×

Mikasa

DENTI ALIYEFIA SHULENI… UTATA MZITO WAIBUK A

INAUMA sana! Ndiyo maneno yanayoweza kukutoka kufuatia kuibuka kwa simulizi yenye utata mzito kuhusiana na kifo cha binti, Faith John...

READ MORE

DNA Yamuumbua Aliyetelekeza Watoto Wawili, Atupwa Jela!

DNA (Kipimo cha Vinasaba) ni noma kwani kinawatoa kijasho wengi! Kwa muda mrefu kumekuwa na vilio vya baadhi ya wanawake...

READ MORE

Afariki, Azikwa, Arudi Nyumbani

ARUSHA: Hali ya taharuki imewakumba wakazi wa Kijiji cha Leto-Mamsera, Kata ya Makidi, Wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro kufuatia tukio...

READ MORE

Mjeda, Kibinti Wanaswa Wakifanya Mchezo Hatari Usiku

HII ni aibu kubwa! Joseph Mbega ambaye amedaiwa kujifanya ni mwanajeshi (mjeda) pamoja na mrembo aliyefahamika kwa jina la Rebeca...

READ MORE

Kimenuka! Fumanizi la Mwezi Mtukufu Laibua Ndoa Mpya!

  KUNA mambo ya ajabu ya kila aina ambayo hutokea kwa nyakati tofauti, lakini hili lililojiri katika kipindi hiki cha...

READ MORE

Kali ya Mwaka! Bibi Noma, Awahenyesha Polisi Wenye Silaha Nzito

MOROGORO: Shubaamit! HIVI ukitazama picha ukurasa wa mbele unaweza kufikiria nini hasa? Vyovyote utakavyofikiri; mwisho wa picha duniani kuna mambo...

READ MORE

Mchungaji Mkanyaga Watu Yamkuta Dar

DAR ES SALAAM: Yawezekana wewe ni kati ya wale waliowahi kuona picha za mchungaji ambaye anaonekana akiwa amewakanyaga waumini wake...

READ MORE

MKEO SIKUMWITA, ALIKOSEA MLANGO

VYOMBO vimetupwa nje na baba mwenye nyumba. Si kwamba eti sijalipa kodi, la hasha! Ni sababu ndogo ya kipuuzi imepelekea...

READ MORE

SITASAHAU NILIPOLALA NA MWANAMKE JUU YA KABURI (7)

Mzee aliletewa tumbaku aliyoagiza. Ilikuwa tumbaku ya tozo. Akaiweka katika kiko kilichokuwa na kaa dogo la moto, akavuta mikupuo miwili...

READ MORE

SITASAHAU NILIPOLALA NA MWANAMKE JUU YA KABURI (6)

Ilipoishia jana… Maneno ya mzee hayakuwa kichekesho, lakini yalitosha kuitwa mzaha uliolenga kuniweka sawa kiakili. Alisema maneno yale akitabasamu. Akili...

READ MORE

SITASAHAU NILIPOLALA NA MWANAMKE JUU YA KABURI (5)

ILIPOISHIA JANA…   Mganga alikimbia kama swala, niliona rubega yake ikipepea, nilikimbia kuelekea alikoelekea mganga, lakini kasi ya mganga ilikuwa...

READ MORE

SITASAHAU NILIPOLALA NA MWANAMKE JUU YA KABURI (4)

ILIPOISHIA JANA Nilimaliza kuzungumza, ikawa zamu ya mganga kusema: “Nimekusikia mwanangu… kinachokusumbua ni mzimu wa huyo marehemu ambaye hakufurahishwa na...

READ MORE

SITASAHAU NILIPOLALA NA MWANAMKE JUU YA KABURI (3)

ILIPOISHIA JANA   Nilifika nyumbani, nikafungua mlango nikiwa siamini kama nilipona katika tukio lile. Niliingia ndani. Nilipowasha taa, sikuamini nilichokiona,...

READ MORE

MREJESHO BAADA YA KUUJARIBU UCHAWI WA ‘CHUMA ULETE’

BAADA ya kusikia simulizi mbalimbali kuhusiana na ‘chuma ulete’  kwa muda mrefu, nikaamua nijaribu ili niweze kurahisisha maisha. Nilitamani sana...

READ MORE

SITASAHAU NILIPOLALA NA MWANAMKE JUU YA KABURI (2)

Hatukutembea sana, tukayafikia makaburi. Watu walikuwa wengi siku hiyo, karibia kila kaburi lilikuwa na wazinzi wakifanya mambo yao. Hawakuogopa lolote,...

READ MORE

SITASAHAU NILIPOLALA NA MWANAMKE JUU YA KABURI (1)

NILIISHI maisha ya starehe. Ujana ulinikamata vilivyo. Pombe na wanawake havikunipita, walionifahamu waliniita ‘popo.’ Nilikuwa popo kweli, popo kasoro mabawa!...

READ MORE

BAMBI BAMBI MY DEAR, MY DEAR, MY DEAR…

ALIITWA Bambi! Ni jina lenye asili ya Italia, jina hili hupewa mabinti wazuri waliotosheka urembo. Kama lilivyo jina lake, Bambi...

READ MORE

SIKU WALIYOZALIWA WANANGU ILIKUWA MBAYA

NAIKUMBUKA siku hiyo, hata naogopa kuitaja. Ni siku waliyozaliwa wanangu mapacha – Kisiki na Mpingo.   Niliondoka asubuhi ya siku...

READ MORE

NALIAMSHA DUDEEE… KAZA CHAGA MAMA!

NILIKUWA kijiweni katika mishemishe zangu za kusaka ‘mpunga’ nilipopigiwa simu na dada anayekimbiza mtima wangu siku zote. “Hallow baby,” nikaitika....

READ MORE

CHECHE ZA MZEE CHEKECHE, KIJANA WA ZAMANI!

ANAITWA Chekeche, hana cheti cha kuzaliwa, lakini inaaminika kuwa wakati Vita ya Pili ya Dunia inaendelea, Chekeche alikuwako. Wengine huenda...

READ MORE

WAHENGA BALAA! NIMEKUTANA NA KITUKO NDANI YA DALADALA

KAMA wasemavyo Waswahili, dunia ina mengi… leo nimeamini, si kwa kituko hiki. Kisa si kisa, labda ni kisasi, sijui! ILIVYOKUWA...

READ MORE

Kutana na Kijana Anayetafuna Chupa na Misumari

KIJANA mmoja aliyejitambulisha kwa jina la James John mkazi wa Mchikichini jijini Dar es Salaam ameonakana kuwashangaza watu wengi wa...

READ MORE

Pesa na Pombe kwako Sio Mapacha?

KWA wale waliowahi au wanaokunywa pombe hata sasa, ukweli unaosemwa na watu ni kwamba, kuna uhusiano mkubwa sana kati ya...

READ MORE

Kikuku cha Dada Muuza Soseji-14

ILIPOISHIA GAZETI LA IJUMAA WIKIENDA: Alichokifanya Dan ni kumpa dakika mbili tu akiamini kama ni wa kuaga, atashuka na kuondoka,...

READ MORE

Dume Suruali Kaa Mbali Namii!-4

DUME SURUALI KAA MBALI NAMII!-4 Mpenzi msomaji, wiki iliyopita niliishia pale mama Careen alipomsikia binti yake huyo akimkaribisha mgeni ndani,...

READ MORE

Simulizi: Nilivyokutana na Mzimu wa Kifo Oman-3

Ally Katalambula   +255 653428197 Ilipoishia wiki iliyopita. Saa 48 baadaye, mimi na Mariamu tulikuwa kwenye teksi tukielekea sehemu moja iitwayo...

READ MORE

Nilifanya Mapenzi na Maiti 20 Nitajirike – 11

ILIPOISHIA SEHEMU YA 10 YULE mzee sikuweza kumfahamu kwa kipindi kile lakini sauti yake, hapo baadaye nilimfahamu kwani nilikutana naye...

READ MORE

Nilifanya Mapenzi na Maiti 20 Nitajirike – 10

ILIPOISHIA SEHEMU YA TISA “Huu una masharti makubwa mawili,” aliniambia mganga. “Yapi?” “Moja, unatakiwa kuwaua wazazi wako wote wawili,” aliniambia...

READ MORE

Nilifanya Mapenzi na Maiti 20 Nitajirike – 9

ILIPOISHIA SEHEMU YA NANE Tulikwenda mpaka tulipofika sehemu iliyokuwa imeunganishwa na barabara moja ya vumbi, tukaingia nayo, tulikwenda zaidi mpaka...

READ MORE

Nilifanya Mapenzi na Maiti 20 Nitajirike – 8

ILIPOISHIA SEHEMU YA SABA Wakati nikijiuliza hayo yote, mwanaume huyo, hata kabla ya kuzungumza nami, akatoa tabasamu pana usoni mwake,...

READ MORE

Nilifanya Mapenzi na Maiti 20 Nitajirike – 7

 ILIPOISHIA SEHEMU YA SITA Akaniambia twende sehemu kuzungumza, kwanza niliogopa lakini sikuwa na jinsi, ningefanya nini na wakati nilihitaji msaada...

READ MORE

Nilifanya Mapenzi na Maiti 20 Nitajirike – 6

 ILIPOISHIA SEHEMU YA TANO Mwanaume yule akachukua kibegi changu na kuanza kuelekea ndani ya basi moja, sikumbuki liliitwaje. Nikaingia ndani,...

READ MORE

Nilifanya Mapenzi na Maiti 20 Nitajirike – 5

 ILIPOISHIA SEHEMU YA NNE “Kwa hiyo hauna ndugu?” aliniuliza. “Ndiyo! Ila nakwenda kutafuta maisha…” nilimjibu. Akanionea huruma, kiukweli macho yake...

READ MORE

Nilifanya Mapenzi na Maiti 20 Nitajirike – 4

ILIPOISHIA SEHEMU YA TATU “Kwa hiyo hauna ndugu?” aliniuliza. “Ndiyo! Ila nakwenda kutafuta maisha…” nilimjibu. Akanionea huruma, kiukweli macho yake...

READ MORE

Nilifanya Mapenzi Na Maiti 20 Nitajirike – 3

  ILIPOISHIA SEHEMU YA PILI “Mbona huongei jamani? Tatizo nini?” aliniuliza huku akinisogelea.“Nataka kufika Ifakara mpenzi!” nilimwambia kwa sauti ndogo.“Hakuna...

READ MORE

Nilifanya Mapenzi Na Maiti 20 Nitajirike – 2

ILIPOISHIA SEHEMU YA KWANZA Maisha yaliendelea, hapo kijijini kulikuwa na familia nyingine zilizokuwa na uwezo kifedha, zilikuwa na nyumba zenye...

READ MORE

Nilifanya Mapenzi Na Maiti 20 Nitajirike – 1

KWA jina ninaitwa Zakia Ramadhani, ni mtoto wa kwanza katika familia yenye watoto kumi, mama yangu aliyeitwa Zubeda Hassani na...

READ MORE

Aliyeng’atwa Ulimi Singida Akamatwa

Saidi Mnyambi alipofikishwa hospitali kwa mara ya kwanza. SINGIDA, zikiwa zimepita siku saba tangu kijana Saidi Mnyambi (26) ang’atwe ulimi...

READ MORE

Kanga Moja Kiunoni… Mbengembenge-21

Irene M. NDAUKA ILIPOISHIA IJUMAA WIKIENDA: Hamadi! Sura ya baba Mei hii hapa! Mzee Hewa akashtuka kwani wakati mlango unafunguliwa...

READ MORE