×

Kitaifa

Tanzania Yapokea Dozi 800,000 za Chanjo

Waziri wa Afya, Ummy leo Januari 26, 2022 amepokea dozi 800,000 za chanjo ya UVIKO-19 aina ya Sinopharm kutoka Serikali...

READ MORE

Mtoto Auawa kwa Kuchomwa Kisu Shingoni

MTOTO anayekadiriwa kuwa na umri kati ya miaka 13 hadi 16 amefariki dunia baada ya kuchomwa kisu shingoni wakati akigombana...

READ MORE

Askari Polisi Aliyekamatwa kwa Tuhuma za Mauaji Ajinyonga Mahabusu

Ofisa mmoja wa Jeshi la Polisi Mkoani Mtwara, Mrakibu Msaidizi wa Polisi, Greyson Mahembe ambaye ni miongoni mwa maofisa saba...

READ MORE

Sinia la DCB Lazidi Kumwaga Zawadi

 

READ MORE

Maofisa 7 wa Polisi Kizimbani kwa Tuhuma za Mauji

Jeshi la Polisi Mkoani Mtwara limewakamata na kuwafikisha mahakamani Maafisa wa Polisi saba kwa tuhuma za kufanya mauaji ya Mussa...

READ MORE

Mwili wa Baba wa Balozi Emmanuel Nchimbi Wazikwa Kijeshi..

  Mwili wa mzee John Alfonso Nchimbi ambaye ni baba wa Balozi Emmanuel Nchimbi aliyefariki dunia Januari 23, 2022 katika...

READ MORE

Aliyegombana na Mkewe Ajiua kwa Mkanda

KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, Daud Samwel (30) mkazi wa Kitongoji cha Burunga Wilaya ya Serengeti mkoani Mara amejinyonga kwa...

READ MORE

Mwili wa John Nchimbi Waagwa

Mwili wa mzee John Alfonso Nchimbi ambaye ni baba wa Balozi Emmanuel Nchimbi aliyefariki dunia Januari 23, 2022 katika Hospitali...

READ MORE

Rais Samia: Soko Jipya Kujengwa Karume

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali itajenga Soko jipya la Karume ambapo...

READ MORE

Askari Polisi Afia Gesti Akijiburudisha na Mrembo

JESHI la Polisi nchini Kenya linafanya uchunguzi kufuatia mwanaume mmoja, ambaye ni askari wa Jeshi hilo mwenye umri wa miaka...

READ MORE

Rais Samia: Poleni Wamachinga

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan amewapa pole wamachinga kufuatia kuteketea kwa soko lao...

READ MORE

Baba wa Ngusa Samike Azikwa Kahama

Leo Januari 25, 2022, baba wa Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza, Ngusa Samike, Mzee Fredrick Shija Samike amezikwa katika...

READ MORE

Waliomuua Mwanamke Gesti Wakiri Kupewa Mil 1.7

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam linawashikilia Watu wawili wanaodaiwa kula njama na baadaye kumuua Mwanamke mmoja...

READ MORE

Mjamzito na Watoto Wake Wachinjwa Kinyama

MATUKIO ya mauaji yameendelea kwa kasi baada ya watu wasiojulikana kuua kwa kuchinga. Kutokana na tukio hilo lililotokea Januari 17,...

READ MORE

Mradi wa Akili Bandia Wazinduliwa Tanzania

Serikali ya Tanzania imezindua mradi wa maabara ya akili bandia (artificial intelligence) utakaosaidia kurahisisha shughuli za maendeleo nchini. Hayo yamesemwa...

READ MORE

Ridhiwani Aitaka NHC Kuwa na Mipango Ya Muda Mrefu

  Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Ridhiwani Kikwete amelitaka Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kuwa...

READ MORE

Mke, Mume Washikiliwa Kwa Mauaji Mwanza

Jeshi la polisi mkoani Mwanza linawashikiliwa watu watano wakiwemo mume na mke wake kwa tuhuma za mauaji ya wanawake watatu...

READ MORE

Mshumaa Ndio Umeteketeza Soko la Karume

Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla, amesema uchunguzi umebaini kuwa mshumaa uliowashwa na mateja ndio sababu ya...

READ MORE

Akaa Kwenye Mataili ya Ndege kwa Saa 11 Angani

JESHI la Polisi wa Uholanzi wanasema wamempata mtu akiwa hai katika sehemu ya gurudumu la ndege iliyotua katika uwanja wa...

READ MORE

Nape Nnauye Atua Airtel, Awahakikishia Ushirikiano

Airtel tunakushukuru sana Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mheshimiwa Nape Nnauye kwa utayari wako na serikali wakushirikiana...

READ MORE

Majaliwa: Wanafunzi Someni kwa Bidii

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka watoto wa Kitanzania kujiwekea malengo na kusoma kwa bidii ili kupata maarifa yatakayolisaidia taifa kupata...

READ MORE

Tanzia: Baba wa Balozi Nchimbi Afariki Dunia

Aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Brazil, Dkt. Emmanuel Nchimbi amefiwa na baba yake mzazi, John Nchimbi usiku wa kuamkia leo...

READ MORE

Safari yua Mwisho ya Askofu Mpango

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameongoza waombolezaji katika mazishi ya kaka wa Makamu wa Rais na Askofu Mstaafu wa Kanisa la...

READ MORE

Samia: Mimi ni Chui Jike – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amewapongeza wana Kilimanjaro kwa mapokezi yao kwake na kusema mwanzo...

READ MORE

Sabaya Akana Kununua GARI Milion 90 Wala Kutoa Mgao wa Pesa Kwa Vijana

ALIYEKUWA Mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya, amedai kuwa hakuwahi kutakatisha Sh. milioni 90 wala kutoa...

READ MORE

Mke wa Mtu Auliwa na Mchepuko wake

MWILI wa mwanamke aliyetambulika kwa jina la Teddy Mallya mkazi wa Ilboru Kisiwani, Arumeru mkoani Arusha umekutwa umetupwa kwenye shamba...

READ MORE

Ukame Wasababisha Vifo vya Mifugo 1,257

Kufuatia hali ya ukame na ukosefu wa malisho unaoukabili mkoa wa Kilimanjaro umepelekea jumla ya ng’ombe 841, kondoo 406 na...

READ MORE

Kitendawili! Nafasi ya Naibu Spika

Kuteuliwa kwa Dk Tulia Ackson kupeperusha bendera ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kuwania uspika wa Bunge la Tanzania kunahamishia vita...

READ MORE

Miili ya Wasichana Ndugu Waliouawa Mwanza Yazikwa Sengerema

MIILI ya wasichana watatu wa familia moja waliouawa jijini Mwanza Januari 18, 2022 imewasilia mjini Sengerema na kuzikwa jana usiku...

READ MORE

Askari Anayedaiwa Kupokea Rushwa Akamatwa

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa mkoani Iringa imethibitisha kumkamata askari wa usalama barabarani kwa kosa la kupokea rushwa...

READ MORE

Chenge Ampongeza Dkt. Tulia Uspika

Aliyewahi kuwa mbunge wa Bariadi Magharibi, Andrew Chenge, amempongeza mbunge wa Mbeya Mjini, Dkt. Tulia Ackson, kwa kuchaguliwa na Kamati...

READ MORE

IGP Sirro Awavisha Nishani Maofisa, Wakaguzi na Askari 123

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro, amewavalisha nishani maofisa, wakaguzi na askari wa vyeo mbalimbali 123 waliotunukiwa...

READ MORE

Mbinu Wanazotumia Trafiki Kupokea Rushwa

VITENDO vya rushwa ni miongoopni mwa mambo yanayopigwa vita kutokana na kurudisha nyuma maendeleo baada ya sekta na taasisi mbalimbali...

READ MORE

Mabinti Waliokatiza Masomo Wamerudi Shule

Mabiti wa kike waliokatiza masomo kwa sababu mbalimbali ikiwemo ujauzito wamerejea shuleni ikiwa ni sehemu ya mpango wa serikali wa...

READ MORE

Ofisa wa Polisi Ajijengea Kaburi

YAKO mambo ya kushangaza, kuchekesha na hata kuhuzunisha. Ndivyo unavyoweza kusema baada ya Ofisa wa Jeshi la Polisi nchini, Mrakibu...

READ MORE

Nape Asitisha Kupanda kwa Vifurushi

Waziri wa Habari na Teknolojia ya Habari Mhe. Nnauye Nape ameiagiza TCRA kuyaagiza makampuni ya simu kusitisha upandishaji wa bei...

READ MORE

Dkt. Mpango Aaga Mwili wa Kaka Yake

MAKAMU wa Rais Dk. Philip Mpango, amewaongoza waombolezaji kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu kaka yake Askofu Gerald...

READ MORE

Bad News: Mvua yaondoka na Nyumba 61, Kituo cha Afya

MVUA kubwa iliyoambatana na upepo mkali imeharibu nyumba 45 katika mtaa wa kineng’ene , kata ya Mtanda manispaa ya Lindi....

READ MORE

Tembo Aliyejifungua Mapacha Apewa Ulinzi Maalum

MNYAMA aina ya Ndovu au Tembo wa Mbuga ya Kitaifa ya Samburu nchini Kenya, amejifungua ndama pacha katika kile ambacho...

READ MORE