Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), imeanza kukagua taasisi za umma kuhusu utekelezaji wa sheria...
READ MOREAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS Anuani ya Simu: “TAMISEMI” Simu Na: (026) 2322848, 2321607 2322853, 2322420 Nukushi: (026) 2322116,...
READ MORETAMKO LA JUMUIYA YA MAIMAMU ZANZIBAR (JUMAZA) KWA KUSHIRIKIANA NA TAASISI ZA KIISLAM ZANZIBAR KWA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU MGOGORO...
READ MORESimba huyo baada ya kuuawa. Mnyama Simba amevamia Kijiji cha Sitalike Tarafa ya Nsimbo Wilaya ya Mlele Mkoa wa Katavi...
READ MOREWafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya Nchi wakiwa katika wamesimama nje ya jengo hilo baada ya kutokea hitilafu ya cheche...
READ MOREMeli ya MV Serengeti leo imekwama kufika Bukoba kutokana na kupata hitilafu katika propera zake, na inadaiwa kuwa ilipita eneo...
READ MOREKaimu Kamishna Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA, Alphayo Kidata. Jumla ya shilingi trilioni 1.4 imekusanywa na Mamlaka ya Mapato Tanzania...
READ MORENaibu Waziri wa Kazi,Vijana na Ajira,Mhe Anthony Mavunde (wapili toka kushoto) akikagua vibali vya kuishi na kufanya kazi nchini vya...
READ MOREWaziri wa Kilimo, Uvuvi na Mifugo, Mwigulu Nchemba akisalimiana na wadau wakati wa mkutano wake na viongozi wa vyama vya...
READ MOREJengo la Ghorofa ya 4 la Jeshi la Polisi Makao Makuu jijini Dar es Salaam leo limenusurika kuwaka moto baada ya kutokea...
READ MOREMawakili wa upande wa serikali na walalamikaji wakiandaa nakala zao kabla ya madai hayo kusikilizwa.Wakazi wa Kinondoni wakipongezana baada ya...
READ MOREMuuzaji wa magazeti ya Global Publishers (katikati) akiwa na msomaji wa Gazeti la Uwazi eneo la Tandale Sokoni huku akimwelekeza...
READ MOREMabasi yendayo haraka Dar.Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. George Simbachawene....
READ MORERais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akipokea Hati za Utambulisho za Mhe. Song Geum-young,...
READ MOREWaziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi akiwasili kwenye mradi uliodumaa wa Ujenzi wa machinjio ya kisasa wa ranchi ya Ruvu mapema hii...
READ MOREAfisa Masoko ya Airtel bi Rebecca Mauma (katika) akibonyeza kitufe cha kutafuta washindi wa droo ya wiki ya tatu ya...
READ MOREEneo la tukio, maaskari wakiukagua mwili wa marehemu. Gari walilopata nalo ajali WATU 8 wamefariki dunia katika ajali iliyosababishwa na...
READ MORENaibu Waziri wa Ofisi ya Rais, Tamisemi, Utumishi na Utawala Bora, Suleiman Jafo. NAIBU Waziri wa Ofisi ya Rais, Tamisemi,...
READ MOREBaadhi ya wakazi wanaoishi mabondeni wakiwa mahakamani hapo.Wakazi wa maeneo ya mabondeni wakiwa tayari kusikiliza shauri la zuio lao la...
READ MOREMbunge wa jimbo la Kinondoni, Maulid Mtulia. Mbunge wa jimbo la Kinondoni, Maulid Mtulia amewasilisha mahakamani shauri la kupinga zoezi...
READ MOREAjali ilivyotokea mapema leo asubuhi. Shughuli za kuwaokoa walionusurika na ajali. AJALI mbaya imetokea leo asubuhi baada ya basi la...
READ MOREMAANA YA NDOA, SUMU YA NDOA Yaliyomo.. 1. Kutotekeleza ahadi. 2. Maneno ya kashfa na matusi. 3.Ubinafsi. 4.Kusikiliza maneno ya...
READ MOREMakamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akishiriki na Wananchi, Vikundi ya vya usafi wa mazingira pamoja na...
READ MORERais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akizoa taka katika zoezi la Usafi wa...
READ MORENaibu Waziri wa Nishati na Madini, Dkt. Medard Kalemani (kushoto) akisaini kitabu cha wageni katika ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Dodoma...
READ MOREMahabusu wawili wa Gereza la Wilaya ya Musoma mkoani Mara, wamefariki dunia baada ya kukumbwa na ugonjwa wa kipindupindu Mkuu...
READ MORERais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dk. Jakaya Kikwete akisalimiana na Rais wa Uganda, Paul Kagame baada ya kumaliza muda...
READ MOREWaziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Mhe. Mwigulu Nchemba akizungumza na viongozi wa machinjio ya Vingunguti – Dar mara baada...
READ MOREHoyce Temu akiongozana na kamati nzima ya Miss Tanzania kuelekea kwenye ukumbi wa Nungwi ambapo kuna kambi ya wagonjwa wa...
READ MOREMkurugenzi na wafanyakazi wote wa Global Publishers tunawatakia wasomaji wetu wote wa Magazeti yetu, Tovuti yetu, kurasa zetu za Facebook,...
READ MOREJumba la Mchungaji Mama Rwakatale Wakati operesheni ya kuweka alama ya X kwenye nyumba zilizojengwa mabondeni, maeneo ya wazi na...
READ MOREKatibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii,Meja Jenerali Gaudence S. Milanzi akila kiapo cha utii mbele ya Rais wa...
READ MOREKutoka kushoto ni mwakilishi wa mradi wa CCIAM Prof. J.M. Abdallah, Mkurugenzi wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA),...
READ MORETAARIFA YA JESHI LA POLISI KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU TAHADHARI KATIKA MKESHA WA MWAKA MPYA Tunapoelekea kumaliza mwaka 2015 na...
READ MOREKamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar, Suleiman Kova. Leo ni siku ya mwisho kwa Kamanda wa kanda maalum ya...
READ MORETAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa makatibu...
READ MORESpika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akilakiwa na Naibu Spika wa Bunge Mhe. Tulia Ackson mara baada ya kuwasili katika...
READ MOREMkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Dkt. Ally Simba akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam...
READ MOREJAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS Anuani ya Simu “TAMISEMI” DODOMA Simu Na: (026) 2322848, 2321607, 2322853, 2322420,...
READ MORE