×

Michezo

Zahera apigwa stop Yanga

ILE mipango ya Kocha Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera ya kuanza usajili mapema, sasa imesimama mpaka hapo baadaye.   Hivi...

READ MORE

EXCLUSIVE: SAMATTA Azuiwa Kuoa BABA Yake Afunguka KISA!-VIDEO

 HUU ni mwendelezo wa simulizi ya baba mzazi wa mshambuliaji wa KRC Genk ya Ubelgiji, Mbwana Samatta ajulikanaye kwa...

READ MORE

Cannavaro hajaonana na Mo Dewji

MENEJA na nahodha wa zamani wa Yanga, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ amerejea kwenye kikosi chake hicho na kuendelea na majukumu kama...

READ MORE

TARATIBU ZAHERA USIKUBALI KUWA SPIKA YA WENYE CHUKI

KUNA mawazo mabaya sana ambayo wamekuwa nayo wanadamu wengi, kuamini hivi ukiogopwa basi wewe ni mkubwa sana. Hauhi- taji kuogopwa...

READ MORE

Man U sasa hakukaliki, Bosi mkubwa amuweka kiti moto Ole

MKURUGENZI Mtendaji wa Klabu ya Manchester United, Ed Woodward amelazimika kufika kwenye mazoezi ya timu hiyo na kufanya mazungumzo na...

READ MORE

Taifa Stars iandaliwe kucheza usiku Misri

PRESHA ya Wachezaji wa Tanzania ni kucheza usiku. Wengi hawajazoea kucheza mida hiyo kutokana na ukweli kwamba tangu wanapokuwa wadogo...

READ MORE

Kocha msomi arejeshwa Simba

WAKATI wowote Kocha msaidizi wa Simba, Denis Kitambi atarejea kwenye benchi la ufundi la Simba na atakuwepo katika mchezo dhidi...

READ MORE

TFF yapewa rungu nani akipige na Sevilla Dar

SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), ndilo litakaloamua nani akipige na moja ya timu vigogo kutoka nchini Hispania. Sevilla moja ya...

READ MORE

Matola: Simba bingwa Ligi Kuu Bara

KOCHA Mkuu wa Lipuli, Selemani Matola, amefunguka kuwa mpaka sasa ligi ilipofi kia, Simba ina nafasi kubwa ya kutetea ubingwa...

READ MORE

Kisa ubaguzi wa rangi, Sterling apewa tuzo

MSHAMBULIAJI Raheem Sterling ametunukiwa tuzo maalum ya kuongoza kampeni ya kupinga ubaguzi wa rangi ambayo amekuwa akiifanya katika wiki za...

READ MORE

Yanga Yatambulisha mfumo wa Ulaya

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera ameanzisha mfumo mpya ndani ya kikosi hicho kwa kutaka wachezaji wake wakutane siku moja...

READ MORE

Waamuzi ligi kuu walia njaa, TFF, Bodi ya Ligi watofautiana

WAKATI michuano ya Ligi Kuu Bara ikielekea ukingoni huku ushindani ukiongezeka kwa timu zote zinazoshiriki ligi hiyo, mambo huenda yakaenda...

READ MORE

SIMBA YAIPIGA BIASHARA UNITED 2-0, BOCCO ATUPIA

TIMU ya Simba leo imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Biashara United katika mchezo  wa Ligi Kuu Bara...

READ MORE

Yanga Princess yapata ahueni

TIMU ya Yanga Princess imepata matumaini ya kumaliza katika nafasi nne za juu katika Ligi Kuu ya Wanawake ya Serengeti...

READ MORE

Mabao ya Okwi + Bocco=Biashara

KUELEKEA katika mchezo wao wa leo wa Ligi Kuu Bara utakaopigwa Uwanja wa Karume, Musoma, unaambiwa mabao ya washambuliaji wawili...

READ MORE

Mashabiki Wafurika Mapema Mchezo wa Biashara vs Simba

MTANDAO huu ukiwa katika harakati zake za kuwahabarisha wasomaji wake, tayari kabla ya kutimia saa 6 mchana Jumamosi ya leo...

READ MORE

Atletico Madrid ‘yamfukuza’ Diego Costa

KLABU ya Atletico Madrid ipo tayari kumuuza straika wake, Diego Costa kutokana na utovu wa nidhamu lakini kocha wake, Diego...

READ MORE

MO SALAH, KLOPP KIMENUKA LIVERPOOL

LIVERPOOL mambo yao ni mazuri kwa kuwa wapo kwenye mbio za ubingwa wa Premier League, lakini upande wa pili imeelezwa...

READ MORE

Bocco: Tutawafunga Biashara Leo, Kikosi Kipo Hapa

NAHODHA wa Simba, John Raphael Bocco, amesema wataendelea kupambana ili timu yao iweze kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu...

READ MORE

Chirwa atuma salamu Yanga

MSHAMBULIAJI wa Azam FC, Obrey Chirwa, ameweka wazi mikakati yake kuhusiana na mechi ya Jumatatu ya Ligi Kuu Bara dhidi...

READ MORE

Kocha Simba apewa shavu jipya

KOCHA Mkuu wa Simba, Patrick Aussems, yupo mbioni kuongeza mkataba wa kuitumikia klabu hiyo msimu ujao baada ya bodi ya...

READ MORE

Stars kujipima ubavu kwa Waarabu wa Misri

KUELEKEA michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon) ambayo itafanyika Juni 21 hadi Julai 19, mwaka huu nchini Misri,...

READ MORE

Waamuzi wa Mechi ya Simba-KMC wachukuliwa hatua

SHIRIKISHO la soka nchini (TFF) limewaondoa kwenye orodha ya waamuzi wa Ligi Kuu msimu huu waamuzi watatu waliochezesha mchezo wa...

READ MORE

Tiboroha Kusubiria Wapya Uchaguzi Yanga

MGOMBEA wa nafasi ya uenyekiti ndani ya Yanga, Dk Jonas Tiboroha na wagombea wenzake wa awali, wanasubiria maamuzi ya kamati...

READ MORE

Mimi, Wewe na Serengeti Boys Tutakuwa ‘Wapenzi Watazamaji’ Fainali ya AfconU17

WACHEZAJI wote wa Serengeti Boys pamoja na mimi na wewe tutakuwa ‘Wapenzi watazamaji’ Jumapili kwenye fainali ya Afcon ya U-17...

READ MORE

Ajibu ajipanga kuimaliza Azam FC

NAHODHA wa Yanga, Ibrahim Ajibu amesema wamejipanga vizuri kuona wanapata matokeo baada ya kupoteza mchezo uliopita ingawa ni mchezo ambao...

READ MORE

Azam FC waitana, wamjadili Makambo

VIGOGO wa Azam FC wametishwa na fomu ya Yanga ya kushinda mechi zao licha ya kwamba wako ‘unga’ kiuchumi, hivyo...

READ MORE

Manara amvaa Zahera

KUFUATIA Kocha Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera kumuhusisha Mwenyekiti Mkuu wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba, Mohammed Dewji ‘Mo’ na...

READ MORE

SIMBA YAENDELEA KULA VIPORO, YAISHUSHA AZAM FC NAFASI YA PILI

EMMANUEL Okwi anarejea kwenye ubora wake jana baada ya kufunga bao moja kati ya mabao 2-1 waliyoshinda leo mbele ya...

READ MORE

Yanga wapewa bei ya Tuyisenge

MENEJA wa Meddie Kagere, Patrick Gakumba amewaambia viongozi wa Yanga iwapo wanahitaji saini ya mshambuliaji wa Gor Mahia wa Kenya,...

READ MORE

Yondani Aletewa Msaidizi Yanga

YANGA wanafanya mambo yao kwa siri kubwa huku wakipania kuwapa bonge la sapraizi mashabiki wao kwenye usajili wa safari hii....

READ MORE

MANARA AMVAA ZAHERA KUHUSU KUMTIMUA CANNAVARO

MSEMAJI wa klabu ya soka ya Simba,  Haji Manara amemjibu Kocha  wa Yanga,  Mwinyi Zahera, baada ya kumhusisha Meneja wa...

READ MORE

Kocha Simba abeba mabegi, atimka

INAELEZWA Kocha Msaidizi wa Simba, Denis Kitambi, ameamua kujiondoa kwenye timu hiyo kufuatia madai ya kutopewa mkataba tangu ajiunge na...

READ MORE

Mechi ya Yanga na Azam yahamishwa

SHIRIKISHO la Soka la Tanzania(TFF) limeziambia Yanga na Azam kwamba wasahau kucheza kwenye kapeti nyasi za Taifa Jumatatu jioni. Mechi...

READ MORE

Kaseja kuwabania Simba leo Mwanza

WACHEZAJI wa zamani wa Simba kipa, Juma Kaseja na mshambuliaji, Elias Maguli leo wataiongoza KMC kuwavaa Wekundu hao Jijini Mwanza....

READ MORE

Panga kali Man United Kurejesha makali ya timu

KOCHA wa Manchester United, Ole Gunnar Solskjaer inasemekana anajipanga kufyeka mastaa kadhaa ikiwa ni sehemu ya mpango wake wa kusuka...

READ MORE

TFF, Takukuru wayafanyie kazi madai ya Zahera

KWA mara nyingine Kocha wa Yanga, Mwinyi Zahera amerudia kauli yake ya tuhuma za rushwa na michezo michafu kwenye Ligi...

READ MORE

Masoud Djuma atupiwa virago Rwanda

MOTO umemuwakia Kocha msaidizi wa zamani wa Simba, Masoud Djuma baada ya kutimuliwa na AS Kigali kutokana na timu hiyo...

READ MORE

Simba na JKT Queens ni kisasi

LIGI Kuu ya Wanawake Tanzania Bara inayodhaminiwa na Bia laini ya SERENGETI LITE inaendelea tena leo ambapo JKT Queens watavaana...

READ MORE