×

Risasi

STAMINA AMSIKITISHA TUNDA BAADA YA KUOA

POPOTE watakapozungumziwa wanamuziki wakali wenye mchango mkubwa kwenye gemu la Muziki wa Bongo Fleva, bila shaka jina la Tunda Man,...

READ MORE

Kifo cha Bilal Mashauzi…Siri mastaa kumlilia yafichuka

KWA wafuatiliaji wa masuala ya burudani Bongo, jina la Bilal Mashauzi siyo geni masikioni mwao. Kwa taarifa tu ni kwamba,...

READ MORE

Unatamani uhusiano wa wenzio uwe wako?JIFUNZE!

 KUTAMANI kitu cha mwingine kwa mtazamo chanya yawezekana ikawa ni jambo jema katika maisha. Yaani ukaona mwenzako ana maendeleo fulani,...

READ MORE

Nandy Afungukia kuhongwa, gari la mamilioni

SIKU chache baada ya kusambaa mitandaoni kwa picha zake zikimuonesha akiwa na gari jeusi la mamilioni aina ya Mercedes Benz...

READ MORE

Siri Wema Kuutosa Msiba wa Masogange Yafichuka!

BAADA ya kuwa gumzo msibani wakati wa kuagwa kwa mwili wa aliyekuwa video queen kwenye nyimbo mbalimbali za Bongo Fleva,...

READ MORE

Sakata la Wanawake Kutelekezwa Kimewaka!

  SALAAM: Kimewaka! Ndivyo unavyoweza kusema! Siku chache baada ya Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda kutangaza ‘operesheni’ ya...

READ MORE

Masogange Sasa Chunga Sana Nyendo Zako!

KWAKO mrembo uliyechipukia kwenye kilinge cha u-video queen, Agness Gerald almaarufu Masogange. Mambo vipi? Habari za siku? Kitambo kidogo sijakutia...

READ MORE

NI UNYAMA! MAMA ASIMULIA MWANAYE ALIVYOBAKWA – VIDEO

  INAUMA! Mama mmoja, Zalijah, mkazi wa Keko-Mwanga, Wilaya ya Temeke jijini Dar amesimulia jinsi mwanaye wa kike, (jina linahifadhiwa)...

READ MORE

Zari Akinukisha Kutua Bongo na Kutoenda Madale

DAR ES SALAA: Zarinah Hassan ‘Zari The Boss lady’, aliyekuwa baby mama wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu abdul ‘Diamond...

READ MORE

Vyakula vya Kukufanya Usizeeke

LEO kwenye safu hii nitakuletea vyakula ambavyo ukila vitakufanya usizeeke kwani siku hizi watu wanazeeka haraka licha ya kuwa na...

READ MORE

UTAJIRI WA KIFO! MAMA YAMKUTA MAZITO KWA SANGOMA!

KUTAFUTA utajiri kwa njia za mkato hapa duniani kumewaponza wengi! Mama ambaye ni mfanyabiashara, Tabu Mwelege, mkazi wa Kijiji cha Kijiweni...

READ MORE

TIKO AWATAKA MASTAA KUHESHIMU SERIKALI

MREMBO wa Bongo Movies na Bongo Fleva, Tiko Hassan ameibuka na kuwataka mastaa wenzake kutii serikali pindi wanapoitwa kwa ajili...

READ MORE

MADAI MAZITO: POLISI AMPIGA RISASI RAIA MWEMA! – VIDEO

  Haya ni madai mazito! Raia mwema aliyejitambulisha kwa jina la Hassan Yahaya, mkazi wa Mabibo-Farasi jijini Dar, anadaiwa kupigwa...

READ MORE

MWANA: NGUO ZA HESHIMA NDO’ KILA KITU

MWANA-DASHOSTI wa Bongo Movies, Mwanaheri Ahmed ‘Mwana’ amefunguka kuwa kitendo cha Naibu Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Juliana...

READ MORE

SIKU MOJA BAADA YA KUOLEWA… BIBI HARUSI AIKIMBIA NDOA!

  Siku moja tu baada ya kuolewa kisha kwenda kuishi kwa mumewe kwa siku moja, bibi harusi, Shani Saidi ‘15’,...

READ MORE

Aunt: Iyobo Hashitushwi na Picha zangu za Utupu

  STAA wa filamu za Kibongo, Aunt Ezekiel, amesema kuwa Moses Iyobo ambaye ni mzazi mwenziye hashtushwi hata kidogo na...

READ MORE

Akiwa Safarini, Mbasha Akombwa Kila Kitu Mchana Kweupe

  ALIYEKUWA mume wa Flora Mbasha, Emmanuel Mbasha akiwa safarini Arusha amekombwa kila kitu na majambazi nyumbani kwake Tabata Kimanga...

READ MORE

Imevuja! Lulu Diva Apokonywa Kila Kitu na Mpenzi Wake!

  IMEVUJA! Ukiachana na habari ya kudaiwa kupangishiwa nyumba na kununuliwa gari mpya aina ya Jeep na kigogo, imebainika kuwa...

READ MORE

Kisa Bongo Fleva…Agness Wa Picha Za Utupu Ashambuliwa

MUUZA nyago aliyejipatia umaarufu kwa kutupia picha za utupu mtandaoni, Agness Mmasi ameshambuliwa na mashabiki baada ya kujikita rasmi kwenye...

READ MORE

Esma Aonyesha Mahaba Yake Kwa Wema

MWANADADA Esma Abdul ‘Esma Platnumz’ ameonesha mahaba yake kwa staa mkubwa wa filamu Bongo, Wema Sepetu akidai kuwa, amekuwa shosti...

READ MORE

Snura: Mume Si Kitu cha Mchezomchezo Nyie Mume

MWANAMUZIKI Snura Mushi ameibuka na kusema kuwa, si kwamba hataki ndoa, anaitaka sana lakini akatahadharisha kuwa, mume si kitu cha...

READ MORE

Jokate: 2018 Ni ndoa na Familia Pia

MWANAMITINDO ambaye ni kada wa CCM, Jokate Mwegelo baada ya kuanika kuwa mwaka huu ni sahihi kuingia kwenye maisha ya...

READ MORE

TAUSI HATA AKIOLEWA MKE WA PILI SI DHAMBI

KOMEDIANI matata wa Bongo Movies, Tausi Mdegela amefunguka kuwa, ikitokea akapata mwanaume wa kumuoa, hata kama ana mke haina shida...

READ MORE

Mume Ampiga Stop Shamsa Mitandaoni

STAA wa filamu za Kibongo, Shamsa Ford anadaiwa kupigwa stop kutumia mitandao ya kijamii na mumewe, Chid Mapenzi na kwa...

READ MORE

Snura:Usingo Mama Ni Elimu Tosha Ya Duniani

MWANAMUZIKI anayefanya vizuri kwenye miondoko ya mduara, Snura Mushi, ameibuka na kudai kuwa mwanamke anayelea watoto mwenyewe ni elimu tosha...

READ MORE

Sherehe ya Shilole Yasengenywa

  LICHA ya mbwembwe nyingi kwenye sherehe ya harusi ya Mwanamuziki Zuwena Mohamed ‘Shilole’ iliyofanyika wikiendi iliyopita kwenye Ukumbi wa...

READ MORE

Julitha Kabete Kukanyaga Miss World ni Mungu tu!

  MREMBO ambaye aliiwakilisha Tanzania katika mashindo ya Miss World 2017, Julitha Kabete amesema kuwa mpaka kuweza kupata nafasi ya...

READ MORE

Mke wa Mwanajeshi: Sasha Kanipora Mume Wangu, Mke Asimulia Mazito

  NI skendo nzito ya kufungulia mwaka 2018! Mama aliyejitambulisha kwa jina la Rehema Zuberi ‘Mama Asia’ ambaye ni mke...

READ MORE

Utata Wa Mama Aliyejifungua Kopo Mwanza

  MWANZA: Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mama mmoja mjamzito aliyefahamika kwa jina la Vera Paschal (29), mkazi wa Kishiri,...

READ MORE

Johari Aanika Siri Kifo Cha Mama Yake!

MREMBO wa filamu za Kibongo, Blandina Chagula ‘Johari’ ameanika siri ya kifo cha mama yake kwa kueleza namna ambavyo alipigana...

READ MORE

Chuchu: Kubadilisha Jina Sio Kumuacha Ray

MSANII wa filamu za Kibongo, Chuchu Hans ameibuka na kusema kuwa tetesi zilizozagaa akidaiwa kuachana na mzazi mwenziye Vincent Kigosi...

READ MORE

Mastaa Hawa Ushawishi Wao Bongo Ni Noumaaa!

  SIKU zote mafanikio huja popote kutokana na kile ulichokifanya katika jamii. Kampuni ya utafiti ya Avance Media kutoka nchini...

READ MORE

Mauzauza Yamhamisha Nyumba Gigy Money

MAMBO juu ya mambo! Baada ya hivi karibuni kukabiliwa na msala wa picha za nusu utupu, sexy lady wa Bongo...

READ MORE

Dotnata: Nimepona, Sasa Ni Kazi Tu

BAADA ya kukaa kimya kwa muda mrefu kutokana na kupata ajali ya kuteleza na kuanguka nyumbani kwake ambapo alivunjika mguu,...

READ MORE

Thea Adai 2018 ni wa Ndoa Kwake

STAA wa Filamu za Kibongo, Salome Urassa ‘Thea’ ameweka wazi kuwa, baada ya kutengana na mumewe Mike Sangu na kukaa...

READ MORE

Muna: Tatuu na Ulokole Wangu Havihusiani

MSANII wa filamu Bongo, Rose Alphonce ‘Muna’ amefunguka kuwa, watu wengi wanamsema vibaya kutokana na ‘tatuu’ zake alizozichora mwilini kuwa...

READ MORE

Shamsa: Huu ni Mwaka Wa Mtoto

HUKU ndoa yake na mfanyabiashara Rashidi Said ‘Chid Mapenzi’ ikiwa na mwaka mmoja na miezi minne bila kupata mtoto, staa...

READ MORE

Pretty Kind Amtaka Nuh Atulie

MSANII wa filamu za Kibongo ambaye alikuwa mpenzi wa mwanamuziki wa Bongo Fleva, Naftal Mlawa ‘Nuh Mziwanda’, Suzan Michael ‘Pretty...

READ MORE

MASKINI WASTARA! Tazama Mguu Wake Ulivyoharibika, Anaomba Msaada (Video)

  AMA kweli hujafa, hujaumbika! Ndivyo unavyoweza kusema endapo utaisoma simulizi ya hali ya sasa ya msanii wa filamu Bongo,...

READ MORE

Lungi Amshambulia Ray C

BAADA ya msanii wa muziki, Rehema Chalamila ‘Ray C’ kumuandikia ujumbe Rais John Pombe Magufuli kupitia ukurasa wake wa Instagram...

READ MORE