×

Michezo

Nabi Awapa Maagizo Maalum Aucho, Bangala

  KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi, kweli anazitaka pointi tatu za Azam FC baada ya kuwataka viungo wake, Khalid...

READ MORE

Koeman Atupiwa Virago Barca

KLABU ya Barcelona  imemtimua kocha Mdachi, Ronald Koeman saa chache baada ya kupokea kichapo dhidi ya Rayo Vallecano jana usiku....

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la spotixtra kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= iOS :...

READ MORE

Saido Aibuka Yanga Apiga Assist Ya Bao

IMEFAHAMIKA kuwa Kocha Mkuu wa Yanga Mtunisia, Nasreddine Nabi na kiungo wake mkongwe Mrundi, Said Ntibanzonkiza ‘Saido’ tofauti zao zimekwisha...

READ MORE

Kisa Sure Boy, TFF Yawaonya Azam

BAADA ya uongozi wa Azam FC, kuwasimamisha wachezaji wao, Aggrey Morris, Aboubakary Salum ‘Sure Boy’ na Mudathir Yahaya kwa muda...

READ MORE

Fei Toto: Nitawafunga sana mabao ya mbali

KIUNGO wa Yanga, Feisal Salum ‘Fei Toto’ amewachimba mkwara makipa wa Ligi Kuu Bara kwa kusema kuwa atahakikisha anaendelea kufunga...

READ MORE

Nabi Amjaza Upepo Mayele Yanga

KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi ni kama amewajaza upepo washambuliaji wa timu hiyo akiwemo Fiston Mayele kwa kuwa waambia...

READ MORE

Tambwe: Kwa Yanga Hii Ningefunga Sana

KINARA wa mabao kwenye ligi ya Championship, Amis Tambwe amesema kuwa kwa Yanga hii ya sasa ilivyokuwa tamu yeye angefunga...

READ MORE

Ansu Fati: Siwezi Kumfikia Messi

KINDA wa Barcelona, Ansu Fati amesema kuwa alipata ofa nyingi sana lakini akaamua kubaki Barcelona na wala hana wasiwasi kuvaa...

READ MORE

Zimebaki Siku Nne Dar Boxing Derby

KUELEKELEA katika pambano la Dar Boxing Derby ‘mwana ukome’ kwa sasa zimebakia siku nne kwa mabondia 30 kupasuana katika pambano...

READ MORE

Akili za Fei Toto Zinawaza Kufunga

KIUNGO wa Yanga, Feisal Salum, ‘Fei Toto’ amesema kuwa akiwa uwanjani yeye anawaza kufunga ama kutengeneza nafasi ya bao kwa...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi  kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= iOS :...

READ MORE

Kocha Gomes Aaga: Nimeamua Kuwajibika, Sina wa Kumlaumu – Video

IKIWA ni saa chache baada ya kutangazwa kuachana na Klabu yake yake, aliyekuwa Kocha wa Simba, Didier Gomes Da Rosa...

READ MORE

Nyota Simba Aipa Ubingwa Yanga SC

NYOTA wa zamani wa klabu ya Simba raia wa Ghana Nicholas Gyan amesema kuwa Yanga ya msimu huu ni bora...

READ MORE

Simba Yapelekwa Zambia Shirikisho

Klabu ya soka ya Simba SC imepangiwa kucheza na Red Arrows ya Zambia kwenye mechi ya mtoani kuwania kuingia hatua...

READ MORE

Yanga Walifukuza Timu Nzima Mpaka Baba Yangu – Video

UONGOZI wa klabu ya Yanga, kupitia kwa ofisa muhamasishaji wake, Haji Manara, leo Oktoba 26, wamewasihi mashabiki na wapenzi wa...

READ MORE

Fei Toto Ajitengenezea Ufalme Yanga

KIUNGO wa Yanga, Feisal Salum ‘Fei Toto’ amefunguka kuwa bado anaiona nafasi yake katika kikosi cha timu hiyo kutokana na...

READ MORE

Timu 8 Ambazo Simba Anaweza Kupangwa Shirikisho

Timu 8 ambazo Klabu ya Simba inaweza ikapangiwa leo kwenye droo ya Kombe la Shirikisho Afrika: Marumo Gallants – Afrika...

READ MORE

Aucho, Bangala Wakomaliwa Yanga

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mtunisia, Nasreddine Nabi, ni kama ameshtukia kitu baada ya kuwafanyisha wachezaji wake mazoezi ya fitinesi kila...

READ MORE

Tengeneza Mkwanja Kupitia Muendelezo Wa Nba, Efl Na Serie A

Ni wakati wa kutengeneza faida kwa dau utakaloliweka kwenye michezo ya wiki hii. NBA, Carabao Cup na Serie A kuendelea...

READ MORE

Nabi: Sababu ya Kiwango cha Fei Toto ni Hii

KOCHA Mkuu wa Yanga raia wa Tunisia, Nasreddine Nabi ametaja siri ya kiungo wake mchezeshaji Feisal Salum ‘Fei Toto’ ya...

READ MORE

Breaking: Ole Gunnar Kusalia Man United

Kocha Mkuu wa Manchester Unite, Ole Gunnar Solskjaer anatarajiwa kubaki na kuendelea kuinoa timu hiyo licha ya mwendelezo wa matokeo...

READ MORE

Gomes Aanza Kupambana na Sakho Simba SC

KIUNGO mshambuliaji mpya wa Simba, Ousmane Pape Sakho amerejea mazoezini pamoja na wachezaji wenzake baada ya kupona jeraha la mguu...

READ MORE

RPC Kingai Kutoa Ushahidi Tena Kesi ya Mbowe Leo

MAHAKAMA Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, leo Jumanne Oktoba 26, 2021 inatarajia kuendelea na kesi ya...

READ MORE

Chama Amuibua Fei Toto Yanga

KIUNGO wa Yanga Feisal Salum amesema kuwa anaamini msimu ujao utakuwa msimu bora kwa mashabiki wa Yanga kushuhudia akiondoka na...

READ MORE

Simba Waitaja Yanga Kipigo Ligi Ya Mabingwa

BAADA ya Simba kutupwa nje katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya kwanza na kuangukia Kombe la Shirikisho...

READ MORE

Mwijaku: Nipo Tayari Kutembea Uchi, Lakini…..!

MHAMASISHAJI wa Klabu ya Simba, Mwijaku  amegoma kufanya kile alichoahidi hivi karibuni kwa mashabi wa Simba mbele ya waandishi wa...

READ MORE

Tambwe Kumwaga Machozi

MSHAMBULIAJI wa DTB, Amissi Tambwe amesema kuwa changamoto kubwa ambayo wanakumbana nayo katika ligi daraja la kwanza ni kuchezewa mpira...

READ MORE

Yanga Yashtukia Hujuma Ligi kuu Bara

BAADA ya kukusanya pointi tisa kwenye michezo mitatu ya Ligi kuu Bara msimu huu, Yanga wameanza kushtukia mipango inayotajwa kufanyika...

READ MORE

Makocha Simba Kupigwa Chini?…Soma Hapa

MAMBO ni magumu kwenye benchi la ufundi la Simba linaloongozwa na Kocha Mkuu, Didier Gomes ambapo inaelezwa kuwa muda wowote...

READ MORE

Man United Yawasiliana na Conte Kumrithi Ole

Klabu ya Manchester United ambayo inatajwa kuwa mbioni kumfukuza kazi kocha wake, Ole Gunner Solskjaer baada ya kipigo cha 5-0...

READ MORE

Beckham Alamba Dili Nono Qatar

Nyota wa wa zamani wa Uingereza na Man Uniyted, David Beckham amesaini dili nono la Paundi milioni 150 ambazo ni...

READ MORE

Azam FC Yamuibua Manara

Afisa Habari wa Yanga,Haji Manara amesema kuwa licha ya kutambua ubora wa Azam FC lakini anaamini kuwa kikosi cha Yanga...

READ MORE

Hali Tete… Vigogo Man United Wamjadili Ole

MKURUGENZI Mtendaji wa Klabu ya Manchester, Richard Arnold amevunja appointment zote za vikao ili kukutana na Mmiliki wa Klabu hiyo,...

READ MORE

Kocha Simba na Matumaini Kibao Ligi Kuu

KOCHA msaidizi wa Simba Hitimana Thiery amesema kuwa watarudi kwa nguvu zote kuhakikisha kuwa wanafanya vizuri katika michezo ya ligi...

READ MORE

Ole Hali Mbaya Man United

#OleOut ndio hashtag inayosambaa katika mtandao wa kijamii wa Twitter mara baada ya Manchester United kupokea kipigo kizito cha mabao...

READ MORE

Viatu vya Michael Jordan Vyauzwa kwa Bilioni 3 Mnadani

VIATU vya aliyekuwa mchezaji nyota wa timu ya kikapu nchini Marekani Chicago Bulls, Michael Jordan, vimeuzwa kwa bei ya dola...

READ MORE

Roma Fundi wa Kukinukisha Bongo

ROMA Zimbabwe ndilo jina analotumia kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii. Kama kawaida yake rapa huyu bora Bongo ambaye kwa...

READ MORE

Hii Ndio Kauli ya Barbara Simba

OFISA Mtendaji Mkuu wa klabu ya Simba SC, Barbara Gonzalez amesema kuwa wamejifunza kuwaheshimu wapenzani wao kwani hakuna dhamana katika...

READ MORE

Liverpool Yaipa Man United Kipigo cha Mbwa Koko

TIMU ya Manchester United wamepokea kichapo cha kihistoria baada ya kupigwa mabao matano kwa bila na mahasidi wao Liverpool katika...

READ MORE