×

Michezo

VIDEO: MO DEWJI Afunguka “Hatutaki Wachezaji wa Majaribio, Goli 5 Ziliniuma”

UONGOZI wa Simba umewataka mashabiki wajitokeze kwa wingi katika mchezo wao wa marudiano dhidi ya Al Ahly ambao ni wa...

READ MORE

Mwanasheria Ambakisha Kakolanya Yanga

LICHA ya kuomba kuvunjiwa mkataba wake na Klabu ya Yanga, kipa Beno Kakolanya atalazimisha kusubiri baada ya mwanasheria wa klabu...

READ MORE

Yanga Yataja Hujuma Za Ubingwa

KAIMU Mwenyekiti wa Yanga, Samweli Lukumay, amefunguka kuwa wapinzani wao wameanza kuwahujumu kwa lengo la kuwavuruga makusudi kutokana na kusambaza...

READ MORE

Julio: Simba SC watashinda kwa mipango

KOCHA wa Dodoma FC, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ ambaye alishawahi kuinoa Simba, amefunguka kuwa, kikosi hicho kitashinda mchezo wa marudiano dhidi...

READ MORE

Aussems: Naanza Na Al Ahly, Wanafuata Yanga

KUELEKEA mchezo wa watani wa jadi dhidi ya Yanga, Kocha Mkuu wa Simba, Patrick Aussems amesema kuwa kikosi chake kipo...

READ MORE

Cannavaro: Simba Ina Beki Chochoro

BEKI wa zamani wa Yanga, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ amefunguka kuwa sababu kubwa ya Simba kupokea kipigo kizito nchini Misri imetokana...

READ MORE

Wenye Ligi yao Wamerudi, Yawapiga Mwadui FC 3-0

UNAWEZA kusema wenye ligi yao wamerudi kutokana na kwamba jana Alhamisi, Simba ilicheza kwa mara ya kwanza mechi ya Ligi...

READ MORE

Zahera Awaonyesha Makucha Yake Yanga

  KOCHA Mkuu wa Yanga raia wa DR Congo, Mwinyi Zahera, ameonyesha makucha yake baada ya kukerwa na baadhi ya...

READ MORE

Msuva: Simba wakitulia, Al Ahly anakufa Taifa

WINGA wa zamani wa Yanga ambaye kwa sasa anacheza soka la kulipwa Morocco, Saimon Msuva, amewataka wachezaji na benchi la...

READ MORE

SIMBA inakosea wapi? Soma Hapa

MSIMU huu wa 2018/19, Simba ilifanikiwa kutimiza safari yake ya kushiriki michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kuikosa...

READ MORE

Kwa JKT Queens Ukinuna Uwe na sababu

JKT Queens imeweka rekodi ya kipekee kwenye Ligi ya Wanawake Tanzania maarufu kama Serengeti Women’s Premier League baada ya kucheza...

READ MORE

SINGIDA UNITED WAIPA PRESHA YANGA, YAMSHITAKI MMOJA BODI YA LIGI

Klabu ya Singida United imeandika Barua ya Malalamiko kwa Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini TFF Kuhusu Uhalali wa kutumika...

READ MORE

Tambwe: Sijaona Beki Kama Yondani

MSHAMBULIAJI wa Yanga, Mrundi, Amissi Tambwe, tangu amekuja Tanzania kucheza soka, hajawahi kumuona beki wa kumzidi Kelvin Yondani.   Tambwe...

READ MORE

Makambo Ajipange Nyoni Anamuwahi

SIMBA kwa sasa inapitia kipindi kigumu baada ya beki wake Erasto Nyoni kuwa nje ya uwanja sababu ya majeraha, lakini...

READ MORE

Yanga: Chekeni tu, tumewazidi pointi 22

IKICHEZA kwenye mvua na uwanja chepechepe wa Namfua mjini Singida, jana Jumatano Yanga ilipoteza pointi saba kwenye mechi yake ya...

READ MORE

Barcelona Kuivaa Real Madrid leo

BARCELONA wanatarajiwa kuwakaribisha Real Madrid kwenye Dimba la Camp Nou leo kwa ajili ya mchezo wa nusu fainali wa Copa...

READ MORE

Tambwe Arejea Kikosini Yanga, Kukipiga na Singida

  HABARI njema kwa mashabiki wa Yanga ni kuwa mshambuliaji wao Mrundi, Amissi Tambwe jana alirejea mazoezini rasmi na leo...

READ MORE

Simba: Tunapambana na Vita siyo Al Ahly tu

OFISA Mtendaji Mkuu (C.E.O) wa Simba, Crescentius Magori, ametamba kuwa matokeo mabaya waliyoyapata wapinzani wao AS Vita na JS Saoura...

READ MORE

Mwadui FC yatamba kulipa kisasi Simba SC

UONGOZI wa Mwadui FC umefunguka kuwa umejipanga kuhakikisha unaibuka na ushindi na kulipa kisasi kwa Simba baada ya kupoteza mchezo...

READ MORE

Msuva Ampa Neno Kichuya Misri

WINGA wa Klabu ya Difaa El Jadid ya Morocco, Simon Msuva, amemwambia kiungo mpya wa ENPPI ya Misri, Shiza Kichuya...

READ MORE

SHIZA KICHUYA wa Kimataifa

MAISHA ya winga kipenzi cha mashabiki wa Simba, Shiza Kichuya yanakwenda kubadilika kwa kiasi kikubwa. Alianza mwaka akiumiza kichwa kujua...

READ MORE

Kakolanya ampeleka straika Simba

UNAMKUMBUKA yule straika aliyewapiga chenga mabeki wote wa Yanga pamoja na kipa wao matata, Beno Kakolanya kabla hajafunga? Kama umemsahau...

READ MORE

Kigogo Yanga aivaa TFF, kisa kipigo

  BAADA ya juzi Jumamosi kikosi cha Simba kukumbana na kipigo kikali kutoka kwa Al Ahly ya Misri katika mchezo...

READ MORE

Mbelgiji: Al Ahly walitumaliza dakika 45 tu

BAADA ya kupokea kichapo kikali cha mabao 5-0 wakiwa ugenini nchini Misri mbele ya Al Ahly, Kocha Mkuu wa Simba,...

READ MORE

Mzee Akilimali: Simba walienda kutalii Misri

Ibrahim Mussa na Said Ally KATIBU wa Baraza la Wazee wa Yanga, Mzee Ibrahim Akilimali, amesema kuwa hakushtushwa na kipigo...

READ MORE

YANGA YAPINDUA MATOKEO TANGA YATOKA SARE NA COASTAL

KIKOSI cha Coastal Union leo kimelazimisha sare ya kufungana bao 1-1 dhidi ya vinara wa Ligi Kuu Bara, Yanga kwenye...

READ MORE

Zahera amtaja Yondani kuimaliza Simba

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera amesema hana mashaka na wapinzani wake wa Ligi Kuu kutokana na aina ya wachezaji...

READ MORE

SIMBA NA YANGA MZIGONI LEO LIGI YA WANAWAKE

LIGI ya wanawake Tanzania maarufu kama Serengeti Lite Women’s Premier League inaendelea leo timu 12 zitakuwa mzigoni kutafuta pointi tatu...

READ MORE

Yanga Kukipiga na Coastal Mkwakwani Tanga leo

YANGA leo itakuwa ugenini kucheza na Coastal, lakini rekodi za timu hizo kwenye Uwanja wa Mkwakwani Tanga zinaonyesha kwamba kila...

READ MORE

SIMBA YAPIGWA MKONO MISRI LIGI YA MABINGWA

SIMBA usiku wa kuamkia leo, imepoteza mchezo wa pili ugenini nchini Misri, kwenye hatua ya Makundi ya Ligi ya Mabingwa...

READ MORE

Kagere: Tukija Bongo, tunarudi kwa kishindo

MSHAMBULIAJI machachari wa Simba, Meddie Kagere raia wa Rwanda ameweka bayana kwamba kwa sasa hawana habari na Ligi Kuu Bara...

READ MORE

Namungo waanza kuitisha Yanga

UONGOZI wa Namungo FC kutoka Ruangwa,Lindi, wanautamani kwa hamu kubwa mchezo wao na Yanga kwenye kombe la FA hatua ya...

READ MORE

HAMTAAMINI KOCHA AL AHLY AINGIWA MCHECHETO

KOCHA wa Simba,Patrick Aussems anaamini asilimia zote kwamba kikosi chake kiko fiti kisaikolojia kwa mchezo wa leo usiku dhidi ya...

READ MORE

Zahera Amchenjia Makambo, Ampa Onyo

LICHA ya kufunga bao la kusawazisha, lakini Kocha Mkuu wa Yanga Mkongomani, Mwinyi Zahera amesema kuwa mshambuliaji wake, Heritier Makambo...

READ MORE

Kichuya kuivaa Al Ahly kivingine

  WAKATI Simba wakitarajiwa kucheza leo Jumamosi dhidi ya Al Ahly ya Misri, aliyekuwa kiungo mshambuliaji wa timu hiyo, Shiza...

READ MORE

Wachezaji Simba Wala Kiapo, Kuwafunga Al Ahly leo

KUELEKEA kwenye mchezo wa leo Jumamosi saa 4 Usiku kwa saa za Kitanzania kati ya Simba na wenyeji Al Ahly...

READ MORE

Nyota Simba wamsapraizi Aussems Misri

KOCHA Mkuu wa Simba, Mbelgiji Patrick Aussems amefunguka kuwa licha ya kuwa na baridi kali lakini bado wachezaji wake wameonyesha...

READ MORE

Jembe Jipya Yanga SC Kuanza Kazi Na Wanajeshi

KOCHA Mkuu wa Yanga Mkongoman, Mwinyi Zahera amemjumuisha kiungo wake mkabaji, Mohamed Issa ‘Banka’ kwenye orodha ya wachezaji waliongia kambini...

READ MORE

Kipa Yanga: Beno amuombe msamaha Zahera

ALIYEWAHI kuwa kipa wa Yanga, Manyika Peter amefunguka kuwa, kipa Beno Kakolanya alistahili kumuomba msamaha kocha mkuu wa timu hiyo,...

READ MORE

Mashabiki kiduchu kuingia uwanjani Al Ahly vs Simba

CHAMA cha Soka cha Misri (EFA) kimetangaza kuwa kimehakikishiwa ulinzi kwa mashabiki wasiozidi 10,000 ambao watahudhuria mchezo wa Al Ahly...

READ MORE