×

Michezo

Mwakinyo Alamba Dili Bab’kubwa Kutoka SportPesa

  KAMPUNI ya michezo ya kubashiri ya SportPesa Tanzania, leo imefanikiwa kutoa neema ya udhamini wa miaka mitatu kwa bondia...

READ MORE

Mwakyembe: Kambi ya Stars Hatujakurupuka Sauzi

SERIKALI imesema maandalizi ya Kambi ya Taifa Stars yanaendelea vizuri wala mamlaka hiyo haijakurupuka badala yake imejipanga vyema kuhakikisha kambi...

READ MORE

Tattoo za Wawa zina maana nyingi

HUENDA beki wa kigeni wa Simba, Pascal Wawa ndiye mchezaji mwenye michoro mingi mwilini ‘tattoo’ kati ya wachezaji wanaocheza katika...

READ MORE

Mbelgiji Simba Aipa Siri Stars

KOCHA wa Simba, Mbelgiji Patrick Aussems amesema kuwa mechi ya Tanzania na Lesotho ndiyo itakayoamua hatma ya Taifa Stars kushiriki...

READ MORE

Mo aanza na uwanja Simba SC

BAADA ya afya yake kuimarika, mwekezaji wa Simba, Mohammed Dewji ‘Mo’ ameanza na ishu ya maendeleo ya uwanja wa timu...

READ MORE

MATOKEO YA MICHEZO YA LIGI KUU TANZANIA BARA

Mchezo umemalizika kwa Azam Fc kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya JKT Tanzania. JKT Tanzania imepoteza mchezo wa...

READ MORE

MASKINI TAMBWE, Afanyiwa Kitu Mbaya Yanga – Video

Mshambuliaji wa Yanga, Ammis Tambwe katika kusherehekea siku yake ya kuzaliwa leo oktoba 24, 2018 wachezaji wenzake wamemwagia maji baada...

READ MORE

AJIBU AJICHELEWESHA KUSUDI YANGA

STAA wa Yanga, Ibrahim Ajibu amepewa bonge la mchongo kwamba ana uwezo halisi wa kwenda kusakata soka barani Ulaya kama...

READ MORE

Juventus Yaipiga Man U Nyumbani, Matokeo Yote Uefa Haya Hapa

MANCHESTER United wameangukia pua katika Uwanja wao wa Old Trafford kwa kukubali kichapo cha goli moja bila kutoka kwa timu...

READ MORE

Mkude ampongeza kocha Yanga

KIUNGO mkabaji wa Simba, Jonas Mkude, ameshindwa kujizuia na kujikuta akimpatia tano (kumpongeza) Kocha Mkuu wa Yanga, Mkongomani, Mwinyi Zahera....

READ MORE

Kauli ya Magufuli Inavyowapa Nguvu Taifa Stars

NAHODHA Msaidizi wa Taifa Stars, kiraka Erasto Nyoni, ameweka wazi kuwa kauli ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,...

READ MORE

Zahera: Bongo hii hakuna kama Ajibu

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera, raia wa DR Congo, ameweka wazi kuwa siyo ndani ya klabu yake pekee bali...

READ MORE

Mo aikwepa Simba Taifa

WAKATI mashabiki wa Simba, wakitarajia kumuona mwekezaji wao, Mohamed Dewji ‘Mo’ uwanjani jana, mambo yalikuwa tofauti kwani kigogo huyo hakutokea....

READ MORE

Chama, Okwi walivyozima kelele za Yanga SC

EMMANUEL Okwi na Claytous Chama jana walifanikiwa kuipa ushindi Simba wa mabao 3-0 dhidi ya Stand United kwenye Uwanja wa...

READ MORE

TFF YATEUA WAJUMBE WAPYA KAMATI ZA UCHAGUZI, NIDHAMU, RUFAA MAADILI

Kamati ya Utendaji iliyokutana Jumamosi, Oktoba 20,2018 Makao Makuu ya TFF yaliyopo Karume, Ilala jijini Dar es Salaam ilipitia masuala...

READ MORE

Ammy Ninje Ateuliwa Kuwa Mkurugenzi wa Ufundi wa TFF

Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imemthibitisha Ammy Ninje (Pichani) kuwa Mkurugenzi wa Ufundi wa shirikisho hilo. Nafasi...

READ MORE

Watanzania Walivyoshinda Medali za Dhahabu Japan

WANARIADHA wa Tanzania, Marco Joseph, Fabian Joseph na Amina Mohamed wameibuka washindi wa medali za dhahabu katika mashindano ya riadha...

READ MORE

Matokeo ya Michezo ya Ligi Kuu, Simba Yaifunga Stand Bao 3-0

TIMU ya Simba wamefanikiwa kushinda mabao 3-0 dhidi ya Stand United katika mchezo wa Ligi Kuu uliochezwa leo uwanja wa...

READ MORE

Sh 200m Kumng’oa Ajibu Yanga

IBRAHIM Ajibu ambaye mpaka sasa ndiye kinara wa asisti Ligi Kuu Bara akiwa kapiga sita katika mechi sita kwenye kikosi...

READ MORE

KOCHA YANGA APATA KIBURI LIGI KUU BARA – VIDEO

MABAO 11 waliotupia mastraika wa Yanga kwenye mechi sita yamempa kiburi, Kocha Mkongomani Mwinyi Zahera. “Ukiangalia kwenye mechi sita timu...

READ MORE

AJIBU: MBWANA SAMATTA AMENIACHIA UJUMBE MZITO

KIKOSI cha Yanga, kesho Jumamosi kinashuka uwanjani kupambana na Alliance FC katika Ligi Kuu Bara kwenye Uwanja wa Taifa jijini...

READ MORE

YANGA YAIFUNGA ALLIANCE BAO 3-0, TAIFA

TIMU ya Yanga wameibuka na ushindi wa bao 3-0 dhidi ya Alliance leo Jumamosi kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar....

READ MORE

Man U Yawanyamazisha Chelsea, Stamford Bridge

TIMU ya Chelsea imenusulika kichapo kutoka kwa Manchester United baada ya Ross Barkley kuifungia  Chelsea bao la kusawazisha dakika  ya...

READ MORE

Fei Toto Aleta Mkali Zaidi ya Makambo

ZIKIWA zimesalia wiki nne kabla ya usajili wa dirisha dogo msimu huu, kiungo wa Yanga anayekuja kwa kasi hivi sasa,...

READ MORE

Zahera Atoa Onyo Yanga SC

BAADA ya kurejea juzi usiku, Kocha Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera amewapa onyo wachezaji wake kwa kuhakikisha wanatumia akili nyingi...

READ MORE

Mkude, Wawa Wamvuruga Kagere

  WACHEZAJI wa Simba, Jonas Mkude na Pascal Wawa juzi walionekana wakimvuruga mshambuliaji wa timu hiyo, Meddie Kagere wakati wa...

READ MORE

MKUDE APEWA MCHONGO UFARANSA

KIUNGO wa Simba, Jonas Mkude ameshtuka na sasa ameweka wazi kuwa anataka kuondoka klabuni hapo na kwenda Ulaya kucheza soka...

READ MORE

SERIKALI YAJITOSA MAZIMA STARS

SERIKALI kupitia kwa Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Harrison Mwakyembe imeahidi msaada wowote kwa Kocha wa Taifa Stars,...

READ MORE

Mkude Majeruhi, Aipa Presha Simba

  KIUNGO wa Simba, Jonas Mkude huenda akaukosa mchezo ujao dhidi ya Stand United licha ya kuanza mazoezi mepesi jana...

READ MORE

Mkongo Yanga Agomea Namba Ya Fei Toto

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera amesema kamwe hawezi kumbadilisha namba kiungo wake mkabaji, Feisal Salum ‘Fei Toto’ na kumpeleka...

READ MORE

JPM ATOA TSH 50M KWA TAIFA STARS ‘MKIFUNGWA MTAZITAPIKA’- VIDEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amekutana na kuzungumza na wachejazi wa Timu ya Taifa ya...

READ MORE

MTIHANI KWA MOURINHO KESHO, MAN UTD KUKIPIGA NA CHELSEA

KESHO Jumamosi mapema tu saa 8:30 mchana kwa saa za Afrika Mashariki, Chelsea itakuwa mwenyeji wa Manchester United ukiwa ni...

READ MORE

Yondani Atangaza Kustaafu Soka

BEKI kisiki wa Yanga na Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Kelvin Yondani ameibuka na kusema kuwa, muda si...

READ MORE

Simba Waendelea Kumuombea Dua MO

  Wanachama, Viongozi, Wadau wa Simba Mapema leo wamejumuika nyumbani kwa Mwenyekiti wa Baraza la Wadhamini la timu hiyo Khamisi...

READ MORE

SPORTPESA YACHEZESHA DROO YA 28 NA KUTANGAZA ONGEZEKO LA ZAWADI

Kampuni ya mchezo wa kubashiri ya SportPesa imechezesha droo ya 28 ya Promosheni ya Shida Zaidi na SportPesa, ambapo Ndugu...

READ MORE

Kichuya Atoa Tamko Zito Simba

KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Shiza Kichuya amewaambia mashabiki kwamba mechi ya Jumapili dhidi ya Stand United ni muhimu kuliko hata...

READ MORE

Yanga SC Yamwekea Ajibu Mkataba Mezani

  UONGOZI wa Yanga tayari umeanza mazungumzo ya siri na kiungo wao mshambuliaji fundi, Ibrahimu Ajibu kwa ajili ya kumuongezea...

READ MORE

Zahera Arejea Na Usajili Mpya Yanga

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera, amepanga akirejea tu nchini kutoka kwao, moja kwa moja atakutana na Kamati ya Usajili...

READ MORE

Majanga Liverpool, Mane Naye Aumia

SADIO Mane alilazimika kupelekwa hospitalini juzi jioni baada ya kupata majeraha ya mkono. Hili ni pigo jingine kwa Kocha wa...

READ MORE

KAKOLANYA AMPOTEZA MANULA BONGO

  UNAWEZA kusema mambo ni mazuri kwa upande wa kipa wa Yanga, Beno Kakolanya ambaye mpaka sasa anaonekana kumkimbiza kipa...

READ MORE