×

Kitaifa

MWIGULU AFANYA MAAMUZI MAGUMU ‘SOKO LA WATUMWA’ WABONGO UGHAIBUNI

  WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba amezuia utoaji wa passport za kusafiria kwa makundi ya watu...

READ MORE

GLOBAL HABARI: Mbowe Atua Mbeya Kusikiliza Kesi ya Sugu

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Aikael Mbowe, amefika Mahakama ya Mkoa wa Mbeya kwa ajili ya...

READ MORE

MPOTO ATOA MISAADA KWA WATOTO YATIMA DAR

Mpoto akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa madrasa  ya Tidaiya iliyopoTandale. MWANAMUZIKI wa Muziki wa Asili nchini Tanzania, Mrisho...

READ MORE

Pingamizi la Sugu Lakataliwa Mahakamani, Arudishwa Rumande

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi jijini Mbeya imetupilia mbali pingamizi la upande wa utetezi la kutaka kutosikilizwa kwa ushahidi wa sauti...

READ MORE

TANZIA: Kocha wa Mwadui FC Afariki Dunia

Kocha msaidizi wa Mwadui FC inayoshiriki Ligi kuu Tanzania Bara, Jumanne Ntambi amefariki dunia usiku wa kuamkia leo, Jumatano, Januari...

READ MORE

Msigwa Kortini kwa Tuhuma za Kuchoma Nyumba ya Kiongozi UVCCM

MBUNGE wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa (CHADEMA) na wenzake 12 wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Iringa na kusomewa...

READ MORE

JPM Atengua Uteuzi wa Mkurugenzi Halmashauri Butiama

  RAIS Dk. John Magufuli, ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Butiama, Solomon Ngiliule. Akitangaza uamuzi huo ofisini kwake...

READ MORE

Nabii Tito Alivyokutana na Kanumba

KAMA ulikuwa hufahamu, basi nakujuza kuwa Onesmo Machibya anayejiita Nabii Tito aliwahi kukutana na kufanya mazungumzo na aliyekuwa nyota wa...

READ MORE

Serikali Yavunja Mkataba na TBA kwa Kumdanganya Waziri Mkuu

SERIKALI imevunja mkataba na Wakala wa Majengo TBA baada ya kutoa taarifa za uongo kwa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kuhusu...

READ MORE

Msekwa: Huwezi Kuizuia Rushwa kwa Matamko – Video

MWANASIASA mkongwe nchini, Pius Msekwa, amesema ni vigumu kuzuia na kuondoa rushwa nyakati za uchaguzi kwa sababu za ugumu wa...

READ MORE

BREAKING NEWS: TAASISI YA MOYO YA JK YAZUNGUMZA NA WANAHABARI

Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete kwa kushirikiana na Shirika la Save the Heart’s Child kutoka nchini Israel na taasisi...

READ MORE

MAKONDA: “Siwataki Wauza Magari Mjini, Nawapa Miezi 9 Tu”

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amewapa miezi tisa tu (ambapo mwanzoni ilikuwa miezi sita) wafanyabiashara ya...

READ MORE

Museveni Amfagilia Rais Trump

RAIS wa Uganda, Yoweri Museveni amesema anampenda Rais wa Marekani, Donald Trump kwa sababu anasema ukweli mtupu kuhusu matatizo ya bara...

READ MORE

Mamilioni ya Michango ya Wastara ‘Yapigwa’

  AMA kweli kuna watu hawana huruma! Wakati staa wa filamu Bongo, Wastara Juma akihangaika kutafuta msaada wa shilingi milioni...

READ MORE

TANZIA: Jaji Kisanga Afariki Dunia

#TANZIA: Jaji mstaafu, Robert Kisanga amefariki dunia jana jioni katika Hospitali ya Regency Dar. Rais wa Chama cha Majaji Wastaafu,...

READ MORE

KATE KAMBA AWAPOKEA WANACHAMA 200 WALIOJIUNGA CCM

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam, Bi Kate Kamba juzi Jumatatu aliwapokea wanachama zaidi ya...

READ MORE

Dereva wa Basi la New Force Mbaroni kwa Overtake

Dereva wa Basi la Kampuni ya New Force akamatwa na Jeshi la Polisi kwa kuvunja sheria za barabarani na kuhatarisha...

READ MORE

BALOZI ZA ISRAEL, UJERUMANI KUSHIRIKIANA NA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI)

  BALOZI za Israel na Ujerumani hapa nchini zimeahidi kuendelea kushirikiana na Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) ili kuhakikisha...

READ MORE

Mapingamizi Yapigwa Chini Kinondoni, Mtulia na Mwalimu Sasa Kuchuana

MSIMAMIZI wa uchaguzi wa jimbo la Kinondoni ambaye pia mkurugenzi wa manispaa hiyo, Aron Kagurumjuli ameyatupilia mbali mapingamizi matatu yaliyowasilishwa...

READ MORE

Breaking News: Mbaroni kwa Kuiba Majeneza Dar

KIJANA aliyetambulika kwa jina moja la Boniface mkazi wa Mwananyamala kwa Msisiri jijini Dar es Salaam, anashikiliwa na Jeshi la...

READ MORE

Breaking News: ‘Nabii’ Tito Mikononi mwa Sirro

JESHI la Polisi Mkoa wa Dodoma inadaiwa limemtia mbaroni mkazi mmoja wa mkoani humo anayejitangaza kama nabii, Tito Machija, ambaye...

READ MORE

Juma Nyosso Kortini

  MLINZI wa timu ya Kagera Sugar, Juma Said Nyosso anatarajiwa kupandishwa Mahakamani siku yeyote kuanzia leo (Jumanne), kutokana na...

READ MORE

Sugu Kortini Tena Leo, Arudishwa Rumane

MBUNGE wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi (Chadema) ‘Sugu’ na Katibu wa Kanda ya Nyasa wa chama hicho, Emmanuel Masonga wamerudishwa...

READ MORE

Breaking News: Rais Magufuli Amtumbua Mkurugenzi Butiama

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, Suleimani Jafo ametangaza kuwa, Rais Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Halmashauri ya...

READ MORE

Serikali Kumshughulikia Nabii Tito

Mkurugenzi wa Idara ya Huduma za Sheria wa Wizara ya Mambo ya Ndani, Marlin Komba amesema hamtambui mtu anayejiita nabii...

READ MORE

MAGAZETI YA TANZANIA LEO JUMANNE, JAN 23, 2018

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo, Jan 23, 2018. Ni yale ya...

READ MORE

Polisi Dar Wahofia Kufa Kwa Kipindupindu

  BAADHI ya majirani na polisi wa Kituo cha Polisi cha Mabatini jijini Dar, wameibuka na kudai kuwa kutokana mtaro...

READ MORE

Sanchez Rasmi Ndani ya Man U, Mashabiki Meno Nje

Baada ya mshambuliaji Alexis Sanchez kukamilisha uhamisho wake kujiunga na Man United. Sanchez, 29, anakuwa na mshahara mkubwa zaidi katika...

READ MORE

 Kijana: Nusura P-Funk Aniue!

  “ILIKUWA nusura P-Funk, Majani aniue!” Hivyo ndivyo alivyoanza kusimulia kijana ambaye ni fundi wa kuchomea vyuma (welding), Pendael Timotheo,...

READ MORE

GLOBAL HABARI: HUKUMU YA SCROPION YAMTOA MACHOZI SAID

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam imemhukumu mwalimu wa sanaa ya kujihami, ‘Martial Arts’ na...

READ MORE

Mwanza: Ajali ya Basi Yaua na Kujeruhi

WATU wawili wamefariki dunia na wengine watatu kujeruhiwa baada ya basi dogo la abiria kampuni ya Mkombozi kugongana uso kwa uso...

READ MORE

KINGWANGALLA KUFUNGUA ONYESHO LA ‘CHIMBUKO LA BINADAMU’ DAR

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamis Kigwangalla, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa maonyesho ya Chimbuko la Mwanadamu...

READ MORE

JPM Apokea Hati za Utambulisho wa Mabalozi 6

Rais Dkt. John Pombe Magufuli amepokea hati za utambulisho kutoka Mabalozi 6 walioteuliwa kuziwakilisha nchi zao hapa nchini.

READ MORE

‘Nabii Titto’ Ajitokeza, Aanika Kuhimiza Bia Madhabahuni, Akomaa Kumuoa Wema

MKAZI mmoja wa Dodoma anayejitangaza kama nabii, Tito Machija amesema watu wasimuone kuwa hana akili kutokana na mahubiri yake ambayo...

READ MORE

Breaking News: Scorpion Ahukumiwa Kwenda Jela, Faini 30m

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam leo Jumatatu, Januari 22, 2018 imemhukumu mwalimu wa sanaa...

READ MORE

Sugu Afikishwa Mahakamani Tena

  MBUNGE wa Mbeya Mjini (Chadema), Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ na Katibu wa Chadema Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Emmanuel...

READ MORE

Askofu Gwajima Apata Pigo

ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima lililopo Ubungo jijiji Dar es Salaam, Josephat Gwajima jana Jumapili, Januari 21,...

READ MORE

GLOBAL HABARI: KIMBEMBE! MAWAZIRI 5 WA JPM WAVAMIA BANDARI

 GLOBAL HABARI: KIMBEMBE! MAWAZIRI 5 WA JPM WAVAMIA BANDARI Mawaziri watano wa serikali ya awamu ya tano wamefanya ziara...

READ MORE