×

Michezo

Simba Yatupwa Nje Ligi ya Mabingwa, Yapigwa Kwa Mkapa

TIMU ya Simba imetolewa rasmi kwenye michuano ya Ligi Mabingwa Afrika baada ya kufungwa Jwaneng Galaxy kwa mabao 3-1, mchezo...

READ MORE

Tazama Tambo za Mashabiki wa Simba Uwanja wa Mkapa

 Kuelekea katika mtanange wa ligi ya mabingwa mchezo wa marudiano kati ya simba dhidi ya jwaneng mashabiki wa klabu...

READ MORE

Simba 1-3 Jwaneng (Agg: 3-3) SIMBA OUT Ligi ya Mabingwa

Baada ya ushindi wa 0-2 ugenini, Simba wapo dimbani kuumana na Jwaneng Galaxy katika mchezo wa pili wa hatua ya...

READ MORE

Kapombe: Tunakwenda Makundi CAF Leo

KUELEKEA mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Jwaneng Galaxy utakaopigwa leo Jumapili kwenye Uwanja wa Mkapa,...

READ MORE

Ndayiragije Atupiwa Virago Geita Gold

Klabu ya Geita Gold imetangaza kuachana na kocha wake mkuu Mrundi Etiene Ndayiragije kuanzia Oktoba 23, 2021. Kwa mujibu wa...

READ MORE

TFF ‘Yaiba’ Tuzo ya Luís Miquissone

Usiku wa Oktoba 21, 2021 Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) lilitoa zaidi ya tuzo 25 kwa kwa wachezaji,...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la spotixtra kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= iOS :...

READ MORE

Kocha Simba: Waswana Hawafiki Dk 45

KOCHA wa Makipa wa Simba, raia wa Brazil, Milton Nienov, amefunguka kuwa, pamoja na kikosi hicho kupewa muda wa mapumziko...

READ MORE

Jembe La Kazi Yanga Laanza Matizi

MABINGWA wa kihistoria Yanga wameendelea na mazoezi kwa ajili ya kuivutia kasi Azam FC katika mchezo wa Ligi Kuu Bara...

READ MORE

KMC Wagawana Pointi Na Namungo, Ilulu

WAKIWA Uwanja wa Ilulu, leo Oktoba 23, 2021 Wanakinoboys wamegawana pointi mojamoja na Namungo FC kwa kufungana bao 1-1.  ...

READ MORE

Manara Avunja Ukimya Baada ya Kukosa Tuzo

MSEMAJI wa Klabu ya Yanga, Haji Manara amefunguka kwa mara ya kwanza baada ya kubwagwa kwenye tuzo za Shirikisho la...

READ MORE

Suti ya Fei Toto Yazua Gumzo – Video

MOJA ya vitu ambavyo vinatesa sana mtandaoni hadi sasa toka tukio la ugawaji wa tuzo za TFF ni mitoko ya...

READ MORE

Twiga Stars: Tutashinda na Kufuzu Afcon

KOCHA Mkuu wa Twiga Stars, Bakari Shime, amesema kuwa leo Jumamosi watafanya maajabu kwa kushinda na kufuzu michuano ya Afcon...

READ MORE

Morrison: Nitawavuruga Zaidi Waswana

STAA wa Simba, Bernard Morrison amesema kuwa mchezo wao wa kesho Jumapili dhidi ya Jwaneng Galaxy atacheza kwa juhudi zaidi...

READ MORE

Senzo Mbatha Amvulia Kofia Nabi

KAIMU Ofisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa Yanga, Senzo Mbatha Mazingisa amesema kuwa kila siku anazidi kufurahishwa na utendaji kazi na...

READ MORE

Wenger: Salah Ndiye Bora Duniani

KOCHA wa zamani wa Arsenal, Arsene Wenger amesema kuwa mshambuliaji wa Liverpool, Mohamed Salah ndiye bora duniani kwa sasa.  ...

READ MORE

Solskjaer: Msimponde Ronaldo Mtaumbuka

KOCHA wa Man United, Ole Gunnar Solskjaer, amesema kama kuna mtu anataka kumponda Cristiano Ronaldo basi aangalie mechi kati ya...

READ MORE

Mechi Leo, Biashara United Hawajasafiri Mpaka Sasa

KLABU ya Soka ya Biashara United Mara imeshindwa kusafiri kuelekea nchini Libya kutokana na kukosekana kwa vibali vya anga vya...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi  kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= iOS :...

READ MORE

Twiga Stars Kupindua Meza Kwa Namibia

KOCHA wa Timu ya Taifa ya Wanawake, Twiga Stars, Bakari Shime, amesema walifanya makosa kwenye mchezo uliopita wakiwa nyumbani na...

READ MORE

Bosi Simba Afunguka Kasi ya Yanga

MWENYEKITI wa Simba, Murtaza Mangungu, amewaondoa hofu mashabiki wa timu hiyo kwa kuwaambia wasiogope kasi ya wapinzani wao Yanga huku...

READ MORE

Utata Mkubwa Tuzo za TFF, Figisu Zatajwa

USIKU wa jana Alhamisi, Oktoba 21, 2021 Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) lilitoa tuzo kwa wachezaji, wadau wa soka, makocha,...

READ MORE

Epl, Laliga Na Super Lig Kunogesha Wikiendi Yako

Ukiwa na Meridianbet, unauwezo wa kutengeneza faida kila siku, muda wowote ukiwa mahali popote. Meridianbet ni michongo tu! Wikiendi hii...

READ MORE

Tanzania Yapanda Viwango FIFA

TANZANIA imepanda kwa nafasi mbili katika viwango vya ubora wa soka kwa mwezi Oktoba vilivyowekwa hadharani jana na Shirikisho la...

READ MORE

Kikosi Bora Cha Ligi ya Wanaume na Wanawake hiki hapa

Utoaji wa tuzo umefanyika Oktoba 21 kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere uliopo Posta, Dar es salaam.Tuzo hizo ziligawanyika...

READ MORE

Simba Yatawala Tuzo za TFF 2021 Dar, Bocco MVP wa Ligi

HATIMAYE Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kwa kushirikiana na Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) jana walitoa tuzo za msimu...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la Ijumaa kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Fei Toto Atoa Siri ya Mabao ya Kideoni – Video

KIUNGO mzawa wa Yanga, Feisal Salum ‘Fei Toto’, amebainisha kuwa amezoea kufunga mabao magumu jambo ambalo halikumpa shida kuwatungua KMC....

READ MORE

Simba Yafanyiwa Umafia Dar

WALICHOKIFANYA Jwaneng Galaxy ya Botswana ni kama umafia kwa Simba kwani wameamua kutua Dar kimyakimya bila ya wenyeji wao kuwa...

READ MORE

Mayele, Fei Toto Wampa Kiburi Nabi

BAADA ya Yanga kupata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya KMC, Kocha Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi ametamka kuwa hivi...

READ MORE

Simba Waitangazia Vita Jwaneng Galaxy ‘Hawatoki’ – Video

KLABU ya Simba, leo Oktoba 21, 2021 imezungumza na wanahabari kuelekea mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa dhidi ya Jwaneng...

READ MORE

Stephen Sey Atimkia Misri

KWA mujibu wa mwandishi nguli wa michezo barani Afrika Nuhu Adams, mshambuliaji wa Namungo Fc, Steven Sey inaripotiwa amejiunga na ...

READ MORE

Kiwango cha Banda Chawashtua Simba

UONGOZI wa benchi la ufundi la Simba umeshtushwa na kiwango cha nyota mpya wa timu hiyo, Peter Banda, aliyesajiliwa kutokea...

READ MORE

Man United Comeback ya Kibabe, Ronaldo Aaamua Mechi

BAADA ya kuanza vibaya katika kipindi cha kwanza na kupigwa bao mbili za chachap, hatimaye Manchester United wanafanikiwa kupindua matokeo...

READ MORE

Sababu Mbili Zilizombakisha Saido Dar

IMEELEZWA kuwa sababu mbili kuu ndiyo zilizosababisha kiungo mshambuliaji wa Yanga, Mrundi, Said Ntibanzokiza ‘Saido’ kubakishwa mkoani Dar es Salaam....

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la spotixtra kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= iOS :...

READ MORE

Shabiki Man City Apigwa na Kitu Kizito

WATU watano wanashikiliwa na vyombo vya Usalama vya Ubelgiji baada ya shabiki wa klabu ya Manchester City kushambuliwa wakati wa...

READ MORE

Yanga Waaga Mwili wa Baba Mzazi wa Paul Godfrey Temeke

Kikosi  cha Yanga baada ya kufika Dar es Salaam, kilienda Hospital ya Temeke kwa ajili ya kuaga mwili wa Baba...

READ MORE

Baada ya Kuitungua KMC, Yanga Yarejea Dar

KIKOSI cha Yanga kimetua saa 4:00 asubuhi hii kikitokea Songea mkoani Ruvuma kwenye mchezo wa ligi dhidi ya KMC na...

READ MORE

Yanga Yaiwekea Mtego Azam FC

OFISA Mtendaji Mkuu wa Yanga, Senzo Mazingisa, amefunguka mipango yao ya kuwamaliza Azam kwenye mchezo wa ligi kuu. Yanga itacheza...

READ MORE