×

Makala

Malaika Napenda Muziki Kuliko Filamu

Ukiambiwa utaje listi ya mastaa wa kike ambao wanafanya vizuri kwenye gemu ya muziki wa Bongo Fleva, basi naamini kabisa...

READ MORE

Fahamu Mfumo wa Israel wa Kujilinda na Makombora

TANGU Jumatatu, Wapiganaji wa Hamas wamerusha makombora 1000 katika ardhi ya Israel mengi yakilenga mji mkuu wa Tel Aviv na...

READ MORE

Video: Magufuli Ameondoka, Je, Tuondoke Naye? – Magulification Of Africa

 HII ni Makala inayomuelezea kwakina aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati Dkt John Pombe Magufuli, aliyepumzishwa katika nyumba yake ya...

READ MORE

Neymar Ajinasia Kidege Emilia Wa Argentina

NYOTA anayesakata kabumbu katika klabu ya Paris Saint-Germain (PSG) ya nchini Ufaransa, Neymar da Silva Santos Júnior ‘Neymar’ (28), amepata...

READ MORE

Maalim Seif: Jabali la Siasa Aliyetemwa CCM, Akafungwa Miaka 3

GLOBAL Publishers tumekuandalia makala ya maisha na enzi ya Hayati Maalim Seif Sharif toka alipozaliwa, maisha ya kisiasa mpaka alipokutwa...

READ MORE

Mfahamu Nelson Mazola: Jambazi Aliyeokoka Na Kugeukia Uigizaji -Video

KIJANA Nelson Mazola, 33, ambaye ni raia wa Afrika Kusini ambaye stori ya maisha yake imewagusa wengi baada ya kuweka...

READ MORE

Humphrey Polepole: Kutoka Ndoto ya Urubani Hadi Mbunge

  HUMPHREY Polepole si jina geni miongoni mwa Watanzania ambao asilimia kubwa vijana ambao wanatamani pia kuwa kama yeye. Ni...

READ MORE

Dk. Gwajima; Mrithi wa Ummy Mwalimu Gumzo

KATIKA majina ya mawaziri waliounda Baraza la Mawaziri lililoteuliwa na Rais Dk John Pombe Magufuli ‘JPM’, wiki iliyopita, jina la...

READ MORE

Inasikitisha! Nilihukumiwa Miaka 30 Jela, Nikashinda Kesi

Maisha ya binadamu yamejaa changamoto nyingi kila kukicha, unaweza ukajikuta siku moja inakuwa nzuri kwako na nyingine inakuwa mbaya sana...

READ MORE

Shuhudia Kilichomkuta Jamaa Huyu, Asimamishwa Kazi Miezi 6

Naitwa Elisha mkazi wa Tabata jijini Dar es Salaam, nafanya kazi katika kampuni moja binafsi. Nimefanya kazi kwenye kampuni hii...

READ MORE

Yafaa Sasa Kubadili Mtazamo Wako Juu Ya Mapenzi

RAFIKI ni Ijumaa nyingine njema Mwenyezi Mungu ametujaalia.Tumeona wengi kwenye mapenzi wakiishi katika hali tofauti. Wapo wenye pesa na wasionazo....

READ MORE

Sitasahau nilivyomfuma Mume wangu na Mchepuko chumbani kwetu

Hakuna kitu kinaumiza kwenye uhusiano kama usaliti lakini unakuta mwanaume anakusaliti na bado anakuletea dharau mpaka kufikia kiasi cha kumleta...

READ MORE

Nilivyonusurika kutapeliwa Tsh. Milioni Moja Ubungo

Jina langu naitwa Lucy, nafanya biashara ya uwakala wa huduma za kifedha za mitandao mbalimbali ya simu katika Stendi Kuu...

READ MORE

Berlin Yafuta Barabara ya Herman, Yaitwa Lucy Lameck

    NA MSIMULIZI WETU JIONI moja hivi karibuni, mwandishi wa shirika la habari la Uingereza (BBC) kanipigia simu kutaka...

READ MORE

Huu Ndiyo Mlima wa Simba CAF

  MICHUANO ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu wa 2020/21 ambayo inaandaliwa na Shirikisho la Soka la Afrika (CAF), inatarajiwa...

READ MORE

Wapinzani wa Simba Waliwahi Kushinda 79-0, Wakafungiwa

  LIGI ya Mabingwa Afrika inatarajiwa kuanza wikiendi hii, ni michuano ya 25 tangu kuanzishwa kwa mfumo wa ligi hiyo...

READ MORE

Nilivyonusurika Kutapeliwa Sh. Milioni Moja Ubungo

Jina langu naitwa Lucy, nafanya biashara ya uwakala wa huduma za kifedha za mitandao mbalimbali ya simu katika Stendi Kuu...

READ MORE

Kama Kweli Anataka Kusepa… Rayvanny Achague Kuwa Harmonize Au Mavoko!

    Mkali Wa Bongo Fleva Anayetumikia Lebo Ya Wasafi Classic Baby (Wcb), Raymond Mwakyusa ‘Rayvanny’ Ametajwa Mara Nyingi Zaidi...

READ MORE

Onja Furaha ya Gemu la Sic Bo Kupitia Meridianbet

Kama ni mpenzi wa Craps, basi utaipenda Sic Bo kwasababu zinamfanano. Kama ilivyo kwenye Craps, gemu hili linatumia kete kutambua...

READ MORE

Mpango Mpya Kukuza Utalii Kuzinduliwa Dar.

Mpango mpya wa kukuza utalii wa ndani unatarajiwa kuzinduliwa  Julai 1, mwaka huu  jijini Dar es salaam. Waziri wa Maliasili...

READ MORE

Fanyeni haya mdumishe penzi lenu

RAHA ya mapenzi ni wapendanao kupendana kwa dhati. Japo mara nyingi hutokea watu wanaoana ikiwa mmoja wao hampendi sana mwenzake,...

READ MORE

Amekutumia Halafu Anakuacha? Usiumie, Fanya Haya!

MUNGU ni mwema sana. Tunakutana alhamisi nyingine katika eneo letu la kuweza kupeana darasa la masuala ya uhusiano. Tunajifunza, tunatafakari...

READ MORE

Kanda Mikononi Mwa Mbelgiji Simba

MABOSI wa Simba wamefunguka kuwa, watamsikiliza kocha wao mkuu, Mbelgiji, Sven Vandenbroeck juu ya nyota gani ambaye anamaliza mkataba wambakishe...

READ MORE

Hii ni spesho kwa wanaopenda wake za watu!

TUPO kwenye kipindi kigumu cha kupambana na Virusi vya Corona vinavyosababisha Ugonjwa wa COVID-19. Tuzidi kuchukua tahadhari za kujilinda zinazotolewa...

READ MORE

Vitu 10 vya Kubadilisha Nyumba yako

NYUMBA ni sehemu muhimu ambapo panatakiwa kuwa pa tofauti na ofisi au sehemu nyingine yoyote ili kuleta mvuto. Kuna vitu...

READ MORE

Wanawake mnanisikia au niongeze sauti

WATAALAM wa saikolojia na elimu ya uhusiano wa kimapenzi kati ya mwanamke na mwanaume, tunakubaliana kwa pamoja kwamba, wanaume ni...

READ MORE

Umeumizwa Moyo wako na Umpendaye?

UNAPOZUN-GUMZIA suala la maumivu ya mapenzi, japokuwa huumiza sana hasa kama ulikuwa na mapenzi ya dhati na mwenzi wako na...

READ MORE

HAKUJALI, HAKUTHAMINI, HAKUHITAJI, SASA WA NINI?

UNAPOMUWEKA mtu moyoni mara nyingi kumsahau ni vigumu. Wengi wanashindwa kuuona uzito huu kwa sababu hawakuwahi kupenda. Wanayachukulia mapenzi kama...

READ MORE

Fimbo unayo, Unahangaika wa kukuchapa

WAUNGWANA  Jumatano nyingine nakuja Shangingi wenu mstaarabu kabisa uongo uongo? Halooo, kama nawaona wengine hapo mlivyokunja sura utafi kiri mjusi...

READ MORE

Mambo haya ni sumu ya penzi lako

UKIACHILIA mbali pesa, mapenzi huwa yana nafasi kubwa kwenye dunia tunayoishi. Si maskini wala si tajiri, wote kwa pamoja wanahitaji...

READ MORE

Unaijua thamani yako kwenye mapenzi? – 3

TUNAENDELEA na darasa letu, leo ikiwa ni sehemu ya tatu. Usijali sana kuhusu urefu wa mada, maana baada ya kumaliza...

READ MORE

Kataa kuwa mpira wa kona

JUMATANO saafi , Shangingi wenu nimejaa tele kuwaletea ile kitu roho inapenda. Niwape maneno yenu pambe, niwachambe vizabizabina msio na...

READ MORE

Ni Muda Gani Unatosha Kumchunguza Mtu?

WATU wengi ambao wanataka kuingia kwenye uhusiano wa kimapenzi huwa na kauli mbiu hii; “Mchunguze kwanza ujue tabia zake!”  Ni...

READ MORE

Kuna mapenzi ya dhati dunia ya sasa?

MUNGU ni mwema! Jumamosi nyingine tunakutana kwenye darasa letu. Kama mada inavyojieleza hapo juu, kuna mapenzi ya dhati kwenye dunia...

READ MORE

Dunia ya mapenzi imebadilika, shtuka!

NI Ijumaa nyingine tunakutana hapa, mahali ambapo tunajifunza na kupeana misingi kuhusu masuala mbalimbali ya uhusiano wa kimapenzi na maisha...

READ MORE

Unaijua thamani yako kwenye mapenzi?-2

MARAFIKI tunaendelea na mada yetu iliyoanza wiki iliyopita ambapo tunaangalia namna ambavyo unaweza kujipandisha thamani yako kwa mwenzi wako.  Tayari...

READ MORE

Utamu wa pipi mate yako!

  WAPE habari wenye habari zao. Shangingi Mstaafu nakuja kifua mbele kuwapa maneno pambe, si mnanijua vizuri eeeh! Mwaka ndio...

READ MORE

Haijalishi umeumizwa kiasi gani, wewe songa mbele

DUNIA ya mapenzi kila siku ina mambo mapya. Huyu anaingia, huyu anatoka. Kuna ambaye analia na kuna ambaye anacheka. Anayecheka...

READ MORE

Unaijua thamani yako kwenye mapenzi?

KUNA wakati inatokea kwenye uhusiano, mmoja wao (hasa mwanamke) akadhauriwa na mpenzi wake na kuonekana wa kawaida tu. Athari kubwa...

READ MORE

Nani kakwambia utamu wa dodo kula na maganda?

SILAHA ya mwanamke ni kujua kuchamba haswa kama unayo maneno bibi. Sio unamchamba mtu kwa maneno ya kwenye kamusi inahusu?...

READ MORE