×

Kitaifa

Somalia yapiga marufuku Krismasi

Wapiganaji wa Kundi la Al Shabaab. Serikali ya Somalia imepiga marufuku sherehe za kuadhimisha Sikukuu ya Krismasi katika mji mkuu...

READ MORE

Rais Magufuli akutana na Balozi wa Uswisi na Kuwait

Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na balozi wa Kuwait hapa nchini Mhe. Jasem Al Najem Ikulu jijini Dar...

READ MORE

Shamra za Krismas zilivyopamba moto Dar

Taswira ya baadhi ya mitaa ya katikati ya Kariakoo, Dar ilivyofurika umati wa watu. Harakati za hapa na pale zikiendelea...

READ MORE

Viongozi wa Chuo cha Kiislamu cha Imam Swadiq watoa salamu za Krismas

Sheikh Hemed Jalala akiongea na waandhishi wa habari (hawapo pichani). Sheikh Hemed Jalala akisisitiza jambo. Waandishi wa habari wakichukua matukio....

READ MORE

Watu zaidi ya 800,000 wameitazama “Utanipenda ya Diamond” ndani ya wiki!

Video mpya ya staa wa Bongo Fleva, Diamond Platinumz imetazamwa na watu  zaidi ya laki nane na tisini kwa muda...

READ MORE

Waziri Lukuvi asitisha zoezi la bomoa bomoa Dar

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi nchini, Mhe. William Lukuvi. WIZARA ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi...

READ MORE

KADCO yaokoa zaidi ya bilioni 2 Uwanja wa Ndege wa KIA ndani ya wiki 1

Kaimu Mkurugenzi wa KADCO ,Bakari Murusuri |(Katikati) kushoto kwake ni mkurugenzi wa shughuli mama za kiwanja na huduma KADCO,Christopher  Mukoma...

READ MORE

Kliniki ya afya ya mapenzi Mwanza yaungua moto

Moto mkali ukiunguza Ofisi za Kliniki ya afya ya mapenzi iliyopo jijini Mwanza leo. Ofisi hizo zikizidi kuungua kwa moto....

READ MORE

Askofu Malassy Kuombea Amani Taifa

Askofu Godfrey Malassy (kushoto) akizungumza jambo na kulia kwake ni Mchungaji wa kanisa hilo, Oliva Mallonga.Mchungaji Mallonga (kulia) akionesha vitabu...

READ MORE

Mbunge nchini Kuwait afariki wakati wa kikao cha bunge.

Nabil al-Fadl enzi za uhai wake. MBUNGE wa Kuwait Nabil al-Fadl (65) amefariki dunia ghafla leo baada ya kuanguka kutoka...

READ MORE

Rais Magufuli amsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya RAHCO

Mkurugenzi Mkuu wa kampuni hodhi ya rasilimali za reli Tanzania (RAHCO) Mhandisi Benhadard Tito (kulia). Rais wa Jamhuri ya Jamhuri...

READ MORE

Polisi Dar Wakamata Meno ya Tembo 156, Bunduki mbili

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova  akionesha baadhi ya vipande vya bunduki zilizokamatwa  aina ya...

READ MORE

Madereva wahimizwa kutotumia kilevi wanapoendesha magari‏

Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Dodoma,SSP Nuru Selemani akiwakiwaelimisha abiria ndani ya basi lilofanya safari zake mikoani...

READ MORE

Etihad Kusambaza Boeing 787s kwa Safari Zake Tofauti Mwaka 2016‏

Shirika la ndege la Etihad, ndege rasmi ya taifa kwa Falme za kiarabu limetangza kuanzisha mipango ya kurusha ndege aina...

READ MORE

Kigwangwalla Atembelea Ujenzi wa Hospitali ya Rufaa Kanda ya Kusini‏

Mganga Mkuu wa Hospitali ya Ligula ya mkoa wa Mtwara, Dkt. Shaibu Maarifa (katikati) akifafanua jambo kwa Naibu Waziri wa...

READ MORE

Rais Magufuli atoa zawadi ya x-mas, mwaka mpya kwa makundi maalumu, Dar

  Kamishna wa Ustawi wa Jamii kutoka Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Rabikira  Mushi(katikati), akizungumza...

READ MORE

Rais Magufuli Ashiriki Mazishi ya Dada wa Rais Mstaafu Kikwete, Msoga

Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiweka udongo kaburini wakati wa mazishi ya dada yake, Marehemu Tausi Khalfani Kikwete kijijini...

READ MORE

Asilimia 49 ya wanaume Tanzania, si wazazi halali wa watoto wao

Asilimia 49 kati ya asilimia 100 ya matokeo ya uchunguzi wa makosa ya vinasaba (DNA) yanayowasilishwa katika ofisi ya Wakala...

READ MORE

Rais Magufuli akutana na Maalim Seif Ikulu leo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, akisalimiana na aliyekuwa mgombea urais wa Zanzibar, Maalim Seif...

READ MORE

CCM yanyakua ubunge jimbo la Masasi

Mbunge Mteule wa Jimbo la Masasi kwa tiketi ya CCM, Bw. Rashid Chuachua. Chama cha Mapinduzi kimeweza kutetea jimbo lake...

READ MORE

Bomoa bomoa bonde la msimbazi Dar yaendelea

Tingatinga lilipotua Mto Msimbazi eneo la Kinondoni Mkwajuni kabla ya kuanza kazi ya bomoa bomoa. Taswira ya Bonde la kinondoni...

READ MORE

Edosama kutoa madawati milioni 1.5 nchi nzima

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Edosama Hardware Ltd, Edward Maduhu (katikati) akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es...

READ MORE

Thamani ya Tanzanite iliyokamatwa KIA yafikia Dola za Marekani mil 1.2

Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini Mhandisi Omar Chambo (wa kwanza kulia) akiangalia moja ya mashine zinazotumika katika shughuli...

READ MORE

Mkuu wa Upelelezi TANAPA achinjwa shingo, mwili watelekezwa!

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Liberatus Sabas. POLISI mkoani Arusha imewatia mbaroni watu wawili wanaohusishwa na tukio la kuuawa...

READ MORE

Airtel yashinda tuzo mbili kwa kutoa huduma bora kwa wateja‏

MKurugenzi Mkuu wa Airtel Bwana Sunil Colaso akipokea tuzo ya ubora katika kipengele cha kutoa huduma za kimtandao kutoka kwa...

READ MORE

Mabasi ya mwendo kasi kuanza kazi Januari 10

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Majaliwa akisalimiana na watendaqji mbalimbali wa mradi wa mabasi yaendayo haraka waliofika katika kituo cha Feri...

READ MORE

Kigwangalla Afanya Ziara ya Kushtukiza Hospitali za Rufaa Lindi na Mtwara‏

Kaimu Muuguzi Mkuu wa Hospitali ya Sokoine ya Mkoa wa Lindi, Damasiana Msalla akimuongoza Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya...

READ MORE

Majimbo ya Masasi Mjini na Ludewa kufanya uchaguzi kesho

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Mstaafu Damian Lubuva akitangaza taarifa ya Upigaji kura kwa Majimbo ya Masasi...

READ MORE

Picha za ajali ya Mabasi mawili na Lori moja Jijini Mbeya leo

Ajalia ilivyotokea.…hali ya sintofahamu Magari matatu yamepata ajali mkoani Mbeya leo asubuhi, ajali iliyohusisha basi la Kampuni ya Hood linalofanya...

READ MORE

Chanjo ya Minyoo, Matende na Mabusha Yazinduliwa Dar

Wauguzi  mbalimbali wa Wilaya ya Kinondoni wakitoa dawa za chanjo kwa wakazi wa Manzese Dar.Mmoja wa akina mama akiwa kwenye...

READ MORE

Jeshi la Polisi: Vyeti feki vyawaondoa askari kazini ni uzushi

Msemaji wa Jeshi la Polisi, Advera John Bulimba – SSP. TAARIFA YA JESHI LA POLISI KWA VYOMBO VYA HABARI Katika...

READ MORE

Benki ya NMB Plc Yatoa Vifaa Tiba vya Msaada Zahanati ya Kimara Dar

Mganga Mfawidhi Zahanati ya Kimara, Dk. Alphoncina Mbinda (kushoto) akipokea baadhi ya mashine za kupimia mapigo ya moyo kwa mgonjwa...

READ MORE

Rais Magufuli amtumia salamu za Rambirambi kwa Rais Kikwete

Rais Mstaafu wa awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John pombe...

READ MORE

TCRA Yatoa miezi Sita kuzifunga simu feki Tanzania

UTANGULIZI: Vifaa vya mawasiliano vya mkononi – hususan simu za kiganjani na vifaa vya mawasiliano vya kiganjani (tablets) – vina...

READ MORE

Simba wamshtukia Majabvi, wamkata mshahara

Kiungo wake mkabaji Mzimbabwe, Justice Majabvi. Wilbert Molandi, Dar es Salaam KUTISHIA kumtimua haikutosha, uongozi wa Simba umeamua kumkata mshahara...

READ MORE

Kasi ya rais Magufuli yabaini vyeti feki 219

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Angellah Kairuki. Kasi ya Mawaziri wa Rais...

READ MORE

Kauli ya Mbowe baada ya MCC kuzuia Trilioni 1 kwa serikali ya Tanzania

Mwenyekiti wa Chama chadema, Freema Mbowe. Muda mfupi baada ya Bodi ya MCC kutoa taarifa inayoonesha Tanzania haitapata msaada kutoka...

READ MORE

Ajali ya basi yaua 12 na kujeruhi 22 Iringa

Taswira kutoka eneo la ajali. WATU 12 wamepoteza maisha huku wengine 28 wakijeruhiwa leo baada ya basi la New Force...

READ MORE