UNDAVA undava tu kwani Simba baada ya kuchukuliwa mchezaji wake Ibrahim Ajibu na Yanga, nayo inapambana kuhakikisha inamsajili straika Donald...
READ MOREUchaguzi Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) unatarajiwa kufanyika Agosti 12, mwaka huu mkoani Dodoma, habari mpya ni kuwa...
READ MOREMshambuliaji Ibrahim Ajib yupo njiani kuelekea Yanga akitokea Simba, hiyo siyo habari nzuri kwa Wanasimba lakini kuna taarifa njema kwao....
READ MOREMichael Richard Wambura amejitokeza kuchukua fomu ya kuwania nafasi ya Makamu wa Rais wa Shirikisho la Soka la Tanzania (TFF)....
READ MOREKOCHA na mchezaji wa zamani wa Simba, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ ambaye kwa sasa anaendelea na shughuli zake binafsi jijini Dar...
READ MORERoma akiwa darasani anafundisha somo la hisabati. BAADA ya kufanya miujiza katika bonge la shoo la Nichane Nikuchane lililofanyika...
READ MOREMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan amekubali ombi la kuwa mgeni rasmi katika...
READ MOREMCHEZAJI wa Golden State Warriors, Stephen Curry amesema kama timu hiyo itaalikwa kwenye Ikulu ya Marekani (White House), baada ya...
READ MOREMARA baada ya kushinda taji la NBA, Jumanne ya wiki hii, akiwa na timu yake Golden State Warriors, staa wa...
READ MORETIMU ya Kagera Sugar, juzi Jumatano ilifanya usajili wa wachezaji sita kwa mpigo akiwemo beki wa zamani wa Simba, Ashanti...
READ MOREWAKATI Yanga wakimsubiria kiungo wao mchezeshaji, Haruna Niyonzima atue nchini kwa ajili ya kumuongezea mkataba watani wao wa Simba wenyewe...
READ MOREMshambuliaji wa Simba, Ibrahim Ajibu imefahamika kuwa sasa ni rasmi anajiunga na Yanga baada ya klabu yake ya sasa kushindwa...
READ MOREHATIMAYE beki mahiri wa zamani wa Ashanti, Simba na Mbeya City, Juma Said Nyosso amesaini mkataba wa miaka miwili wa...
READ MOREIbrahim Mussa, Dar es Salaam, Championi Jumatano, Habari UONGOZI wa Simba, jana umetangaza rasmi kumsajili aliyekuwa mshambuliaji wa Azam, John...
READ MOREKEVIN DURANT alikuwa katika kilele cha umahiri wake kwa kuisaidia timu yake ya Golden State Warriors kutwaa ubingwa wa Ligi...
READ MOREMwandishi Wetu | Dar es Salaam RASMI sasa wachezaji wa Azam, mlinzi Shomari Kapombe na kipa, Aishi Manula msimu ujao...
READ MOREWilbert Molandi| CHAMPIONI| Dar es Salaam KIUNGO mchezeshaji wa Yanga, Mnyarwanda, Haruna Niyonzima, amewaambia maneno mazuri mashabiki wa timu hiyo,...
READ MOREWilbert Molandi | CHAMPIONI| Dar es salaam UONGOZI wa Singida United umemuandalia mkataba kiungo mshambuliaji wa Yanga, Deus Kaseke kwa...
READ MOREMusa Mateja na Said Ally | CHAMPIONI JUMATATU IMETHIBITIKA kuwa Klabu ya Azam imetumia milioni 40 kwa ajili ya kuipiku...
READ MOREIbrahim Mussa| CHAMPIONI | Dar es salaam NAHODHA wa Taifa Stars, Mbwana Samatta, amefunguka kuwa sababu ya kushindwa kuibuka na...
READ MOREKIKOSI cha Gor Mahia cha Kenya leo Jumapili kimefanikiwa kuibuka mabingwa wa michuano ya SportPesa Super Cup baada ya...
READ MORETimu za Gor Mahia na AFC Leopards zinatarajia kukutana leo Jumampili kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam,...
READ MORELicha ya Mbwana Samatta kufunga bao la kiwango cha juu dhidi ya Lesotho bado halikutosha kuipa ushindi timu ya taifa,...
READ MORETAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI JUNI 10, 2017 TAARIFA KUHUSU SERENGETI BOYS Kuna taarifa zimekuwa zikienea na kusambazwa kwenye mitandao...
READ MOREKWA sasa hakuna ubishi mchezaji bora zaidi katika mpira wa kikapu kuwa ni LeBron James wa Cleveland Cavaliers. Katika fainali...
READ MORESweetbert Lukonge na Musa Mateja | CHAMPIONI YANGA imesema ina uhakika wa kumsajili mshambuliaji wa Kagera Sugar, Mbaraka Yusuph na...
READ MOREKocha Msaidizi wa Yanga, Juma Mwambusi amesema timu yake haikuwa na bahati kwenye michuano ya SportPesa Super Cup baada ya...
READ MOREIbrahim Mussa | CHAMPIONI | Dar es Salaam NAHODHA wa Taifa Stars, Mbwana Samatta amesema kwa maandalizi waliyofanya wana uhakika...
READ MOREWilbert Molandi | CHAMPIONI| Dar es Salaam FAINALI ya michuano ya SportPesa Super Cup inatarajiwa kuchezwa kesho Jumapili kwa Gor...
READ MOREBugatti Veyron GSV. MASTAA wa soka katika nchi zilizoendelea ni kawaida kuwa na mishahara mikubwa, hali ambayo inawafanya baadhi yao...
READ MORENa Mwandishi Wetu | Championi Ijumaa | Habari AKITUA tu nchini na kumalizana na Simba, mshambuliaji mwenye kasi na mwendo...
READ MOREMusa Mateja na Wilbert Molandi | CHAMPIONI KIUNGO mkabaji anayesifika kwa kucheza soka la nguvu, Himid Mao ‘Ninja’ ametamka kuwa...
READ MOREWilbert Molandi na Sweetbert Lukonge | CHAMPIONI MJUMBE wa Kamati ya Utendaji ya Yanga, Salum Mkemi, jana Alhamisi alikumbana na...
READ MORESpotiHausi: Live Match Yanga Vs AFC Leopard (SportPesa Super Cup) Yanga wanaondolewa mashindanoni kwa penalti. Leopards wanapata penalti 4, Yanga...
READ MOREKocha wa mabingwa wa Ligi Kuu England, Antonio Conte amemuandikia ujumbe mshambuliaji wake, Diego Costa kuwa hamhitaji. Awali ilionekana Costa...
READ MORE#SpotiHausi ni kipindi cha #Michezo kinacholetwa kwako na #GlobalTVOnline kila #Alhamisi Wachambuzi wa michezo Wilbert Molandi, Philip Nkini watakuwa wakiichambua LIVE mechi...
READ MOREZIKIWA zimebaki sekunde 45.3 kabla ya mchezo kumalizika katika ligi ya mpira wa kikapu (basketball) nchini Marekani, Kevin Durant wa...
READ MORE