×

Kitaifa

Mvua Kubwa Kunyesha Siku Tatu Mfululizo

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa angalizo la uwepo wa mvua kubwa itakayonyesha hii leo Januari 17, 2022,...

READ MORE

Breaking: Ajali Yaua watau Dodoma

Watu watatu wamefariki dunia na wengine 11 kujeruhiwa katika ajali basi iliyotokea katika eneo la panda mbili wilayani Kongwa mkoani...

READ MORE

Mhitimu Kidato cha Nne Ajiua

Mhitimu wa kidato cha nne mwaka 2021 Shule ya Sekondari Serengeti mkoani Mara Lucas Thomas (17) amekutwa amejinyonga kwa kamba...

READ MORE

Kimenuka! Mabomu ya Machozi Yarindima Dar

Polisi mkoani Dar es Salaam wametumia mabomu ya machozi kuwatawanya wafanyabiashara wa soko la Karume (Mchikichini) ambao wameandamana na kufunga...

READ MORE

Mwanaume Adaiwa Kumuoa kwa Nguvu Binti wa Miaka 14

Jeshi la Polisi mkoani hapa linamshikilia Mwanaume mmoja mkazi wa kijiji cha Loswaki wilaya ya Simanjiro aliyejulikana kwa jina Lalahe...

READ MORE

Wasakwa kwa Kuchana Quran

WATU kadhaa wanaotuhumiwa kuchana kitabu kitukufu cha Dini ya Kiislam, (Quran) hadharani katika maeneo ya Pandani-Mtemani Mkoa wa Kaskazini-Pemba wanasakwa...

READ MORE

Sita Wanusurika Kifo Gesti Ikiteketea Moto Arusha

Watu sita wamenusurika kifo baada ya nyumba ya kulala wageni ‘gesti’ iliyopo Maji ya Chai wilayani Arumeru mkoani Arusha kuteketea...

READ MORE

Shule 10 Bora Matokeo ya Kidato cha Pili

Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) leo Jumamosi, Januari 15, 2022 limetangaza matokeo ya mtihani wa taifa wa kidato cha...

READ MORE

Wanafunzi 10 Bora Kidato cha Pili

Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) leo Jumamosi, Januari 15, 2022 limetangaza matokeo ya mtihani wa taifa wa kidato cha...

READ MORE

Breaking News: NECTA Yatangaza Matokeo ya Kidato cha Nne

Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) leo Jumamosi, Januari 15, 2022 limetangaza matokeo ya mtihani wa taifa wa kidato cha...

READ MORE

Majonzi: Baba Aliyechinjwa na Mwanaye Mwanajeshi Azikwa – Video

MWILI wa aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Chama cha Mapinduzi Taifa (CCM), Edward Ndonde anayedaiwa kuuawa kikatili...

READ MORE

Airtel yaeleza miamala ya Mbowe mahakamani

MAHAKAMA Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, jijini Dar es Salaam, imepokea taarifa za miamala na usajili...

READ MORE

Mbaroni kwa Kuiba Scania

Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani linawashikilia watu watatu kwa tuhuma za wizi wa gari (Scania) , gari hilo limekamatwa...

READ MORE

Zuhura Yunus Aondoka BBC Baada ya Miaka 14

Mtangazaji mashuhuri wa BBC Zuhura Yunus anaondoka katika shirika hilo baada ya kulitumikia kwa takriban miaka 14 .   Zuhura...

READ MORE

Mwijaku Achukua Fomu ya Uspika

Mtangazaji wa CloudsFM kipindi cha LEO TENA na kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Burton Mwemba maarufu kwa jina la...

READ MORE

Rasmi! GGML Kuanza Kutumia Umeme wa TANESCO

MKUU wa Mkoa wa Geita, Rosemary Senyamule amesema mpango wa kuunganisha umeme wa gridi ya taifa kuelekea katika mgodi wa...

READ MORE

Mfahamu Binti Mdogo Aliyechukua Fomu ya Uspika

Mkazi wa Temeke, Ester Makazi amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kugombea nafasi ya Spika wa...

READ MORE

100 ‘Walamba’ Mil. 10/- za Wiki ya Pili NMB MastaBata

KAMPENI ya ‘NMB MastaBata – Kivyako Vyako’, inayoendeshwa na Benki ya NMB imeezidi kushika kasi ambako wateja 100 wa Benki...

READ MORE

Timu Yapata Ajali Zambia

Timu ya Quattro Kalumbila FC inayoshiriki Ligi daraja la kwanza nchini Zambia imepata ajali asubuhi ya leo January 13, 2022...

READ MORE

Afghan: Mawasiliano ya Simu Kupatikana Saa 7 kwa Siku

Taliban ambao wanaendelea kuiongoza Afghanistan wameweka sheria kali za matumizi ya simu kwa watu wa Kaskazini Magharibi mwa nchi hiyo...

READ MORE

Tanzia: Steve Moyo Mchongi Afariki Dunia

Taarifa za kuaminika zilizotufikia hivi punde zinasema, Mtangazaji nyota wa vipindi vya michezo kutoka kituo cha Redio Free Afrika, Steve...

READ MORE

Samia Ampa Kazi Hii Lukuvi – Video

RAIS Samia Suluhu Hassan, amempa jukumu aliyekuwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe William Lukuvi la kuunganisha...

READ MORE

Samia: Kama Humpendi Samia Mheshimu Mungu Wako – Video

RAIS Samia Suluhu Hassan, amewataka mawaziri na manaibu waziri aliyowateua hivi karibuni kufanya kazi kwa kushirikiana badala ya malumbano na...

READ MORE

Odinga Kuanza ‘Kuiteketeza’ Ngome ya Kenyatta

Kiongozi Kinara wa chama cha ODM Raila Odinga, Jumamosi, Januari 15, atakuwa katika kaunti ya Kiambiu kuzindua rasmi kampeni za...

READ MORE

Mwanajeshi Adaiwa Kumuua Baba Yake Kikatili

JESHI la Polisi mkoani Mbeya limethibitisha kutokea mauaji ya aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Chama cha Mapinduzi...

READ MORE

Waliokufa kwa Ajali Simiyu Wafikia 15

Idadi ya vifo vilivyoyokana na ajali iliyohusisha gari ya wanahabari ma Toyota Hiace imefikia 15 baada ya majeruhi mmoja aliyekuwa...

READ MORE

Askofu Ashtakiwa kwa Kupapasa Titi la Mwanamke na Kujaribu Kumbusu

Askofu mmoja anayehusishwa na kanisa la Kianglikana jijini Nairobi ameshtakiwa kwa kumnyanyasa mwanamke mmoja kwa kumshika matiti na kujaribu kumbusu...

READ MORE

Mwanamke Shujaa Alivyopambana na Majambazi

Usiku wa Januari 10, 2022 baada ya Mtu mmoja ambaye hajafahamika jina mwenye umri unaokadiriwa kua miaka 30 -40 kuuawa...

READ MORE

Aliyemuua Mama Yake, Simulizi ya Tukio Inatisha

MAMBO mazito yanazidi kufichuka katika tukio la mtoto wa kike anetuhumiwa kumuua mama yake mzazi aitwaye Patricia Ibreck na kufukia...

READ MORE

Chenge Naye Ajitosa Uspika wa Bunge

MBUNGE wa Zamani wa Bariadi Magharibi (CCM) Andrew Chenge amejitosa katika kinyang’anyilo cha kuwania nafasi ya Spika wa Bunge la...

READ MORE

Maeneo ya Dar, Kibaha Kukosa Maji kwa Saa 16

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) inawatangazia wateja na wananchi wanaohudumiwa na mtambo wa kuzalisha...

READ MORE

Mwanafunzi Achukua Fomu ya Uspika

IKIWA hatua ya uchukuaji fomu za kuomba uteuzi wa kikiwakilisha Chama Cha Mapinduzi (CCM) kugombea nafasi ya Spika wa Bunge...

READ MORE

Watatu Wafariki kwa Kulipukiwa na Kinachodhaniwa Kuwa Bomu

KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Pwani, Wankyo Nyigesa, aliwaambia waandishi wa habari jana kuwa tukio hilo lilitokea juzi majira ya...

READ MORE

Nape Atoa Siku Saba Waajiri Kulipa Madai ya Wanahabari Waliofariki

SERIKALI imetoa siku saba kwa waajiri wote wanaodaiwa na waandishi wa habari waliofariki katika ajali ya gari wilayani Busega kulipa...

READ MORE

Vifo vya Wanahabari Mwanza, Nape Atoa Maagizo kwa Polisi

WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nauye ameliagiza Jeshi la Polisi nchini kuchambua matukio yote ya ajali...

READ MORE

Mwanafunzi UDSM Afariki kwa Kujirusha Ghrofani Baada ya Kuiba

MWANAFUNZI mmoja aitwaye Manawa Samson Horera (22) ambaye ni mwanafunzi wa mwaka wa pili wa Shahada ya kwanza ya Uhasibu...

READ MORE

Miili ya Wanahabari Waliokufa Ajalini Yawasili Nyamagana

Miili ya wanahabari na dereva wa ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza waliofariki katika ajali ya gari jana Januari...

READ MORE

Kikosi cha Makomando Sherehe za Mapinduzi Zanzibar

Kikundi cha Komando kikipita kutoa heshima wakati wa Maadhimisho ya miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar yanayofanyika leo Januari 12,...

READ MORE

Waziri wa Elimu Mpya na Waziri Hussein Bashe Wakabidhiana Ofisi

  WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Adolf Mkenda amekabidhi Ofisi kwa Waziri mpya wa Kilimo Hussein Bashe huku...

READ MORE

Nape: Wizara Ipo Mikono Salama

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Nape Nnauye amemuhakikishia aliyekuwa Waziri wa Wizara hiyo ambaye kwa sasa...

READ MORE