×

Kitaifa

BREAKING: Dkt. Malisa Awalipua CHADEMA, CCM Uchaguzi Kinondoni – Video

  MGOMBEA Ubunge katika Jimbo la Kinondoni kwa tiketi ya TLP, Dkt. Godfrey Malisa amewataka wananchi wa wa Jimbo hilo...

READ MORE

Msikiti wa Kisasa Kujengwa Chanika

MWAKILISHI wa Masjid Rahman kutoka nchini Oman, Nasr Al Jahadhamy, amesema kuwa atajenga msikiti mkubwa katika eneo la Zingiziwa-Chanika nje...

READ MORE

POWER ON FITNESS GYM YAUKARIBISHA MWAKA 2018 KWA MBWEMBWE

  Power on Fitness Gym iliyopo Mwenge, Kinondoni jijini Dar es Salaam imeukaribisha mwaka 2018 kwa staili ya kipekee ambapo...

READ MORE

MAKONDA AMWAGA MACHOZI MBELE YA FAMILIA ILIYOTAPELIWA NYUMBA  

Mkuu wa  Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda (kushoto) akiambatana na wanafamilia inayodaiwa kutapeliwa nyumba yao baada ya kuwatembelea ...

READ MORE

GLOBAL HABARI: CHADEMA, CCM WAZINDUA RASMI KAMPENI!

GLOBAL HABARI: Taarifa ya Habari Kutoka Global TV

READ MORE

Lowassa, Mbowe, Sumaye Wamuombea Kura Mwalimu

VIONGOZI wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ngazi ya Taifa wakiongozwa na mwenyekiti wao, Freeman Mbowe wamemuombea ridhaa ya...

READ MORE

ERIC SHIGONGO AZUNGUMZA NA WANAFUNZI MUHIMBILI – VIDEO

Mkurugenzi Mtendaji wa Makampuni ya Global Group na mhamasishaji maarusu Afrika Mahsriki na Kati, Eric Shigongo amefanya mkutano na wanafunzi...

READ MORE

Mwigulu Aongoza Jahazi la CCM Kumuombea Kura Mtulia

MBUNGE wa Iramba Magharibi, Singida na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba ameongoza jahazi la makada, wanachama...

READ MORE

IGP Sirro Asema Vijana 60 wa Tanzania Wamekamatwa Msumbiji

Mkuu wa Jeshi la Polisi, (IGP) Simon Sirro amekuatana na viongozi wa dini leo na kuzungumza na vyombo vya habari...

READ MORE

OLDUVAI GORGE: HUYU NDIYE FARU FAUSTA, MKONGWE KULIKO WOTE

  KAMATI ya Bunge ya Kudumu ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro kwa kazi nzuri...

READ MORE

Mke wa Deo Filikunjombe, Waziri Mambo Hadharani

Mambo ni moto! Ubuyu ulionyooka uliolifikia gazeti hili unadai kuwa, waziri mmoja mchapakazi (jina tunalihifadhi kwa sasa), anadaiwa kurithi mikoba...

READ MORE

Halotel Yatoa Mil. 50, Kuunga Mkono Juhudi za Makonda

  KAMPUNI ya mawasiliano ya simu za mkononi ya Halotel, imeunga mkono juhudi za Mkuu wa Mkoa wa Dar es...

READ MORE

WASTARA: “Nilitetemeka, MAGUFULI ni Mkali, Anaijua Sauti Yangu Vizuri”

Msanii wa Bongo Muvi, Wastara Juma, amesema kuwa hakuamini baada kupigiwa simu na Rais John Pombe Magufuli ili kumjulia hali...

READ MORE

GLOBAL HABARI: JPM, MAMA JANETH WAMPA WASTARA MIL 15 ZA MATIBABU

Rais John Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wamechangia Sh. milioni 15 kwa ajili ya matibabu ya msanii Wastara Juma...

READ MORE

Walichokisema Lowassa, Membe Msibani kwa Gwajima – Video

WANASIASA nguli nchini, Edward Lowassa na Bernad Membe, kwa nyakati tofauti wametoa maneno ya faraja kwa Askofu wa Kanisa la...

READ MORE

Breaking News: Tido Mhando Afikishwa Mahakamani

#BreakingNews: Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji la Tanzania (TBC), Tido Mhando, amefikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu,...

READ MORE

Gwajima Apiga Marufuku Waombolezaji Kulia Msiba wa Mama Yake – Video

ASKOFU wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Dk. Josephat Gwajima ameacha gumzo na mshangao baada ya kuzuia watu kulia kwenye...

READ MORE

MAMA ALIA… NATESEKA ZAIDI YA WASTARA

  Hujafa hujaumbika! Wakati staa wa filamu za Kibongo, Wastara Juma akiendelea kuomba michango kwa Watanzania ili akatibiwe mguu nchini...

READ MORE

MAZISHI YA MAMA GWAJIMA YAACHA HISTORIA – VIDEO

HATIMAYE mama mzazi wa Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, Bi. Ruth Paulo Gwajima ameagwa na kuzikwa...

READ MORE

MPOTO: RAIS NAYE NI BINADAMU ANA NYAMA, DAMU NA NYONGO

MWIMBAJI wa muziki wa mashairi ya asili nchini, Mrisho Mpoto maarufu kama Mjomba amesema kuwa vijana wengi wa Kitanzania sio...

READ MORE

SERIKALI YASITISHA SHUGHULI ZA WAKALA BINAFSI WA HUDUMA ZA AJIRA WALIOKIUKA SHERIA

  SERIKALI  yasitisha Shughuli za Kampuni Tatu (3) za Wakala Binafsi wa Huduma za Ajira hapa Nchini kutokana na kukiuka...

READ MORE

JPM Akutana na Mjumbe Maalum wa Rais wa Rwanda

  Rais John Magufuli amekutana na mjumbe Maalum wa Rais wa Rwanda na aliyewahi kuwa Rais wa Benki ya Maendeleo...

READ MORE

MBUNGE AKABIDHI MISAADA YA CHAKULA KWA WAZIRI MKUU

MBUNGE wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Mohammed Razar, amemkabidhi msaada wa chakula kwa Waziri, Kassim Majaliwa kwa ajili ya kuwasaidia...

READ MORE

ALIYEDAIWA KUTOROSHA DOLA AJIDHAMINI KWA FEDHA HIZO

MFANYABIASHARA  Boniface Mbilinyi (32) ambaye hivi karibuni alikamatwa na jeshi la polisi akitaka kusafirisha kiasi kikubwa cha Dola za Marekani...

READ MORE

Kisa Hakimu Kugoma Kujitoa, Mawakili wa Sugu Wajiengua

  HAKIMU Mkazi Mfawidhi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya, Michael Mteite, amegoma kujitoa katika kusikiliza kesi inayowakabili Mbunge wa...

READ MORE

Lowassa, Membe Uso kwa Uso Nyumbani kwa Gwajima

    WAZIRI Mkuu wa zamani na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Edward Lowassa wamekutana na kuzungumza na Waziri...

READ MORE

Makonda: ‘Asiyekuwa na Bima ya Afya Hatotibiwa Dar’

  MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, ametembelea Hospitali ya Mwananyamala ambapo amempongeza Mkuu wa Wilaya ya...

READ MORE

MWIGULU AFANYA MAAMUZI MAGUMU ‘SOKO LA WATUMWA’ WABONGO UGHAIBUNI

  WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba amezuia utoaji wa passport za kusafiria kwa makundi ya watu...

READ MORE

GLOBAL HABARI: Mbowe Atua Mbeya Kusikiliza Kesi ya Sugu

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Aikael Mbowe, amefika Mahakama ya Mkoa wa Mbeya kwa ajili ya...

READ MORE

MPOTO ATOA MISAADA KWA WATOTO YATIMA DAR

Mpoto akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa madrasa  ya Tidaiya iliyopoTandale. MWANAMUZIKI wa Muziki wa Asili nchini Tanzania, Mrisho...

READ MORE

Pingamizi la Sugu Lakataliwa Mahakamani, Arudishwa Rumande

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi jijini Mbeya imetupilia mbali pingamizi la upande wa utetezi la kutaka kutosikilizwa kwa ushahidi wa sauti...

READ MORE

TANZIA: Kocha wa Mwadui FC Afariki Dunia

Kocha msaidizi wa Mwadui FC inayoshiriki Ligi kuu Tanzania Bara, Jumanne Ntambi amefariki dunia usiku wa kuamkia leo, Jumatano, Januari...

READ MORE

Msigwa Kortini kwa Tuhuma za Kuchoma Nyumba ya Kiongozi UVCCM

MBUNGE wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa (CHADEMA) na wenzake 12 wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Iringa na kusomewa...

READ MORE

JPM Atengua Uteuzi wa Mkurugenzi Halmashauri Butiama

  RAIS Dk. John Magufuli, ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Butiama, Solomon Ngiliule. Akitangaza uamuzi huo ofisini kwake...

READ MORE

Nabii Tito Alivyokutana na Kanumba

KAMA ulikuwa hufahamu, basi nakujuza kuwa Onesmo Machibya anayejiita Nabii Tito aliwahi kukutana na kufanya mazungumzo na aliyekuwa nyota wa...

READ MORE

Serikali Yavunja Mkataba na TBA kwa Kumdanganya Waziri Mkuu

SERIKALI imevunja mkataba na Wakala wa Majengo TBA baada ya kutoa taarifa za uongo kwa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kuhusu...

READ MORE