×

Risasi

Tiko Aapa Kuweka Historia 2018

MSANII wa filamu za Kibongo, Tiko Hassan ameibuka na kueleza kuwa ndani ya mwaka huu mpya wa 2018 ni lazima...

READ MORE

Ester Kiama: Wanaume Wa Mtandaoni Kwangu Mwiko

STAA wa filamu za Kibongo, Ester Kiama ameibuka na kusema kuwa wanaume wa mtandaoni kwake ni mwiko kabisa kwani wamekuwa...

READ MORE

Jini Kabula: Nilikuwa ‘Kuzimu’ Nimerudi

MIRIAM Nyafulwa Jolwa ‘Jini Kabula’, msanii aliyekumbana na janga kubwa la kuugua ugonjwa uliotajwa kama ‘kichaa’ kuelekea mwishoni mwa mwaka...

READ MORE

Bond Ateswa Na Ujambazi, Penzi La Wastara 2017

MENEJA na aliyekuwa mpenzi wa msanii wa Bongo Muvi, Wastara Juma, Bond Suleiman amefunguka kuwa mwaka 2017 ulikuwa ni mchungu...

READ MORE

Snura: Ntaliza Watu Bethdei Yangu

MWANAMUZIKI nyota na mahiri kwa kukata viuno jukwaani, Snura Mushi amesema atawaliza watu watakaojitokeza katika sherehe ya siku yake ya...

READ MORE

Mobeto Usipo-Invest Muda Huu, Utafeli

Ninamshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kunipa afya njema na kuuona mwaka mpya 2018. Kuna ndugu, jamaa na marafiki wengi ambao...

READ MORE

Aunty Lulu Achekelea Kuanza Mwaka Vizuri

MWANADADA asiyeishiwa matukio Bongo, Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ amejikuta akitoa meno yote nje baada ya kuanza mwaka 2018 vizuri kwa...

READ MORE

Nisha: Mabwana Waliniliza 2017

STAA wa filamu za Kibongo, Salma Jabu ‘Nisha’ ameibuka na kuelezea kufurahishwa kwake na kumalizika kwa mwaka 2017 kwani ulimliza...

READ MORE

Maimartha Nitaendelea Kumfunda Mobeto

MTANGAZAJI maarufu Bongo, Maimartha Jesse ameibuka na kusema ataendelea kumfunda mwanamitindo Hamisa Mobeto ingawa amemjibu vibaya, kwani alichoamua ni kumshauri...

READ MORE

Esma Aanika Siri Kuikacha Pati ya Zari

ZARINAH Hassan ‘Zari’ na wifi yake Esma Abdulkadir ‘Esma Platnumz’ wamedaiwa kuwa kwenye bifu zito ndani ya kipindi chote cha...

READ MORE

Dude Aiona Krismasi Chungu

STAA wa filamu za kibongo, Kulwa Kikumba ‘Dude’ ameumaliza mwaka vibaya hasa sikukuu ya Krismasi kwa kuiona chungu baada ya...

READ MORE

Shilole, Uchebe Mnaweza Kuushangaza Ulimwengu!

KWANZA kabisa nimshukuru Mungu kwa kuweza kusherehekea vyema Sikukuu ya Krismasi, bila shaka nawe mpenzi msomaji u miongoni mwao. Huku...

READ MORE

Sanchi Awavimbia Kichwa Polisi

  WAKATI Rais John Pombe Magufuli akiziagiza mamlaka zinazohusika kuhakikisha maadili ya Kitanzania yanalindwa kwa kudhibiti vitendo vya ukiukwaji wake,...

READ MORE

Odama: Waolewe Tu Wakati Wangu Bado

MUIGIZAJI mwenye kiwango kizuri kwenye tasinia ya filamu Bongo, Jennifer Kyaka ‘Odama’ amefunguka kuwa ayumbishwi na ndoa wanazofunga baadhi ya...

READ MORE

Kisa Kuolewa Na Serengeti Boy… Mama Mobeto Amchana Mama Esma

MAMA mzazi wa Mwanamitindo maarufu Bongo Hamisa Mobeto, Shufaa Lutigunga amefunguka kuwa hayuko tayari kuolewa na “Serengeti Boy” wakati watu...

READ MORE

Ishu Ya Kumwagiwa Pombe, Wakwe Wamjia Juu Shilole

SIKU ya kuzaliwa kwa msanii wa muziki Zuwena Mohammed ‘Shilole’ alishtukizwa kwa kumwagiwa pombe na msanii mwenzake Irine Uwoya kitendo...

READ MORE

Mchepuko Wambwagia Mtoto Zari Madale!

DAR ES SALAAM: Mambo ni moto! Mrembo Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ amebwagiwa mtoto getini kwake na mwanamke anayedai...

READ MORE

BABU SEYA, PAPII KOCHA KUTINGA IKULU!

Wakati wakianza wiki ya pili tangu waachiliwe kwa msamaha wa rais kutoka katika kifungo chao cha maisha gerezani, imebainika kuwa...

READ MORE

Shilole: Mume Wangu Hajawahi Kuoa

BAADA ya hivi karibuni kufunga ndoa na Ashraf Uchebe, msanii wa muziki, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amefungukia tetesi za kuwa amemchukua...

READ MORE

Hamisa Mobeto Anasa Mtegoni

Mwanamitindo Hamisa Mobeto anadaiwa kunasa mtegoni baada ya ‘kuuvaa mkenge’ ulioratibiwa na hasimu wake wa siku za hivi karibuni, Zarinah...

READ MORE

Jide Atoboa Siri Ya Kutochuja!

MKONGWE wa Muziki wa Afro Pop Afrika Mashariki, Judith Wambura Mbibo ‘Lady Jaydee’ anamaliza mwaka kwa kuachia video ya kibao...

READ MORE

Shilole Amtolea Uvivu Nuh Mziwanda

  BAADA ya habari kuzagaa kwenye mitandao ya kijamii na mwanamuziki Naftal Mlawa ‘Nuh Mziwanda’ kuandika katika ukurasa wake kwamba...

READ MORE

Lucy Komba Arudi Shule

STAA wa filamu za Kibongo ambaye makazi yake kwa sasa ni nchini Denmark, Lucy Komba amefunguka kuwa ameamua kurudi shule...

READ MORE

Duma: Mastaa Wengi Wa Filamu Ni Ombaomba

MSANII wa filamu Bongo, Daud Michael ‘Duma’ ameibuka na kuwachana mastaa wenzake hasa wa filamu kuwa wengi ni ombaomba ndiyo...

READ MORE

Jike Shupa ageukia kupika ubwabwa

MUUZA sura kwenye video mbalimbali za wasanii wa Bongo Fleva, Zena Abdallah ‘Jike Shupa’ ameamua kugeukia mapishi baada ya kuona...

READ MORE

Kajala Amkimbia Zari Ukumbini

BAADA ya kuenea taarifa kwa muda mrefu kuwa hawapikiki chungu kimoja, staa wa filamu Bongo, Kajala Masanja amedhihirisha msemo huo...

READ MORE

Husna, Wolper Wamaliza Bifu Lao!

MASTAA wawili waliokuwa na bifu kwa sababu ya kuchangia bwana Mkongo ajulikanaye kama Mwami Radjabu, Jacqueline Wolper na Husna Maulid...

READ MORE

Anapoishi Gigy Mmh!

  LICHA ya hivi karibuni kujinadi kuwa ametupia wigi la bei mbaya alilodai kulinunua kwa shilingi milioni sita, msanii wa...

READ MORE

Wema Kukutana na Makonda…Steve Nyerere Abwatuka!

  Siku tatu baada ya muigizaji maarufu wa filamu, Wema Sepetu kumuangukia Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul...

READ MORE

Kisa Mtoto, Joti Mzazi Mwenzake Hapatoshi

MADAI mazito yameibuka kuwa mchekeshaji mahiri Bongo Lucas Mhuvile ‘Joti’ ambaye siku chache zilizopita alifunga pingu za maisha, juzikati palikuwa...

READ MORE

Snura: Faiza Anatafuta Pa Kutokea

MWANAMUZIKI Snura Mushi ameibuka na kusema kuwa pamoja na msanii mwenzake Faiza Ally kumtukana mitandaoni kwa kutumia kazi yake ya...

READ MORE

Aunty Lulu Atoboa Siri Ya Kujiachia Viwanja

ALIYEKUWA mtangazaji Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ kila kukicha amekuwa akionekana akijiachia viwanja mbalimbali akila bata ambapo ameibuka na kutoboa siri...

READ MORE

Wolper Afunga Mdomo Ishu Ya Kusalitiwa

BAADA ya picha za mpenzi wa Jacqueline Wolper anayejulikana kwa jina la Brown zinazomuonesha akiwa kimahaba na mwanamke mwingine kuzagaa...

READ MORE

Nuh Mziwanda Noma Aijibu Ndoa Ya Shilole

MWANAMUZIKI anayefanya poa Bongo, Naftal Mlawa ‘Nuh Mziwanda’ baada ya aliyekuwa mpenzi wake, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ kuolewa naye ameijibu ndoa...

READ MORE

Shamsa Amtahadharisha Wema

KUFUATIA kuhama chama kutoka Chadema kwenda CCM kwa mwanadada kutoka kiwanda cha filamu Bongo, Wema Sepetu, msanii mwenzake, Shamsa Ford...

READ MORE

Zari Apiga Kambi Kumdhibiti Mobeto

  Wakati kukiwa na figisufigisu kuhusu uhusiano kati ya wadada wawili waliozaa na mwanaume mmoja, Zarina Hassan ‘Zari’ na Hamisa...

READ MORE

Koletha: Ndoa Kudumu Ni Mungu Tu

MKONGWE wa filamu za Kibongo, Koletha Raymond amefunguka kuwa suala la kudumu kwenye ndoa ni la Mungu tu kwani kwa...

READ MORE

Wastara Juma Ajitosa Bongo Fleva

STAA wa filamu za Kibongo, Wastara Juma baada ya kusikika kwa Wimbo wa Wanawake ambao aliuzindua wakati akienda nchini Sweden,...

READ MORE

Sanchoka Aapa Kumng’oa Jokate

  Toa la moyoni! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya mrembo mwenye mvuto wa aina yake Bongo, Jane Rimoy ‘Sanchi’ kuanika...

READ MORE

Stress Zamuhamisha Sandra

Staa wa filamu za Kibongo tangu kitambo, Salma Salmin ‘Sandra’ amehama nchi na kuhamia nchini Kenya ambapo amedai kuwa stress...

READ MORE