
“SUBIRINI atue kwanza ndiyo mtamjua!” Hiyo ni moja ya kauli kutoka kwa uongozi wa Yanga unaosimamia usajili ndani ya kikosi hicho huku straika Fereboy Dore kutoka Congo akitajwa kuwa karibu kuvaa uzi wa Yanga.
Kauli hiyo ya Yanga imezungumzwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili Yanga ambaye pia ni Mkurugenzi Uwekezaji wa Kampuni ya GSM ambao ni wadhamini wa klabu hiyo, Injinia Hersi Said.
Injinia Hersi amesema kuwa, wameamua kumficha straika huyo kutokana …. Soma stori hii nunua Gazeti la SPOTI XTRA leo Januari 3 hapa https://bit.ly/2TGfTOs
Jipatie nakala ya Gazeti la spotixtra kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/=
-
Baada ya kununua Gazeti utakuwa imejiwekea nafasi nzuri ya kuzawadiwe SmartPhone mpya na
Mkwanja hadi Tsh. 100,000/= ===> https://bit.ly/2TGfTOs