×

Michezo

Kikosi cha Kenya na Uganda Watakaokipiga AFCON 2019

Timu ya taifa ya Kenya na Uganda wametangaza vikosi vyao vya wachezaji 23 vitakavyoshiriki fainali za mataifa ya Afrika 2019...

READ MORE

Taifa Stars Kuanza kazi kwa kukipiga dhidi ya Misri kesho

WACHEZAJI wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars wakiwa kwenye mazoezi yanayofanyika kwenye Uwanja wa Michezo wa Olympics Center...

READ MORE

ZAHERA AMPIGA CHINI MAZIMA AJIBU

Imeelezwa kuwa Kocha Mkuu wa Yanga Mwinyi Zahera amewashangaa viongozi ya klabu hiyo kwa kuanza majadiliano ya kumpa mkataba mpya...

READ MORE

Misri: Amunike Apitisha ‘Panga’ Taifa Stars, Awatema Mastaa 9

BENCHI la Ufundi la Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) likiongozwa na Kocha Mkuu, Emmanul Amunike, raia wa Nigeria...

READ MORE

Yanga Kumekuchaa, Kubwa Kuliko Kutikisa Jumamosi Dar – Video

JIJI la Dar es Salaam litasimama siku nzima ya Jumamosi kupisha tamasha kubwa na kihisoria la Yanga lililopewa jina la...

READ MORE

SIMBA: POLOKWANE CITY WAMEKIUKA TARATIBU KUMSAJILI BOCCO

Mshambuliaji wa Simba, John Bocco ameiingiza  vita klabu yake ya Simba na ile Polokwane City inayoshiriki Ligi Kuu Afrika Kusini...

READ MORE

Simba, Walter Bwalya Mambo Safi

STRAIKA namba moja wa Nkana ya Zambia, Walter Bwalya ameweka wazi kwamba amepokea ofa ya Simba na Sportif Sfaxien ya...

READ MORE

Ajibu, Kahata, Shamte muda wowote Simba

WAKATI Yanga ikiendelea kufanya usajili wake, mabosi wa Simba nao tayari wameanza mambo kimyakimya kukisuka upya kikosi chao.   Mpaka...

READ MORE

Kocha Simba: Kwa Balinya, Yanga imelamba dume

KOCHA wa zamani wa Simba, Mganda Jackson Mayanja amesema Yanga imelamba dume kwa kumsaini mshambuliaji, Juma Balinya ambaye naye ni...

READ MORE

Bocco Alamba Mkataba Mpya Simba Sc

Nahodha wa Klabu ya Simba na mfungaji bora wa muda wote wa Ligi Kuu Tanzania Bara, John Bocco amesaini mkataba...

READ MORE

Vodacom kupeleka mashabiki wa Taifa Stars Misri

Tukielekea msimu wa michuano ya kombe la mataifa ya Afrika (AfCON), kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania PLC,...

READ MORE

WALIPOJIFICHA WAPINZANI WA TAIFA STARS

FAINALI za Afcon msimu huu zinaanza Juni 21, mwaka huu, kuanzia sasa kwenye miji mbalimbali ya Misri ikiwemo hapa Cairo...

READ MORE

Simba: Usajili Mpya ni Balaa Tupu

SIMBA imesisitiza kwamba watafanya usajili wa aina yake msimu huu lakini wachezaji wawili watakaowasajili ni mshtuko.   Kikosi hicho kilichopo...

READ MORE

Griezmann aiacha gizani Atletico

RAIS wa Atletico Madrid, Enrique Cerezo amedai hadi sasa hafahamu timu ambayo staa wao Antoine Griezmann anataka kujiunga nayo.  ...

READ MORE

Kagere Abeba Tuzo ya Tatu

MSHAMBULIAJI wa Simba, Meddie Kagere amechaguliwa na kamati ya tuzo iliyo chini ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kutwaa Tuzo...

READ MORE

Vifaa 21 Yanga hadharani, Mastaa Wanne wa Kigeni OUT

YANGA wameamua kwamba mastaa wanne wa kigeni watakwenda na maji na kwenye usajili wao mpya watakuwa na nondo tisa mpya...

READ MORE

Yanga Yampa mkataba kipa akiwa Misri

MABOSI wa Yanga baada ya kusikia kwamba Azam FC wanamnyemelea kipa Metacha Mnata, wameamua kumpa mkataba kipa huyo fasta akiwa...

READ MORE

LIVERPOOL YAMTEMA STURRIDGE

LIVERPOOL imetema mastaa wake wakiwamo straika Daniel Sturridge na beki Alberto Moreno kutoka kwenye kikosi chao.   Pia kipa Adam...

READ MORE

Fowadi Mpya Yanga Uspime!

HUYO Makambo wenu mtamsahau! Ndivyo unaweza kusema kufuatia fowadi mpya ya Yanga kuonekana ni moto na hii ni kutokana na...

READ MORE

YANGA YAJIONDOA KAGAME CUP, YATUMA BARUA TFF

Mabingwa mara 27 wa Ligi Kuu Bara, Yanga imekataa mwaliko wa Chama cha Soka Afrika Mashariki (Cecafa) wa kushiriki mashindano...

READ MORE

Hazard aweka rekodi Real

EDEN Hazard ameweka rekodi ya kuwa mchezaji ghali zaidi kuwahi kusajiliwa na Real Madrid baada ya kusaini kujiunga na timu...

READ MORE

Kagera Sugar, Mwadui warejea Ligi Kuu

KAGERA na Mwadui zimerejea rasmi kwenye Ligi Kuu Bara baada ya kushinda mechi zao wa mtoa jana Jumamosi dhidi ya...

READ MORE

Zahera amgomea kocha mpya Yanga

KOCHA wa Yanga, Mwinyi Zahera amegoma katakata kuchaguliwa kocha msaidizi na viongozi wake huku akiwataka wamuachie hiyo kazi yeye wa...

READ MORE

Michezo yote 52 ya Afcon 2019 mubashara DStv

ZIKIWA zimebaki siku chache kabla ya michuano ya Kombe la Mataifa Africa (Afcon) 2019 kuanza kutimua vumbi nchini Misri, Kampuni...

READ MORE

ETO’O: STARS ITAFANYA MAAJABU AFCON

NGULI wa soka wa Cameroon, Samuel Eto’o ameweka wazi kuwa anaamini timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars itafanya kweli...

READ MORE

TAIFA STARS WAKWEA PIPA AFCON MISRI, WAAHIDI USHINDI – VIDEO

ibraHiM ajibu wa Yanga, Shomari Kapombe na Jonas Mkude ambao wote ni wachezaji wa Simba, ni miongoni mwa wachezaji walioachwa...

READ MORE

Yanga Yafumua kikosi CAF

YANGA wamemwambia Mwinyi Zahera kwamba timu yake imepata nafasi ya kushiriki Ligi ya Mabingwa kuanzia mwezi Agosti akapagawa kwa furaha...

READ MORE

Amunike Awatema Ajibu, Mkude, Kapombe Taifa Stars

WACHEZAJI saba miononi mwa wachezaji 32 wa timu ya taifa, Taifa Stars, waliokuwa waondoke kwenda kuweka kambi nchini Misri kwa...

READ MORE

Namungo Yampigia Hesabu Salamba

IMEBAINIKA kuwa nyota wa Simba, Adam Salamba amekuwa akiwindwa na klabu ya Namungo FC ambayo imepanda daraja pamoja na timu...

READ MORE

MRUNDI ASIMAMISHA USAJILI AZAM FC

AZAM FC wenyewe wala hawatishwi na mbwembwe za usajili zinazofanywa na wapinzani wao Yanga kwani wametulia wakisubiri kwanza wamalizane na...

READ MORE

Yanga SC Yampa Mkataba Kiungo Fundi

YANGA imeanza mazungumzo ya kumnunua kiungo mshambuliaji fundi mwenye mkataba na Mtibwa, Salum Kihimbwa. Kihimbwa ni kati ya viungo waliowahi...

READ MORE

Simba Yajibu Mapigo Usajili wa Yanga

KOCHA wa Simba,Patrick Aussems amesisitiza kwamba usajili utakaofanyika wa wachezaji wa kigeni utakuwa na kishindo cha aina yake na hakuna...

READ MORE

Zahera: Fowadi Yote Yanga ni Mapro

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera amemnasa beki wa KMC, Ally Ally huku akiibomoa Lipuli FC kwa kusajili mabeki wawili...

READ MORE

Kocha Matola kutua KMC

KMC ambayo imepata nafasi ya dezo ya kushiriki Kombe la Shirikisho msimu ujao iko kwenye mazungumzo na Kocha wa Lipuli,...

READ MORE

CHIRWA ABAKI AZAM YA KIMATAIFA

MAMBO yamemnyokea mshambuliaji wa Azam FC Obrey Chirwa baada ya kuelewana na kukubaliana kusaini mkataba wake mpya na klabu hiyo...

READ MORE

Ishu ya Ajibu Kufeli TP Mazembe Yavuja

BAADA ya dili la Ibrahim Ajibu Migomba kutoka Yanga kwenda TP Mazembe ya DR Congo kufeli, mapya yamevuja. Kumbe mshikaji...

READ MORE

Mbappe Aomba Kuhama PSG

MBAPPESTRAIKA wa Paris St. Germain, Kylian Mbappe inasemekana anataka kuihama timu hiyo. Mbappe mwenye umri wa miaka 20 inaaminika amewasilisha...

READ MORE

Simba Wachemka kwa Gadiel Michael

MABOSI wapya wa Yanga wamefanikisha mipango ya kumuongezea mkataba wa miaka mitatu beki wake, Gadiel Michael ambaye ilikuwa kiduchu tu...

READ MORE

Neymar Aumia Tena Kifundo cha Mguu, Kuikosa Copa America

NAHODHA wa Timu ya Taifa ya Brazil na Klabu ya PSG, Neymar Jr ameumia tena kifundo cha mguu timu yak...

READ MORE

Mastaa 15 Wasaka Timu Nyingine

WACHEZAJI 15 wa Yanga tangu jana wameanza mapambano kusaka timu mpya baada ya Mwinyi Zahera kuwachunia. Mastaa hao wengi mikataba...

READ MORE