×

Kitaifa

Simulizi ya Mfungwa Aliyeishi Gerezani Miaka 55 na Kuachiwa na Magufuli Inasikitisha – Video

PEKOS Mtalikidonga (55) mfungwa aliyekuwa na umri mdogo kuhukumiwa kunyongwa akiwa na wenzake wanne akiwemo kaka yake, na baadaye kusamehewa...

READ MORE

Sarakasi za Uchaguzi Zaimega Chadema, Singida Wasimamisha Mgombea

SARAKASI za kisiasa zinazidi kushamiri! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema kufuatia Uongozi wa Vyama Vinavyounda Umoja wa Katiba Mpya (UKAWA) kueleza kutoshiriki...

READ MORE

MO Dewji: Kijana Akifanya Haya Atatengeneza Mkwanja Kirahisi

MFANYABIASHARA maarufu nchini Tanzania, Mohammed Dewji ambaye ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Makampuni ya MeTL Group amefunguka na kuwapa siri...

READ MORE

Breaking News: Sadifa Aachiwa kwa Dhamana, Apewa Masharti Magumu

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Dodoma iemwachia kwa dhamana aliyekuwa Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM), Sadifa Juma Khamis...

READ MORE

Fifa Yazuia Usajili wa Kwasi

USAJILI wa dirisha dogo Bongo uliofun­gwa usiku wa kuamkia juzi Jumamosi, ambapo Simba ilimnasa beki Asante Kwasi dakika za mwisho,...

READ MORE

Haya Ndiyo Matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa CCM – Dodoma (Video)

Rais Dkt John Magufuli amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Rais Shein Makamu Mwenyekiti Zanzibar na Philip...

READ MORE

Msafara wa IGP Sirro Wasimamishwa

MKUU wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro amesema Jeshi lake limeongeza nguvu ya ziada ya kupambana na uhalifu...

READ MORE

Kikwete: Mnasema Vyuma Vimekaza? Vumilieni Tu! – (Video)

RAIS Mstaafu wa awamu ya nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Jakaya Mrisho Kikwete amewataka watanzania kuwa wavumilivu...

READ MORE

Magufuli Ajiuzulu Uenyekiti wa CCM, Agombea Tena – Video

Mweyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Dkt. John Pombe Magufuli amejiuzulu nafasi hiyo kulingana na katiba ya chama hicho...

READ MORE

Wasira Aibukia kwa JPM, Awavunja Mbavu CCM, Dodoma – Video

HADITHI: SIKU ZA MWISHO ZA UHAI WANGU – SEHEMU YA 1 (Audio) Nakuletea dakika 15 za kwanza za simulizi hii...

READ MORE

Airtel Yatangaza GB Zaidi Bando za Yatosha Intaneti

Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania imekutana na watangazi wa radio mbalimbali  nchini na kuongelea ongezeko la faida...

READ MORE

Yaliyojiri Kwenye Mkutano Mkuu wa CCM Taifa – Dodoma

Hotuba ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasilisha hoja ya utekelezaji wa ilani ya CCM ndani ya mkutano mkuu wa chama...

READ MORE

Mahakama Kuu Yamwachia Huru Sheikh Ponda

MAHAKAMA Kuu imemuachia huru Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu, Sheikh Issa Ponda katika rufaa iliyokatwa na Jamhuri kupinga...

READ MORE

Kinana Afunguka Ndani ya Mkutano Mkuu wa CCM – (Video)

Chama cha Mapinduzi (CCM) kimeanza mkutano wake mkuu wa Taifa Mjini Dodoma ambapo utafanyika  kwa siku mbili, Desemba 18-19, 2017....

READ MORE

Hotuba ya Rais Magufuli Akifungua Mkutano Mkuu wa CCM – (Video)

MKUTANO Mkuu wa Taifa wa Chama cha Mapinduzi (CCM) umeanza Mjini Dodoma ambapo utafanyika  kwa siku mbili, Desemba 18-19, 2017...

READ MORE

JPM: Tumewaburuza Wapinzani Kata 42 kwa Sababu Hizi – (Video)

Mkutano Mkuu wa Taifa wa Chama cha Mapinduzi (CCM) umeanza Mjini Dodoma ambapo utafanyika  kwa siku mbili, Desemba 18-19, 2017...

READ MORE

Lukuvi Amtumbua Mkurugenzi Mkuu NHC, Nehemia Mchechu

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi ameagiza kusimamishwa kazi Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la...

READ MORE

Ramsey Noah Atembelea Kaburi la Kanumba – (Video)

MSANII nguli wa filamu nchini Nigeria, Ramsey Noah, ametembelea kaburi la swahiba wake aliyekuwa gwiji wa filamu Bongo, Steven Kanumba,...

READ MORE

Spika Ndugai Asema Atakwenda Kwa Tundu Lissu Baada ya Krismasi

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai (Mb.) ameusema kuwa atakwenda nchini Kenya kumuona Mbunge...

READ MORE

MASKINI: Miaka 20 ya Binti JUDITH Kitandani, Alizaliwa na Sura ya Ajabu!

Binti anayefahamika kwa jina la Judith Mwenye umri wa miaka 20, Mkazi wa Tabata Jijini Dar es Salaam, ambaye anaishi...

READ MORE

Wadada Wanaodaiwa Kujihusisha na Usagaji Waachiwa Kortini

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Mwanza imewaachia kwa dhamana wadada wawili waliokamatwa kwa tuhuma zinazoashiria kujihusisha na vitendo vya mapenzi ya...

READ MORE

Jaji Mkuu Awaapisha Mawakili Wapya 80

ZAIDI ya mawakili 80 wamehitimu mafunzo na kuapishwa kuanza kazi ya kuhudumu kama watetezi wa kisheria katika mahakama mbalimbali hapa...

READ MORE

LIVE: Mama Samia Suluhu Ahamia Dodoma Rasmi

MAKAMIU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Bi. Samia Suluhu Hassan, leo Ijumaa, Desemba 15 amehamia rasmi makao...

READ MORE

Dongo la Polepole kwa Wapinzani, ‘Muulizeni Mwenyekiti Wenu Alikopeleka Pesa’

KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole amevipiga kijembe vyama vya upinzani akimtaka mwenyekiti wa...

READ MORE

CHADEMA Watoa Kauli Kuhusu Kujiuzulu kwa Mbunge wa Siha, Molel

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA ) tarehe 14 Disemba,2017 tumepokea taarifa kupitia mitandao ya kijamii kuwa Mbunge wa Siha...

READ MORE

Twaweza: Tumewanufaisha wanafunzi zaidi ya 48,000

  TAASISI ya utafiti ya Twaweza imesema kuwa, kuwalipa walimu bahshishi kumewanufaisha wanafunzi zaidi ya 48,000 katika kujifunza stadi za...

READ MORE

SERIKALI KUENDELEA KUIMARISHA VIWANDA VYA NGUO ILI KUKIDHI SOKO LA NDANI

SERIKALI imesema kuwa itaendelea kuthamini wajasiriamali wa viwanda vya kutengeneza nguo hapa nchini vinavyoendelea kukua na kukidhi mahitaji ya wanachi....

READ MORE

Mke wa Mwandishi Azory Afunguka Mzazito Mumewe Alivyopotea, Cheki Video

ZIKIWA zimepita siku zaidi ya 20 tangu kupotea kwa mwandishi wa Mwananchi, Azory Gwanda, wilayani Kibiti mkoani Pwani, aliyepotea tangu...

READ MORE

Lissu Aibua Mapya Kuhusu Wasaliti wa Chadema

MBUNGE wa Singida Mashariki na Rais wa Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS), Tundu Lissu ambaye sasa Kenya akiendelea na matibabu...

READ MORE

JPM: Wanaosema Vyuma Vimekaza, Waweke Grisi la Sivyo Vitavunjika (Video)

RAIS John Magufuli amesema kuwa wanaodai maisha ni magumu mitaani huku wakitumia msemo wa “vyuma vimekaza”, basi waviwekee grisi vilainike,...

READ MORE

Majonzi na Vilio Kuagwa kwa Miili ya Askari 14 wa JWTZ Waliouawa, DRC -(Video)

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ameongoza waombolezaji kuaga miili ya askari 14 waliouawa na waasi wa ADF nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya...

READ MORE

Miili ya Wanajeshi 14 wa JWTZ Waliouawa DRC Yaagwa, Mmoja Wao Hajapatikana

MAMIA ya waombolezaji wamejoteka kuaga miili ya askari 14 waliouawa na waasi wa ADF nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo...

READ MORE

Yaliyojiri Kortini Kesi ya Wadada Wanaodaiwa Kujihusisha na Usagaji

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Mwanza inatarajiwa kutoa uamuzi wa dhamana ya washtakiwa wanne wanaokabiliwa na kesi ya kujihusisha na vitendo...

READ MORE