×

Michezo

Haipendezi Changamoto za Wananchi Zinajirudia Kila Wakati

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amewataka wananchi wa mkoani Kilimanjaro kudumisha amani ili kuipa...

READ MORE

Sterling Atishia Kuondoka Man City

Mshambuliaji wa Manchester City, Raheem Sterling (26) anasema kwamba atakuwa tayari kuondoka katika klabu hiyo iwapo hatopatiwa muda mwingi wa...

READ MORE

Mo Dewji: Hakuna Biashara, Napata Hasara Simba

MFANYABIASHARA maarufu Tanzania na Afrika kwa ujumla ambaye pia ni mwekezaji wa Klabu ya Simba, Mohamed Dewji ‘Mo Dewji’ akihojiwa...

READ MORE

Manara Kuishitaki Simba Sc

Msemaji wa Klabu Yanga Haji Manara amesema anakwenda kuwashitaki waajiri wake wa zamani, Klabu ya Simba kwa kumtumikisha bila mkataba....

READ MORE

Mganga wa Jadi Atamba Kummaliza Kiwango Essien

Mganga wa jadi nchini Ghana ameibuka na kudai kwamba yeye ndio alisababisha mchezaji wa zamani wa @ChelseaFC, @MichaelEssien kushuka kiwango....

READ MORE

CAF Yawaruhusu Simba, Azam, Biashara Kuingiza Mashabiki

Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limeruhusu mashabiki kwenye michezo ya Kombe la Shirikisho Afrika na Ligi ya Mabingwa...

READ MORE

Miquissone Aachwa Al Ahly

Kocha wa Mabingwa Afrika, Al Ahly, Pitso Mosimane ametaja kikosi chake kitakachosafiri kuelekea Niger kwa ajili ya mchezo wa klabu...

READ MORE

Kwa Umafia wa Simba, Wabotswana Wanakufa Mapema

KOCHA Mkuu wa Simba raia wa Ufaransa, Didier Gomes Da Rosa, ameendelea kuwafanyia umafia wa kutosha wapinzani wake, Jwaneng Galaxy...

READ MORE

Ligue 1, Epl Na Serie A Kuendelea Wikiendi Hii

Baada ya mapumziko wiki mbili, wikiendi hii tunarejea viwanjani katika muendelezo wa Ligi mbalimbali barani ulaya. Ligue 1, EPL na...

READ MORE

Makambo, Mayele Kimeeleweka

TAARIFA zinasema kwamba, Kocha Mkuu wa Yanga, Nasredinne Nabi, ameona ili timu yake ianze kufunga mabao mengi tofauti na ilivyo...

READ MORE

Moloko Aanza Tambo Yanga

WINGA machachari wa Yanga, Jesus Moloko, anataka kuona akiendelea kufunga mabao katika michezo ijayo ya Ligi Kuu Bara ili kuhakikisha...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la Ijumaa kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Simba SC Wapangua Fitina Botswana

JESHI la watu watatu wa Simba waliotangulia nchini Botswana kuandaa mazingira ya timu hiyo kufikia limeanza na kazi ya kupangua...

READ MORE

Yanga Yateka Shoo

SIMBA na Yanga zimemwaga mkwanja mrefu msimu huu ili kuhakikisha zinashindana haswa kuwania mataji mbalimbali ambayo timu hizo zinashiriki msimu...

READ MORE

Nabi Alichonganisha Jembe Jipya na Kibwana Yanga SC

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mtunisia, Nasreddine Nabi, amemwambia beki wake mpya David Bryson kuwa ana nafasi ya kucheza mbele ya...

READ MORE

Djuma Arejea Yanga, Apewa Program Maalum

BEKI wa pembeni tegemeo hivi sasa Yanga, Mkongomani Shaban Djuma amejiunga kwenye kambi ya timu hiyo sambamba na kupewa program...

READ MORE

Mhilu Kuwakosa Wabotswana

IMEBAINIKA kwamba mshambuliaji mpya wa Simba, Yusuph Mhilu, kwa sasa hatashiriki michuano ya kimataifa akiwa na kikosi hicho kutokana na...

READ MORE

Beki Simba: Kumuona Chama kwa Sakho ni Uongo

BEKI mkongwe na mwenye heshima kwenye soka la Tanzania, Boniphace Pawasa amebainisha kuwa ikiwa mashabiki wa Simba watategemea kuona uwezo...

READ MORE

Gomes: Ubora wa Wabotswana Upo Hapa

KOCHA Mkuu wa Simba, Didier Gomes, amewatazama wapinzani wake Klabu ya Jwaneng Galaxy ya nchini Botswana huku akiweka wazi ubora...

READ MORE

Beki Yanga SC Ashtukia Jambo

BEKI wa kushoto wa Yanga, Yassin Mustafa amefunguka kuwa kwa sasa ushindani wa namba kwenye kikosi chao umeongezeka, hivyo ni...

READ MORE

Bocco, Mugalu Wapewa Kazi Maalum Simba SC

ZIKIWA zimesalia takribani siku tano kabla ya Simba kuvaana na Jwaneng Galaxy ya Botswana, Kocha Mkuu wa Simba, Didier Gomes...

READ MORE

Kapombe, Sakho Warejea Simba

WACHEZAJI waliokuwa wakisumbuliwa na majeraha kwenye kikosi cha Simba akiwemo Pape Ousmane Sakho na Shomary Kapombe, wameanza kurejea kwa kasi....

READ MORE

Ajibu Aanza Kunoga Simba

KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Ibrahim Ajibu ameanza kuonesha cheche zake ndani ya kikosi hicho kufuatia jana kutoa asisti murua katika...

READ MORE

Henock Ampa Jeuri Gomes

KOCHA Mkuu wa Simba raia wa Ufaransa, Didier Gomes ameonekana kuvutiwa na kiwango cha Mkongomani, Henock Inonga Baka. Henock ni...

READ MORE

Jembe jipya lashtua Yanga

UWEZO uliooneshwa na jembe jipya la Yanga kutokea Ghana katika mchezo wa kirafiki dhidi ya JKU uliochezwa juzi Jumapili, umewashtua...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la spotixtra kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= iOS :...

READ MORE

Gomes Awaandalia Wabotswana Dozi Nzito

KOCHA Mkuu wa Simba, Didier Gomes, ameamua kuwaandalia dozi nzito wapinzani wake, Jwaneng Galaxy ambao wikiendi hii watakwenda kupambana katika...

READ MORE

Msuva aahidi jambo Stars

NYOTA wa kimataifa wa Tanzania, Simon Msuva, amesema kuwa, wataendelea kupambana katika mechi za kufuzu Kombe la Dunia kuhakikisha wanafikia...

READ MORE

Simba Yanasa Video za Wabotswana

IMEBAINISHWA kuwa, video za mechi za wapinzani wa Simba katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika, Jwaneng Galaxy, zitaamua aina...

READ MORE

Mastaa Yanga Wanaitaka Rekodi Hii Msimu Huu

ACHANA na bonasi za kila mechi wanazozipata kutoka kwa wadhamini wao kampuni ya GSM imefichuka kuwa kitu kikubwa ambacho kinawapa...

READ MORE

Makambo, Mayele Wamuibua Yusuph Athuman Yanga

MSHAMBULIAJI mpya wa Yanga, Yusuph Athumani amesema kuwa anahitaji kupambana kuhakikisha anafunga mabao ya kutosha ili yamfanye awe anapata nafasi...

READ MORE

Gomes Apata Dawa ya Wabotswana

KOCHA mkuu wa Simba Didier Gomes amesema kuwa anahitaji safu yake ya ushambuliaji iweze kuwa bora ili kuweza kuamua mchezo...

READ MORE

Mayele Bado Ana Jambo Lake na Simba

STRAIKA tegemeo hivi sasa wa Yanga Mkongomani, Fiston Mayele amesema kuwa wanahitaji pointi zote za Ligi Kuu Bara ikiwemo dhidi...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi Kirahisi Zaidi Hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi  kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= iOS :...

READ MORE

Aliyesajiliwa na Chama Simba, Bado Sana

INGIZO jipya ndani ya kikosi cha Simba, Jeremia Kisubi bado sana kwa sasa kuanza kikosi cha kwanza kutokana na kutokuwa...

READ MORE

Morrison Aandaliwa Ulinzi Mzito Botswana

WAPINZANI wa Simba katika mchezo wa ligi ya Mabingwa Afrika Jwaneng Galaxy kutoka Botswana ni kama wameAnza kuingiwa na mchecheto...

READ MORE

Gomes Awaita Fasta Banda, Bwalya Simba

ZIKIWA zimesalia siku sita tu kabla ya mchezo wao wa kwanza wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Jwaneng Galaxy...

READ MORE

Yanga Yapigwa Adhabu Nzito CAF

KITENDO cha mabosi wa Yanga kushindwa kujibu tuhuma za kuwafanyia vurugu wapinzani wao kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika,...

READ MORE

Sakho Aandaliwa Kuwaua Wabotswana

KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Ousmane Sakho amepata nafuu ya majeraha yake na huenda akawa sehemu ya kikosi hicho kitakachocheza mchezo...

READ MORE

Mabosi Watatu Simba Wafanya Umafia Botswana

KATIKA kuhakikisha wanakwapa hujuma za wapinzani wao Jwaneng Galaxy ya nchini Botswana, viongozi wa Simba wameshtuka na haraka wakabadili uwanja....

READ MORE