×

Michezo

Kakolanya: Moto Utawaka Msimbazi

  GUMZO la mashabiki ni kwamba Beno Kakolanya anaweza kumuweka benchi Aishi Manula?Amesaini mkataba wa miaka miwili Msimbazi. Lakini ametamka...

READ MORE

Breaking: Sarri Rasmi Atua Juventus, Aondoka Chelsea

Hatimaye leo  Juni 16, 2019 Juventus, wamemtangaza Sarri kuwa kocha wao mpya, akisaini mkataba wa miaka mitatu wa kuinoa timu...

READ MORE

PASHAPASHA YA AFCON 2019: Taifa Stars vs Zimbabwe leo saa 2:00 Usiku

Timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ ipo nchini Misri ikijiandaa na michuano ya Mataifa ya Afrika AFCON inayotarajia kutimua...

READ MORE

Yanga Wamchunia Boban, Meneja Wake Afunguka

  WAKATI uongozi wa Yanga ukiwa kimya kwa baadhi ya nyota wake imebainika kuwa hata kiungo mkongwe wa timu hiyo,...

READ MORE

KIBABAGE WA MTIBWA SUGAR AMFUATA MSUVA DIFAA HASSANI EL JADIDA

UONGOZI wa timu ya Mtibwa Sugar umesema kuwa mchezaji wao Nickson Clement Kibabage anataraji kujiunga na Difaa Hassani El Jadida...

READ MORE

Polokwane wamuomba Salamba

KLABU ya Polokwane ya Afrika Kusini imekubali yaishe kwa mshambuliaji wa Simba, John Bocco na kumuomba kwa mkopo Adam Salamba...

READ MORE

Yanga yasaini jembe lingine la Stars

YANGA wabishi balaa! Hili ndiyo neno pekee unaloweza kusema kwa sasa baada ya uongozi wa timu hiyo kufanikiwa kuinasa saini...

READ MORE

Mo ammwagia Tshabalala mil 80, mshahara mil 4

MOHAMMED Dewji hataki kuona mchezaji ambaye bado anahitajika na Kocha Patrick Aussems pale Simba anaondoka ndiyo maana amevunja benki na...

READ MORE

Yanga yashusha mastaa AS Vita Dar

YANGA inataka ianze kutesti mitambo yake kuelekea kimataifa na sasa ipo kwenye mazungumzo ya mwisho na klabu kubwa za DR...

READ MORE

Zahera atoa masharti ya usajili Yanga SC

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mkongomani, Mwinyi Zahera ametoa masharti ya usajili wa wachezaji wapya. Yanga hadi hivi sasa imekamilisha usajili...

READ MORE

Simba sasa ni jembe juu ya jembe

BODI ya Wakurugenzi ya Simba SC, Company Limited imetangaza rasmi kuanza usajili wa wachezaji wake wapya wakitumia ripoti ya kocha...

READ MORE

Rostam Awapa Yanga Tsh 200m, GSM Waangusha Tsh 300m – Video

MFANYABIASHARA maarufu nchini ambaye pia aliwahi kuwa mbunge, Rostam Aziz,  ametuma ujumbe kupitia kwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kuwa ataichangia...

READ MORE

YANGA ‘KUBWA KULIKO’: JK AFUNGUKA ALIVYOWAPA UWANJA SIMBA

RAIS Mstaafu wa Awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete,  amesema viongozi wa serikali...

READ MORE

KAZI IPO… ‘WIKI YA MWANANCHI’ KUITIKISA TANZANIA

MWENYEKITI wa Kamati ya Hamasa na Uchangishaji ya Yanga,  Anthony Mavunde,  amesema wamependekeza kwa uongozi kuanzisha wiki maalum itakayoitwa ‘Wiki...

READ MORE

Rafu Mbaya! Mfungaji Aliyeletwa na Simba Asaini Yanga – Video

MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Uganda na Klabu ya Police FC ya Uganda, Juma Balinya, mwenye umri wa miaka 27 amesaini...

READ MORE

Timu ya Taifa ya Kikapu Yawaangukia Watanzania

TIMU ya taifa ya mpira wa kikapu ya wanaume na wanawake imewaomba Watanzania kuwachangia fedha ili iweze kumudu gharama za...

READ MORE

Waziri Mkuu, Dr. Mwakyembe Walivyotua Kwenye ‘Kubwa Kuliko’

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa leo amejiunga kwenye tamasha maalumu la kuichangia klabu ya  Yanga ambalo limefanyika ukumbi wa Diamond Jubilee...

READ MORE

Amunike, Samatta wakubali Mziki wa Misri

TAIFA Stars usiku wa kuamkia jana walionyesha kiwango bora mbele ya Misri na Kocha Mkuu wa Stars, Emmanuel Amunike amesema...

READ MORE

Bingwa mashindano ya Ufukweni Ajishindia Milioni Moja

TIMU mbalimbali zimejitokeza kushiriki mashindano ya mpira wa miguu yan ufukweni katika kusherehekea siku ya Usafi wa Bahari Duniani pamoja...

READ MORE

Mazoezi Ya Taifa Stars Yaliyofanyika leo – Picha

Kikosi cha Taifa Stars kwenye mazoezi yaliyofanyika leo asubuhi kujiandaa na mashindano ya AFCON yatakayoanza Juni 21,2019

READ MORE

Majaliwa Atoa Mwaka 1 kwa Viongozi wa Dar, Morogoro, Njombe, Mbeya… Kisa…. – Video

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa mwaka mmoja kwa viongozi wa mikoa ya Dar es salaam, Morogoro, Iringa, Njombe, Mbeya, Rukwa,...

READ MORE

Yanga SC kutetemesha nchi leo na ‘Kubwa Kuliko’

  TAMASHA kubwa la kuchangisha fedha lililopewa jina la ‘Kubwa Kuliko’ limepangwa kufanyika leo huku waratibu wake wakitamba litakuwa ni...

READ MORE

Bwalya aliamsha dude kabla ya kutua Simba

Bwalya MSHAMBULIAJI Mzambia, Walter Bwalya ambaye anatarajiwa kutua Simba siku chache zijazo amechambuliwa kuwa ni mmoja wa washambuliaji wazuri na...

READ MORE

Mkwanja Ambao Taifa Stars Watapewa na CAF Wakishinda AFCON

Michuano ya Mataifa ya Afrika (AFCON) inatarajiwa kuanza Juni 21 nchini Misri huku timu zikiendelea na maandalizi. Tanzania inapeperusha Bendera...

READ MORE

Bocco, Nyoni, Manula waichomoa Simba Sh 972 mil

MAMBO ni moto! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema baada ya uongozi wa Klabu ya Simba hivi karibuni kuwaongezea mikataba baadhi ya...

READ MORE

Mabosi Yanga watembea na mkataba wa Ajibu

UONGOZI wa Klabu ya Yanga umethibitisha kuwa bado unamuhitaji kiungo wao mshambuliaji, Ibrahim Ajibu na kilichobakia ni yeye kuamua lini...

READ MORE

EXCLUSIVE: SIMBA YAMTANGAZA BENO KAKOLANYA

UONGOZI wa Simba leo umemtangaza aliyekuwa mlinda mlango wa Yanga Beno Kakolanya kujiunga na kikosi hicho msimu ujao kwa kumpa...

READ MORE

BREAKING: MATOLA KOCHA MSAIDIZI POLISI TANZANIA

TIMU ya Polisi Tanzania itakayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara msimu ujao imemtambulisha rasmi Selemani Matola kuwa kocha wake msaidizi. Matola...

READ MORE

TORONTO RAPTORS MABINGWA WAPYA NBA

TORONTO RAPTORS  kwa mara ya kwanza wamenyakua taji la ligi ya kikapu nchini Marekani NBA kwa ushindi wa michezo 4-2...

READ MORE

GAZETI LA CHAMPIONI LAPEWA TUZO MWANZA

  UONGOZI wa timu ya Pamba SC ya jijini hapa, umetoa cheti cha shukrani kwa Gazeti la Championi ikiwa ni...

READ MORE

TAIFA STARS YAITOA JASHO MISRI, YAPIGWA 1-0

MCHEZO wa kirafi ki wa kimataifa kati ya Misri dhidi ya Taifa Stars, umemalizika kwa wenyeji Misri kuibuka na ushindi...

READ MORE

Rasmi Mkude amalizana na Simba

BAADA ya kiungo mkabaji wa Simba, Jonas Mkude kuwapiga danadana za muda mrefu waajiri wake hao, rasmi ameamua kunyoosha mikono...

READ MORE

Kamati mpya ya usajili Yanga Noma

KAMATI ya usajili wa Yanga bado ni siri kubwa na huenda ikatangazwa wikiendi hii lakini Spoti Xtra limenasa majina ya...

READ MORE

Simba Mpya utaipenda, Mkenya Afunguka

SIMBA imemalizana na mastaa wawili matata wa kigeni ambao mmoja ni straika na mwingine ni beki wa kushoto atakaemrithi Asante...

READ MORE

Samatta Kusepa Uingereza – Video

Ameelezea namna ambavyo aliamua kuondoka TP Mazembe na kwenda kujiunga katika timu ya KRC Genk ya Ubelgiji ambapo mwanzoni hakuaminiwa...

READ MORE

Ratiba EPL 2019/20 Yatoka, Man U Kuanza na Chelsea

MABINGWA  wa Ligi Kuu England, Manchester City wataanza kutetea ubingwa wao dhidi ya West Ham wakati Manchester United itafungua ligi...

READ MORE

Ndayiragije Avuna mil 180 Azam

FUNDI ni fundi tu. Ettiene Ndayiragije amesaini Azam Fc na jana ametambulishwa rasmi akilamba kiasi cha Sh 180 milioni. Ndayiragije...

READ MORE