×

Michezo

Fredrick Mwakalebela Amfagilia Mayele

MAKAMU Mwenyekiti wa Yanga, Fedrick Mwakalebela, ameibuka na kusema kuwa, hadi sasa tayari ana uhakika wa usajili uliyofanywa na timu...

READ MORE

Sarpong atua Saudia, Apewa Mshahara Milioni 27

WAKATI Yanga jana ikitambulisha wachezaji wapya kwa ajili ya msimu ujao, mshambuliaji wa timu hiyo, Mghana, Michael Sarpong amejiunga na...

READ MORE

Mfaume Mfaume Azikataa Kejeli za Mwikinyo

BONDIA wa ngumi za kulipwa nchini Mfume Mfaume amepinga vikali kauli ya Hassan Mwakinyo ya kujiita yeye ni Professional Boxer...

READ MORE

Mzee Manara: Yanga Hatukustahili Kufungwa

MZEE Sunday Mnara, baba mzazi wa Ofisa Habari wa Yanga, Haji Manara ambaye ni ingizo jipya kutoka Simba, amesema kuwa...

READ MORE

Makambo Awatoa Hofu Wananchi – Video

KLABU ya Yanga jana ilifanya Tamasha lake la Siku ya Wananchi likiambatana na kutambulisha wachezaji wapya baada ya kufanya usajili...

READ MORE

Gomes Ampa Masharti Magumu Mkude Simba

KOCHA Mkuu wa Simba, Didier Gomes amemuwekea ngumu kiungo mkabaji wa timu hiyo, Jonas Mkude kwa kumtaka abadilike juu ya...

READ MORE

Simba: Tulieni, Tutawafurahisha

SELEMAN Matola, Kocha Msaidizi wa Simba SC, amewatuliza Wanasimba kisha akasema: “Msimu wa 2021/22, tutafanya vizuri katika mashindano yote.” Msimu...

READ MORE

DTB Wamepania Ligi Kuu, Tambwe Ndani

MSHAMBULIAJI wa zamani wa Simba SC na Yanga, Amissi Tambwe raia wa Burundi amesaini mkataba wa kuitumikia timu ya DTB...

READ MORE

Yanga Yafungwa Mabao 2-1 Dhidi ya Zanaco ya Zambia

KIKOSI cha Yanga leo kimepoteza katika mchezo wa kirafiki kwa kufungwa mabao 2-1 dhidi ya Zanaco ya Zambia. Mchezo wa...

READ MORE

Koffi Atikisa Tamasha la Wiki ya Mwananchi -Video

MSANII Koffi Olomide maarufu Mopao leo Agosti 29, 2021 amefanya shoo ya aina yake kwenye Tamasha la Wiki ya Mwananchi...

READ MORE

Manara Amfunga Kamba za Viatu Feisal – Video

Msemaji wa Yanga, Haji Manara  leo amefunga kamba za viatu vya kiungo wa timu hiyo, Feisal Salum ‘Feitoto’ ambaye amekuwa...

READ MORE

KILELE WIKI YA WANANCHI: Uwanja wa Mkapa Walipuka Kwa Shangwe (Picha +Video)

 LEO Uwanja wa Mkapa ni kilele cha Wiki ya Mwananchi ambapo kutakuwa na utambulisho wa wachezaji wapya pamoja na...

READ MORE

SpotXtra Lagawa Tiketi Bure za Siku ya Wananchi kwa Wasomaji Wake

      TIMU gazeti la Sport Xtra, leo imegawa tiketi kwa wasomaji wake kwa ajili ya kuingia kwenye siku...

READ MORE

Koffi Olomide Kuisimamisha Dar Leo

MAESTRO wa muziki wa Rhumba barani Afrika, Koffi Olomide au Mopao anatarajia kulisimamisha Jiji la Dar kwa shoo ya kibabe...

READ MORE

Ronaldo Kuvuta Mil. 206 kwa Siku United

KAMA ulikuwa hufahamu, basi tunaomba tukufahamishe japo tu sehemu ya mkataba wa mkali wa kusakata kabumbu duniani, Cristiano Ronaldo na...

READ MORE

PSG Waweka Ngumu Kwa Mbappe

PSG imezidi kuipa wakati mgumu Real Madrid baada ya kukataa ofa yao ya pili kwa ajili ya kumuachia Kylian Mbappe...

READ MORE

Mopao Kuitikisa Dar Leo, Manara Asimamia Shoo

MSANII ambaye anatarajiwa kutumbuiza katika Tamasha la Wiki ya Mwananchi, Koffi Olomide maarufu Mopao, jana Jumamosi aliwasili Dar na kufanya...

READ MORE

Mastaa Yanga Wapewa Siku 30

KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi amefunguka kuwa kutokana na usajili mkubwa ambao klabu hiyo imeufanya wakiwemo washambuliaji Wakongomani, Heritier...

READ MORE

Arsenal Yapigwa Mkono na Man City

TIMU ya Arsenal imeambulia kipigo kwa mara nyingine baada ya kutandikwa mabao 5-0 dhidi ya Manchester City katika mechi ya...

READ MORE

Koffi Olomide Atua Nchini, Manara Ampokea – Video

MWANAMUZIKI nyota wa dansi kutoka nchini DRC-Kongo, Koffi Olomide leo Agosti 28, 2021 ametua nchini  kunogesha kilele cha Wiki ya...

READ MORE

Simba Yamaliza Shughuli ya Morocco, Yarejea Bongo

Kikosi cha TImu ya Simba kimemaliza salama sehemu ya kwanza ya maandalizi kuelekea msimu ujao waliyokuwa wakifanya katika kambi yao...

READ MORE

Kane Athibitisha Kubaki Spurs

NAHODHA wa Tottenham, Harry Kane amethibitisha na kusisitiza kuwa ataendelea kusalia ndani ya kikosi hicho.Awali Kane alikuwa anahusishwa na kujiunga...

READ MORE

PSG Yataja Bei Ya Mbappe Kwa Madrid

KLABU ya Paris Saint Germain imedai kiasi cha pauni 188m kwa Real Madrid ilikuweza kukamilisha usajili wa Kylian Mbappe imeelezwa....

READ MORE

Ferguson Afanya Umafia, Amrejesha Ronaldo Man United

NDANI ya saa chache, kila kitu kimebadilika ghafla sana, aliyekuwa nyota wa Juventus, Cristiano Ronaldo amebadili maamuzi akiachana na mpango...

READ MORE

Man U Yathibitisha Kukubaliana na Juve, Ronaldo Anarejea

KLABU ya Man United imemkaribisha aliyewahi kuwa nyota wao, Cristiano Ronaldo ambaye anatajwa kurejea tena kwa Mashetani Wekundu.   Manchester...

READ MORE

Ronaldo Anukia Mancheter United

KIBAO kimegeuka, Manchester United wanajiandaa kupeleka ofa rasmi kwa ajili ya kumsajili nahodha wa Ureno Cristiano Ronaldo. Awali ilionekana kama...

READ MORE

Yanga Yamchomoa Kiungo Stars Fasta

UONGOZI wa Yanga umesema kuwa utawaita wachezaji wote wa timu hiyo ambao wapo kambini kwa sasa kwenye timu ya taifa...

READ MORE

Gomes Awapa Majukumu Mazito Sakho, Banda

KOCHA Mkuu wa Simba, Mfaransa, Didier Gomes Da Rosa, tayari ameanza waelewa wachezaji wapya wa timu hiyo wakiwemo Peter Banda...

READ MORE

Hukumu Kesi ya Morrison CAS Yasogezwa

MAHAKAMA ya usuluhisho masuala ya mpira kimataifa ‘CAS’ imesogeza mbele hukumu ya kesi kati ya klabu ya Yanga dhidi ya...

READ MORE

Simba Day Rasmi Kufanyika Septemba 19

BAADA ya kuwepo kwa uvumi kuwa kuna uwezekano mkubwa wa kutofanyika kwa tamasha la siku ya Simba ‘Simba Day’ Uongozi...

READ MORE

Beki wa Manchester City Ashtakiwa kwa Ubakaji

BEKI wa Manchester City na timu ya taifa ya Ufaransa , Benjamin Mendy (27) ameshtakiwa kwa makosa manne ya ubakaji...

READ MORE

Ni Wikiendi Ya Big Match Kunako EPL Wikiendi Hii

Ligi Kuu Soka nchi Uingereza inaendelea kuchanja mbuga, ni wiki ya 3 katika msimu huu wa 2021/22. Burudani ndio kwanza...

READ MORE

Msuva, Samatta Kutua Kambini Wikiendi

KOCHA mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars, Kim Poulsen amesema licha ya timu yake kushindwa kupata mchezo...

READ MORE

Manara: Tunashusha Sapraiz la Kidunia

UONGOZI wa klabu ya Yanga umezidi kuchimba mkwara kuwa lolote linaweza kutokea kwenye nafasi mbili za kusajili nyota wa kimataifa...

READ MORE

Kiungo wa Simba Aibukia KMC

JINA la Said Ndemla kwa sasa lipo katika makaratasi ya KMC hiyo ni kutokana na kiungo huyo kuwepo katika mipango...

READ MORE

Miquissone Atua Al Ahly

MABINGWA  wa Afrika, Al Ahly kutoka Misri wamemtambulisha  mchezaji wa kimataifa wa Msumbuji Luis Miquissone ambaye wamemsajili kutoka klabu ya...

READ MORE

Ronaldo Kutua Manchester City?

MABINGWA wa Ligi Kuu ya Uingereza, Manchester City wamepewa nafasi ya ya kumsajili mshambuliaji Cristiano Ronaldo kutokea Juventus.   Mkataba...

READ MORE

Kane Aitega Spurs

MSHAMBULIAJI wa Tottenham Hotspurs, Harry Kane imeripotiwa kuwa anataka kulipwa mshahara wa Paundi 400,000 sawa na Bil. 1.2 na ushee...

READ MORE

Kiungo wa Azam FC, Awesu Awesu Atua KMC

IMEELEZWA kuwa, KMC ikiwa kwenye harakati zake kujiandaa na msimu wa 2021/22, imefanikiwa kuipata saini ya kiungo wa Azam FC,...

READ MORE

Kocha Yanga Matumaini Kibao Dhidi ya Rivers United

KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi, amefunguka kuwa mpango wake mkubwa ni kuhakikisha wanautumia mchezo wao wa kilele cha Wiki...

READ MORE