×

Katibu NCCR- Mageuzi: Mbatia Hajavuliwa Uenyekiti, Kilichofanyika ni Uhuni -Video

    MWENYEKITI wa NCCR- Mageuzi, James Francis Mbatia, amedai kuwa unaoitwa, “mkutano wa Halmashauri Kuu (NEC) ya chama chake”...

READ MORE

Urusi Yatangaza Kuudhibiti Mji wa Mariupol Wanajeshi Zaidi ya 2,000 wa Ukraine Wajisalimisha

BAADA ya wanajeshi wa Ukraine 531 waliokuwa wamejificha kwenye kiwanda cha Azovstal wakipambana na wanajeshi wa Urusi kujisalimisha, Urusi imemesema...

READ MORE

Nafasi ya Kazi Options Consultancy Services Ltd Tanzania, Finance & Administration – Intern

Finance & Administration – Intern Company Description We are a global team of experts and innovators tackling some of the...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra kirahisi zaidi hapa

JIpatie nakala ya Gazeti la Spoti Xtra kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= iOS...

READ MORE

Habari Kubwa za Magazeti ya Tanzania Leo Jumapili, Mei 22, 2022

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Mei 22, 2022 Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Mchezaji Bora wa Pool Tanzania Kuliwakilisha Taifa Nchini Uganda

MCHEZAJI wa Pooltable anayeshikilia kiwango cha namba moja Tanzania, Abdallah Hussein(Dullah) leo mapema ameondoka kuelekea Uganda kwenye Mashindano ya wazi...

READ MORE

Biden Asaini Mswada wa Msaada wa Dola Bilioni 40 kwa Nchi ya Ukraine

RAIS wa Marekani Joe Biden amesaini mswada uliopitishwa na Bunge la Seneti la Marekani wenye thamani ya dola bilioni 40...

READ MORE

Manara na Barbara Watinga TFF, Wahojiwa na Kamati ya Maadili

MKURUGENZI wa Klabu ya Simba Barbara Gonzalez na Msemaji wa Klabu ya Yanga Haji Manara leo wametinga katika Ofisi za...

READ MORE

Breaking News: NCCR-Mageuzi Yamsimamisha Mbatia, Hizi Hapa Sababu, Msajili Abariki

  HALMASHAURI Kuu ya Chama cha NCCR-Mageuzi, imemsimamisha Mwenyekiti wa chama hicho Taifa, James Mbatia na Makamu Mwenyekiti wake Bara,...

READ MORE

EPL NA SERIE A KUMJUA BINGWA WIKIENDI HII, BINGWA NI…?

MERIDIANBET, Nyumba Yenye Odds Bora na Bonasi Kubwa. Baada ya purukushani za wiki 37, hatimaye bingwa wa EPL na Serie...

READ MORE

Rais Samia Akiri Nidhamu Imeshuka Katika Utumishi wa Umma

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema ni kweli nidhamu imeshuka  katika utumishi wa Umma na...

READ MORE

Spika Tulia Ampongeza Rais Samia kwa Kuongeza Mshahara wa Wafanyakazi

SPIKAwa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuongeza kiwango na...

READ MORE

Halima Kopwe Ashinda Taji la Miss Tanzania Kutoka Mtwara, Rais Samia Kujenga Ukumbi wa Kimataifa Dar -Video

  WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo. Mohamed Mchengerwa amesema Serikali ya Rais Samia imedhamiria kuinua kuinua kiwango cha mashindano...

READ MORE

Serikali Yatambua Mchango wa NMB Kuendeleza Wabunifu Nchini

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt Philip Mpango ameikabidhi Benki ya NMB cheti cha kutambua...

READ MORE

Exclusive… Mama Dangote Amlipukia Zari, Acharuka Baada ya Kuulizwa Juu ya ujio Wake

  Sanura Kassim almaarufu Bi Sandra au Mama Dangote; ni mama mzazi wa staa mkubwa wa muziki barani Afrika, Diamond...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la championi kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= iOS :...

READ MORE

Baada ya Ukame wa Mabao Simba Yatua kwa Straika wa Orlando Pirates

IMEELEZWA kuwa Simba imeanza mazungumzo na mshambuliaji wa Orlando Pirates ya nchini Afrika Kusini, Kwame Peprah raia wa Ghana kwa...

READ MORE

Habari Kubwa za Magazeti ya Tanzania Leo Jumamosi, Mei 20, 2022

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Mei 21, 2022 Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Kisa Lwanga, Mzambia Alamba Mkataba Simba, Pablo Atoa Maelekezo Mazito

UNAAMBIWA mwenendo wa majeraha kwa kiungo Taddeo Lwanga raia wa Uganda, umemfanya Kocha Mkuu wa Simba, Pablo Franco alazimike kumuongeza...

READ MORE

Makonda Afika Ubalozi wa UAE Asaini Kitabu cha Maombolezo Kufuatia Kifo cha Rais Khalifa Bin Zayed

  Mkuu wa Mkoa Mstaafu wa Dar es salaam, Paul Makonda amefika katika Ubalozi wa Umoja wa Falme Za Kiarabu...

READ MORE