×

Michezo

FULL TIME: SIMBA 0-0 YANGA,UWANJA WA TAIFA, LIGI KUU

Dk ya 90 +3: Mwamuzi anamaliza mchezo. Matokeo ni 0-0. Dk ya 90 + 2: Simba wanafanya shambulizi kali lakini...

READ MORE

Tambwe: Simba SC Mjiandae Kisaikolojia

  AMISSI Tambwe amewataka mashabiki wa Simba wajiandae kisaikolojia ili yasije kutokea kama yale yaliyotokea Oktoba 1, 2016 katika mchezo...

READ MORE

MASHABIKI WA SIMBA,YANGA WACHANGAMKIA GAZETI LA SPOTI XTRA

Mmoja wa wasomaji wa Gazeti la Spoti Xtra (kushoto) akijaza kuponi ya shindano la kujishindia jezi orijino au zawadi nyingine...

READ MORE

SPIKA JOB NDUGAI MGENI RASMI SIMBA VS YANGA UWANJA WA TAIFA

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Nchini (TFF) Limemtangaza Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai...

READ MORE

Mambo Usiyoyajua Mwamuzi Wa Simba na Yanga Leo, Taifa

  GUMZO la leo Jumapili kila kona ya Tanzania ni Simba na Yanga. Kila sehemu ni rangi za njano na...

READ MORE

Kikosi cha Simba Dhidi Ya Yanga, Kipo Hapa

Kikosi cha timu ya Simba ambacho kitaanza leo katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Yanga, Uwanja wa...

READ MORE

Vita ya Manara na Dismas Ten Kuamuliwa Leo

Hatimaye ile siku ya furaha, huzuni na machozi kwa mashabiki na wapenzi wa soka nchini imewadia ambapo vigogo wawili wenye...

READ MORE

Nyoni: Nitawafunga Tena Yanga Sc

ERASTO Nyoni wa Simba ndiye mchezaji wa mwisho kuifunga Yanga kwenye mchezo uliopita lakini ameapa tena ni lazima aifunge tena...

READ MORE

Ajibu: Mechi Ya Simba Nyepesi Tu, Mashabiki Tukutane Taifa

MSHAMBULIAJI wa Yanga, Ibrahim Ajibu amesema mechi yao na Simba anaona ya kawaida huku akiwataka mashabiki kujitokeza kwa wingi leo....

READ MORE

Video: KIBADEN Una Kagere na Okwi Lazima Wakupige

 Nyota wazamani wa klabu ya soka ya Simba Kibadeni amesema anawaamini zaidi wachezaji wa Simba kuliko Yanga kwakuwa kikosi...

READ MORE

Mashabiki Wanavyojiandaa Kwa Mechi ya leo Taifa -Video

Joto la mpambano wa watani wa jadi Simba na Yanga linazidi kupanda kwa Mashabiki wa vilabu hivyo huku wakijiandaa kwa...

READ MORE

Kaduguda Awekewa Pingamizi Simba, Apangua

ALIWAHI kuwa Katibu Mkuu wa Simba, chini ya Mwenyekiti, Hassan Dalali, Mwina Kaduguda amewekewa pingamizi katika mchakato unaoendelea wa uchaguzi...

READ MORE

Yanga: Simba Msije Na Matokeo, Mtang’oa Viti

YANGA inaonekana haina presha kuelekea kwenye mchezo wake wa kesho Jumapili dhidi ya Simba, kwani imewatahadharisha wapinzani wao kuwa wasiende...

READ MORE

SIMBA YAHAMISHIA MAZOEZI GYMCANA – VIDEO

KLABU ya Simba mapema leo imeamua kuhamishia mazoezi yake kwenye Uwanja wa GYMCANA Posta jijini Dar es Salaam, ikiwa ni...

READ MORE

Tambwe, Makambo Wahenyeshwa Balaa Yanga SC

STRAIKA wa Yanga, Amissi Tambwe, jana Alhamisi aliionja joto ya jiwe kutoka kwa kocha wake, Mwinyi Zahera ambaye alimuhenyesha kwa...

READ MORE

KEVIN DURANT HATARINI KUONDOKA WARRIORS

BAADA ya misimu miwili ya mafanikio akiwa na mabingwa, Golden State Warriors, staa wa timu hiyo, Kevin Durant ameanza kutajwa...

READ MORE

LeBron James: Sijahamia Lakers Kushiriki Muvi

STAA wa kikapu katika Ligi ya NBA, LeBron James amesema uamuzi wake wa kuhamia Los Angeles Lakers umechagizwa na sababu...

READ MORE

‘TIMUA PAUL POGBA ANAWAZINGUA’

BEKI na nahodha wa zamani wa Liverpool, Jamie Carragher ambaye kwa sasa ni mchambuzi wa mchezo wa soka amemjia juu...

READ MORE

Mazoezi Ya Simba Usipime, Yawekewa Ulinzi

BAADA ya Simba kubaki jijini Dar na kuweka kambi katika Hoteli ya Sea Scape iliyopo Mbezi Beach, jana Jumatano kikosi...

READ MORE

Zabibu Kiba: Banda Akifungwa Ananinunia (Picha + Video)

  MJI wa Polokwane uko umbali wa kilomita 320 kutoka katika jiji kubwa la biashara la Johannesburg nchini Afrika Kusini....

READ MORE

KIMENUKA! POGBA ATIFUANA NA MOURINHO MAZOEZINI – VIDEO

MCHEZAJI wa klabu ya Manchster United, Paul Pogba na kocha wake, Jose Mourinho, wameonekana katika mkanda wa video wakibadilishana maneno...

READ MORE

Simba Yajichimbia Ufukweni Ili Kuimaliza Yanga

KIKOSI cha Simba leo jioni kinaingia kambini kujiandaa na mchezo wa Jumapili wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Yanga utakaochezwa...

READ MORE

Rukyaa Ndiye ‘Plato’ wa Simba na Yanga Jumapili

RASMI! Mwamuzi Jonesia Rukyaa kuchezesha mechi kati ya Simba na Yanga, Jumapili ijayo Septemba 30 mwaka huu kwenye Uwanja wa...

READ MORE

Watano Wawekewa Pingamizi Simba

MAMBO yameendelea kuwa moto kuelekea uchaguzi mkuu wa Simba baada ya wagombea watano katika nafasi tofauti ku­wekewa mapingamizi.   Uchaguzi...

READ MORE

Zahera Ashusha Presha Yanga

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mkongo, Mwinyi Zahera amefunguka kuwa hana hofu ya mechi yao na Simba ambayo ndiyo ina mashabiki...

READ MORE

Mechi Ya Chelsea vs Liverpool Jumamosi ndani ya Superport

Jumamosi hii kwenye Premier League, Wana wa darajani aka the Blues – Chelsea ambao wanashikilia nafasi ya 3 katika msimamo...

READ MORE

Hassan Ajishindia Shilingi Laki 5 Kutoka MojaSpesho

Hassan Hassan (23), Mkazi wa Pugu, Dar es Salaam ni mshindi wa Shilingi Laki 5 kupitia MojaSpesho, ambaye amebainisha kuwa...

READ MORE

Hans Poppe: Asilimia 120 Yanga Anakufa Taifa

WAKATI mashabiki wengi wakiwa na hofu juu ya nani ataibuka na ushindi kwenye mchezo wa Simba dhidi ya Yanga Jumapili...

READ MORE

Tambwe Karudi, Waleteni Simba Sasa!

BAADA ya Simba kushinda jioni, Yanga ilijibu mapigo kwa kushinda usiku huku Amissi Tambwe akirejea kwenye makali yake kwa ku­funga...

READ MORE

Ajibu, Makambo Wawavuruga Simba

WAKATI homa ya mechi ya watani wa jadi, Simba na Yanga ikizidi kupamba moto, washambuliaji wa Yanga, Heritier Makambo na...

READ MORE

Modric Mchezaji Bora wa Fifa 2018, Awashinda Ronaldo, Salah

Luka Modric raia wa Croatia anayecheza soka na klabu ya Hispania ya Real Madrid, amebeba tuzo ya Mchezaji Bora wa...

READ MORE

MBELGIJI SIMBA: SINA HOFU YA KUFUKUZWA

KOCHA Mkuu wa Simba, Patrick Aussems, ameweka wazi kuwa, hana hofu yoyote kama itatokea anataka kutimuliwa kwa kuwa timu nyingi...

READ MORE

Uchaguzi Simba Kusikiliza Pingamizi Leo

UTARATIBU wa kusikiliza mapingamizi ya wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi wa Simba unatara­jiwa kufanyika leo Jumatatu kuanzia saa 10:30...

READ MORE

ZAHERA AMPOTEZA LWANDAMINA YANGA

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera, amempoteza kabisa kocha wa zamani wa timu hiyo, Mzambia George Lwandamina kwa kuweka rekodi...

READ MORE

Ajali ya MV Nyerere Yaiathiri Stand United

TUKIO la kuzama kwa kivuko cha MV Nyerere kisiwani Ukara Wilaya ya Ukerewe mkoani Mwanza, limeathiri kada mbalimbali za Watanzania...

READ MORE

ZABIBU KIBA Afunguka Alivyoumshuhudia Mumewe Banda Uwanjani – VIDEO

MKE wa Abdi Banda ambaye ni dada wa Staa wa Bongo Fleva, Alikiba, Zabibu Kiba amefunguka baada ya kumshuhudia mumewe...

READ MORE

SIMBA YAITANDIKA MWADUI BAO 3-1, BOCCO ATUPIA

Safari ya Kanda ya Ziwa imemalizika na furaha leo kunako dimba la CCM Kambarage Shinyanga kwa wekundu wa Msimbazi, Simba...

READ MORE

JOSHUA AMCHAKAZA KWA TKO POVETKIN RAUNDI YA SABA (Picha+Video)

MWINGEREZA Anthony Joshua amevunja rekodi ya bondia Povetkin,  raia wa Urusi, kwa kumpiga kwa ‘Technical Knock Out’ round ya saba...

READ MORE

Waliozingua Yanga SC Warejeshwa

  WALE nyota watatu wa Yanga ambao walioonyesha utovu wa nidhamu, Mwinyi Haji, Said Makapu na Pius Buswita wameomba radhi...

READ MORE

Yanga Yagomea Mechi Yao Kuahirishwa

  BODI ya Ligi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imeahirisha mechi mbili za Ligi Kuu ya Tanzania Bara zinazozihusu...

READ MORE