×

Michezo

Senzo: Huyu Diarra ni Kipa Aisee

MTENDAJI Mkuu wa Yanga, Senzo Mbatha Mazingiza amekiri kuvutiwa na viwango vya wachezaji wapya waliosajiliwa ndani ya timu hiyo huku...

READ MORE

Washindi wa Jackpot Bonus ya Sportpesa Wazidi Kumiminika

  Katika wiki nyingine tena kampuni ya michezo na burudani Sportpesa imetoa bonus kwa waashindi wake waliobashiri kwa usahihi mechi...

READ MORE

Simba Watoa Tamko kwa Viongozi Wanaotoa Ahadi

MSHAURI wa Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi ya Simba, Crecentius Magori amewataka Viongozi  wa Wilaya, Wakuu wa Mikoa wasitoe hela...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi Kirahisi Zaidi Hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi  kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= iOS :...

READ MORE

Ifahamu Historia ya Haji Manara

Miaka ya 1970, Tanzania ilimshuhudia Sunday Manara, mzaliwa wa Kigoma aliyejaaliwa ufundi wa kusakata kabumbu. Sunday alifahamika kama ‘computer’ kutokana...

READ MORE

Simba Yaipiga Dodoma Jiji 1-0 Jamhuri

MABINGWA  watetezi wa ligi kuu Simba, wakiwa ugenini leo Octoba mosi, wamefanikiwa kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya...

READ MORE

Aucho Amtisha Mukoko Yanga

KIWANGO alichokionesha kiungo mpya wa Yanga raia wa Uganda, Khalid Aucho tangu atue hapo msimu huu, kimemtisha vilivyo kiungo wa...

READ MORE

Bocco: Banda Tuliza Akili

WINGA mpya wa kikosi cha Simba, Peter Banda amefunguka kuwa baada ya mazoezi ya jana Nahodha wa timu hiyo, John...

READ MORE

Jeuri ya Yanga SC ipo hapa

MTENDAJI Mkuu wa Yanga, Senzo Mbatha Mazingisa, amesema kuwa jeuri ya wao kufanya vizuri msimu huu inatokana na kuwa na...

READ MORE

Mo Sio Mfadhili Simba, Ana Hisa- Magori

CEO wa zamani wa klabu ya Simba Cresentius Magori, amesema Mohamed Dewji ‘Mo’ ambaye amejiuzulu bado ni mwekezaji katika klabu...

READ MORE

Mechi Kali Kuendelea Wikiendi Hii, Zifuate Odds Bora Ukiwa na Meridianbet!

Michezo ya Ligi ya Mabingwa imetamatika kwa michezo ya mzunguko wa pili hatua ya makundi, macho na masikio ya mashabiki...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la Ijumaa kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Kapombe Kuikosa Dodoma Jiji Kesho

MLINZI wa Kulia wa Simba Shomari Kapombe, ataukosa mchezo wa kesho wa ligi kuu Tanzania Bara dhidi ya Dodoma Jiji,...

READ MORE

Ripoti ya Bangala yatua TFF, adhabu iko hivi…

SHIRIKISHO la Soka Tanzania ‘TFF’ limesema limepokea ripoti ya mchezo wa Ngao ya Jamii kati ya Simba dhidi ya Yanga...

READ MORE

Ishu ya Kamwaga Kuondoka Simba SC Iko Hivi…

KAIMU Ofisa Habari wa Simba, Ezekiel Kamwaga, muda wowote anatarajiwa kutangazwa kuondoka kwenye nafasi hiyo, mara baada ya kukamilisha kipindi...

READ MORE

Kanoute, Onyango warejesha matumaini Simba SC

NYOTA watatu wa Simba, Joash Onyango, Sadio Kanoute na Jonas Mkude, huenda wakawa sehemu ya kikosi hicho kitakachocheza dhidi ya...

READ MORE

Kiungo Azam Afuzu kukipiga Liverpool

KIUNGO kinda wa Azam FC, Khelffin Hamdoun, amefanikiwa kufuzu majaribio katika timu ya vijana ya Liverpool. Hamdoun alienda mjini Liverpool,...

READ MORE

Chirwa Aanza kwa Mwendo Huu Namungo

INGIZO jipya ndani ya Namungo FC, Obrey Chirwa ameweka rekodi yake kwenye mchezo wa kwanza wa ushindani baada ya kutoa...

READ MORE

Didier Gomes Amkingia Kifua Mugalu

BAADA ya kutofunga bao lolote kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Yanga, Kocha Mkuu wa Simba, Didier Gomes...

READ MORE

Makambo: Nataka Ufungaji Bora Bongo

MSHAMBULIAJI wa Yanga Mkongomani, Heritier Makambo amesikitika kukosa kuwafunga wapinzani wao Simba lakini ameahidi kubeba kiatu cha ufungaji bora katika...

READ MORE

Simba Ijilaumu Yenyewe

SIMBA italazimika kujilaumu yenyewe baada ya kushindwa kutumbukiza wavuni mpira wa penalti dakika za nyongeza kipindi cha pili kupitia kwa...

READ MORE

Yanga Yaitungua Kagera Sugar

FT: Kagera Sugar 0- Yanga Yanga wanasepa na pointi tatu mbele ya Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa...

READ MORE

Manny Pacquiao Astaafu Ngumi

Bondia maarufu duniani kutoka nchini Ufilipino, Manny Pacquiao ametangaza kustaafu mchezo huo ili kuangazia kazi yake ya siasa.   Bondia...

READ MORE

Nabi Afunguka Majukumu ya Kaze Yanga

KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi, amesema moja ya kitu ambacho anashukuru ni urejeo wa Cedric Kaze kwenye timu hiyo...

READ MORE

Aucho: Nimezoea Mechi Ngumu

KIUNGO mkabaji wa Yanga, Mganda, Khalid Aucho, amefichua kuwa kwake haikuwa shida kufanya vizuri katika mchezo wa Ngao ya Jamii...

READ MORE

Nasreddine Nabi Ambadilishia Majukumu Makambo

KUELEKEA mchezo wao wa kwanza wa Ligi Kuu dhidi ya Kagera Sugar, Kocha Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi amembadilishia majukumu...

READ MORE

Yanga: Safari ya Ubingwa Inaanza Leo

THE Return Of Champions ndio kauli mbiu ya Yanga msimu huu katika kuhakikisha wanakusanya vikombe vyote ambavyo watashiriki msimu huu...

READ MORE

Mayele: Nitawafunga Kagera Sugar

STRAIKA wa Yanga, Fiston Mayele, amesema kuwa ana shauku kubwa ya kufunga bao lake la kwanza kwenye mchezo wa Ligi...

READ MORE

Bao la Mayele Lapikwa na Mataifa Matatu

MATAIFA matatu yalihusika kulipika bao pekee la ushindi lililofungwa na nyota wa Yanga, Fiston Mayele ambaye alizima furaha ya Simba...

READ MORE

Kocha Yanga Apewa Mbinu za Ubingwa

MWINYI Zahera na Cedric Kaze ambao kwa nyakati tofauti waliifundisha Yanga kama makocha wakuu kabla ya sasa kurejea kikosini hapo...

READ MORE

Kiungo Simba Aipa Ubingwa Yanga

KIUNGO wa zamani wa Simba na Yanga, Yusuph Macho ‘Muso’ amefunguka kuwa kutokana na kiwango bora ambacho Yanga wamekionesha kwenye...

READ MORE

Mayele: Kazi Imeanza, Nitafunga Sana

STRAIKA Mkongomani, Fiston Mayele, ametoa kauli ya furaha kwa mashabiki wa Yanga akisema bao alilofunga dhidi ya Simba ni mwanzo...

READ MORE

Azam FC Yatangaza Vita

KOCHA Msaidizi wa Azam, Vivier Bahati, ameweka wazi kuwa malengo makubwa ya timu yao msimu huu wa 2021/22 ni kuhakikisha...

READ MORE

Makambo: Tutaivua Simba Ubingwa

MSHAMBULIAJI wa Yanga, Heritier Makambo, amefunguka kuwa baada ya kufanikiwa kuwavua Simba ubingwa wa Ngao ya Jamii, sasa mipango yao...

READ MORE

Mo Dewji Aachia Ngazi Simba – Video

MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi wa Klabu ya Simba ambaye pia ni mwekezaji wa Klabu hiyo, Mohammed Dewji ‘Mo’ ametangaza...

READ MORE

Oscar: Mugalu Anaichelewesha Simba

MCHAMBUZI maarufu wa soka nchini, Oscar Oscar amesema; “Chris Mugalu ni kama anaichelewesha Simba SC ni aina ya mchezaji anaehitaji...

READ MORE

Diarra ‘Screen Protector’ Afunguka Siri ya Kumfunika Manula

MLINDA mlango wa Yanga raia wa Mali, Djigui Diarra ‘Screen Protector’ amefunguka kuwa siri kubwa ya ubora wake katika mchezo...

READ MORE

Simba Sc Yaanza Vibaya Ligi Kuu

MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara, Simba Sc wamekubali kubanwa mbavu na Wanajeshi wa mpakani, Biashara United baada ya kukubali...

READ MORE

KMC Yaipiga Mkwara Polisi Tanzania

UONGOZI wa KMC umeweka wazi kuwa unahitaji kufanya vizuri kwenye mechi zake zote za Ligi Kuu Bara na itaanza kufanya...

READ MORE

Kasino Ya Mtandaoni, Imebadilisha Maisha Ya Mteja Wetu

Je Wajua? Kasino ya Mtandaoni Ya Meridianbet, Imetoa Ushindi Mkubwa wa Jackpot!   Ndio, hii ni jackpot kubwa ya kasino...

READ MORE