana  na Rushwa Tanzania (TAKUKURU) imemkamata Mwenyekiti...

READ MORE

CHADEMA YAONYA KUHUSU WALIOSHIKWA KWENYE MAANDAMANO

  MBUNGE  wa Jimbo la Kibamba na Kaimu Katibu Mkuu  wa Chama cha  Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Mnyika,  amesema...

READ MORE

Mtanzania Akamatwa na Dhahabu ya Bilioni 2, Nairobi

MWANAMME mmoja anayedaiwa kuwa ni raia wa Tanzania amekamatwa na maofisa wa forodha katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa...

READ MORE

TAHARUKI! Daraja la Mongo la Ndege Lagawanyika – Video

TAHARUKI na usumbufu wa miundombinu umewakumba wakazi wa Mongo la Ndege, Gongo la Mboto jijini Dar es Salaam baada daraja...

READ MORE

JPM Aenda Ziarani Uganda

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ameondoka nchini leo kuelekea Uganda kushiriki Mkutano wa siku...

READ MORE

Kauli ya Tume ya Haki za Binadamu Kuhusu Kifo cha Akwilina

Tume ya Haki za Binadamu nchini kupitia Jukwaa la Wakurugenzi wa Asasi za Kiraia (AZAK) imesema imesikitishwa na ilichokiita vitendo...

READ MORE

ASIYEJULIKANA ATOWEKA NA MKE WA MTU!

DAR ES SALAAM: Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mwanaume mmoja, mkazi wa Kigogo jijini Dar, Ally Herry, anahaha kumtafuta mkewe,...

READ MORE

UJUMBE WA WA MWISHO WA AKWILINA UNASIKITISHA

  Mwanafunzi wa Chuo cha Usafirishaji cha Taifa (NIT) aliyepigwa risasi Februari 16, 2018 eneo la Mkwajuni-Kinondoni jijini Dar na...

READ MORE

Wateja Wa Airtel Wajishindia Smartphone na Modem

WATEJA wa Kampuni ya Simu za mkononi Airtel Tanzania wameendelea kujishindia zawadi mbali mbali kwenye promosheni inayoendelea ya SHINDA NA...

READ MORE

MSHINDI WA SHINDANO LA DISNEY KUPAA MPAKA HONG KONG

  Mshindi wa Shindano la Disney lililokuwa linaendeshwa na Kampuni ya GSM kupitia maduka yake ya GSM MALL, limefikia tamati...

READ MORE

BAADA YA KUJIFUNGUA, MKE WA AZORY: NISAIDIENI NATESEKA!

  WAKATI leo ni siku ya 92 tangu kupotea kwa mwandishi wa kujitegemea wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL),...

READ MORE

Mwili wa Daniel John Anayedaiwa Kuuawa Waagwa Dar

  MWILI wa aliyekuwa Katibu wa Chadema Kata ya Hananasif, Daniel John umeagwa nyumbani kwake na kufanyiwa ibada katika Kanisa la...

READ MORE

Viongozi Wanne Chadema Wafika Sentro Kuhojiwa

VIONGOZI wanne kati ya saba wa Chama cha Demokrasia na Maendelo (Chadema) walioitwa na Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya...

READ MORE

Breaking: Ripoti ya TRA Kuhusu Utajiri wa Kakobe, Amuomba Radhi JPM

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imesema wakati wakiendelea kumchunguza Askofu Mkuu wa Kanisa la Full Gospel, Zachary Kakobe, mnamo Januari 24,...

READ MORE

Ratiba Kuagwa Mwili wa Akwilina Dar

  BAADA ya maridhiano ya kuuchukua mwili katika Hospitali ya Taifa Mhimbili, familia ya aliyekuwa mwanafunzi wa Chuo cha Taifa...

READ MORE

Mbowe, Mashinji, Mnyika na Wengine 4 Waitwa kwa DCI Kuhojiwa

Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe na viongozi wengine 6 wa chama hicho wameitwa rasmi Ofisi ya Mkuu wa Upelelezi...

READ MORE

Kiringo wa TRA Mbaroni, Adaiwa Kumlawiti Mtoto wa Miaka 13

MTUMISHI wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Hassan Abuutwalib maarufu Kiringo anashikiliwa na Jeshi la Polisi Zanzibar kwa tuhuma za kumlawiti mtoto...

READ MORE

Mke na Mme Waliokamatwa na Madawa China, Familia Yaanika A-Z

  Sakata la Watanzania wawili ambao ni mke na mume kukamatwa na dawa za kulevya ‘unga’ nchini China na mtoto...

READ MORE

Hatimaye Ndugu Wamekubali Kuuchukua Mwili wa Akwilina

HATIMAYE ndugu wa aliyekuwa mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Akwilina Akwiline aliyepigwa risasi Februari 16, 2018...

READ MORE

JPM Amteua Profesa UDSM Kuwa Mwenyekiti wa COSTECH

Rais Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Prof. Makenya Abraham Honoratus Maboko kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Sayansi na Teknolojia Tanzania...

READ MORE

MWANASHERIA ATUHUMIWA KUSABABISHA HASARA YA MIL 279

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amemsimamisha kazi Mwanasheria wa Halmashauri ya Wilaya ya Misungwi,  Alphonce Sebukoto,  na kuagiza achungunzwe na vyombo husika....

READ MORE

WCF  YAANZA KUWAFIKISHA MAHAKAMANI WAAJIRI WASIOJISAJILI

  MFUKO wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) umewafikisha mahakamani waajiri wanne kwa kushindwa kujisajili na mfuko huo.   Waajiri hao...

READ MORE

Ripoti Kifo cha Akwilina Kizungumkuti, Ndugu Wagoma Kuchukua Mwili

  RIPOTI maalum ya uchunguzi kuhusu kifo cha mwanafunzi wa Chuo cha Usafirishaji (NIT), Akwilina Akwilini imezua kizungumkuti katika Hospitali...

READ MORE

Mahakama Yatoa Maamuzi Kuhusu Nabii Tito

MAHAKAMA ya Wilaya ya Dodoma imemuamuru Mkuu wa Gereza la Isanga kumpeleka hospitali kuu ya magonjwa ya akili (Mirembe), mkazi...

READ MORE

MAMBO NILIYOJIFUNZA KATIKA UCHAGUZI WA KINONDONI NA SIHA

  NI saa 12 asubuhi, Jumamosi Februari 17, sipeleki watoto wangu shuleni, hivyo bado nipo kitandani, mkononi mwangu nimeshika simu...

READ MORE

MZEE MAJUTO MUNGU MKUBWA – VIDEO

MUNGU mkubwa! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya kusikia habari njema kuwa, mchekeshaji Bongo, Amri Athuman ‘Mzee Majuto’ au ‘King Majuto’...

READ MORE

Taharuki: Polisi Wazingira Makao Makuu ya CUF Zanzibar

  TAHARUKI imeibuka mjini Zanzibar baada ya jeshi la Polisi visiwani humo kuzingira makao makuu ya ofisi ya Chama cha...

READ MORE

Matokeo ya Uchaguzi: Dkt. Mollel Aibuka Kidedea Ubunge Siha

Mgombea Dkt. Godwin Mollel (CCM) ameibuka mshindi wa kiti cha ubunge katika uchaguzi mdogo wa jimbo la Siha mkoani Kilimanjaro...

READ MORE

Mwigulu Aagiza Wakimbizi Warejeshwe Kwao Haraka

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dkt. Mwigulu Nchemba  ameliagiza Shirika la Kuhudumia Wakimbizi Duniani (UNHCR)  kuwaondoa wakimbizi 32,000...

READ MORE

CCM Yaitupia Lawama Chadema Zoezi la Uchaguzi

Tamko la Chama Cha Mapinduzi (CCM) likilaani CHADEMA kuwa chanzo cha vurugu zilizojitokea kwenye chaguzi. CCM imesema ukaidi wa CHADEMA...

READ MORE

Tazama Matokeo ya Uchaguzi Siha Kutoka Vituo Mbalimbali

MATOKEO ya awali ya uchaguzi wa ubunge Jimbo la Siha  yameanza kubandikwa nje ya vituo vya kupigia kura yakionyesha mgombea...

READ MORE

Tazama Matokeo ya Uchaguzi Kinondoni Kutoka Vituo Mbalimbali

HAPA nimekuwekea matokeo ya awali ya uchaguzi wa ubunge Jimbo la Kinondoni yameanza kubandikwa nje ya vituo vya kupigia kura...

READ MORE

Mambosasa: Uchaguzi wa leo tutawadhibiti wahalifu

    Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam, SACP Lazaro Mambosasa amesema kuwa jeshi lake limeimarisha ulinzi wa...

READ MORE

Mkuu wa Chuo cha Mwanafunzi Aliyepigwa Risasi Afunguka (Video)

Mkuu wa Chuo cha Usafirishaji NIT, Zakaria Mganilwa ameeleza masikitiko yake baada ya kupokea taarifa rasmi ya kifo cha mwanafunzi wao,...

READ MORE

LIVE UPDATES: Matukio ya Uchaguzi Kinondoni na Siha, ITV Yatakiwa Kuomba Radhi Nec

Mgombea wa ubunge Jimbo la Kinondoni (CHADEMA), Salum Mwalimu tayari ameachiwa, ni baada ya kuwekwa chini ya ulinzi katika kituo...

READ MORE

Polisi Yakiri Kumpiga Risasi Raia Kwenye Maandamano ya Chadema

  Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amekiri kuwa mtu mmoja alipigwa risasi na polisi...

READ MORE