×

Risasi

MAAJABU SKENDO MISS TZ 2018

  USIKU wa kuamkia Septemba 9, 2018 ndani ya Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Julius Nyerere, Posta jijini Dar historia katika...

READ MORE

MAIMARTHA AMKINGIA KIFUA WEMA

BAADA ya kuwa na mjadala kwenye mitandao ya kijamii kuhusu nani anayependwa na kukubalika zaidi Tanzania kati ya mwanamitindo, Hamisa...

READ MORE

MGOMBA HAUCHANJWI KUNI

TEENAA na mtani-koma mwaka huu kama hujaishi mbona utaishi tu kwani ndiyo maisha yetu ya mjini, unachuma tembele huku umeinama,...

READ MORE

JOKATE AMUELEZEA MISS TZ BALAA LA MITANDAO

MKUU wa Wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’, usiku wa kuamkia Jumapili iliyopita baada ya kumalizika kwa Shindano...

READ MORE

IRENE PAUL NA BIFU LA ZAMARADI Vs MOBETO

STAA wa filamu Bongo, Irene Paul ameibuka na kutaja sababu za kutoingilia bifu la shoga yake kipenzi, Zamaradi Mketema na...

READ MORE

MCHIMBA KABURI AFICHUA SIRI BIASHARA YA MAITI ZA WATOTO

MIONGONI mwa matukio ya kutisha ambayo ukisimuliwa lazima ushike tama ni pamoja na madai kwamba, wapo watu ambao wanafanya biashara...

READ MORE

AUNTY LULU AAPA KUMLOGA DIAMOND

MSANII wa filamu Bongo, Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ ametoa kali ya mwaka baada ya kueleza kuwa licha ya staa wa...

READ MORE

DIRISHA HALIFUNGWI KWA KUFULI

SHOGA mwaka ndiyo huooo unakatika leo mwezi wa tisa keshokutwa tu mwakani, shangaashangaa mjini hapa, kama ni msimu embe ndiyo...

READ MORE

OMMY DIMPOZ AFANYIWA DUA NZITO NA MASHEHE

KUFUATIA hali yake ya kiafya kuwa mbaya, mwanamuziki wa Bongo Fleva, Omary Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ amefanyiwa dua ya nguvu na...

READ MORE

JOH MAKINI: SABABU YA KUFANYA GOSPO HII HAPA

MWANAMUZIKI mwenye jina kubwa kwenye gemu la Hip Hop Bongo, John Simon ‘Joh Makini’ amesema kwamba kilichomfanya kuimba Gospo ni...

READ MORE

PATCHO MWAMBA: FM ACADEMIA TUMEIUA

PATCHO Mwamba Lukusa ni miongoni mwa Wakongo walioteka tasnia ya burudani Bongo, akiwa ni muimbaji kutoka Kundi la CP Academia...

READ MORE

JUX: VEE MONEY KWANGU NI KILA KITU

MKALI wa Muziki wa R&B Bongo, Juma Khalid ‘Jux’ amesema msanii mwenzake ambaye pia ni mpenzi wake, Vanessa Mdee ‘Vee...

READ MORE

NISHA ATAMBA KWA MAKALIO, MATITI !

BAADA ya kuweka picha mtandaoni na kushambuliwa kwamba amevaa kigodoro, msanii wa filamu nchini, Salma Jabu ‘Nisha’ ameibuka na kueleza...

READ MORE

PIKIPIKI YA 11 TUSUA MAISHA NA GLOBAL YAENDA TUKUYU

Ndagha fijho! Hivyo ndivyo alivyosema mshindi wa pikipiki katika droo ya 11 ya Shindano la Tusua Maisha na Global, Bolen...

READ MORE

ZARI ATUMIKA UTAPELI MAMILIONI DAR!

DAR ES SALAAM: Bongo Dar es Salaam, huo ni wimbo wa mwanamuziki wa Bongo Fleva na Mbunge wa Mikumi, Joseph...

READ MORE

MKE NUSURA ABAKWE NA SANGOMA

Hii inatisha! Mganga wa kienyeji aliyetambulika kwa jina moja la Luiza, hivi karibuni alinaswa chumbani kwa mke wa mtu akidaiwa...

READ MORE

WAZAZI NI KIKWAZO CHA NDOA YAKO? SOMA HAPA

  NIANZE na neno kidogo; uhusiano sahihi ni ule ambao una manufaa ya baadaye. Nikusihi rafiki, hakikisha unaishi na mtu...

READ MORE

BROKEN ENGLISH YA SHILOLE KWA RAIS JPM NI ADHABU?

JUZIKATI niliona video ya msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ akimkaribisha Rais John Pombe Magufuli katika mgahawa...

READ MORE

KWA HILI LA DKT. MWAKYEMBE, BONGO MOVIE MSHINDWE WENYEWE

JUMANNE wiki hii baada ya Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe kutembelea ofisi za Global Publishers...

READ MORE

ALLY HAPI ATAMBA IRINGA KUILISHA DODOMA

  MKUU wa Mkoa wa Iringa, Ally Hapi amesema anatarajia kuufanya mkoa wake kuwa kitovu cha chakula nchini na kuulisha...

READ MORE

Bobi Wine, Wenzake 30 Kurejeshwa Mahakamani Leo

MBUNGE  na mwanamuziki, Bobi Wine, leo anatarajiwa kurejea mahakamani mjini Gulu, kaskazini mwa Uganda anapokabiliwa na mashtaka ya uhaini. Bobi...

READ MORE

ZARI, PETER WA P SQUARE MAMBO NI MOTO

DAR ES SALAAM: Mambo ni moto! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya mjasiriamali Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ kudaiwa kuwa...

READ MORE

KILICHOTOKEA MAHAFALI MTOTO WA MASOGANGE

INASIKITISHA sana! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya hivi karibuni simanzi kubwa kutawala katika mahafali ya mtoto wa aliyekuwa video queen...

READ MORE

WOLPER AOKOKA, AFUNGUKA KILICHOMKIMBIZA BONGO!

STAA wa filamu Bongo, Jacqueline Wolper hivi karibuni ametangaza kuokoka na kusema kwamba kwa sasa anampenda Yesu na anamtumikia huku...

READ MORE

PENZI LA UWOYA LAMVURUGIA KALALA JUNIOR

  UBUYU mpya mjini ni kwamba mwanamama kiwango kwenye kiwanda cha filamu Bongo, Irene Uwoya anamzimia usipime mkali wa miondoko...

READ MORE

UICHOKIJUA KUHUSU NIKKI WA PILI KUWANIA URAIS WA TANZANIA

Mwanamuziki wa Hip Hop Bongo kutoka Kampuni ya Weusi, Nickson Simon ‘Nikki wa Pili’ hivi karibuni amezua gumzo baada ya...

READ MORE

STEVE NYERERE ATANGAZA NDOA NA WELLU SENGO!

UKISIKIA mtoto anasema hadithi… hadithiii na wengine kuitikia ‘hadithi njoo utamu kolea’, basi ujue simulizi inafuata. Sharti lake ni kukaa...

READ MORE

MPENZI WA MBASHA ACHUMBIWA

ALIYEWAHI kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwanamuziki wa Injili, Emmanuel Mbasha ambaye pia ni mshiriki wa Miss Tanzania 2008,...

READ MORE

BETHIDEI YA TIFFAH KUBUMA, MAMA MONDI AZUA GUMZO!

  Siku chache baada ya bethidei ya mjukuu wake, Latifah Nasibu ‘Tiffah’ kubuma Afrika Kusini ‘Sauz’, mama wa staa wa...

READ MORE

SHILOLE AWAPA SOMO WEMA SEPETU, UWOYA

BAADA ya kuanika mjengo wake aliojenga maeneo ya Majohe, Dar, staa wa muziki wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ ameibuka...

READ MORE

LYNN WA DIAMOND ADAIWA KUBANJUKA NA IDRIS

MUUZA nyago kwenye video za Kibongo ambaye hakauki vituko mitandaoni hasa kwenye Mtandao wa Instagram, Irene Geofrey ‘Lynn’, anadaiwa kuwa...

READ MORE

Wastara Akata Tamaa

MWANAMAMA wa filamu za Kibongo, Wastara Juma ametinga jijini Dodoma kuongea na Waziri wa Habari, Sanaa na Michezo, Dk Harrison...

READ MORE

JOKATE KAFUNGUA MLANGO, KING MAJUTO KAACHA SOMO

MIONGONI mwa wadau wanaoifahamu sanaa ya Bongo nje ndani ni mwanamama Asha Baraka ‘Iron Lady’, ambaye ni Mkurugenzi wa Bendi...

READ MORE

JIKE SHUPA AVUNJA KIAPO

Juma Kassim ‘Nature’LICHA ya kuapa kwamba hatazaa mtoto mwingine zaidi ya yule aliyezaa na mwanamuziki, Juma Kassim ‘Nature’, muuza nyago...

READ MORE

NISHA: PENGO LA MAJUTO HALIFUTIKI MAISHANI

STAA wa filamu za Kibongo, Salma Jabu ‘Nisha’ ambaye alikuwa akiigiza mara kwa mara na aliyekuwa mkongwe wa filamu, marehemu...

READ MORE

NDOA SIYO UMEME WA LUKU!

OHH mke wangu kila nikirudi anavimba domo, kunipakulia tu shida nikisema hivi visingizio kibao! Heee heeeiyaaaa, utalalama sana mwaka huu,...

READ MORE

BONGE LA NYAU ATOBOA SIRI KUTOKA NA KHADIJA KOPA

MWANAMUZIKI Lameck Philipo ‘Bonge la Nyau’ amefunguka kwamba siri ya yeye kuamua kufanya kazi na mwanamuziki mkongwe wa Taarab, Khadija...

READ MORE

DIAMOND ANANGWA ‘BETHIDEI’ MTOTO WA MOBETO

WAKATI akijiandaa kumfanyia sikukuu maalumu ya kuadhimisha kuzaliwa kwake mwanaye Tiffah, sherehe ya bethedai ya Dylan mtoto aliyezaa na Hamisa...

READ MORE

LUNGI , KALALA WANASWA KIMAHABA

MSANIi wa filamu za maigizo nchini, Lungi Mwaulanga hivi karibuni alifanya kituko cha aina yake baada ya kunaswa akijibebisha laivu...

READ MORE

MAMA, BINTIYE MATESO JUU YA MATESO

MAISHA ni changamoto! Ndivyo unavyoweza kusema kutokana na mama mmoja aliyefahamika kwa jina la Veronica Peter Kidava kujikuta kwenye wakati...

READ MORE