×

Risasi

MKALI WENU ACHOMOA KUFANYA KAZI NA EBITOKE

MCHEKESHAJI anayesumbua katika mitandao ya kijamii, Jackson Miraji ‘Mkali Wenu’ ambaye mwanzo alikuwa katika Kundi la Timamu amechomoa kufanya kazi...

READ MORE

MUME AMUINGIZA RIYAMA KWENYE MUZIKI !

MKALI wa Filamu za Kibongo, Riyama Ally amesema amelazimika kuingia katika gemu la muziki wa Bongo Fleva baada ya mumewe,...

READ MORE

CHUCHU: NILISHTUKA KUAMBIWA RAY ANANGOMA

MSANII wa ‘long time’ kwenye ‘game’ la filamu Bongo, Chuchu Hancy amefunguka kuwa hatasahau maneno aliyokuwa akiambiwa pindi alipokuwa na...

READ MORE

MCHUMBA WA WEMA ATANGAZA NDOA

MAMBO ni moto! Baada ya maneno kibao kwenye mitandao ya kijamii kuhusu uhusiano wao, mchumba wa supastaa Wema Sepetu, Patrick...

READ MORE

KWA HAYA YAWEZEKANA KIBA ANAMCOPY DIAMOND

HAINA ubishi kwamba kwa asilimia 100 unaweza kusema kuwa Muziki wa Bongo Fleva umekuwa kwa kiasi kikubwa kutokana na kuwepo...

READ MORE

WACHUNGAJI WAGOMBANA MO DEWJI KUPATIKANA

SIKU chache baada ya bilionea namba moja Tanzania, Mohammed Dewji kupatikana, balaa kubwa limeibuka kwa wachungaji wawili wa jijini Dar...

READ MORE

HEMED ATAJA SIRI YA KUZAA NA WANAWAKE WA KAWAIDA

STAA wa filamu Bongo, Hemed Suleiman ‘PHD’ ameeleza siri ya kuzaa na wanawake wa kawaida kwamba mastaa wengi wa kike...

READ MORE

NAI AMTOLEA POVU LYNN

MUUZA sura kwenye video Bongo, Nai Kisa ‘Nai’ ameibuka na kumtolea povu muuza sura mwenzake, Irene Hillary ‘Lynn’ kwamba hana...

READ MORE

NANDY AFUNGUKIA MADAI YA UJAUZITO

MREMBO anayefanya vizuri kunako Muziki wa Bongo Fleva, Faustine Charles ‘Nandy’ amefungukia madai ya kuwa na ujauzito wa kigogo mmoja...

READ MORE

MIMI MARS ANANGWA KURUDIA NGUO

MSANII wa Bongo Fleva, Marianne Mdee ‘Mimi Mars’ amejikuta akinangwa vilivyo na mashabiki baada ya kurudia nguo alipokuwa kwenye mahojiano...

READ MORE

KUKU MWEUSI HAFUKUZWI USIKU

 WEEEEER-AAAAA shoga yangu! Unaambiwa gari la kuazima haliwezi kukuishia mafuta na utatembea hadi umalize soli za viatu lakini huwezi kukutana...

READ MORE

ANASWA UTEKAJI MTOTO!

WAKATI mfanyabi-ashara bilionea namba moja nchini, Mohammed Dewji ‘MO’ akifikisha siku ya tisa tangu atekwe na watu wasiojulikana, binti mmoja...

READ MORE

MUME WA MAMA MONDI AKWAA SKENDO

MUME wa Sanura Kassim ‘Sandra’ ambaye ni mama wa mwanamuziki maarufu Bongo, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Maisala Shante ‘Anko’ amekwaa...

READ MORE

MAUA SAMA: IOKOTE IMENIACHIA ‘UCHIZI’

MSANII anayekimbiza kwenye gemu la Bongo Fleva, Maua Saleh ‘Maua Sama’ amesema kuwa licha ya wimbo wake mpya wa Iokote...

READ MORE

KAJALA: ZAMA ZA MASTAA KULA BATA ZIMEPITA

 STAA wa filamu Bongo, Kajala Masanja amewapa somo mastaa wenzake kuwa washtuke mapema katika kila jambo wanalolifanya na kwamba, zama...

READ MORE

SHAMSA AWANANGA WANAOSUBIRI AACHIKE

STAA wa filamu Bongo, Shamsa Ford amesema kuwa, anashangaa kila akiposti chochote mtandaoni watu wanasema ameachika, jambo ambalo halina ukweli...

READ MORE

MTANGAZAJI BONGO YA MKUTA KOREA

MTANGAZAJI wa Kipindi cha Nitetee kinachorushwa kupitia Televisheni ya Channel Ten, Flora Lauo yamemkuta makubwa akiwa nchini Korea ya Kaskazini...

READ MORE

MILIONI 15 ALIZOCHOMA UWOYA GUMZO

STAA wa sinema za Kibongo, Irene Pancras Uwoya anasemekana kuteketeza zaidi ya shilingi milioni 15 za Kitanzania kwa ajili ya...

READ MORE

HUSNA AANIKA MAHABA YAKE KWA DIAMOND

MSHIRIKI wa Shindano la Miss Tanzania 2011/12, Husna Maulid hivi karibuni alizua mshangao baada ya kuanika kwamba naye ni miongoni...

READ MORE

STEPS YAFUNGA OFISI YA FILAMU

HILI ni pigo kwa waigizaji! Ndivyo unavyoweza kusema kutokana na kampuni maarufu ambayo mastaa wa filamu walikuwa wakifanya nayo kazi,...

READ MORE

MWANA: USTAA MWISHO GETINI

MWIGIZAJI wa filamu za Kibongo, Mwanaheri Ahmed ‘Mwana’ ameibuka na kueleza kwamba ustaa wake unaishia getini na hauingii kwenye ndoa...

READ MORE

TOKO: NIMEANZA MUZIKI NA DIAMOND, KIBA

UKIZUNGUMZIA miongoni mwa wasanii waliotamba kwenye filamu kisha kuingia kwenye Muziki wa Bongo Fleva ni wazi utawataja Snura Mushi, Zuwena...

READ MORE

OFM YAFUMUA SOKO LA GONGO DAR!

WAKATI Rais Dk. John Magufuli akisisitiza juu ya Watanzania kufanya kazi kwa bidii, bado kuna baadhi ya watu wanaonekana kuweka...

READ MORE

HIVI NDIYO ULINZI NYUMBANI KWA MO DWEWJI ULIVYOIMARISHWA!

GUMZO kubwa kwa sasa ni tukio la kutekwa kwa bilionea mkubwa Tanzania, Mohammed Dewji ‘Mo’ ambapo utekaji huo umesababisha ulinzi...

READ MORE

ANAEDAI MTOTO WA ZARI ABANWA

DAR ES SALAAM: Msichana ambaye kwenye Mtandao wa Instagram anatumia jina la Martha.aint-na kudai ni mtoto wa Zarinah Hassan ‘Zari’...

READ MORE

UNAWEZA KUOLEWA N A MTU USIYEMPENDA ?

MUNGU ni mwema, Jumamosi nyingine tunakutana kwenye kilinge. Tunajadili yale ambayo yanahusu uhusiano, uchumba na hata ndoa. Moja kati ya...

READ MORE

OFM YANASA VYUO VIKIUZA VYETI KWA WATU BILA KUSOMA

UKISIKIA kuna baadhi ya vyuo vya elimu hapa nchini vinauza vyeti halisi kwa watu bila wao kusomea taaluma yoyote, si...

READ MORE

UZUNGU WA DIAMOND, DADA’KE GUMZO KAMA LOTE

IKIWA hitimisho la bethidei yake aliyoifanya kwa wiki nzima lilikuwa Jumapili iliyopita ambapo alisherehekea ndani ya boti, uzungu wa staa...

READ MORE

DAVINA AVUNJA KIAPO CHAKE MWENYEWE

MWIGIZAJI wa filamu za Kibongo, Halima Yahya ‘Davina’ ambaye mara kadhaa amenukuliwa akisema hana mpango wa kuolewa tena baada ya...

READ MORE

 AFYA YA CHOKI YAZIDI KUIMARIKA

BAADA ya siku chache zilizopita kuwa hoi akisumbuliwa na ugonjwa wa kisukari, mapafu na presha, mkongwe wa muziki wa dansi...

READ MORE

MAJIBU YA UKIMWI YAMPAGAWISHA MBASHA

KUPIMA Ukimwi siyo jambo la mchezomchezo! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya mwimbaji wa nyimbo za Injili Bongo, Emmanuel Mbasha kupagawa...

READ MORE

KIJIKO CHA JIKONI, HAKIOGOPI MOTO !

SHUUUUTUUUU! Jitu zima hovyo kutwa kuwasema wamama wenzio, hivi jamani mtu kufanikiwa kidogo ndo yamekuwa maneno? Basi yachukue kayachapishe kwenye...

READ MORE

DULLAH MAKABILA ANASWA NA KIFAA KIPYA

MSANII wa muziki wa Singeli, Abdallah Ahmed ‘Dullah Makabila’ hivi karibuni alinaswa na kifaa chake kipya anayejulikana kwa jina la...

READ MORE

INASIKITISHA! MTOTO ATEKWA, ACHINJWA

BUKOBA: Wakati watoto wawili, Idrisa Ally (13) na Gabriela Kilimba (3) wa jijini Dar wakiwa hawajulikani walipo baada ya hivi...

READ MORE

SASHA AMCHONGEA KIBA KWA MKEWE

DAR ES SALAAM: Muuza sura (video queen) wa video za wasanii wa Bongo Fleva mwenye umbo matata, Sasha Kassim anadaiwa...

READ MORE

VEE MONEY, JUX ‘LIFE STYLE’ YAO COPY & PEST YA JAY Z NA BEYONCE

MIAKA mitano iliyopita, staa wa kike wa Muziki wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee ‘Vee Money’ pamoja na staa wa R&B,...

READ MORE

UNATAKA KUDUMU PENZINI ?SIRI HII HAPA

WATU wengi wanatamani kudumu kwenye uhusiano lakini bahati mbaya huwa inashindikana. Mtu ambaye hadumu kwenye uhusiano, si kwamba anakuwa hapendi...

READ MORE

AUNT LULU: DIAMOND OA SASA

MTANGAZAJI Lulu Semagongo ‘Aunt Lulu’ ameibuka baada ya mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kusherehekea siku yake ya kuzaliwa na kumsihi...

READ MORE

WEMA: NINA KITU WENGINE HAWANA!

BAADA ya kusemwa mengi kuhusiana na jina la Tanzania Sweetheart, mkali wa sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu hayupo tayari...

READ MORE

WASTARA AANZISHA ‘PROJECT’ YA AKINA MAMA NA WATOTO

 MWANAMAMA kutoka tasnia ya sinema za Kibongo, Wastara Juma ameanzisha ‘project’ mpya ya kusaidia akina mama na watoto ili kutimiza...

READ MORE