ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA: Ndugu yangu, haya ninayokuandikia hapa yalinitokea, uchawi upo, uchawi unaua na katika miaka mingi ya kufanya uchawi,...
READ MOREILIPOISHIA… “Itakuwa vizuri mpigie yeye.”Ambe alimpigia simu Ester, baada ya kuita ilipokelewa upande wa pili. “Haloo.” “Haloo.”...
READ MOREILIPOISHIA RISASI JUMATANO: “Unajua baba Monica, hawa wanawake bwana wanataka ufuatiliaji kama huu ulioufanya wewe,” baba Salama alisikika akimwambia baba...
READ MOREMapenzi ya dhati aliyonayo Jafet kwa Anna, yanamfanya awe tayari kutoa figo yake moja na kumpa Anna ambaye alikuwa na...
READ MOREAjabu wakati babu anaondoka nilimsindikiza kwa macho huku hali yangu ikibadilika na kutamani kitu kutoka kwake. Lakini nilijizuia kama isingekuwa...
READ MOREILIPOISHIA IJUMAA WIKIENDA: Msichana wa kazi aligunia moyoni. Kwake lilikuwa tukio geni sana kumwona bosi wake akiingia chumbani kwake na...
READ MOREILIPOISHIA WIKIENDA Mke wangu akanicheka kwa kuona nilikuwa kigeugeu. Sasa tukawa tunakuza mimba ya mtoto wetu. Kila nilipoliona tumbo la...
READ MOREMpenzi msomaji, wiki iliyopita niliishia pale mama mkubwa wa Dorcas na rafiki yake walipokubaliana Dorcas aende Shinganga ndipo yule mama...
READ MOREHali ya sintofahamu inazuka jijini Dar es Salaam kufuatia kupotea mfululizo kwa machangudoa katika mazingira ya kutatanisha. Taharuki kubwa inazuka...
READ MOREILIPOISHIA “Ndiyo!” “Ngoja nikajiandae, nikawaandae na mashosti wengine twende, tena tuvae na madela yetu ya sare.” TEMBEA NAYO Walitaka kwenda...
READ MOREILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA: Ikabidi yule mtaalam aanze kunitafuta kwa kutumia ramani alizokuwa akizijua yeye mpaka akafanikiwa kujua sehemu niliyokuwa nimehamishiwa...
READ MOREILIPOISHIA RISASI JUMAMOSI: “Sasa sikia, mimi kesho asubuhi nitadamkia nyumbani kwa baba Salama. Nitampa maelezo yote ya vitu na fedha...
READ MOREILIPOISHIA: “Mmh! Temea chini babu umekamilika.” “Basi mjukuu, kama babu hakufikishi kuna dawa nitakupa utamwekea kwenye chai, nakuhakikishia tabu zote...
READ MOREUlipoishia wiki iliyopita “Yes, yupo kijana mmoja alikuwa amejeruhiwa sana, nafikiri na watu waliotaka kumuua, alikuwa hapa kwa siku tisa,...
READ MOREIlipoishia wiki iliyopita “Ningekuambia, lakini huonekani kama unaweza kunielewa, ila kama nilivyokuambia, usiifanye biashara hii zaidi ya mwaka mmoja, utakachopata...
READ MOREILIPOISHIA. Yule mama hakumtambua kwa kuwa yule mzee mganga alikuwa amevaa kofia pana maarufu kama pama. Waliingia chumba cha kwanza,...
READ MOREILIPOISHIA “Lakini sisi tuna bunduki, tunaweza kukabiliana na hatari yoyote.” “Huyo jini kama tutamkuta, sidhani kama bunduki yenu inaweza kusaidia.”...
READ MOREILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA: “Ila unahitaji uvumilivu wa hali ya juu!” “Nipo tayari kwa vyovyote!” alisema mama Dick kwa kujiamini. Wakakubaliana...
READ MOREILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA: Kwa mara ya kwanza nikamuona mama yangu akianza kulia, sikujua kilichomliza ila mara kwa mara alikuwa akimtaja...
READ MOREILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA: Mpenzi msomaji, wiki iliyopita niliishia pale Nelly alipomwambia yule mrembo kwamba alikuwa na hela za kununulia simu...
READ MOREILIPOISHIA IJUMAA: “Alah! Wale watu wamepotelea wapi?” Dereva akaniuliza kwa mshangao wakati gari likiwa kwenye kasi. “Si nilikwambia pale hapakuwa...
READ MOREILIPOISHIA GAZETI LA IJUMAA: “Mh! Mbona ghafla sana Maua?” “He! Jamani! Kwani nyie wanaume mna ghafla?” JIACHIE MWENYEWE… “Eee! Ratiba...
READ MOREILIPOISHIA RISASI JUMATANO: Aliingia ndani kwake, akamkuta mumewe sebuleni… “Umechelewa sana mama Monica.” “Ni kweli mume wangu, kulikuwa na wateja...
READ MOREILIPOISHIA: Kila aliponisugua alinieleza nijimwagie maji nami nilifanya vile, alipomaliza kichwani alihamia mabegani na kunisugua na mimi kujimwagia maji. Kazi...
READ MOREILIPOISHIA IJUMAA WIKIENDA: Amwombeje samahani? Aliamua kumwandikia ujumbe wa simu badala ya kumpigia akiamini kwa kusoma atamwelewa vizuri zaidi kuliko...
READ MOREILIPOISHIA… Alijikuta akilia huku presha ikimpanda na kupoteza fahamu ilibidi ifanyike kazi nyingine ya kumkimbiza hospitali. Taarifa za kutolewa Koleta...
READ MOREWalipomaliza kufanya yao, kila mmoja alikuwa hoi, walibaki wakiangaliana kama majogoo yaliyotaka kupigana. Ingawa katika maisha yake alitembea na wanawake...
READ MOREKofia yake haikutoka kichwani mwake, bado hakuhitaji kujulikana, kila kitu kilikuwa siri kubwa kwake, walipofika mapokezi, akalipia chumba na kwenda...
READ MOREILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA: WAKATI zoezi lile likiendelea kule Zaire, kwenye ile ngome niliyokuwepo wakawa tayari wameshatambua kuwa, mimi natafutwa. Kwa...
READ MOREILIPOISHIA IJUMAA: Baada ya hotuba yangu ndefu nilitaka kusikiliza kero za wananchi. Wananchi mbalimbali walijitokeza na kutoa kero zao na...
READ MOREIlipoishia wiki iliyopita Tukachukua chupa zetu na kuhamia sehemu mbali kidogo na watu, tukaanza kuzungumza yetu. Sasa endelea Huyu jamaa...
READ MOREILIPOISHIA RISASI JUMAMOSI: Mama Monica na Magembe walizama kwenye mechi, mama Monica kama kawaida yake alianza mbwembwe za mahaba kiasi...
READ MOREYule mama alipewa kalamu, akasaini. “Hapa mjumbe wenu ni nani?” aliuliza kamanda wa polisi wakati anaipokea ile hati iliyosainiwa. “Ni...
READ MOREILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA: “Muda gani?” “Muda mfupi kabla hujaja na tena nilikutumia mbili.” “Zilikuwa zinasemaje?” Mama Kirumba alichukuwa simu yake...
READ MOREILIPOISHIA “Kwani wewe hunikumbuki mimi, si ndiye niliyewaingiza ndani ya pango hili hadi pale mlipochangukana?” Nilipomtazama vizuri, nikakumbuka. Alikuwa ndiye...
READ MOREMpenzi msomaji, wiki iliyopita niliishia pale Nelly alipomnong’oneza fundi Yassin ahamie siti ya dirishani, alifanya hivyo kwani alijua nini shalobaro...
READ MOREILIPOISHIA “Nasikia paka wananiita.” “Paka?” “Ndiyo mama.” “Wapo wapi?” “Huwasikii hao wanalia?” “Hapana!” “Mama! Nawasikia paka wakilia,” nilimwambia mama. ENDELEA...
READ MOREILIPOISHIA GAZETI LA IJUMAA: “Sasa unadhani itakuwaje na mtu kasimama mlangoni!” Pale nje, baba Shua aliwaza kuwagongea mlango wawili hao...
READ MORE