×

Mikasa

SKENDO YA UMBEYA MKE WA MTU AFUNGA MTAA

MKE wa mtu aliyefahamika kwa jina la Mama Glory hivi karibuni alifunga mtaa baada ya kumzulia timbwili la aina yake...

READ MORE

AJALI YA MV NYERERE… ALIYEACHIWA WATOTO 6 AIBUA SIMANZI

MWANZA: AMA kweli kila aliaye hushika kichwa chake mwenyewe; ajali mbaya ya Kivuko cha Mv Nyerere iliyoua mamia ya watu...

READ MORE

NJEMBA AIBUKA SIKU YA MSIBA WAKE

SHINYANGA: Luhaga Madango (28) ambaye ni mkazi wa Kata ya Kambarage, Manispaa ya Shinyanga, amejikuta akiwekewa msiba nyumbani kwao huku...

READ MORE

AMPA KIPIGO MKEWE, AJIUA

MWANAUME mmoja aliyefahamika kwa jina la Patrick, mkazi wa Pongwe mkoani Tanga, amedaiwa kumpiga mkewe na kisha kujiua usiku wa...

READ MORE

ALICHOFANYIWA MTOTO HUYU… MATIBABU INDIA UTATA WAIBUKA!

WAGONJWA wengi wakiambiwa wanapelekwa nchini India kwa ajili ya matibabu, husema; “Asante Mungu” wakiamini huko ndiko uliko uponyaji, kumbe sivyo,...

READ MORE

KISA MREMBO… AVUNJWA MKONO NA MWALIMU

LINDI: Mkazi mmoja wa Nyangao, Wilaya ya Lindi, Shawezi Mohamedi, amevunjwa mkono wake wa kulia na mwanaume mwenzake aitwaye Mwalimu...

READ MORE

MAPYA YAIBUKA ALIYEPIGWA RISASI NA MWANAJESHI

PWANI: TUKIO la kijana Juma Mbwate (26) mkazi wa Mwananyamala Kisiwani, Dar, ambaye wiki moja iliyopita aliuawa kwa risasi na...

READ MORE

MTOTO: BABA AMENIBAKA MPAKA BASI

INASIKITISHA! Mwanaume mmoja anayejulikana kwa jina la David, mkazi wa Msongola jijini Dar amefanya kitendo cha kinyama baada ya kudaiwa...

READ MORE

ALIYECHINJA WANAE, MKEWE KISHA KUJINYONGA

DAR: Walipozaliwa watoto Clara Dotusi (5), Herieth Dotusi (3), hawakujua kama baba yao Dotusi Isaya angekuja kuwaua kwa kuwacharanga mapanga;...

READ MORE

MKE AJIJENGEA KABURI AKIWA HAI!

DAR ES SALAAM: Uchuro? Mwanamke mmoja, mkazi wa Tabata-Kinyerezi jijini Dar ambaye jina halikupatikana mara moja amesababisha watu kupigwa na...

READ MORE

WANNE WA FAMILIA MOJA WAPOFUKA KIMA AJABU!

DAR ES SALAAM: Hujafa hujaumbika! Ndugu wanne wa familia moja wamejikuta wakiteseka baada ya kupata tatizo la kupofuka macho bila...

READ MORE

DENTI MWINGINE ATENGULIWA MKONO NA MWALIMU WAKE

MOROGORO: Wakati walimu wawili wa Shule ya Msingi ya Kibeta iliyopo Bukoba mkoani Kagera wakiburuzwa mahakamani wakidaiwa kumchapa viboko hadi...

READ MORE

MCHIMBA KABURI AFICHUA SIRI BIASHARA YA MAITI ZA WATOTO

MIONGONI mwa matukio ya kutisha ambayo ukisimuliwa lazima ushike tama ni pamoja na madai kwamba, wapo watu ambao wanafanya biashara...

READ MORE

ALIYEUAWA NA POLISI FAMILIA YALIPWA MAMILIONI

MARA: Mkuu wa Kitengo cha Haki za Binadamu katika Mgodi wa Dhahabu wa North Mara, Robert Farrar uliopo mji mdogo...

READ MORE

SAA 8 USIKU, MWALIMU YAMKUTA NYUMBA NDOGO!

AR ES SALAAM: Ukiona mtu mzima analia, ujue kuna jambo! Saa 8:00 usiku, Jiji la Dar likiwa tulii, idadi kubwa...

READ MORE

MREMBO AFUNGA MTAA AKITAKA KUJIUA

NI timbwili! Mrembo aliyefahamika kwa jina moja la Shelua amefunga mtaa akitaka kujiua kwa kuparamia magari yaliyokuwa kwenye mwendokasi barabarani,...

READ MORE

JENGO LA KAMPUNI LAGEUZWA DANGURO

KANGI Lugola (Waziri wa Mambo ya Ndani) upo? Ndivyo walivyohoji wakazi wa Sinza-Mori jijini Dar karibu kabisa na Kituo cha...

READ MORE

MKE NUSURA ABAKWE NA SANGOMA

Hii inatisha! Mganga wa kienyeji aliyetambulika kwa jina moja la Luiza, hivi karibuni alinaswa chumbani kwa mke wa mtu akidaiwa...

READ MORE

POLISI VS WALIOSUSA MAITI DAR KUMEKUCHA!

DAR ES SALAAM: TUKIO la ndugu wa marehemu Salum Kindamba kususia maiti katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili hadi Jeshi...

READ MORE

UNYAMA! AMCHINJA MKEWE, AWALAMBISHA DAMU WANAE 3

SIKU hizi ukisikia mtu anasema ‘Dunia simama nishuke,’ inamaanisha mambo ya duniani yamemchosha; na kweli unyama unaofanyika hivi sasa katika...

READ MORE

TAJIRI AFILISIKA AKIUGUZA KIDONDA

ALIYEKUWA mfanyabiashara tajiri wa nafaka sehemu mbalimbali za jijini Dar, Eliasi John, mkazi wa Kinondoni- Moscow, yupo katika mateso makubwa...

READ MORE

MKE ASIMULIA MUMEWE ALIVYOUAWA KINYAMA

DAR ES SALAAM: Katika hali isiyokuwa ya kawaida na kushtua, familia ya Silayo imegubikwa na majonzi mazito tangu walipompoteza ndugu...

READ MORE

MZIMU WA KANUMBA WAMTOKEA MTOTO KONGO

WANANDOA kutoka Jamhuri ya Kidemo-krasia ya Kongo, Numbi Mwilambwe (35) na mkewe Ngoy Mfumuabana (30), wameeleza namna mtoto wao mdogo,...

READ MORE

PAKA WA AJABU AZUA BALAA!

MOROGORO: Ukistaajabu ya Musa utayaona ya firahuni. Khadija Ramadhan (67), mkazi wa Mtaa wa Mwigole, Kata ya Mwembesongo mkoani Morogoro,...

READ MORE

MWANAMKE AMUOA MWANAMKE MWENZAKE BONGO

MARA: UKISTAAJABU ya Musa, utayoona ya firauni! Mwanamke mmoja aliyejitambulisha kwa jina la Ninyangi Sedeki (50), mkazi wa Kijiji cha...

READ MORE

MKE ADAI KUCHOMWA KWA PASI NA MUMEWE

FARIDA Angelo (24) ni mkazi wa Gongo la Mboto jijini Dar ambaye ameibuka na kuangua kilio mbele ya gazeti hili...

READ MORE

Balaa la Kubambikiziwa Watoto Latikisa, Mo Music Yamkuta!

WANAUME watapata taabu sana! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya balaa la wanawake kuwabambikia watoto wanaume wao kuzidi kutikisa na kuwaachia...

READ MORE

MTOTO MBARONI KIFO CHA MAMA YAKE!!

SHINYANGA: Kijana Ngassa Mathias (24), mkazi wa Kitongoji cha Kiloleli, Kijiji cha Ilebelebe, Kata ya Itilima, Wilaya ya Kishapu amekamatwa...

READ MORE

HIVI NDIVYO ‘HAUSIBOI’ ALIVYOMCHINJA MTOTO WA BOSI WAKE

DAR ES SALAAM: “Mwanangu amechinjwa kikatili jamani, kwani kamkosea nini mpaka amuue kikatili, naumia jamani, moyo wangu umejeruhiwa, Prosper sitamuona...

READ MORE

DENTI MORO ABAKWA, ASHONWA NYUZI 7

MOROGORO: Binti wa kidato cha pili katika Shule ya Sekondari Kisanga (jina linahifadhiwa) mkazi wa Msolwa, Kata ya Kisanga, Mikumi...

READ MORE

Aliyedaiwa Kuuawa na Mumewe Aibuka!

KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, wananchi wa Kijiji cha Mwibagi kilichopo Kata ya Kyanyari, Wilaya ya Butiama mkoani Mara, wamepigwa...

READ MORE

MAZISHI YA MKE,MUME WALIOJIUA KWA MOTO JIPYA LAIBUKA

KIBAHA: Wakati tukio la mume, Hussein Zaid (58) na mke wake mdogo, Zainabu Juma (42) wakazi wa Mtaa wa Kilimahewa,...

READ MORE

Mama Amvaa Mchungaji, Asambaratisha Ndoa ya Bintiye Kanisani

DAR ES SALAAM: Vuta picha bibi harusi ameshavaa shela, bwana harusi ameshatinga suti yake matata kabisa, wameshaingia madhabahuni kanisani, tayari...

READ MORE

Tajiri Aliyedaiwa Kuuawa na Nyumba Ndogo Giza Nene

NI Majonzi! Ndilo neno pekee unaloweza kulitamka kufuatia kifo cha tajiri mmoja aliyefahamika kwa jina la Emmanuel Exaud Makyao ambaye...

READ MORE

MY GOD KUNA NINI JAMANI?

DAR ES SALAAM: My God (Mungu wangu) kuna nini? Ndivyo walivyozungumza kwa uchungu baadhi ya wakazi wa Mbeya baada ya...

READ MORE

MUME MBARONI KIFO CHA MKEWE!

NI shida! Mwanaume mmoja aliyetambulika kwa jina la Willibafosi William, mkazi wa Mbezi-Makabe, jijini Dar es Salaam amejikuta akitiwa mbaroni...

READ MORE

YAMEMKUTA! Kilichompata Njemba Huyu, Hatasahau

DAR ES SALAAM: Yamemkuta! Ndivyo unavyoweza kusema. Kijana aliyefahamika kwa jina moja la Rama, Jumatatu iliyopita alijikuta akilamba kibano ‘hevi’...

READ MORE

MAMA Ajifungua, Amkimbia Mtoto Kimaajabu

MARA: Inasikitisha! Wakati watu wengi wakilia kukosa mtoto, Maria Samsoni (18), mkazi wa Kijiji cha Ogembo nchini Kenya, amekamatwa na...

READ MORE

MJAMZITO AWALAANI MADAKTARI AKIKATA ROHO!

DAR ES SALAAM: Binadamu anapofariki dunia akiwa na kinyongo na mtu huku akimwachia maneno yamtakiayo mabaya, wahenga waliita hali hiyo...

READ MORE

MWANAFUNZI AUAWA KINYAMA KWA VISU

MWANAFUNZI wa Chuo cha St. Joseph, Tawi la Luguruni jijini Dar aliyejulikana kwa jina la James John Tumati (pichani) aliyekuwa...

READ MORE