×

Michezo

Akilimali: Yanga Abaki Yondani Tu

WAKATI ikitajwa kuwa huenda beki kisiki wa Yanga, Kelvin Yondani akatimka ndani ya kikosi hicho, Katibu wa Baraza la Wazee...

READ MORE

ISHU YA MO KUTUA YANGA YAKAMILIKA

  BAADA ya siku chache kudaiwa kuwa, kiungo wa Simba, Mohamed Ibrahim ‘Mo’ amesajiliwa Yanga imebainika kuwa dili hilo linatarajiwa...

READ MORE

Yondani Hajulikani Alipo, Yanga Waitisha Kikao cha Dharula

WAKATI Klabu ya Yanga imeitisha kikao cha dharura na wachezaji wote 10 waliomaliza mikataba yao, kinachotarajiwa kufanyika leo Jumatano, Mei...

READ MORE

BAADA YA KUMNASA SALAMBA, SIMBA YASEMA HIYO NI TRELA TU, BALAA LINAKUJA

Uongozi wa klabu ya Simba kupitia Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano, Haji Manara, umesema usajili wa Adam Salamba...

READ MORE

MMILIKI WA CHELSEA ACHUKUA URAIA WA ISRAEL

BILLIONEA wa Urusi, Roman Abramovich, anayemiliki klabu ya soka ya Chelsea ya Uingereza, ambaye amejikuta hana visa ya kuingilia nchini...

READ MORE

Azam: Pluijm Aliomba Kuifundisha Timu Yetu

UONGOZI wa Azam FC umeweka bayana kuwa, kocha wa timu ya Singida United, Mholanzi, Hans van Der Pluijm, ndiye aliyeandika...

READ MORE

Nyota 10 Yanga SC Hawana Mikataba, Wengi Kutimkia Azam

WACHEZAJI zaidi ya 10 wa Yanga wamemaliza mikataba yao, na hofu imeibuka Jangwani kuwa huenda wengi wao wakatimkia Azam FC...

READ MORE

AZAM YAIANGAMIZA YANGA 3-1 (Video)

TIMU ya Azam kimelipiza kisasi kwa Yanga baada ya kuichapa mabao 3-1 leo katika mchezo kuhitimisha mechi za ligi kuu...

READ MORE

TFF YAMFUNGULIA ADHABU YONDANI, ARUHUSIWA KUIVAA AZAM

WAKATI kikosi cha Yanga kikitarajia kushuka uwanjani leo usiku kupambana na Azam FC, Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limeiruhusu klabu...

READ MORE

HATIMAYE MAJIMAJI YAUNGANA NA NJOMBE MJI KUSHUKA DARAJA

KLABU ya Majimaji ya Songea imeungana rasmi na Njombe Mji kuteremka Ligi Kuu Bara mpaka daraja la kwanza baada ya...

READ MORE

Ramos Kumuumiza Salah, Klopp Asema Alidhamiria – Video

STAA wa Liverpool na Timu ya Taifa ya Misri, Mohamed Salah amesema ana uhakika wa kuwepo kwenye michuano ya kombe...

READ MORE

SALAMBA ATUA SIMBA, NI BAADA YA KUWAZIDI KETE YANGA, AZAM

MSHAMBULIAJI wa Lipuli FC ya Iringa, Adam Salamba, ana asilimia kubwa ya kuichezea Simba kwenye msimu ujao wa Ligi Kuu...

READ MORE

KARIUS AOMBA MSAMAHA LIVERPOOL

KIPA wa Liv­erpool, Loris Karius, ame­waomba wenzake msamaha baada ya kufanya makosa k w e n y e mchez o...

READ MORE

BALE: SISTAHILI KUWEKWA BENCHI

  STAA wa mchezo wa fainali ya Ligi ya Mab­ingwa Ulaya iliyopigwa juzi, Gareth Bale, amesema al­ihuzunika kuanzia benchi ka­tika...

READ MORE

YANGA YAKANUSHA KUJIUZULU KWA MKEMI

MJUMBE wa Kamati wa Utendaji ya Yanga, Salum Mkemi imeelezwa kuwa bado ni kiongozi wa Yanga na hajajiuzulu kama ambavyo...

READ MORE

Ramos Amuombea Mo Salah, na Kusema Hakudhamiria Kumuumiza

Beki wa Real Madrid ambao ni Mabigwa Wapya wa Kombe la UEFA Champions League, Sergio Ramos amesisitiza kuwa hakudhamiria kumuumiza...

READ MORE

BAO LA ‘BAISKELI’ LA BALE LAZUA HEKAHEKA BONGO

BAO la ‘baiskeli’  (tiktak) alilofunga Gareth Bale dakika ya 64 kipindi cha pili jana, miongoni mwa mabao mawili aliyofunga na...

READ MORE

REAL MADRID WAINYUKA LIVERPOOL 3-1, WANYAKUA TENA UBINGWA

HABARI kubwa katika Ulimwengu wa soka leo ni kuhusu ushindi wa Klabu ya Real Madrid ya Hispania ambayo imeinyuka Liverpool...

READ MORE

Straika Wa APR Afuata Saini Yanga

MPACHIKA mabao tegemeo wa Klabu ya APR ya Rwanda, Issa Bigirimana ‘Walcott’ amesema kuwa yupo tayari kutua nchini na kusaini...

READ MORE

JKT waonyesha ubabe   Kombe la Meya

  JESHI la Kujenga Taifa (JKT) wameendeleza ubabe baada ya kufanikiwa kutetea ubingwa wao katika mashindano ya Kombe la  Mstahiki...

READ MORE

Kuelekea Fainali Ya Leo Ukraine…Ronaldo Agoma Kufananishwa Na Salah

  CRISTIANO Ronaldo amesisitiza kuwa hafanani kwa chochote na Mohamed Salah wakati wakali hao wawili wakitarajiwa kuonyeshana umwamba kwenye fainali...

READ MORE

BREAKING NEWS: NGOMA NI MALI YA AZAM FC, RASMI DILI LIMESHAKAMILIKA, APELEKWA SAUZI

Uongozi wa Azam FC umethibitisha kuwa umeingia makubaliano ya usajili na mshambuliaji Donald Ngoma, kwa ajili ya msimu ujao 2018/2019....

READ MORE

Kocha Brazil Awapa Kazi Neymar, Jesus

KOCHA wa timu ya Taifa ya Brazil, Tite anaandaa moto mkali wa mastraika watatu, Neymar, Willian na Gabriel Jesus kwani...

READ MORE

Kocha wa Liverpool Awaonya Real Madrid -Video

Kocha wa Liverpool, Jurgen Klopp ameitahadharisha klabu ya Real Madrid kuelekea mchezo wao wa fainali wa klabu bingwa barani Ulaya...

READ MORE

Kapombe Kucheza Ligi Kuu ya Hispania Msimu Ujao

  NYOTA inaendelea kumuwakia beki kiraka wa Simba, Shomari Kapombe kwani sasa taarifa zinasema anatakiwa na moja ya timu iliyopanda...

READ MORE

Simba Yaifuata Majimaji Bila Bocco, Kichuya

  SIMBA leo Jumamosi asubuhi, inatarajiwa kusafiri kwenda Songea kuwafuata Majimaji ambapo itaondoka bila ya mastaa wao, Emmanuel Okwi raia...

READ MORE

Mbwana Samatta, Alikiba Kuchangia Elimu Sh Milioni 50

  WAKATI maandalizi ya mechi ya hisani ya mchezo wa soka utakaowakutanisha uwanjani, Mbwana Samatta anayecheza soka la kulipwa katika...

READ MORE

RUVU SHOOTING YAIPAPASA YANGA, NJIA NYEUPE KWA AZAM

Ruvu Shooting imeirahisishia kazi Azam FC ili iweze kumaliza msiomamo wa Ligi Kuu Bara ikiwa nafasi ya pili baada ya...

READ MORE

Lechantre: Sitaki Kumtegemea Okwi Caf

  ACHANA na kikosi hichi kilichochukua ubingwa wa Ligi Kuu Bara kwa kishindo kwenye msimu huu, Kocha Mkuu wa Simba...

READ MORE

Hii Vita Ya Majimaji Na Ndanda TFF Kuweni Macho

  JUZI Jumatano, Ndanda FC iliifunga Mwadui FC na kufufua matumaini ya kusalia kwenye Ligi Kuu Bara kwa msimu ujao....

READ MORE

Kocha Simba Ampa Kichuya Onyo Kali

KOCHA Msaidizi wa Simba, Mrundi, Masoud Djuma, wakiwa wamebakiza mechi moja waweze kukamilisha msimu wa ligi kuu ameibuka na kusema...

READ MORE

Kamusoko Aitaja Sababu Iliyoiua Yanga

KIUNGO mahiri wa Yanga, Thaban Kamusoko raia wa Zimbabwe, amefunguka kuwa ugumu wa ratiba na kucheza muda mfupi baada ya...

READ MORE

HATIMAYE INIESTA ASAINI KOBE YA JAPAN

STAA wa Soka duniani kutoka Barcelona ya Hispania, Andrés Iniesta amesaini kandarasi ya kujiunga na Klabu ya Soka ya Vissel...

READ MORE

Simba walamba Sh. 100m za SportPesa

Nahodha wa Simba John Bocco (kulia) akimkabidhi kombe la ubingwa Mkurugenzi Mkuu wa SportPesa, Pavel Slavkov, huku viongozi wengine kutoka...

READ MORE

MANARA Ajibu Swali Nani Aliyepiga Penalti Okwi au Kaseja? – Video

MSEMAJI wa Klabu ya Mabingwa Haji Manara amesema kuwa video ambayo ilikua inaendelea kusambaa mtandaoni baada ya Mshambuliaji wao Mganda...

READ MORE

‘Vita’ ya Alikiba na Samatta Imefika Pabaya

  NAHODHA wa Timu ya Soka ya Tanzania, Taifa Stars na Klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji, Mbwana Ally Samatta...

READ MORE

Wanaowania Tuzo za Ligi Kuu Bara Msimu wa 2017/18 Yaanikwa

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limeanika majina ya wachezaji wanao wania tuzo za Ligi Kuu Soka Tanzania Bara (VPL) msimu...

READ MORE

Arsenal wamtangaza rasmi Emery (Picha +Video)

Unai Emery wa Sevila amethibitishwa kuwa Kocha mpya wa Arsenal baada ya tetesi zilizoenea kwa zaidi ya saa 24 zilizopita.Akizungumza...

READ MORE

Kagame Aidhamini Arsenal

RWANDA imeingia mkataba wa miaka mitatu na Arsenal ambapo kwenye mabega ya jezi zao kutakuwa na ujumbe wa ‘Visit Rwanda’....

READ MORE

Kocha Yanga Aitaka Mikoba Ya Pluijm Singida

IMEBAINIKA kuwa aliyewahi kuwa Kocha wa Yanga, Du­san Kondic, raia wa Serbia ni miongoni mwa makocha ambao wanapigiwa chapuo kwa...

READ MORE